UTAMU WA JAMILA (20)

SEHEMU YA 20

Jesca alikuwa akilifikiria swala ambalo amepewa alifuatilie na baba mwenye nyumba. Alikumbuka miezi ya nyuma mama Jamila aliwahi kweli kumfuma akiwa uchochoroni anashikwa makali na kijana wa mtaani. Hata naye alipojua ni mpangaji wake alitamani sana kumfukuza lakini mzee Chombo alimzuia kwa kumuamini Jesca na si msumbufu kwenye masuala ya kodi.
Hivyo wawili hao hawakuwa tena na ukaribu sana hasa Mama J ambaye alijua tayari ameonekana na Jesca akifanya uchafu kwenye chochoro.

“Huyu kazidi umalaya naye, sasa wewe unanyumba yako na mumeo haya mambo ya vijana wasio kwenye ndoa unayafanya ya nini? Tena kumbe hadi humu ndani anawavulia chupi wapangaji wanaume wengi. Toba! Isije ikawa hata Badu kashampa naye jamani! Mungu wangu nilisahau kabisa aisee. Jaman huyu mama kama tayari kashafanywa na Badu kweli atamuachia kirahisi?” alijadili mwenyewe akiwa ndani baada ya kuona kuna ugumu juu ya kazi hiyo alopewa.

Alinyanyua simu yake kumpigia Badu lakini haikuweza kupokelewa. Hata alipoamua kutoka nje kujaribu kugonga mlango wa Badu hakuweza itikiwa. Alikumbuka muda ambao aliingia alimuona akiwa amesimama kujiandaa kimazoezi. Akajua huenda kweli ametoka, ilibidi arudi chumbani kwake tu lakini lengo lake ni kutaka kumuuliza Badu kama tayari ameshatembea na mama huyo.

Usiku wa saa mbili na nusu Badu na Mwajuma walikuwa njiani kurejea mara baada ya kukimbia sana siku hiyo. Ilibidi Mwajuma atafute sehemu ya wao kuweza kupumzika kidogo kabla ya kufika ndani. Walikwenda kukaa eneo moja ambalo lilikuwa na kagiza kidogo wakapata kutulia.

“Mbona umechagua sehemu hii ya giza we mwanamke.”

“Kwani unaogopa giza, we mwanaume?”

“Hapana ila haitaleta picha nzuri hivi tulivyo hasa usiku huu.”alisema Badu kwa makusudi akijifanya mshamba.

“Acha ujinga bwana. Kwani mimi na wewe si wapenzi tayari, au bado huniamini?”

“Ah Mwajuma mbona unapenda kurahisisha vitu kiasi hicho? Tumeduu siku moja tu ya jana leoleo unataka kuwa official. Jana nilifanya vile nikijua ni zile hamu zako za muda mrefu na kutopata huduma vizuri kwa bwanako.”

“Badu kwahiyo unataka uniambiaje yaani sijakuelewa. Yaani sahau kama nitakuacha siwezi Badu. Umenifanya jana na umenionesha kuwa wewe ndio sahihi kwangu kwahiyo sitakubali eti uniache tu kirahisi.”

“Sawa lakini mapenzi gani ya siku moja tu hayo ndio tushaaminiana?”

“Kwani Badu jana si uliniambia huna mpenzi? Sasa hivi vikwazo unaviweka vya nini?”

“Hapana sio vikwazo. Nilitaka kukwambia jana ileile lakini kila ninaposema niongee unanizuia kama unakumbuka. Na mimi ni rijali nimeshakuona utupu wako nisingeweza kukuacha ndicho nilichofanya.”alisema Badu.

“Ulitaka kusema nini jana?”aliuliza Mwajuma akiwa anamtazama Badu.

“Kuwa sijapanga kuwa na mpenzi wa kudumu kwasasa. Nielewe hivyo “

“Hakuna shida hata nisiwe wa kudumu. Ila nihakikishie kwamba tutaendelea kudate kama kawaida.”

“Hilo tu?”

“Yes.”

“Sawa hakuna shida, muda wowote kuwa huru.”

“Kweli Badu?”

“Ndio hakuna shida, nipo kukuhudumia.”

“Basi sawa hapo nimekuelewa.”alisema Mwajuma na kuinuka pale alipo kumsogelea Badu akaambusu. Hakuacha akaendelea tena na tena zaidi mwenyewe Badu akashangaa.

“Acha bwana Mwaju.”

“Jamani si umesema utanihudumia muda wowote.

“Ndio lakini sio hapa nje bwana .”

“Mkulima unachagua jembe? Hebu acha utoto bwana.”aliongea Mwajua na kumfanya Badu atambue Mwajuma sio mwanamke wa kawaida. Amebobea kwenye mapenzi haswaa, hili lilidhihirika pale ambapo alishusha traki yake ya kubana alovaa kisha akainama kumtaka Badu ajisosomole.

“Hebu nipe kidodo tu my, moja tu inatosha cha haraka.”aliongea Mwajuma kwa sauti ya huba yenye kujiamini.
Badu alimeza funda moja la mate ya hamu kisha akajisogeza karibu kumpatia Mwajuma kile anachokitaka.
Ilikuwa ni starehe ya dakika kadhaa tu kutoana hamu, lakini kwa Badu haikuwa ya kawaida. Alitoa dozi haswa akiutumia vema mwili wa Mwajuma ambaye alishindwa kujizuia yeye pia. Alijikuta anaivua kabisa nguo yake na kuitandika chini ya majani ikawa ni mechi kamili tena sio ya muda mfupi.

Siku hiyo mama J alikuwa anamiadi ya kukutana na mlinzi wa mnara, baba Dula. Alitoka nyumbani hapo na kuchukua bodaboda kuelekea sehemu hiyo ambayo baba Dula alikuwa njiani kufika. Walipanga kukutana kwenye nyumba ya wageni ambayo ilikuwa mbali kidogo na mtaa huo. Na hiyo alifanya kusudi mama huyo baada ya kuona siku za kulipa kodi kwa baba huyo na alishaomba kupewa muda wa kutafuta pesa apate kulipa. Udhaifu huo ndio aliutumia Mama J kuhakikisha anapata kumtumia kimwili baba Dula ambaye hakuwa na chaguo zaidi ya kukubali alichoambiwa.

ITAENDELEA.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!