UTAMU WA JAMILA (47)

SEHEMU YA 47

ILIPOISHIA
Mwajuma alitabasamu tu pale mlangoni akiendelea kurekodi.

TUENDELEE

Siku hiyo Badu alimpa mapenzi Mayasa ya kawaida tu huku mara kadhaa akitazama mlango baada ya kujua anarekodiwa na Mwajuma. Lakini kitendo hicho kilimuhamisha Mayasa na kujikuta anadumbukia mazima kwenye penzi hilo. Aliamua kujiachia kabisa na kuonesha utundu wake haswa.

Mwajuma mwenyewe alipata kushangaa pale mlango baada ya kuona Mayasa amekolea haswa akitoa miguno ya sauti kuonesha ameshapandisha midadi. Alijikuta sasa anaingiwa na wivu na kutamani kuingia mazima lakini Badu alimnyooshea kidole kumzuia asije kuharibu mambo. Alishindwa kabisa kujizuia Mwajuma mara baada ya kurekodi takribani dakika 10 aliamua kuondoka zake kabisa eneo hilo huku akijipa moyo kuupata ushahidi.

“Linajifanya limekolea na kufanywa, linaona raha pale. Subiri sasa nikuoneshe shoo utaipenda.”alisema Mwajuma akionekana kuwa na hasira sasa moyoni mwake.

“We mkaka kumbe unajuaaaaa! Ashhhh jamaniii sitamani nitoke hapaa!”
Mayasa alizidi kulalamika baada ya kuonja penzi la Badu.
Naye kuona vile alizidi kupeleka moto haswa kushuhudia aking’ang’aniwa haswa na mwishowe Mayasa akafika kilele. Badu alijitoa mwilini mwa msichana huyo aliyechukua shuka kujifunika.
Alielekea zake bafuni mwanaume kwenda kujimwagia maji mara moja kisha akarejea zake kuanza kuvaa nguo zake.

“Ndio unataka kuondoka?”aliuliza Mayasa akiwa anamtazama Badu.

“Ndio, sina muda tena wa kukaa hapa. Natakiwa kuanza safari hii leo.”

“Mh sawa. Kwahiyo sasa inakuwaje kuhusu hiyo kazi?”

“Ndio napeleka hizi documents zenu si unaona na wenzio hizi hapa. Nikifika huko sada ndio nitawajulisha siku gani ya kuja ili muandaliwe kwaajili ya kazi.”

“Inamaana haitakuwa hapa dar?”

“Ndio, sio hapa ni huko Zanzibar.”

“Mh sasa itakuwaje swala la makazi?”

“Hilo halina shida, kampuni itasimamia swala hilo kwa miezi minne ya mwanzo na baada ya hapo ndio mtaanza kujitegemea.”

“Hapo sawa nimekuelewa. Nashkuru sana kwa msaada wako.”

“Usijali Mayasa.”

“Pia nashkuru kwa kunipa hii raha. Kumbe kuna wanaume wanajua zaidi ya mpenzi wangu!”

“Hahaha Mayasa kawaida bwana. Na hii tumefanya mara moja tu kumalizana hii ishu ya kazi. Sitaki uje kunisumbua tena.”

“Mmh we kaka.”

“Ndio nimeshakwambia hivyo.”

“Haya sawa.”alisema Mayasa na kumuangalia tu Badu hadi alipomaliza kuvaa akakudanya makaratasi yake na kuweka kwenye begi akalishika.

“Sasa mimi ndio nasepa, ukipumzika kidogo baadae saa 10 chumba kinahitajika. Hivyo ufanye fasta nawe uondoke.”

“Sawa ninajiandaa sasahivi nitaondoka.”

“Poa tutawasiliana.”aliongea Badu na kuufungua mlango kuondoka zake.

“Eti tusisumbuane! Kwakweli sitaweza kuvumilia, lazima nikupe tena unifanye unajua sana we mkaka jamani.”aliongea Mayasa akiwa zake pale kitandani. Alibaki kutabasamu tu akikumbuka vile alivyokuwa anapelekeshwa.

Badu alipotoka tu nje akatoa simu yake na kutoa line kwenye simu hiyo akaitupa. Aliweka simu hiyo kwenye begi kisha akaingiza mfukoni kutoa simu yake nyengine kumpigia Mwajuma na punde tu ikapokelewa.

“Bado unamkatia mauno tu?”alisikika Mwajuma kwenye simu na kumfanya Badu acheke.

“Hapana mpenzi nishamalizana naye na ndio nimetoka hapa nimemuacha naye anataka kuondoka.”

“Haya sawa maana nilishindwa kuendelea kurekodi baada ya kuona anazidisha mbwembwe na wewe jicho limekubadilika kabisa.”

“Nisamehe mpenzi.”

“Haya poa, asante kwa kuifanikisha kazi yangu. Wacha nilipue bomu leoleo.”

“Hahaha haya bwana poa, baadae.”

“Poa.” alikata simu Mwajuma kisha akawasha data kutafuta namba ya Roja kuweza kumtumia video ile ya Mayasa. Uzuri alipata kuona kijana huyo yupo online na kuona blue tick kwenye video ile akajua tayari ameanza kuitazama. Alizima data na kuendelea na safari yake ya kurejea nyumbani kwao.

Macho yake hayakuweza kuamini Roja kwa kile ambacho anakiona. Video ya Mayasa akiws analiwa uroda na mwanaume mwengine ilimchanganya kabisa akili na kujikuta amepoa kabisa akiwa zake kazini.
Haraka akampigia Mwajuma ambaye ndio kamtumia video hiyo, simu ikapokelewa.

“We Mwajuma. Imekuwaje? Imekuwaje hadi umemrekodi Mayasa hivi?”aliongea kwa kupayuka Roja.

“Babuwee hebu tuliza mshono. Umechagua koroma ukaacha nazi sasa unalialia nini. Hiyo nimekuonesha tu kuwa huyo uliyenaye ni wa bei rahisi sana. Ona hapo anatoa uroda kisa apate kazi, ila sishangai maana mmekutana wote malaya hivyo hilo swala mnaweza kumalizana likaisha. Ah siku njema bwana naingia kwa bwanangu apa usinipigie simu tena tafadhari sana.”alisema Mwajuma kwa kujiamini kisha akakata simu yake.

Hakika alijua kumtia hasira Roja na kujiona mjinga sana kwa maamuzi aliyochukua ya kuwa na Mayasa huku akimuacha Mwajuma aende zake.
Aliitazama ile video kuonesha kweli Mayasa ameridhia kutoa penzi iki tu apate kazi.
” Hapana kwakweli, huyu malaya siwezi kuwa naye. Anaweza kumvulia chupi mtu akiwa na shida nyengine huyu. Siwezi kwakweli.”aliyasema hayo Roja kuamua kumpotezea mazima Mayasa. 

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!