KATOTO KA FORM ONE π
SEHEMU YA 23
SIKU YA JUMATATU SAA NNE NA DAKIKA 20 ASUBUHI
βShoga angu yalonikuta mwenzako natetemeka, nataka niondoke kwa yule mamaβ Nurat alimuambia mwenzake Madina
βTatizo nini kipenzi?β aliuliza Madina
βYule dada wa kazi niliokuambia anafanya kazi pale nyumbani, kaniletea timbwili yaani acha tuβ
βkivipi?β Nurat aliuliza na kufunga sketi vizuri huku akitembea kuelekea eneo fulani kununua vitu vya kutafuna
βYaani, aliamua atoke na yule mkaka, Denis, halafu na mimi si nikawa nataka nimlipize nitoke na houseboy Omarβ
βAkakufuma?β
βHamna, yaani katika kumtega nikajisahau nikadondosha khanga nikijua bado yupo kumbe baba ndo yuko pale sebuleni hafu nikabaki uchi wa mnyama kabisaβ alisema Nurat
βMungu wangu! Mbona imekuwa pambe, sasa itakuwaje?β aliuliza Madina
βNilikimbia ila alikuwa ameshaona kila kitu, hadi tamu yangu maana niliinama nikamgeuzia makalio ikarudi nyuma yote mi nikijua namuonyeshea kijana yule houseboyβ
βPole, sasa hapo ondoka uhamie kwetu, ila sio siri yule kaka wa Bagamoyo anajua kukuna shogaβ alisema madina huku akiwa anagonga na Nuu
βBhana usinikumbushe nitawashwaβ alisema wote wakacheka na kuingia kibandani wanataka mihogo
Upande wa nyumbani pia baba na mama Denis baada ya kujadili kwa kina walifikia hitimisho wamuambie mzazi wa binti kwamba mtoto wao anamiliki simu isijekuwa wamemruhusu au wamnyang’anye
Mapema, Baba Denis alichukua simu na kumpigia mzee Mpili
βEe ndugu yangu umenikumbuka leo?β Mzee mpili alisema baada ya kupokea simu
βNaam, ukiona hivyo ujue kuna tatizoβ
βTatizo gani tena?β Mzee Mpili aliuliza kwa mshtuko kidogo, hisia zilimpeleka moja kwa moja kwa bintie maana alijua ndiye aliyekuwa mikononi mwa Ba Denis
βacha tu, lakini salama huko?β
βSalama sana, huko kwenu vipi?β aliuliza mzee Mpili
βHuku salama pia, ila…β
βIla nini?β
βTumeona tusijelaumiana baadaye, hivi una taarifa kwamba binti yako anamiliki simu?β aliuliza
βSimu?!!! Simu gani??! Binti yupi? Nurat au?β mzee aliuliza maswali mfululizo alihisi anachanganywa tu
βNdio, Nurat nimegundua ana simu ila kabla sijachukua maamuzi nikaona nikupigie isije ikawa wewe ndiye uliyemruhusuβ alisema
βSiwezi mimi fanya huo ujinga! Sikiliza kama kweli anayo tafadhali mpige sana halafu ipasue halafu mwambie aje tuongee naye huku nyumbani mpumbavu huyo, mwana izaya mkubwaβ Mzee mpili alifoka
βSawa mzee wangu hamna tatizo nitajua namna ya kufanyaβ
βHaya, ninaomba ufanye haraka, yaani timu yangu leo inacheza lakini yeye ananiletea ujinga ananiharibia hamu ya kuangalia mpira kabisa shenziβ
βUsikasirike sana tutayamalizaβ
βSawa nitashukuruβ
βHaya msalimie mamaβ
βNawewe pia msalimie huyo mama hukoβ
βHaya, zimefikaβ
Ba Denis alikata simu kwa hasira halafy akaondoka pale alipokuwa na kwenda moja kwa moja hadi nyumbani ambapo alimkuta mkewe na kumueleza kila kitu
*
Baba Denis naye alimuita Winifrida
βAbe….β
βNjoo toka huko chumbaniβ alisema
βnakuja babaβ alisema binti
Ndani ya sekunde kadhaa binti alitoka chumbani na kumfuata mzee sebuleni akiwa na mama, mama aliketi ila mzee alisimama
βSasa sikiliza Winnieβ Ma Denis alianza
βNdio mama nakusikilizaβ
βUnajua huyo msichana anahifadhi wapi simu?β aliuliza
βNdio ninafahamuβ
βExactly, tuletee hapa sasa hiviβ alisema Baba Denis
βeeh, akija kuniuliza?β
βUmuambie tumeingia tumapekuwa ndani, kwani nyumbani ya nani hii?β aliuliza mama
βni ya kwenuβ
βTuna mamlaka ya kuingia chumba chochoteβ
βSawa mama nawaleteaβ alisema Winnie na kugeuka akapiga hatua kuelekea chumbani kwake
βSasa hivi……right nowβ
Winnie alienda chumbani na kukagua simu ipo pale pale alipozoea kuikuta, alivyo na makusudi Winnie aliitoa hadi password na kuwapelekea maana alishaikariri kutokana na kumuona binti akiitoa mara kwa mara
Alimpa mzee, mzee akaitazama na kisha akampatia mkewe ndipo akaikagua akakuta picha kibao za uchi za mtoto yule, pia akakuta jumbe chafu sana alizochati na wanaume tofauti tofauti
βHeeh, huyu mtoto ameharibika jamani sasa picha gani hizi?β aliuliza kwa mshangao halafu akainuka na kwenda nayo chumbani kuihifadhi
Winnie alifurahi sana baada ya kuona kisasi chake kinaendelea kutiliwa mkazo na wazazi…..JE NURAT AKIRUDI NYUMBANI ATAFANYA NINI? USIKOSE SEHEMU YA 24
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU