UTAMU WA JAMILA (15)

SEHEMU YA 15

Alitupa mkoba wake kitandani kisha akavua viatu na kujitupa kwenye kitanda huku akiangalia juu ya paa.
“Hivi Roja ananichukuliaje kwani? Au amepata mwanamke mwengine ananifanyia kusudi jamani!”alibaki kumtafakari mpenzi wake asipate jibu la uhakika.

“Hapana hapa lazima nimfuatilie nijue kama kweli ananicheat.”aliongea Mwaju akijipa kazi hiyo ya kumchunguza Roja.

Nusu saa kupita kijana Badu ndio aliweza kuwasili kwake akiwa ameshika kifuko kilichokuwa na chakula. Alipoingia chumbani kwake akafunga mlango na kujitupa kwenye sofa. Alichukua limoti ya redio na kuwasha muziki kwa sauti ya juu kidogo na kubaki kupata burudani.
Mama J kule ndani alipata kusikia sauti hiyo, hata alipotoka nje kuchungulia alipata kujua ni Badu ndio amerudi muda huo. Alitabasamu tu na kurejea zake ndani.
“Sijui leo nimshawishi anifanye!”alijuliza mwenyewe akirudi zake jikoni.
Punde tu aliona binti yake Mwajuma akitoka chumbani kwake akiwa amejifunika kanga.
Alitoka na kuelekea zake chooni kujisaidia.
Alipofikia nje alipata kusikia sauti za muziki kutoka kwenye chumba cha Badu.
“Halafu huyu mkaka mbona sijawahi kuona akiingiza mwanamke mule chumbani kwake? Au hana? Mh sijui nimuulize siku! Mh sasa nitaanzaje? Si atanifikiria vibaya! Ah bwana eeh si namuuliza tu kwani kuna tatizo.”alijiongelesha mwenyewe akielekea uwani hadi aliporejea na kurudi zake chumbani.

Muda ulizidi kwenda huku mama mwenye nyumba akitenga chakula mezani wakawa wanakula na mumewe huku maongezi ya hapa na pale yakiendelea. Hata baada ya kumaliza na kutoa vyombo waliongozana kwenda zao kulala usiku ukiwa mwingi.
Muda wote Mama J alikuwa akifikiria tu namna ya kwenda kumvaa Badu. Alivizia muda uende tu ilia atoke nje watu wote wakiwa wametulia.
Punde tu umeme ulipata kuzima, alichungulia nje na kuona ni mtaa mzima kupo kiza kumaanisha umeme umekatika kote. Aliachia tabasamu na kuona ndio njia nzuri hiyo ya kutoka nje maana hataonekana.

Wakati yeye akifikiria hayo huku chumba cha pili Mwajuma bado mwili wake hautaki kukubaliana na matokeo ya siku hiyo kabisa. Kitanda alikiona kama kina maji hakilaliki kabisa. Alishika simu yake kutaka kumtafuta Roja lakini akifikiria jinsi alivyomkera alikata tamaa ya kujipendekeza. Akili tu gafla ikamkumbuka mpangaji mgeni, Badu. Moyo wake ulimlipuka baada ya kuamini huenda akawa msaada kwake usiku huo.

“Sijui atanielewa aisee! Au nikaushe tu! Lakini siwezi hapa sijielewi eti! Hapana inanibidi nifanye tu jambo, siwezi vumilia mateso haya.”alisema Mwajuma na kushindwa kuendelea kukaa mule ndani. Alinyanyuka na kuvua nguo zake, alitafuta kanga nyepesi kisha akavaa chupi na kujifunga kanga hiyo. Alishika simu yake kutafuta jina la Badu, alibaki kuliangalalia tu akitafakari kumpigia huku aking’ata kidole kwa hofu ya kuongea.

Muda huo Badu alikurupuka usingizini na kujikuta yupo kwenye kochi huku kukiwa na giza totolo. Tangu aliporejea na kujitupa hapo hakuweza kubadili nguo zake wala kwenda kuoga. Alinyanyuka na kuvua nguo zake kuvaa taulo. Alichukua ndoo ya bafuni kuweka maji kisha akatoka kwenda kujimwagia. Mama J ndio muda huo alikuwa anatoka kwa kuibia ibia na kwa bahati alipata kumuona Badu akiingia zake bafuni huku kukiwa kumetulia kabisa usiku huo wa saa sita. Alianza kupiga hatua akiwa peku ili asipate kusikika kabisa hadi alipofika kwenye mlango wa bafu.

” Wewe, wewe kijana! Baduu!”aliita kwa sauti ya chini mama J na kumfanya Badu ashtuke kule bafuni akiwa tayari povu limeshatanga mwilini.

“Nani?”

“Fungua mlango mimi mama J.”

“Khaa! We mama hadi bafuni? Unataka nini?”

“Hebu fungua bwana kipi ambacho hujui sasa.”aliongea mama huyo akiwa hana hofu kabisa.

Alimtia Badu kwenye mtihani mkubwa akiwa ameshikilia kopo la maji. Ilibidi afungue taratibu na kushangaa mtu anazama mazima hadi bafuni na kufunga komeo.

“Kwani imekuwaje jamani?”aliuliza Badu bila kujibiwa kabisa. Alishangaa anashikwa maiki yake kwa pupa na kuanza kusuguliwa.

“Nilikuwa natafuta muda wa kukupata nakosa jamani, hii ndio nafasi yangu unimalizie kile kipolo chako. Si unakumbuka?”

“Ah we mama jama…”

“Shhhh! Nani mama yako? Mama yako unamchomeka dude refu kama hili? Usinipe umama kwako, ona jamani lilivyotuna hivi mmmmh!”aliongea mama huyo kwa sauti ya chini kabisa. Kwa jinsi anavyoishikashika ikiwa kwenye povu jingi ndio anazidi kumtia mshawasha kijana Badu hadi hali ile akaizoea. Hakutaka ashinde bafuni muda mrefu ilimbidi amshike kiuno mama J na kumgeuza. Aliinama kidogo kushinda ndoo akimpa uhuru kijana Badu kupachika mitambo vema na kuanza kupeleka moto.
Mama J alibaki kuziba mdomo tu asije kutoka kelele wakasikika.

” We Baduuuu.. Ahhhh wee rahaaa!”

“Mama Mwajuma!

“Abee, nambie mpenzissssssss!”

“Kwahiyo leo si ndio namaliza kipolo hatudaiani?”aliuliza Badu huku akipeleka moto haswaa.

” Aaaah subutuuuu, haki ya mama sikuachi. Utanipa tena na tena.”aliongea mama huyo naye akinyumbulika.
Kauli hiyo hiyo ilimfanya Badu atabasamu kuona tayari kashamuweka kwenye himaya mama huyo. Na ndicho alikuwa akitaka iwe.
Alishusha mikono yake na kuanza kutomasa manyonyo ya mama huyo ambaye alishindwa kujizuia kutoa sauti ya raha. Badu alimziba mdomo lakini mama huyo akibaki kuugumia kama bata.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!