SEHEMU YA 41
Mwajuma alipata kukaa kwenye sofa mara baada ya kuingia kwa Badu.
“Vipi mbona kama haupo sawa?” aliuliza Badu akiwa anasogea hadi alipokaa Mwajuma na kumshika mkono.
“Ah nimevurugwa aisee, samahani kama nitakukwaza kwa hiki ninachotaka kusema lakini naomba uamini mimi nipo na wewe kwa sasa.
Leo ndio nimepata kuujua ukweli kuhusu mahusiano yangu mimi na yule X wangu. Kumbe alikuwa anatuchanganya mimi na shoga yangu Mayasa. Na hili wao walikuwa wanalijua hivyo wakawa wananichengesha tu nisijue kuwa nao wanadate. Leo ndio nimewafuma kweli wakiwa chumbani.”alisema Mwajuma na kumfanya Badu atabasamu.
“Kwahiyo umeumia moyo mwenyewe.”alisema Badu.
“Nimeumia kuona nilikuwa nachanganywa na rafiki yangu. Bora hata nisijue lakini kumbe wao walikuwa wanajua na wakawa wakutana mimi nikiwa najua nipo pekeangu kwa yule boy.”
“Ah we potezea yu si yameshapita hayo upo na mimi.”
“Hapana Badu, hii ni dharau tena kubwa sana kwa sisi wasichana. Yaani unamtu wako halafu shogako aje kukuchukulia bwana umuachie tu! Ah hapana kwakweli.”
“Khaa! Kwani bado unampenda?”
“Wala sinamaana hiyo. Siwezi kumuacha Mayasa akaendelea kuwa naye Roja, bora tukose wote kuliko kumuacha naye atajiona mjanja sana.”alisema Mwajuma akionesha kuyoridhishwa kabisa na jambo hilo.
“Sasa unataka ufanyaje?” aliuliza Badu na kumfanya Mwajuma ashushe pumzi kwanza kisha akamtazama mwanaume huyo.
“Nataka unisaidie hili jambo, najua ni ngumu sana kwa mwanaume kufanya hivi ila inakubidi ufanye hili jambo ili niweze kufanikisha mpango wangu.”alisema Mwajuma.
” Ah sasa mimi nikusaidie nini hapo Mwajuma?”
“Nataka utoke na Mayasa. Yaani umtongoze akikubali panga naye mkutane. Nadhani siku hiyo nitamjulisha Roja aje kushuhudia. Hiyo ndio njia pekee ya kuwavuruga najua tu hapo ataachwa na wewe utamtema Mayasa baada ya kujua kuwa anabwana wake.”alisema Mwajuma na kumfanya Badu ashangae baada ya kusikia njama hiyo ya kuingia tena kwenye mapenzi na mwanamke mwengine.”
Muda huo mama J ndio alipata kufika nje ya chumba hicho, akapata kusikia mazungumzo yakiendelea ndani ikabidi asogee dirishani kuchungulia. Alipata kumuona Mwajuma amekaa na Badu kwenye kochi wakiongea. Ilimfanya apate kusikiliza tu kujua kama kuna jambo litaendelea.
“Dah Mwajuma hivi umefikiria mara mbilimbili kwanza kabla ya kuongea hivyo?”
“Ndio Badu, nimefikiria kwa kirefu sana na najua kila kitu. Ila ni wewe tu kuwa na moyo wa kufanya hii kazi.” alisema Mwajuma na kufanya mama yake pale dirishani kuwa kwenye sintofahamu.
“Kazi gani huyu anampa kufanya?”alijiuliza mama huyo akiendelea kusikiliza.
” Mh haya sawa kama ndio umeamua. Utanipa details zake huyo mtu nitaanza kuifanya kazi hiyo.”
“Hakuna shika kabisa, ila nihakikishie hakuna kitakachoharibika. Usije kwenda kinyume na tulivyopanga ukazama mazima tena. Nitakata hilo tango lako nikalitupe chooni.”alisema Mwajuma na kumfanya Badu atabasamu, alimshika kiuno Mwaju akamkumbatia.
“Siwezi kuzama kirahisi hivyo, wewe ndio kiboko yangu bwana.”
“Mh kweli Badu?”
“Amini nakwambia, unajua mapenzi wewe mwanamke hadi unajua tena.”alisema Badu na kumfanya Mwaju ajae sifa. Alipeleka mdomo wake kinywani mwa Badu wakaanza kupeana mabusu ya ushawishi. Badu akajiongeza kumpapasa Mwajuma kiunoni na kupandisha mikono yake taratibu hadi kifuani kuziminya chuchu za Mwajuma.
” Ah Badu, hapo napendaaaa!”alisikika Mwajuma akisema baada ya kupata hisia kali kwa kuchezewa kifuani.
Mama J alipata kushangaa tu pale dirishani na kujionea kwa macho yake binti yqke anavyoandaliwa vizuri kwaajili ya kuliwa. Alibaki kumeza mate tu huku moyo wa umama ukimjia kuona jambo hilo si sawa kabisa. Alitoka pale dirishani kutaka kuufungua mlango akasikia mlango chumba cha pili unafunguliwa. Haraka alibadili muelekeo na kuongoza njia kuelekeza zake chooni. Alikuwa ni Jesca aliyekuwa anatoka nje akiwa na kopo lake analojisaidia haja ndogo. Alienda chooni na kuona kuna mtu, ikabidi aende kumwaga bafuni kisha akamwaga maji na kurejea zake chumbani. Alienda pale kwenye taa akaiwasha maana nje kulizidi kuwa na giza, alipotaka kupiga hatua kuingiza kwake alipata kusikia sauti chumbani kwa Badu. Alisita kidogo kisha akaweka kopo kake chini kusogea pale dirishani. Alipiga jicho kutazama kwa ndani akapata kumuona Mwajuma akiwa uchi kabisa amemkalia Badu wakifanya yao kwenye kochi.
Mama J alifungua mlango wa chooni na kuchungulia nje, alishangaa kumuona Jesca pale dirishani akiwa anachungulia.
“Hee yule naye imekuwaje?”alijiuliza Mama J ikabidi asimame pale kumtazama Jesca aliyekuwa anahaha kuchungulia.
Alikuwa makini pale dirishani kuangalia kumtazama mwenzake jinsi anavyonyumbulika ili aone wapi anakosea hadi Mwajuma kuwa namba moja kwa Badu.
Mauno, kasi na wepesi wa Mwajuma akiwa ameikalia vema mashine ya Badu ilifanya Jesca pale nje abaki kutoa macho tu asiseme lolote. Hakika binti huyo alikuwa anayajua haswa, alijua kumchezea Badu kila anavyotaka wakae basi kuwa tayari kutii. Hadi walipoamua kwenda kitandani huko ndipo Jesca alipata tabu kuona pale dirishani, aliamua kusimama kurejea zake chumbani na kopo lake baada ya kuupata ukweli.
Mama J alibaki kumshangaa tu Jesca akiingia zake kwake baada ya kupiga chabo ya muda mrefu. Alitazama kile chumba cha Badu na kushika tu kiuno.
“Huyu kijana tusipoangalia atatembeza dudu kwa wapangaji wote hapa, hadi huyu malaya kachungulia ndani sasa hapo kuna usalama kweli! Mh Mwajuma mwanangu nawewe ndio umeenda kwa huyu mvulana. Sasa sijui ni kosa langu kumpa uchi huyu kijana au! Mbona inaenda kuwa aibi hii mama na mtoto wameliwa na kijana mmoja tena chumba cha jirani tu.”aliongea mama huyo na kushindwa hata kufanya maamuzi kwa mwanaye ambaye muda huo alikuwa ndani kwa Badu anakula raha za dunia. Alipiga hatu kuelekea zake chumbani kwake baada ya kujua kuwa binti yake anamahusiano na kijana Badu.
ITAENDELEA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU