UTAMU WA JAMILA (48)

UTAMU WA JAMILA 48

Alichofanya ni kumpigia kabisa Mayasa muda huo ajue yupo wapi. Simu iliita kupokelewa muda huo.

“Nambie mumewangu, uko powa?” alisikika Mayasa akijibebisha.

“Uko wapi?”

“Nipo home dear.”

“Unauhakika?”aliuliza Roja swali hilo na kumfanya Mayasa ashtuke kusikia kauli hiyo. Alikuwa zake anajiandaa kuweza kutoka pale hotelini.

“Ndio, kwani vipi my huniamini?”

“Haya sawa, njoo geto nakuomba.”

“Mh my mbona wanitisha na sauti hiyo, kuna usalama kweli?”

“Hamna my nilikuwa na wasiwasi tu. Njoo basi utanikuta geto.”

“Mh my sijui kama nitaweza kuja, hapa nina kazi sana leo nisamehe sitaweza.”

“Kwahiyo umebanwa leo na kazi.”

“Ndio my nisaheme sidhani kama nitaweza kuja.”

“Okay sawa, unabando kwenye simu yako?”

“Nadhani limeisha ila nitaweka muda si mrefu hapa nikimaliza kazi.”

“Sawa kuna suprise nimekutumia utaona ukiwasha data.”

“Waooh asante mume wangu! Muda mfupi tu nitafungua.”

“Sawa.”alikata simu Roja na kuachia sonyo kubwa.

” Maanina! Ndio mwisho wako huu. Mwanamke unajirahisisha kama nini!”alijisemea Roja akionesha kuchukizwa sana. Aliingia kwenye dimbwi la mawazo kumfikiria tena Mwajuma.

Moyo ulimsuta mara baada ya kuona ameachana na Mwajuma kijinga sana. Alinyanyua simu yake kumpigia Mwajuma lakini simu inakatwa muda wote na mwishowe ikawa haipatikani kabisa. Aliumia sana Roja akijuta kutobaki njia kuu na kuamua kuchepuka. Hakuwa tena na ujanja, aliinuka zake akiwa tayari kashaamua kutoka moyoni kuwa hana tena mapenzi na Mayasa mara baada ya kujionea mwenyewe ile video aliyotumiwa na Mwajuma.

Alikuwa mwenye furaha tu Mwajuma mara baada ya kuona jambo lake nimefanikiwa kwa asilimia zote. Hakuwa na la kujivunia zaidi ya kumharibia tu Mayasa na yeye ili wote wamkose Roja. Moyo wake ulitulia dasa huku akihamisha mapenzi yake yote kwa Badu ambaye ametokea haswa kumpenda. Alimtumia ujumbe Badu muda huo kisha akajipumzisha zake.

Jioni kukiwa kumetulia Mayasa baada ya kufika zake kwao na kusaidia kazi za nyumbani kwao alipata kupumzika zake.
Alipanda zake kitandani na kuanza kufungua data, moja kwa moja akaingia whatsapp na huko akapata kuona video alotumiwa na Roja. Alipoifungua kuitazama tu hapo ndipo mwili wake ulijidhihirisha kuwa anaanza kuumwa ugonjwa wa kutetema. Mwili mzima ulikuwa unatetemeka huku moyo ukimwenda mbio mara baada ya kujiona vile alivyokuwa anafanya na yule mkaka wa kumtafutia kazi.

“MUNGU WANGI! Hii…hiii hii nani ameturekodi? Jamani mimi jamani aiiiiiiiii! Nani huyu jamani kaniharibia hivi?”alijikuta ananyanyuka pale kitandani Mayasa akionesha kuchanganyikiwa kabisa. Alinyanyua simu yake kumpigia Roja kwanza iki wapate kuongea. Awali simu ilisikika kuita tu bila kupokelewa, hata alipojaribu mara ya sita Roja alipokea kwa ukali.

“We malaya mgawa uchi mbona unanisumbua? Unataka nini kwangu?” alisikika Roja alimtukana Mayasa kwa hasira.

“Roja naomba unisikilize mpenzi wangu mim…”

“Koma wewe! Na sikia nikwambie, kama umeweza kumvulia mtu usiyemjua hautashindwa hata kuwavulia nguo hata washkaji zangu. Kaa na maisha yako na mimi niendelee na maisha yangu usinitie aibu tena na koma kunitafuta.”

“Roja lakini sikuwa nime….! Roja! Rojaaaa! Ah jamaniiiii!”

Simu ilikatwa na kufanya Mayasa azidi kuvurugwa kabisa.
Alishindwa hata kuvumilia kuendelea kukaa mule chumbani. Haraka akatoka mkukuumkukuu na kumpita mama yake akiwa anafunikia chakula

“Haya wapi wewe? Wewe Mayasa unaenda wapi?”aliuliza mama huyo bila kujibiwa Mayasa aliondoka zake.

“Huyu kachanganyikiwa? Saa moja hii anaenda wapi? Ah atajua mwenyewe sio mtoto niseme nitamtafuta usiku kapotea.”aliongea mama huyo na kuendelea kutazama sufuria la chakula jikoni.

Baada ya kudanga mchana na mwanaume mwenye pesa zake Jesca alorejea zake kwake akiwa amejichokea. Alielekea kuoga bafuni kisha akarudi kujifungia chumbani kwake akiangalia tamthilia.
Chumba cha pili Badu alikuwa na Mwajuma walekaa kitandani. Mwajuma siku hiyo alikuja kivingine, alikuwa anataka wafanye siku hiyo wakiwa wanajirekodi jambo ambalo Badu hakuliafiki.

“Acha uwoga mwanaume.”

“Yaani kule nimekusaidia ili ufanikishe jambo lako, hapa tena unataka tujirekodi hivi wewe unanini?”aliongea Badu akiwa anamtazama Mwajuma.

“My hii ya mwisho. Nafanya hivi kwa maana, yule mwanaume ananisumbua sana na kila nikimwambia kuwa nipo kwenye mahusiano saivi hataki kunielewa. Sasa hii nataka iwe fundisho kwake nitamwambia anipigie videocall halafu nitaiweka simu pale aone jinsi unavyonifanya. Naamini ndio itakuwa mwisho kwake kunisumbua.”alisema Mwajuma na kumfanya Badu amtazame. Alibaki kucheka tu kuona msichana huyo anavyofanya mambo yake kiajabu sana.
Ilibidi akubaliane naye kufanya jambo hilo japo safari hii aliziba sura yake asije kujulikana kuwa ndio mwanaume aliyemla Mayasa kule hotelini. Walivua nguo wote wawili na kuanza kuandaana kwa dakika kadhaa. Kisha Mwajuma akamtumia ujumbe Roja kuwa ampigie kwa video call.

Mwanaume alipoona ujumbe huo haraka akaingia whatsapp kumpigia Mwajuma. Aliona simu imepokelewa na kuweza kushuhudia Mwajuma akiwa analia sauti za mahaba. Mwanaume Badu akiwa anampeleka moto akizidi kumchanganya Mwajuma kabisa ambaye alikuwa anatazama simu yake iliyokuwa imepokelewa na Roja.
Alichoka Roja baada ya kuona live Mwajuma anamegwa na mwanaume mwengine, aliamua kukata simu yake baada ya kujua ilikuwa ni kusudi tu ya Mwajuma kumkomesha.
Aliandika ujumbe mzito kisha akamutumia Mwajuma.
Roho ilimuuma sana na kujikuta hata anachanganyikiwa kabisa, anaenda kutafuta mwananke wa kununua aweze kulala naye siku hiyo maana wanawake wawili wote amepata kuona video zao chafu.
ITAENDELEA  

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!