KATOTO KA FORM ONE π
SEHEMU YA 25
BAADA YA SIKU TATU
βHivi Winnie?β Nurat alimuita wakati wakiwa wamelala usiku saa tano lakini Winnie hakuitika kwani bado alikuwa na hasira na mtoto wa kike huyo βKwanini tunaishi kama maadui jamani?β aliuliza Nuu lakini bado Winnie akakaa kimya
βNijibu basi, nilikukosea nini lakini dada?β siku hiyo Nurat aliamua hadi kumuita dada
βPlease lala, au kama hauna usingizi nenda sebuleni kasomeβ Alisema Winnie
βMhβ aliguna Nurat ila ghafla mlango ukagongwa ngo ngo ngo, wote wakakaa kimya.
Mlango uligongwa mara ya pili, βNyie wasichanaβ ilisikika sauti ya mama nje ya chumba chao
βMamaβ Winnie alisema
βNurat amelala?β Aliuliza mama
βHapana mama, niko machoβ
βUko macho unafanya nini chumbani njoo usome sebuleni hukuβ alisema mama kwa hasira
βMama….nimec….β
βUsijibizane na mimi! Uliletwa hapa kwangu kuja kusoma na sio kulala, sitaki uharibikie kwangu, nakupa dakika tano, nikukute sebuleni ukisomaβ alisema mama kwa hasira halafu akaondoka na kurudi chumbani kwake. Alimkuta mumewe anapitia pitia Biblia
βMume wangu, naumia sana juu ya huyu binti, ni mjinga….β
βTulale bwanaβ baba alisema βAchana naye, tukimshindwa tu tunamrudisha kwa wazazi wakeβ
βHakika ana pepo huyu bintiβ Mama alisema huku akianza kuvua nguo ili avae zingine za kulalia.
Kweli, baada ya dakika chache tu Nurat alitoka akiwa na kitabu chake safi kabisa cha Kiswahili kilichokuwa kimeandikwa juu βJifunze KISWAHILI kidato cha Kwanzaβ
Hakuwa hata na daftari la kuandika kwa ufupi kile alichokuwa akisome.
Mama Denis alipanda kitandani akajifunika vizuri huku baba Denis akizidi kumalizia sura kadhaa za biblia, baada ya kumaliza aliweka biblia pembeni kisha akavuta pumzi na kunena βAsante Yesu’ huku akitaka kuvua shati lake la kitenge
βSamahaniβ mama alisema mzee akamgeukia βEmbu kaangalie kama huyu mtoto anasoma maana ana dharau kweli kweliβ alitoa maagizo
βOh, sawaβ Mzee alisema na kugeukia mlangoni akapiga hatua kadhaa kuelekeapo, halafu akafungua na kutoka nje ya chumba.
Alipofika sebuleni kutazama kweli binti alikuwepo anasoma mezani, mzee alimtazama kwa mbaali akawa anataka kurudi lakini akajisikia roho inamuambia akathibitishe kama kweli binti anasoma au ni mbwembwe tu, alisogea.
Alipofika karibu tu binti aligeuza shingo na kumtazama, alipokuta ni mzee, alitabasamu halafu akamsalimia kwa sauti nyororo, βShikamoo Dadyβ sauti hii ilitokea puani
βMarhaba, ila si tulisalimiana?β Aliuliza bila kujua yuko katika mtego
βNdioo, ila nimekaa mbali na baba sana nimemmiss baba so napenda kusikia sauti ya mbaba ili nijiridhishe kwamba angalau bado niko Karibu na baba yanguβ alisema huku akitabasamu
βOk pole, anyway unasoma nini?β aliuliza mzee huku akitazama kitabu, ni cha Kiswahili
βKiswahili, ila baba yangu mi sijui kwanini hana bezi kama la kwakoβ alisema binti
βHahah, ni uumbaji tu, endelea kusomaβ
βSawa asante, unitembelee tena dadyβ
βOkβ mzee aliamua kuondoka katika eneo lile na kurudi chumbani
βAnasoma?β aliuliza mama
βNdio, ila anaonekana anajilazimishaβ
βHivyo hivyo, mpaka azoeeβ
βOkβ Mzee alivua nguo na kupanda kitandani wakajifunika pamoja
*
Sasa muda huo huo, Ommy alitoka chumbani baada ya kusikia sauti ya kike nje. Alipata wazimu
Ommy alitazama akamuona mtoto wa kike akiwa anajisomea, Nuu alimgeukia ila hakuwa na ule mzuka maana alikuwa mwezini bado.
Ommy alipita hadi uani, halafu aliporudi akapitiliza moja kwa moja hadi kwa binti
βUnasoma nini?β Aliuliza Ommy huku akielekeza macho kifuani kwa binti kuna maembe mawili
βNjoo tusome woteβ Badala ya kujibu swali akaleta mada nyingine
βMmmh hautaelewa maana nita….β
βStop, usilete mada zako Hapaβ alimpa onyo kwanza binti yule βUnataka niuawe?β
βNa nani?β
βBaby wako Winnieβ
βAh tushaachana halafu anadai nimetoka na wewe but sio kweliβ alisema na kuketi βIla Nurat kwanini usinifanyie upendeleo kidogo tu? Hivi unajua una swaga sana, I wish ningepata chance nichomeke kidogo nione unavyoikatikiagaβ
βUwiii, sitaki hizo story bhaan….!β alisema βUnanisababisha niwashwe akati niko mweziniβ
Ommy alimuwekea mkono begani halafu akaushusha kidogo na kubinya ziwa, Nurat saa ngapi zisianze kumpanda βacha tutakutwa Ommyβ alisena huku akimsogezea uso βAcha please mi nina ny*** za harakaβ alisema msichana huyo
βPleasea fanya hivyoβ Ommy alisema na kumvuta binti akampa mate
Kwa namna Nuu alivyokuwaga na moto wa haraka, alianza kuwashwa hadi akainuka na kuketi kwenye mapaja ya Ommy huku akimkalia na kumkumbatia kwa nguvu na ndimi bado zikitekenyana
βAaaaahβ alisema kwa hisia pale alipolambwa shingoni βAchaa…..nitakupa kesho siku zangu zikiisha nitaku…..β kabla hajamaliza sentensi akampa tena ulimi wakaendelea kunyonyana.
Ommy hakusita, alinyanyuka na kumpigisha magoti Nurat halafu akashusha Bukta na kumpa mb*** binti akaanza kuinyonya huku akitoa miguno mitamu kupitia pembe za pua yake……ITAENDELEA
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU