SEHEMU YA 07
“Ah ishakuwa kesi tena hii jamani akhhh!”alisononeka Badu na kunyanyuka kwenda kuwasha radio ikianza kusikika muziki kwa sauti na kuwasha na feni kisha akarudi pale kwenye sofa na kufungua zipu yake kuitoa nje mashine ikiwa imesimama imara. Aliona kwa kufanya hivyo huenda ikanywea kwa kupulizwa na feni lakini haikuwa rahisi hivyo. Mwishowe akajikuta ananyemelewa na usingizi pale taratibu akaanza kusinzia.
Baada ya muda kadhaa kupita yule jirani chumba cha pili alitoka zake chumbani kwake na moja kwa moja mlangoni kwa Badu akiwa ameshika ile cd alopewa . Alirudi kwa lengo la kuirudisha baada ya kuona vipande kadhaa havioneshi vizuri. Aligonga kwa mara kadhaa lakini hakuweza kujibiwa, aliona hatosikiwa huenda ni kwaajili ya sauti ile ya muziki uliokuwa ukilia ndani kwa Badu.
” Jiraniii!”Ilimbidi aufungue mlango kwa ustaarabu tu huku akitanguliza kichwa kuangalia kama mhusika yupo hammadi… Alishtuka baada ya kumwona mwenye chumba akiwa amejilaza kwenye sofa huku mashine ikiwa nje imelala.
“Oh my Ass! Jamani huyu mkaka!”alijisemea yule mdada akionekana kung’ata lips zake kwa kile anachokiona mbele yake. Muda huo Badu alikuwa akijigeuza ubavu, haraka yule mdada akarudi nje moja kwa moja akaelekea zake chumbani kwake kutulia kwenye kochi.
Alibaki anatabasamu tu kwa kile ambacho amekiona kwa jirani yake.
” Mh nyie kuna matango na matangopori. Lile hapana aisee limeshiba haswaa tena limelala pale. Yiiiiiiiiiih hadi nasisimka jamani Jesca mimi nina niniiiiiiii!”alijisemea mwenyewe mrembo huyo na kujikunyata kama mwenye kusikia baribu.
“Mh kiukweli nimetamani sio siri. Huku mkaka nitampa bure haki ya mama ili nilionje tu lile dubwana. Napenda hela ila kwa hapa kwa jirani nitajipeleka mwenyewe kwakweli. Hebu ngoja nikaone tena.”aliongea Jesca akidhamiria kurudi tena kwenda kuona utupu ule wa Badu. Alikamata Cd ile aliyotaka kurudisha ili iwe giya ya kuingia tena.
Hata alipofika tena pale mlango safari hii hakutaka kuugonga mlango, alishika kitasa kuufunga mlango taratibu. Gafla akaona unafunguliwa kwa ndani na kuonekana Badu akiwa anaonekana kutoka nje na ndoo ya maji na taulo begeni. Alibaki ameduwaa yu oale nje Jesca maana hakutegemea jambo hilo.
“Oh jirani vipi umerudi tena!”aliongea Badu akiwa anamtazama Jesca.
“Ah nimekuja bwana hii cd kuna vipande havioneshi na nimefika sehemu nzuri kweli, sasa sijui inakuwaje!”
“Doh aisee! Mimi niliiangalia muda dana nikaiweka tu ndani. Huenda umeharibika labda.”
“Dah basi tena hakuna namna.”
“Ngoja nikuangalizie basi nyengine nzuri zaidi ya hii.”aliongea Badu na kurudi zake ndani. Jesca pale nje alibaki kutabasamu tu baada ya kumuona Badu pale. Alikuna zake kichwa akitafakari atamuazaje Badu ili aweze kujua kuwa anatamani wakutane kimwili.
“Huyu subiri nitafululiza matukio ya ajabu atasalimu amri mwenyewe.”alijisema mwenyewe pale nje Jesca akiwa amesimama.
Muda huo Mwajuma alikuwa zake anatoka kuelekea uwani, alipata kumwona yule mpangaji Jesca akiwa amesimama nje ya mlango wa Badu akionesha kama kusubiri kitu.
“Mh yule malaya wa kike naye vipi kusimama milangoni kwa watu!”alijuiliza Mwaju bila kupata jibu.
Alitembea zake kuelekea uwani na dakika kadhaa akatoka zake, aliapata kuona Badu anatoka na Cd kisha akampatia Jesca aliyegeuka na kielekea zake kwake huku Badu akielekea zake bafuni, alipata kuonana na Mwaju akiwa anatembea.
“Mambo.”alianza Mwaju.
” Poa nambie Mwajay.”
“Safi tu.”aliongea Mwajua na salamu hiyo ikawatosha kila mtu kuendelea na mambo yake.
Badu alifika mlangoni kabla ya kuingia bafuni na kugeuka kumtazama Mwajuma anavyotembea kuingia ndani kwao. Hakika aliumbwa msichana huyo hasa vile anavyotetema akiwa kwenye kanga yake nyepesi. Kila kitu alikirithi kwa mama yake hali iliyopelekea Badu kubaki kutabasamu tu.
” Huyu mtoto mkali jamani sio utani! Dah!”alijisemea Badu na kisikia mlango wa mpangaji mmoja aukifunguliwa, haraka akaingia bafuni asije kuonekana akimkodolea mtoto wa mwenye nyumba.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU