UTAMU WA JAMILA 31
Upande wa Jesca baada ya kwenda raundi moja na yule mawanaume aliyekuja naye hotelini hakuwa na hamu yena ya kuendelea kufanya naye mapenzi angali ndiye mtu ambaye amegaramia kila kitu hapo hotelini. Walishaagiza chakula waletewe wakijua watakapomaliza kufanya mambo yao wale kwanza. Wote walikuwa wamejilaza tu kitandani huku mwanaume akionekana kuchoka haswa hafi usingizi ukampitia.
“Mfyuuuu!”alitoa sonyo la ngivu Jesca akiwa anamtazama mwanaume hiyo aliyekuwa ndani ya njozi.
Aliinuka na kuchukua simu yake kuanza kuperuzi mitandaoni kwanza.
Muda huo Badu alikuwa ametoka zake jikoni kuchukua vyakula ili apate kupeleka kwenye chumba ambacho Jesca yo humo na mtu wake. Alitembra kwa utulivu akiwa anakokota kitoroli cha chakula hadi alipofika mlangoni kuanza kubisha hodi. Sekunde chache mlango ulifunguliwa na kupata kuonekana Jesca akiwa pale.
Haraka akamzuia Badu mdomo akitaka kuingia ndani.
“Amelala!” alisema Jesca kwa sauti ya kunong’oneza.
“Sasa kama amelala.”alijibu badu kwa sauti hiyohiyo.
Kauli yake hiyo ilijibiwa kwa vitendo, Jesca alifunua taulo alivaa na kulitupa chini akawa uchi mwili mzima.
” No, Jesca hapana hapa ni kazini sio nyumbani.”
“Bwana Badu nini! Sijaridhishwa na huyu ndio maana nimetaka kuanzie hapa hata huko baadae usiponipa sawa.”
“Hebu kuwa muelewa basi. Hii room amelipia huyu mwanaume nawezaje kufanya hapa angali mwenyewe yupo?”
“Nauhakika hawezi amka huyu. Hebu bwana njoo hukuu!”alimvuta mkono Jesca na kumuingiza ndani.
Alikamata meza ya chakuka iliyopo pembeni kisha akainama kumrahisishia kazi Badu.
Kwa hofu ya kufanya hivyo kwenye chumba ambacho mwanaume mwenzake pia yupo Badu hakuwa na amani habisa. Alifungua zipo yake na kutoa mashine kuanza kuikoki vema, huku macho yake yakimtazama yule mwanaume aliyekuwa pale kitandani anakoroma. Bila kuchelewa aliingiza na kuanza kumpa raha Jesca ambaye alifumba mdomo wake asije kutoa sauti kwa raha akapata kuharibu kilakitu.
Aligeuza shingo yake kumtazama Badu jinsi anavyomkuna haswa, aling’ata lips zake tu huku macho yakiwa malegevu kabisa baada ya utamu kushika kasi.
Zoezi hilo likifanyika muda mchache tu Badu akapata kufika kilele na haraka akajitoa kwa Jesca na kufunga zipu suruali yake.
Jesca alibaki kutabasamu tu akijua ni uoga tu ndio umemjaa Badu. Alimsogelea na kumoandisha vizuri suruali yake.
“Najua umewahi leo kufika kwa hofu tu, ila nakuaminia hujawahi kuniangusha mpenzi. Uwahi basi leo tumalizie hiki chakula bado mwili unamotooo!”alisema Jesca akionesha kutokuwa na wasiwasi kabisa.
“Sawa usijali, wacha nirudi miye chakula hicho hapo.”aliongea Badu na kuweza kuagana na Jesca.
Njiani alibaki kushusha pumzi maana hakuwahi kufanya kitendo hicho akiwa kazini. Tena kwenye chumba ambacho kuna mwanaume aliyelipia kila kitu. Alikuwa na hofu sana maana ndio kwanza siku ya kwanza kurudi kazini na ndio anakutana na majaribu kama hayo. Muda mfupi ujumbe ukaingia kwenye simu yake na alipotazama aliona anapewa kazi ya kwenda kutoa vyombo kule kwenye chumba cha Mzee Chombo ili wapate nafasi wateja ya kupumzika vizuri ndani.
Mwajuma alikuwa zake chumbani kwake ametulia mwenyewe. Muda wote alikuwa anatafakari tu zile sauti ambazo aliweza kuzisikia ndani kwa Roja angali bado muziki unasikika pia. Ni wazi alijua Roja ameamua kufuata njia nyengine, moyoni aliumia maana hawakuwahi hata siku moja kuambiana kama waachane. Zaidi ya kutosalimiana tu kwa kile ambacho alifanyiwa na Roja kumsubiria kutwa nzima mwanaume huyo akiwa kazini na kumtaka aondoke tu asichelewe kwao.
” Hivi nimeshindwa nini mimi kugonga mlango ili nimjue mwanamke huyo aliyekuwa naye! Dah kwanini nimeondoka tu kirahisi hivi.”alijuta Mwajuma na kuona amefanya kosa kubwa kuondoka tu bila kuingia mule ndani.
Hakutaka kuendelea kufikiria hayo alinyanyua simu yake kumtafuta Badu haraka. Aliamua wazi kama Roja ameamua hivyo basi naye wacha afanye yake.
Muda huo ndio aliweza kufunguliwa mlango na Mama J akaweza ndani Badu. Alitazama huku na kule bila kumuona baba mwenye nyumba wake.
“Ah asante Badu kwa chakula chenu, nimeshiba.”aliongea mama huyo akirudi zake kukaa kwenye kitanda huku akiwa anamtazama Badu kwa jicho la matamanio.
“Usijali mama ndio kazi zetu kuhakikisha wateja wana burudika. Mzee yupo wapi mbona simuoni?”aliuliza Badu na kumfanya mama J pale alipo avue nguo aliyovaa na kubali mtupu, badu alishtuka kuona vile. Alinyanyuka pale alipo na kusogea hadi mlangoni akaufunga kwa ndani na funguo huku akinengua kwa manjonjo akiwa anamtazama Badu aliyebaki kushangaa tu.
Simu yake ikapata kuita Badu, aliitoa mfukoni haraka na kuona ni jina la Mwajuma. Aliamua kupokea tu kumsikiliza.
” Badu, uko wapo?”sauti ya Mwajuma ya upole ilisikika.”
“Nipo kazini hapa.”
“Badu ninashida na wewe leo, ukirudi tu usiku nishtue nitakuja kwako. Ninashida haswa elewa hivyo. Bye!”alisikika Mwaju akiongea kisha akata simu. Alimuacha njiapanda Badu akiwa anamtazama mama J pale mlangoni.
” Mzee Chombo ametoka kidogo, huenda akarudi baadae. Henu nichangamshe basi japo kidogo Badu!”alisema Mama J na kugeuka nyuma kumringishia Badu wowowo.
Hakika aliumbwa mama huyo na maungo hayo yalimchanganya Badu kujikuta akamsogelea pale mlangoni na kuanza kumpapasa kila sehemu. Walichangamkiamna kila mmoja huku mama J akifungua zipu ya Badu kutoa kile anachokitamani kikiwa kimesimama haswa. Alijikuta gafla tu anakumbuka ahadi ile alompa mumewe kuhusu kuacha tabia chafu ambazo zimekuwa lawama kwake. Gafla tu alianza kunyong’onyea na kuwa mpole.
“Badu! Badu basi tuache!”alisikika mama huyo na kumfanya Badu ashangae.
“Unasemaje?”
“Inatosha, ingiza dudu lako kwenye suruali uende.”
“Ah hebu acha zake.”alisema Badu na kuendelea kushika manyonyo ya mama huyo huku akimlambalamba shingoni.
“Baaadu! Sitaki bana acha!”alisema mama huyo akizidi kuonesha kutotaka tena. Ilibidi Badu asimame kumtazama.
“Unanini leo?”
“Ah we niache tu Badu nilikuwa nishasahau kabisa. Mumewangu amenileta hapa kusudi. Amenieleza kila kitu kuhusu tabia yangu, kumbe ameshajua.”
” Nini? Ameshajua? Amejua kuwa tulikuwa tunafanya?”
“Hamna bwana, amejua kuwa nilikuwa natoka nje ya ndoa japo hamjua mtu yoyote. Na nimemuahidi kutofanya tena. Ajabu nimekuona tu nimesahau kila kitu. Hebu niache kidogo Badu chukua vyombo tu uende. Nitazoea tu.”alisema mama J na kuanza kutembea kwenda kitandani akavaa nguo yake.
Badu akaona kweli mama huyo amebadilika, alikubaliana na maamuzi hayo. Alikuwanya vyombo vyake na kuweza kuondoka zake huku akiwa na ule mzuka wa kufanya mapenzi.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU