UTAMU WA JAMILA (08)

Sehemu ya 8

Baada ya masaa kadhaa kupita Mwajuma alikuwa akiandaa nguo kwaajili ya kufanya mazoezi na Badu ifikapo jioni kama walivyopanga. Alipovikamilisha akanyanyia simu yake kuanza kuandika ujumbe mfupi na kumtumia Badu.
Mwenyewe alikuwa zake amejipumzisha kitandani alipata kuona ujumbe unaingia kwenye simu yake na alipotazama ni Mwajuka, ilibidi aufungie kuusoma.
“Hello jirani, vipi leo mazoezi si yapo! Mimi nimejiandaa leo ukitoka utanishtua basi.”
Badu alitabasamu baada ya kuuelewa ujumbe huo kisha akamjibu kuridhia kwamba atamjulisha muda ukifika.

Chumba cha pili kwa Jesca alikuwa zake akitazama ile muvi ambayo amepewa na Badu. Lakini mara kadhaa amekuwa akikumbuka tukio lile aliloshuhudia kwa macho yake na kujikuta akicheka tu mwenyewe bila sababu. Alifikiria njia za kumuingia Badu kwa urahisi na iwe rahisi kumpata kwa siku hiyohiyo akamuelewa.

“Sijui nimuite humu ndani kwangu nimbake! Yule si mwanaume kwani atapiga kelele! Ila mh atanionaje kwanza nikimfanyia hivyo. Sijui ataniona malaya! Ila shida yangu nimuonje tu kisha niachane naye kwani ananilipa, si ninataka mwenyewe. Oh jamani sasa nifanyeje mimi huyu mkaka nimejikuta nataka kufanya naye kwa moyo wote bila kunilipa aisee. Kweli hii kali ya mwaka Jesca mimi natoa K bureeee!”alijisemea Jesca akiwa mwenye kutafakari namna ya kumfuata Badu.
Hadi jua linaanza kuzama hakuweza pata njia ya kumshawishi kijana huyo akamuelewa, lakini wazo likamjia tu kuwa usiku wa leo lazima ajirahisishe kwa namna yeyote ile aweze kufaidi kile alichokiona.

Jioni hiyo mama Jamila na mumewe mzee Chombo walikuwa wanatoka kwenda sehemu kujiburudisha. Baada ya pilikapilika za shuhuli ya binti wao Jamila leo ndio wanaamua kwenda kujiliwaza mahali waongee mawili matatu. Kipindi wanatoka kufungua geti la nyumba hiyo wlaipata kukumbana na Badu naye akiwa ndio anataka kuingia zake ndani kwake.

“Oh kijana hujambo!”alisalimia mzee Chombo.

“Sijambo mzee shokamoo.”

“Marhabaa naona ndio unaingia.”

“Ndio mzee nimetoka dukani mara moja.”aliongea Badu akionesha tabasamu kwa baba mwenye nyumba. Huku mkewe aliwa pembeni amesimama mlangoni akimtazama Badu kwa macho ya ushawishi kwa makusudi kabisa.

“Ahaa sawa kijana, siye wacha tutembee kidogo na mama yako. Kama tutachelewa fungeni tu mlango Mwajuma yupo atafungua.”

“Sawa mzee hakuna shida. Haya safari njema.”

“Haya kijana.”aliongea mzee Chombo na kutangulia kupiga hatua.
Mkewe naye akafuata akisogea karibu na Badu bila woga akapelekea mkono wake kumshika Badu dudu yake.

“Kiboko yangu hajambo?” aliongea mama J kwa sauti ya chini na kuondoka zake huku akigeuka nyuma kumtazama Badu na kuendelea na safari yake akiwa na mumewe.

“Khaa! Huyu mama anawazimu eh! Haogopi kama yupo na mumewake! Lione mitako ile.”alisema Badu akiwa ameshikilia geti. Aligeuka na kuongia zake ndani moja kwa moja chumbani kwake.
Alipoingia tu alinyanyua simu yake na kumtumia ujumbe Mwajuma kuwa ajiandae muda umefika. Kisha akaweka simu kwenye chaji na kuanza kuvua nguo zake.

Dakika chache tu ilisikika hodi kwenye mlango wake. Ilibidi achukue tauli kulivaa kisha akasogea mlangoni kufungua. Alipata kumuona yule jirani yake Jesca akiwa mlangoni amesimama.

“Jirani karibu.”aliongea Badu akiwa anamtazama Jesca.

“Asante, samahani jirani hivi huna zile za kikubwa zile uniazime maana ninashauku kweli ya kuangalia.”aliongea Jesca akijifanya kuwa na aibu kuangalia chini.

Kauli ilimsisimua Badu na kuona anapoelekea mwanamke huyo ndio anakotaka. Alitabasamu tu na kurudi tena ndani kuelekea mahala anapozihifadhi cd. Alitafuta kava mbili za cd kisha akarudi tena pale mlangoni na kumpatia.

“Hizi hapa jirani. Hii moja ni pilau tu mwanzo mwisho, hii nyengine ni movie ila wanayoyafanya humo ni sawa na hizi cd za pilau tu. Kwahiyo utachagua mwenyewe ipi utaiangalia.”aliongea Badu huku akimkabidhi Jesca zile cd moja iliyoandikwa SPATCUS na nyengine ni cd ya X.

“Oh asante, wacha nikachague mwenyewe. Ila hii mmhh!”aliongea akiwa ameishika kanda ile iliyokuwa inaonesha picha za uchi. Aligeuka na kuelekea zake kwake baada ya kuagana akiwa na shauku kubwa.

“Huyu lazima nimle iwe isiwe.”aliweka dhamira hiyo Badu baada ya kuona mwanadada Jesca akionesha dalili za wazi kabisa kile anachokitafuta.

Baada ya muda aliweza kujiandaa na kutoka nje ya geti akiwa pamoja na Mwajuma, kama walivyopanga ni rasmi wanaanza mazoezi ya kukimbia jioni hiyo kwaajili ya kuimarisha mwili.

Upande wa pili wanandoa wawili Mzee Chombo pamoja na mkewe walifikia kwenye baa moja wakapata kutulia hapo kuagiza vinywaji na nyamachoma siku hiyo.
“Kumbe ndipo unapokuja kujisosomola hapa eh!”aliongea mama J akiwa anatafuna nyama.

“Hapa naletwa sana na rafiki zangu kuja kupiga bia moja mbili. Sasa nimeshakuwa mzoefu na ndio maana nimekuleta mkewangu tupate kubadilisha mazingira kidogo. Sio kila siku nyumbani tu.”

“Mh naona unataka kurudisha mapenzi ya ujana sasa.”alisema mama huyo akiwa anatabasamu.

“Ah siku mojamoja sio mbaya kufanya hivi. Tena leo tunywee ikiwezekana tukalale hotelini mkewangu au unasemaje.”

“Mh sawa hakuna shida, mimi tena kwako sina neno.”aliongea mama Jamila na kumfanya mumewe atabasamu tu baada kukubaliwa.
Waliendelea kula na kunywa pamoja sehemu hiyo. Hata baada ya kumaliza waliondoka kwenda kwenye hoteli moja kuchukua chumba wakapata kutulia humo.
ITAENDELEA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!