SEHEMU YA 49
ILIPOISHIA
akaenda kutafuta mwanamke wa kununua aweze kulala naye siku hiyo maana wanawake wawili wote amepata kuona video zao chafu.
SONGA NAYO
Baada ya muda Mayasa alipata kufika nyumbani kwa Roja. Kitu ambacho alipata kukaribishwa nacho kabla hajaingia ndani ni sauti za mahaba kutoka chumbani kwa Roja.
Ilimfanya asimame kama amepigwa shoti baada ya kutambua ndani kuna msichana anapewa huduma ya mapenzi. Alisogea hadi mlangoni na kushika kitasa kukifungua. Ajabu aliona mlango unafunguka kuonesha haukuwa umefungwa kwa ndani.
Alimeza mate kwa tabu huku akiingia humo kupata kujionea mwenyewe.
Roja alikuwa amejilaza chini huku yule malaya aliyemnunua akiwaa anasukuma gurudumu la huba kujisevia. Sauti zilizidi masikioni mwa Mayasa kwa kujionea kwa macho Roja anavyofanya mapenzi vila wasi kabisa. Hata alipogeuka kumuona Mayasa pale mlangoni akiwa amesimama ndio alizidisha mbwembwe kabisa. Alimpindua yule malaya kumuweka mbuzi kagoma kisha akaanza kuingiza mashine yake na kuendelea kula raha hizo huku akimtazama Mayasa pale mlangoni.
Alishindwa kujizuia mwanamke huyo kuamua kulia tu baada ya kujua Roja amefanya kusudi kabisa. Na hii ni kutokana na kile ambacho amekiona kama Mayasa amefanya jambo la aibu kuutoa mwili wake ili apate kazi. Aliamua kugeuka na kutoka zake nje, huko ndio alizidisha kilio kwa kujua ndio mwisho wake na Roja.
Alitafuta sehemu kwanza kuweza kukaa kutafakari swala hilo na muafaka wa maisha yake. Ndipo akapata hata akili ya kumpigia yule kaka aliyempa uroda ili apate kazi. Alipiga simu zaidi ya mara nne lakini simu haikuwa inapatikana kabisa, jambo ambalo lilizidi kumchanganya hadi kuanza kuhisi kuchezewa mchezo.
“Nani alikuwa anarekodi mule kwenye nyumba? Na alijuaje kama nipo mule? Au yule mkaka kanitegeshea kamera alikuwa ananirekodi?” Ni mwasali ambayo yalimchanganya Mayasa asipate jibu kamili. Akaanza kuingiwa na wasiwasi juu ya Badu na kuhisi huenda akawa tapeli hata hiyo kazi aliyomuahidi isiwe kweli.
Alikamata simu na kujaribu kupiga tena namba hiyo lakini haikuwa inapatikana kama awali.
“Mungu wangu Mayasa mimi jamani! Nimekurupuka tu hata sikuwa nawaza hili.”alisema mwenyewe akianza kuamini wazi swala la kazi ilikuwa ni la uongo.
Punde tu ujumbe ukaingia kwenye simu yake, alishangaa kuona ni ujumbe kutoka kwa Mwajuma ikabidi aufungue.
“Pole sana, haya nipo chumbani kwako nakusubiria.”
Ujumbe uliomfanya Mayasa atafakari mara mbilimbili asipate kujua lengo la Mwajuma.
“Amefata nini nyumbani usiku huu?”alijiuliza Mayasa akiwa amekaa pahala. Haraka ikabidi anyanyuke na kuchukua bodaboda kumfikisha kwao.
Upande wa pili Badu alikuwa zake ndani kwake mara baada ya siku hiyo kupata penzi murua kutoka kwa Mwajuma japo ilikuwa njia ya kumkomesha Roja. Na kweli walifanikiwa jambo lao hadi kumfanya aende kutafuta malaya wa kumpunguzia mawazo.
Alikaa chumbani kwake usiku huo kutafakari hatma ya maisha yake kwa siku zijazo.
“Hivi huu mchezo ninaoufanya nini matokeo yake? Hivi siku Mwajuma akijua kuwa nimepita na mama yake atanionaje? Hata mzee Chombo jinsi tunavoheshimiana ni wa kumkosea heshima kweli hadi nitembee na mkewe! Hapana inatosha sasa, nimeamua kubaki na Mwajuma inatosha. Sitaki tena kuchovya kwengine, Mwajuma anatosha.”alijisemea Badu baada ya kuona anapoelekea ataingia kwenye matatizo. Alitafakari zaidi na kuona ni bora kuhama kabisa nyumbani hapo huenda ndio akashinda vishawishi kwa mama J na chumba cha jirani yake Jesca. Alitazama kalenda yake na kuona zimebaki wiki moja ili kodi yake ipate kuisha. Alitoa pesa zake ambazo alizitenga baada ya kupewa mshahara wake ili aweze kulipia kodi kwenye nyumba hiyo. Aliona bora akatafute chumba kwengine kuliko kuongeza kodi hapo akazidisha mazambi ya kuwavua chupi. Alinyanyua simu yake na kumtumia ujumbe Jesca kuhusu maamuzi yake. Kisha akaweka simu kwenye meza na kuamua kupumzika akipanga asubuhi aongee na mzee Chombo kuhusu jambo hilo.
Baada ya muda kupita Mayasa alipata kuonekana ndani ya chumba chake akiwa amekaa kitandani analia huku pembeni Mwajuma akimtazama huku akiwa mwenye kutabasamu.
“Lakini kwanini Mwajuma umenifanyia hivi?”alilalama Mayasa.
“Ilinibidi nifanye hivyo,kama wewe uliweza kutoka na Roja wakati ulikuwa wajua fika ni mpenzi wangu na wala hukujali. Ukaamua unipokonye Roja mazima. Na kwa bahati mbaya mimi sina moyo wa kukubali kuonewa na kudhalilika. Maneno ya kuambiwa nimepokonywa bwana na shoga yangu wala sikutaka kuyasikia, hivyo mimi nimekosa nawewe pia umekosa. Ndio maana nikapanga huo mpango wa kukutumia kwa yule mwanaume ili nipate ushahidi Roja aone. Nashkuru nimefanikiwa kwa hilo, sasa kila mtu apambane na hali yake. Kama utaweza kumrudia Roja ukamuomba samahani akakukubalia sawa mimi nisharizika sasa. Nikutakie siku njema Mayasa.”aliongea Mwajuma huku akinyanyuka na kuondoka zake baada ya kuja kwa Mayasa kumpa ukweli wote asiumize kichwa chake kumtafuta mtu aliyemtumia video ile Roja.
Alilia sana Mayasa baada ya kuujua ukweli. Ametoa uroda kwa mtu wa kawaida tu na ni wazi hakukuwa na ishu yeyote ya kazi kama alivotegemea. Amemkosa Roja, ameliwa uroda na amekosa kazi, vitu hivyo akivitafakari Mayasa anajikuta analia sana maana hakutegea kabisa kama itakuwa hivi.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU