SEHEMU YA 36
ILIPOISHIA
“Mimi sio mkaaji sana mzee Chombo, ile kazi uliyonipa nimeikamilisha na nimefanikiwa kupata ushahidi. Sitaki niseme mengi uangalie mwenyewe kwa makini kisha utapata kuchukua maamuzi.”aliongea Jesca akimpatia mzee huyo simu yake kisha akamuonesha ile video aliyomrekodi mama J akiliwa uroda na kijana wa mtaani hapo.
TUENDELEE
Video ile ilimshangaza sana mzee Chombo hadi kuamua kuishika simu ile vema akishuhudia jinsi mkewe anavyolalama kwa kijana yule aliyekuwa anamla mama huyo. Alibaki kusikitika tu mzee huyo na kuishiwa hata nguvu ya kuendelea kuangalia alishindwa kuqmua kumrudishia Jesca simu yake.
“Dah mzee pole sana maana hii ni zaidi ya umalaya. Samahani lakini kwa maneno machafu nayomwambia mkeo ila sio jambo dogo hili. Yaani unaleta mwanaume ndani, tena kijana mdogo kabisa unamuingiza ndani kwako ambapo unaishi na mumeo na mwanao wa kike. Ah yule mama ana moyo wake peke yake kwakweli hata mimi siwezi hilo.”alisema Jesca akizidisha kumvuruga mzee Chombo. Alijikuta anainuka pale alipokaa mzee Chombo akiwa amekunja uso wake kwa hasira.
“Naomba nitumie hiyo video whatsapp mwanangu. Hili swala nitalifanyia kazi.”alisema mzee huyo na kuondoka zake. Jesca alimtazama tu hadi alipotokomea akabaki kucheka tu pale alipo.
“Hahaha mama J, unanichukia sana kisa nilikukutaga na baba Dulla bafuni. Ukanitishia kunifanyia visa ili niondoke kwenye nyumba yako. Sasahivi zinaiva mimi na mumeo na ngoja sasa nikuchongee utajua hujui.”aliongea Jesca kwa kujiamini sana.
Alinyanyua simu yake kumtafuta Badu ambaye muda huo alikuwa kazini kwao, alipata kuona simu yake inaita na alipotazama aliona ni Jesca ndiye anayempigia.
“Huyu malaya ndio ananitafuta saivi toka jana.”aliongea Badu akiwa anatoka kumkatibisha mteja. Ilibidi apokee simu kumsikiliza.
“Mambo Badu.”ikisikika sauti ya Jesca.
” Poa tu.”
“Vipi tunaweza kuonana leo?”
“Hujaridhika tu?”
“Kuridhika? Kivipi?”
“Jana si ulishindwa kuvumilia ukaamua kuingiza mwanaume ndani. Ili moyo wako upate kutulia na unikomoe mimi.”
“Hapana bwana Badu, hebu yaache hayo my leo tuonane badi. Hata gesti fresh tu.”
“Jana nilifanya sana sina nguvu ya kukuhudumia nawewe.”
“Mmh Badu tangu lini wewe ukawa hivyo?”
“Tangia leo. “
“Najua umekasirika sana jana ila sikuwa na uwezo wa kuendelea kuvumilia zile sauti kutoka chumbani kwenu. Ilibidi nifanye vile ili nitulie jamani. Hata hivyo niliguswa kidogo tu wewe ndio fundi mitambo unanipatia.”
“Ndio nimesema sina mood ya kuona K ya mtu saivi. Nitakuchafua bure unikasirikie kushindwa kukukidhi haja zako. Nipo kazini Jesca baadae.”alisema Badu na kukata simu yake.
Alimuacha njiapanda Jesca pale alipo na kujua Badu amekasirika kwa kile kitendo cha kumuingiza baba Dula mule ndani.
“Mh Badu leo amecancel! Hapana namfata hukohuko.”alisema Jesca na kuinuka zake kuanza safari ya kuelekea APEX HOTEL anapofanyia kazi Badu.
Mwajuma aliweza kufika eneo husika. Alishika kwenye bodaboda na kuanza kupiga hatua hadi kwenye chumba cha Roja. Alipata kusikia watu wanacheka huko ndani huku maongezi ya hapa na pale yakiendelea. Aliamua kuufungua mlango ambao ulikuwa umerudishiwa tu moja kwa moja akapata kuingia ndani na kuwakuta wawili hao wakiwa kitandani wamelaliana.
Roja alishtuka baada ya kupata kumuona Mwajuma ameingia humo. Mayasa alibaki kuficha sura yake kwa aibu kuonekana na shoga yake.
Alipiga makofi Mwajuma huku akisogea na kwenda kukaa kwenye sofa akiwa anawatazama kwa tabasamu la kutengeneza.
“Safi sana, aisee nimependa sana hii siri yenu mloificha watu wasijue kuwa mnanyanduana kimyakimya ili nisijue.”alisema Mwajuma akiwa anawatazama wawili hao pale kitandani.
” Mwaju, hebu..”
“Nini Roja ,we ralax bwana unaanza kujitetea kwa lipi? Unataka usemeje shetani amekupitia au?”alihoji Mwajuma na kumfanya Roja akose hata neno la kusema.
“Haya shosti wangu wa faida huku ndio unapolalaga kumbe ukimdanganya mama yako kuwa upo nyumbani! Ah we mwanamke mbaya sijapata kuona, yaani unatembea na shemeji yako halafu kwenu unadanganya upo kwangu, yaani unanitumia mara mbili.”alisema Mwajuma na kujikuya macho yake yanakuwa mazito punde tu machozi yanatiririka.
“Mwajuma, naomba unisamehe mimi, mimi ndiye nimefanya kosa hili hafi kumshawishi Mayasa.”aliongea Roja kutaka kumzuia Mayasa asipate kuonekana mwenye kosa. Naye kusikia hivyo akatikisa kichwa kuonesha ni kweli alishawishika na mwanaume huyo.
Mwajuma aliachia kicheko tu huku anawatazama.
“Kwahiyo! Kwahiyo wewe unaanza kutongozwa upo na mimi umekaa kimya, ukaona kuniambia mimi ni kosa bora umkubalie uanze kuvuliwa chupi uone jinsi gani Roja anavyonifanyaga.
Mpumbavu mkubwa wewe malay…”alikamata limoti ya redio na kumrushia Mayasa ya kichwa, alinyanyuka Mwajuma na kumvamia Mayasa ikawa ni vurumai ndani chumba cha fundi magari aliyekuwa na kazi ya kuwazuia wasipigane.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU