SEHEMU YA 17
Badu mwenyewe alibaki kuhema tu na kuona amepata mtu anayempelekesha haswaa.
Ilikuwa ni shoo ya kimya kimya huku mtaa mzima ukiwa umetulia hakuna hata vurugu ya sauti ya miziki kwa kuwa umeme haukuwepo.
Hadi kufika mida ya saa nane Mwajuma alikuwa tayari kapata kile alichokuwa anakitaka kwa hamu kubwa sana.
Walibaki hoi wote kitandani wakijipepea kwa joto lilikuwa limetanda humo chumbani.
“Asante Badu kwa msaada huu. Ila mmh!”
“Vipi tena kuguna huko?”
“Sikutegemea kwakweli kama unajua kiasi hiki. Kweli umejua kuninyoosha jamani.”alisema Mwajuma kwa sauti ya chini. Alimfanya Badu aachie tabasamu kusikia hivyo.
“Ni kawaida tu Mwajuma, hivi hata bwanako anaweza kukupa.”
“Ah wapi, nimefanya mapenzi naye sana lakini hajawahi kunikuna hivi. Na si yeye tu wanaume wote ambao nimewahi kuwa nao katika mahusiano hawakuwahi kuninyoosha hivi.”
“Mh sio kweli Mwajuma, unaongea tu hapa kwakuwa upo na mimi ila ukienda kwa bwanako unamsifia na sifa zaidi ya zangu unazonipa hapa.”
“Badu mimi si ndio mkunwaji? Sasa ndio najua yupi mwenye kucha nzuri za kukuna usinibishie. Hivi nikuulize?”
“Sawa uliza.”
“Hivi huna mpenzi kweli wewe? Maana tangu uje humu ndani sikuwahi kuona wala kusikia kama umeingiza msichana humu chumbani.”aliuliza Mwajuma akiwa makini kumuangalia mwanaume huyo.
Badu alitabasu tu baada ya kuulizwa swali hilo.
” Hapana sina demu yeyote, ila….”
“Usiniambie huna demu Badu!”alishangazwa na kauli hiyo Mwajuma.
“Kweli sina Mwajuma na sitanii, ila ni….” Mwajuma hakutaka kusikiliza lolote lengine gafla tu akainuka pale alipo na kumkalia kwa juu Badu.
“Kuanzia leo unaye sasa, mimi ndio nitakuwa demu wako na muda wowote ukinitaka niite nitakuja bila kupinga. Nakuapia Badu sitapinga chochote kwako wewe nikubalie tu hili.”aliongea Mwajuma kwa kujiamini sana baada ya kutambua kumbe jimbo hilo halina mgombea, aliamua kutangaza niya ya kulichukua mazima.
“Ah lakini Mwaju si unge…”alishtukia mdomo wa Mwaju ukitua kwenye kinywa chake na kuamza kupata mate bila kujali nini alichokuwa anataka kukisema Badu.
Alibaki kushangaa tu maana kila anachotaka kuongea anakatishwa na msichana huyo ambaye alionekana gafla kuzama mazima.
Walijikuta wanaanza tena upya kupeana mapenzi usiku kucha huku Mwaju akiamini sasa amepata tulizo la moyo. Alisahau kila kitu kuhusu Roja na kuona hana tena nafasi kama kile anachotaka kwa Roja kipo karibu yake tena CHUMBA CHA JIRANI kabisa na anapokaa.
“Muda unazidi kwenda Mwaju na sijui utarudi vipi ndani kwenu ukiwa hivyo hata nguo huna.”aliongea Badu wakiwa kwenye huba zito.
” Aaaaah Badu nifanye tu bwana. Nitaondoka muda wowote.”
“Unajua saa ngapi hii Mwaju?”
“Sijali, Badu aaaaaaassssh!”aliugumia utamu tu anaousikia huku yanayoongelewa na Badu hayakuweza kumuingia akilini kabisa.
Naye hakuna na la kusema, aliendelea kupeleka moto kwa mtoto wa mwenye nyumba hiyo bila hofu kabisa. Na ndicho ambacho Mwajuma alizidi kuvurugwa akili kwa huba zito analopata kwa kijana huyo.
Alimpa mapenzi motomoto Badu siku hiyo na hakutaka kumruhusu kabisa aseme lolote juu ya mahusiano hayo mapya. Alijua fika Badu atazungumzia kuhusu mahusiano yake yeye na Roja, hivyo alimkatika kusudi ili ajue kuwa hataki kabisa kumsikia fundi huyo wa magari.
Saa kumi kasoro za alfajiri mlango wa nyumba kubwa ulifunguliwa na mzee Chombo alipata kuonekana akitoka nje akiwa amevalia taulo lake na maji kwenye ndoo akienda zake bafuni.
Muda huo ndio aliutumia Mwajuma haraka kutoka chumbani kwa Badu na kuingia ndani haraka moja kwa moja hadi chumbani kwake. Alijitupa kitandani akiwa mwenye furaha sana kuona siku moja tu ya kukutana na Badu ndio amejihakikishia kupata penzi lake muda wote.
ITAENDELEA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU