SHEMEJI UMECHOMEKA KWELI? (05)

EP 05

“Mshenzi sana, yaani umekuja kulala kitandani kwangu? Kwanza unanuka kikwapa, unajamba hovyo usiku, mwanamke mzima unashindwa kujizuia? Au wameshakuharibu? Unajamba vinanuka chumba kizima…” yalimtoka maneno hayo Bligita aliyekuwa ndani ya gauni ya kulalia, Salome alivuta shuka na kuchekea ndani ya shuka, Wamfue mwenyewe alikuwa akipokea kichapo huku akicheka maana kama kuchafua hali ya hewa ni mkewe
ndiye aliyechafua na hata alipokuwa akimpiga aliendelea kuchafua hali ya hewa, “Unacheka? Unaendelea kujamba huku unacheka?” Bligita alihoji hivyo akimchapa Wamfue, huku akiendelea kuachia ushuzi, sio Salome wa Wamfue, wote walikufa kucheka na vilinuka chumba kizima, alifunga mlango na pazia alishusha madirishani. Ikabidi Salome aende kufungua dirisha, mpaka Wamfue alipofungua mlango na kufanikiwa kutoka nje alishachapwa fimbo za kutosha pamoja na makofi mengi.

Wamfue alipotoka alijiandaa na kuelekea kazini, Salome ndiye aliyemuandalia chai, kusema kweli Salome alivutia sana, yeye na dada yake walitaka kufanana sura lakini maumbo walitofautiana, dada yake alikuwa na umbo nene na lilijikata vyema sana, Salome yeye alijaaliwa umbo dogo la uchokozi.
Salome aliungana na wanawake wengi wembamba waliojivunia kuwa makalio pendwa na wanaume, yaliyotikisika. Kile kiuno chembamba ndio kiliua kila kitu. Alivyoamka asubuhi alivalia khanga, juu sweta. Angesahau vipi kudindisha Wamfue alipoona makalio laini ya shemeji yake Salome yakitikisika ndani ya khanga, halafu ndani alivalia nguo ya kizungu iliyoacha sehemu kubwa ya makalio yake wazi.
“Kazi njema, pole kwa kichapo…” “Ahsante sana, nashukuru kwa
kuniandalia chai…”
“Hivi bado hajaondoka? Unataka fimbo zingine siyo?” aliingilia kati Bligita na fimbo yake mkononi, alimtimua Wamfue aliyeteleza mlangoni n akuangukia makalio, aliwashwa bakora ya mgongoni na kukimbilia nje, bakora alizokuwa akipigwa Wamfue zilimuingia, hazikuwa za kimahaba, zilimuuma kweli.
Alipofika kazini Wamfue Mansuli alimcheka kwanza kwa kupokea kichapo kisha akampa pole. Waliendelea kufanya kazi japo walifanyia ofisi tofauti. Yalipofika majira ya saa nane mchana, Bligita akiwa na Salome walimtembelea Wamfue, ilibaki kidogo Wamfue ajifiche chini ya meza, Salome alibaki akicheka tu, mkewe alimkumbatia kwa hisia huku akilia, yalikuwa ni maajabu,

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!