UTAMU WA JAMILA (24)

SEHEMU YA 24

ILIPOISHIA
Hakuna ambaye alikuwa na hamu ya mwenzake muda huo maana kila mtu muda mfupi tu wametoka kutumika haswa, si Badu aliyefanya mapenzi na Mwajuma pamoja na Jesca siku hiyo wala Mama J ambaye ndio anarejea kutoka gesti akiwa na baba Dula.
Aliingia zake bafuni kuoga na baada ya muda akarudi zake ndani.

SONGA NAYO

Kesho yake mzee Chombo alipata kukutana sehemu na Jesca, alitaka kujua kuhusu kazi ambayo amempatia kumchunguza mkewe.

“Baba yangu ni kweli mkeo hajatulia. Nimemshuhudia jana mida ya jioni akiingia gesti moja hapo kati hata mimi mwenyewe nimeshangaa.”

“Unasema kweli?”

“Ndio baba yangu.”

“Huyo mwanaume aliyeingia naye ni nani? Ni wa rika gani?”

“Kiukweli sikuweza kumtambua huyo mwanaume. Lakini nilipoona tu mkeo akifungua geti na kuingia gesti wala sikutaka tena kupekua anakwenda kukutana na mwanaume gani. Ila kwa ushahidi huo tu ni wazi kuma mwanaume amekwenda kukutana naye.”

“Dah ni aibu sana aisee. Mama J amebadilika sana hata siamini kama ndiye yeye.”

“Ndio hivyo baba, pole sana.”

“Unajua jana amerudi usiku saa nne, na nilihisi tu kuwa alipotoka wala si salama. Lakini akajitetea kwa uwongo pale nikanyamaza na wala sikutaka ajue mapema kuwa namchunguza. Dah ni mtihani sana, sasa naomba jambo moja kwako mwanagu. Wewe endelea kuwa naye karibu hivyohivyo na asijue kuwa unamfuatilia. Na siku ambayo utakuja kumuona akiwa na mwanaume basi naomba nijulishe haraka sana. Nifika eneo hilo wewe ukiondoka hapo asijue nilijuaje. Tafadhari sana unijulishe mapema sana ukiona tu dalili.”

“Sawa mzee nitakutaarifu.”aliongea Jesca huku akimtazama mzee Chombo aliyeonekana kusikitishwa na tabia ya mkewe.

Siku hiyo Mwajuma hakuwa na kazi yeyote ya kufanya kwao, hivyo alijiandaa mapema kuelekea zake kwa rafiki yake Mayasa akashinde huko kutwa nzima. Njiani alimpigia simu rafiki yake huyo lakini haikuwa inapatikana hadi alipofika nyumbani kwao ambapo alimkuta mama yake Mayasa anafua. Alitoa salamu baada ya kufika na maongezi madogo yakaendelea.

“Haya huyo mwenzio mmeachana naye wapi?”

“Nani mama?”

“Huyo chakuzulula, Mayasa. Maana jana alisema analala kwenu nikamruhusu, sasa nakuona umekuja mwenyewe hapa.”aliongea mama huyu na kumfanya Mwajuma ashangae kusikia hivyo maana hakuwa anajua lolote kuhusu Mayasa.
Kwa vile ni rafiki yake wa dhati kabisa aliamua kuubeba msalaba huo.

“Ah nikajua amerudi huku, aliondoka asubuhi kwetu. Huenda ameenda kwenye mambo yake.”aliongea Mwajuma kwa kujiamini.

“Ah hajafika huku. Shogako mvivu sana anakimbia kazi za nyumbani hapa. Sasa hapo hata arudi saa ngapi kazi zake zinamsubiri.”aliongea mama huyo na kumfanya Mwajuma acheke.

“Wala usijali mama nitamsaidia tu kazi zake. We nitolee tu vyombo nioshe hapa na kama kuna kazi zengine utanipa.”aliongea Mwajuma na kuweza kuingia ndani kuchukua tenge akavaa kuingia kazini akisaidia kazi za hapo.

“Huyu kalala wapi jamani mbona hakuniambia kuwa ameaga analala kwetu?”alitafakari Mwajuma asijue lengo la Mayasa kuaga vile.

Mwenyewe hakuwa na wasiwasi kabisa, alifurahi uwepo kwa Roja toka usiku wa jana hadi muda huo ambao aliachwa ndani akiwa amelala huku mwanaume akielekea kwenye majukumu ya kazi.
Saa saba kasoro mchana ndio aliamka kutoka kitandani baada ya kelele za watoto nje wakicheza. Alisogeza simu yake kuiwasha maana hakutaka kusumbuliwa kabisa na mtu jana ndio sababu ya kuzima simu. Alipowasha meseji zaidi ya tano ziliingia kutoka kwa Mwajuma akimuuliza wapi alipo. Huku zengine zikimwambia kuwa amefika kwao lakini yeye hayupo.

“Tobaa huyu kaenda nyumbani! Mamaaa sijui amenichoma huyu jamani!”alipata hofu Mayasa baada ya kutambua Mwajuma amefika kwao. Kibaya ni kwamba hakumtaarifu kabisa swala la yeye kulala nje ya nyumbani kwao huku akijitetea kuwa analala kwa huyohuyo shoga yake.

Akiwa kwenye tafakari hiyo Mwajuma alipata kumpigia simu na kumfanya aitazame tu. Alifikiria namna ya kujitetea kwa mwenzake lakini hakupata cha kusema. Ilibidi apokee tu kumuomba samahani.
“We mjinga umelala wapi? Unajua nikikuwa sijui kama hukulala kwenu? Na ulivyokuwa fala umeaga walala kwetu hata usemi, mimi nakuja hapa naulizwa nusu nijichanganye lakini nikakutetea.”aliongea Mwajuma na kauli yake ikamtuliza Mayasa.

” Ah shoga yani jana nimetoka kwako sikuwa na wazo kabisa kuwa nitalala nje. Ila nimekuja kupigiwa simu na Jamali ndio nimelala huku kwake.”

“Mh wewe naye Jamali tena imekuwaje na ulisema mshaachana.”

“Mwaju we acha tu nyege hizi najikuta nalala.”alisema Mayasa na kusikia kicheko cha Mwajuma kwenye simu.

“Haya bwana ni nimekusaidia kazi hapa maana mamako alikususia kazi kama zote.”

“Ah asante mpenzi.”

“Haya baadae bwana mimi nalala hapa kwako kidgo kisha nitaondoka. Naona sio saivi hapo kurudi.”

“Jamani nitarudi muda si mrefu.”
“Haya poa.”aliongea Mwajuma na kukata simu yake.

Mayasa alishusha pumzi sasa baada ya kuona kila kitu kipo sawa.
“Pole shoga yangu nilikuwa kwa bwanako namhudumia. Wewe si umesusa kumpa mapenzi. Wacha nikusaidie mwaya.”aliongea Mayasa kisha akanyanyuka kuandaa maji kwenda kuoga.
ITAENDELEA.  

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!