SEHEMU YA 42
ILIPOISHIA
Alipiga hatua kuelekea zake chumbani kwake baada ya kujua kuwa binti yake anamahusiano na kijana Badu.
TUENDELEE
Jesca alibaki mwenye kutafakari sana usiku huo, awali alihisi yeye ndio amemshika masikio Badu kwa kumkoleza kimapenzi haswaa. Lakini leo ndio amepata kujionea kile ambacho Mwajuma amekifanya kwa Badu, hakika alikuwa zaidi ya fundi kwenye kochi. Alijua haswa kuuchezesha mwili wake kwa mwanaume na hakutaka kabisa kumruhusu mwanaume huyo zidi akiwa katika mechi.
Alibaki kukasirika tu Jesca kuona amezidiwa kila kitu na Mwajuma.
“Sitakubali. Hii ni vita nitakayoipambania kuhakikisha Badu anakuwa upande wangu kwa asilimia zote. Na kama nikishindwa basi sitakubali Mwajuma aendelee kuwa na Badu, nitafanya lolote lile ili waachane.”alisema Jesca akiwrka dhamira hiyo kuhakikisha hashindwi na msichana wa mwenye nyumba.
Alifungulia redio na kuweka muziki wa taratibu akijaribu kusahau yale aloyaona, aliutafuta usingizi taratibu na dakika kadhaa mbele ukamchukua.
Mama J alikuwa zake kitandani akili yake yote ni juu ya Badu. Alianza kujiona mkosaji sana kwa kujirahisisha kwa kijana huyo ambaye kwasasa amehamisha mapenzi yake kwa binti yake Mwajuma.
“Hii aibu inayotaka kuja sitaifumbia macho kwakweli. Hivi mwanangu Mwajuma akija kujua kuwa nilipita kwa Badu itakuwaje? Na watu wakijua swala hili si ndio itazagaa mtaa mzima kuwa mama na mtoto tumeliwa na mpangaji!
Hapana hapa natakiwa kufanya jambo, ni bora huyu kijana hapa nimuondoe. Ahame kabisa hapa akatafute pa kukaa maana atazidi kutuchafua nije kuingiwa tena shetani nikajikuta narudi kulekule kwa zamani.”alisema mama huyo akiwa anatafakari namna ya kumdhibiti Badu. Aliona njia rahisi ya kulizuia hili ni kumtoa Badu nyumbani kwake akatafute sehemu ya kupanga kwengine.
Muda huo Badu alikuwa zake kazini, baada ya kuhakikisha ametoa huduma kwa wateja wake.
Alipata kuona ujumbe ukiingia kwenye simu yake na alipotazama alijua ni Mwajuma, ikabidi aufungue kuisoma.
“Nimekutumia namba ya Mayasa utajua utamuanzaje.”ulikuwa ni ujumbe wa Mwajuma ukamfanya Badu aangalie vizuri na kuona kuna namba kweli ametumiwa. Alisave namba hiyo akimuahidi Mwaju kuifanyia kazi baadae.
Huba lilizidi kunoga baina ya Roja na mrembo Mayasa. Hawakuwa tena na hofu wa wasiwasi mara baada ya kujua Mwajuma ameshafahamu ukweli na tangu siku ile hakuna aliyesumbuliwa na msichana huyo. Mayasa alikuwa anashinda kwa Roja kutwa nzima kisha kurudi kwao jioni.
Siku tatu zikapita huku Badu akiendelea kutoa huduma kwa Mwajuma na Jesca ambaye alijua fika kuwa hana chake kwasasa. Lakini kipindi hiki alizidisha manjonjo na udambwidambwi mwingi kila akutanapo na Badu ambaye alishangazwa na mabadiliko ya Jesca.
Alijituma haswa na mara kadhaa akiibia njia zilezile alizokuwa anapita Mwajuma. Alimchanganya Badu kitandani haswa na kumfanya Badu ashindwe kujizuia kumpongeza.
“Mh sikuhizi unanikomesha we mwanamke sio poa.”aliongea Badu akiwa amelaliwa na Jesca wakiwa chumbani kwa mwanamke huyo.
“Mh kawaida tu mpenzi, sema leo nimekuwa na hamu sana na wewe ndio maana.”alisema Jesca akiwa amelala kifuani mwa Badu wakiwa hoi.
“Hongera mwaya leo umenipa pishi ambalo sikuwahi kula kwako. Umeniweza.”
“Haya asante my, nakuahidi kukupa zaidi ya hivi.”aliongea Jesca kwa sauti ya huba akizidi kumteka akili Badu aliyekuwa anatabasamu tu huku akiminyaminya maziwa ya mrembo huyo usiku huo.
Usiku huo mzee Chombo alipata kushangaa baada ya kupewa habari na mkewe kuhusu mpangaji wao Badu.
“Ah sasa unataka kijana wa watu ahame kwasababu gani mbona huniambii?”
“We mpe notice tu aondoke, maana huku anapoelekea atakuja kuharibu hata humu ndani kwetu.”
“Unamaana gani kusema hivyo? Mbona sikuelewi mama J!”
“Kijana yule ni mpenda anasa sikuwa najua kabisa. Nimeshapata habari zake za chinichini anawala watu humu ndani kimyakimya halafu huwezi kumdhania.”
“Mh wewe hizo habari kakwambia nani?”
“Mimi mtu wa mtaani napata habari ambayo inanihusu, nimeambiwa huko mtaani bwana yule kijana wako mpangaji anawala wanawake za watu na mabinti wa mtaani hadi anakera. Sasa nimeamua nikwambie wewe mumewangu mwenye mamlaka hayo. Bora umfukuze tu asije kuhamia kwa binti yetu akamharibu maana katembea na wanawake wa ajabu ajabu aje kuleta ugonjwa hapa. Mtoe tu kwakweli.”aliongea mama J akionesha wazi kutohitaji tena Badu akae humo.
Jambo hilo lilimfanya mzee huyo alitafakari sana kwa makini maana hakuwahi kabisa kusikia wala kufikira kama Badua anaweza kuwa gumzo kiasi hicho.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU