TUMALIZIE LEO
Usiku wa saa mbili Badu alikuwa anarejea zake kwake mara baada ya kutoka kutafuta usafiri wa kubeba vyombo vyake. Alipofika getini aliona nyumba nzima ipo giza na kutambua huenda ni luku kwao imekata. Aliingia zake moja kwa moja kuelekea chumbani kwake. Ajabu alipomuona mama J akiwa amekaa karibu na chumba chake, ilibidi asogee mpaka pale alipo.
“Mama kulikoni tena?”aliuliza Badu.
“Kwahiyo unahama unataka unikimbie?”aliuliza mama huyo huku kukiwa giza.
Badu alishusha pumzi akitafuta cha kumjibu.
“Nisikilize kwa makini Badu, nilishaacha kuchepuka na wewe ulikuwa shahidi hadi nimekuita sebuleni kukwambia. Lakini ukajifanya fundi uchi na kuchezea hisia zangi ukaanza kuninyegesha hadi nikashindwa kuvumilia nikakuvulia chupi tena. Tangu sikuile nikaapa nitakuwa nafanya na mumewangu pamoja na wewe tu. Ushaniharibu unataka ukimbie.”
“Mama hayo mambo yameshapita, ni tamaa zetu za mwili ndio zimetufanya tukafanya yale. Na unajua fika nipo na binti yako huoni kuwa ni tatizo hilo!”alihoji Badu akiwa anamtazama mama huyo.
“Haijalishi, wewe tambua kuwa bdo sijatosheka kwako.”
“Mimi ndio nimeshasema, sitaweza kufanya hayo unayotaka.”aliongea Badu akionesha msimamo wake.
Mama J alijitahidi kumbadilisha mawazo kijana huyo lakini hakuza.
“Ah sawa bwana kama ndio umeamua hivyo. Ila naomba leo tu, unifanye kwa uwezo wako wote huenda nikatulia na kukuelewa hicho unachosema. Zaidi ya hapo nitakusumbua tu Badu. Nifanye leo hadi nilizike.”aliongea mama huyo akimsogelea Badu.
“Dah mama J wewe mbona hutaki kunielewa!”alishangaa mkono wa mama huyo ukishuka na kupapasa sehemu za siri.
“Ni leo tu, unikune vya mwishomwisho jamani.”aliongea kwa sauti ya madeko ya huba akijaribu kumvuta kijana huyo.
“Sawa nimekuelewa mama J, ila kwa muda huu nitakudanganya. Hebu tupange kesho, tafuta gesti nzuri nije nikufanye hadi pale utakaposema inatosha.”alisema Badu akiwa mwenye tabasamu.
Kauli hiyo ilimsisimua mama J na kuona kweli kwa usiku huo hatafaidi vizuri.
“Sawa, nashkuru kwa kunikubalia. Kesho nitakupa raha hujawahi kupewa na wasichana wako wote.”aliongea mama huyo akimtambia Badu kwa hiyo siku ya kesho.
“Mh haya sawa, mimi kesho nitakubadilishia fomula. Nitakufanya kitu hujawahi fanyiwa na mumeo.”
“Mh jamani unataka kunipeleka kwa mpalange nini?”
“Kwani uliwahi kwenda kwampalange?”
“Mh mda mrefu sana maana mumewangu hapendi hayo mambo. Ila kama unataka unipeleke mimi nitakubali kwako, ninahamu napo sana!”
“Haya kesho utangulie unipe ramani ya kuja.”alisema Badu nankumfanya mama huyo atabasamu, alimsogelea na kumbusu Badu. Waliagana hapo kila mtu akaenda kwake chumbani kwake huku mama J akiwa na furaha kuona amepewa nafasi siku ya kesho.
” Akitaka kwampalange nitampa tu, nadhani nitampagawisha agairi kuondoka hapa.”alijisemea mama huyo akiingia zake ndani. Alimuona Mwajuma naye anajiandaa kwenda chumbani kwake kulala. Alitabasamu tu mama huyo kuona wanakula sahani moja na mwanaye ambaye hajui kabisa kinachoendelea.
Kwa Badu hakuwa anafikiria kabisa swala ambalo wameongea na mama J. Yote waliyoongea pale kwake hakuwa kabisa tayari kuyafanya. Alibaki kwenye msimamo wake uleule na wala hakutaka kutetereka. Ilibidi sasa ampigie Mwajuma simu wakawa wanaongea kuhusu swala lake la kuondoka hapo huku akijitetea kuwa anataka kuwa na uhuru wa mapenzi yao hivyo akienda mbali na hapo itakuwa vizuri sana kuliko kuibaiba kuingia chumbani kama wanachepuka kumbe ni wapenzi. Hilo kwa Mwajuma alilielewa na kujiaminisha kuwa Badu ni wake sasa. Alilala usingizi mzuri Mwaju siku hiyo.
Asubuhi ya saa nne mama J alikuwa tayari ameshajiandaa kwenda kutafuta gesti. Hakika alikuwa na upiru haswa wa kukutana na kijana Badu. Muda wote Vadu alikuwa ndani tu akichungulia dirishani, alipata kumuona mama huyo akitoka kuondoka zake. Alijua ndio safari imeanza, haraka akanyanyua simu yake na kumpigia simu dereva wa gari.
“Kaka haraka njoo nataka kuhama sasahivi.”alisa Badu na kukata simu baada ya kumuita dereva waje kuanza kuhamisha vitu. Nusu saa mbele gari lilifika na bila kuchelewa wakasaidiana kutoa vitu kuvipakia kwenye gari.
Jesca alibaki kutazama tu kuona kweli Badu anaondoka zake. Alijizuia kuona na mwishowe akaamua kuingia zake ndani kufungua muziki kusikiliza. Haikutosha hivyo, alitoka kuelekea dukani kununua mzinga wa pombe akarejea zake ndani kujifariji. Badu alimtazama tu Jesca akiingia ndani na bapa la Konyagi. Hakuwa na la kusema zaidi ya kuendelea zake kumalizia kuingiza vitu kwenye gari hilo hadi vilipomalizika.
Alichukua funguo na kufunga chumba kisha akaelekea zake kumkabidhi chumba mzee Chombo ambaye alimuaga na kumtakia maisha mema huko anapoenda kuanza maisha mapya.
Alipanda kwenye gari na dereva wakaanza safari kuelekea kwenye makazi mapya.
Mama J alikuwa ndani ya chumba baada ya kufika na kuvua nguo zake zote akabaki na shanga tu zilizopamba kiuno chake. Alijilaza kitandani kuanza kumpigia Badu, ajabu simu haikuwa inapatikana kabisa. Alijatibu hivyo mara nyingi zaidi hali ilikuwa hivyohivyo. Alianza kuingia na wasiwasi kuona huenda kijana huyo amemchuza. Punde tu simu yake ikaita na kuona ni mumewe mzee Chombo anapiga, akapokea akiwa amenuna sana.
“We mwanamke uko wapi?”alisikika mzee Chombo.
“Kwenye vikoba!”
“Ah haya nimeiweka hapa mezani funguo ya chumba alichoondoka Badu. Mi natoka mara moja.”aliongea mzee huyo na kumfanya mkewe moyo umlipuke baada ya kusikia hivyo.
“Unasemaje? Huyo kijana…. Khaa!”
“Ndio hivyo ameondoka hapa haraka haraka. Kwahiyo chumba kipo wazi akipatikana mtu huko nafasi ipo.”alisa mzee huyo na maneno yake yakazidi kumchanganya mama J hadi kuamua kukata simu.
Akaitupa simu yake pembeni baada ya kujua amedanganywa na Badu wakutane kumbe alikuwa ameshapanga kuondoka.
” Hahaaha, anajifanya mjanja sana. Haya umeshinda Badu, leo umeniweza kwakweli.”aliongea mama J huku akitabasamu. Alitafakari anawezaje kuacha chumba kile ambacho tayari ameshakilipia. Alimpigia baba Dula kuona kama ataweza kukubali lakini haikuwa rahisi kwa baba huyo ambaye hakutaka kabisa kupokea simu muda wote alokuwa anapiga mama J yeye hukata akionesha hataki kabisa kumsikikiza.
Alibaki njiapanda mama huyo ikapidi atafute namba ya Roja, alikumbuka siku ile alipomweleza kijana huyo kuwa hataki kabisa mazoea na yeye. Alikata tamaa kabisa ya kumpata kijana huyo. Ilimbidi akubali matokeo tu, alivaa nguo zake na kuweza kuondoka zake kurudi kwake.
“Yaani nahangaika kama sina mume jamani.”alijisemea mwenyewe mama J akiwa zake anatembea kuchukua usafiri.
Jesca alilewa sana siku hiyo, mwisho wa siku akaamua kuyaacha yote na kumsahau Badu kabisa. Aliamua kuamza maisha yake bila kumfikiria tena kijana huyo aliyemkoleza hasa kimapenzi.
Tangu siku hiyo Mwajuma akawa ndiye mpenzi wa pekee kwa kijana Badu. Hakuweza tena kusumbuliwa na mwanamke mwengine yeyote kimapenzi, aliamua kujiweka mazima kwa Mwajuma ambaye alikuwa fundi haswa kwenye moyo wake. Walifanya, na kufanya na kupena tena huba kila ambapo wanahitaji kukutana wapenzi hapo.
Miezi zaidi ya mitano ikapita maisha yakiendelea, siku hiyo Badu akiwa zake ndani kwake anasikiliza muziki mzuri alipata kusikia mlango wa chumba chake unagongwa. Ilibidi anyanyuke alipokaa kwenye sofa akasogea hadi mlangoni kuweza kuufungua. Alishtuka kumuona mtu ambaye alikuwa amesimama hapo mlangoni akiwa mwenye kutabasamu.
“Ulinikimbia, ulijua sitajua unapokaa sasa. Bado unadeni langu na haujalilipa. Hebu tumalizane basi leo kila mtu akafanye mambo yake.”
Ilikuwa ni sauti ya mama J akiwa anaongea kwa kujiamini sana. Alimfanya Badu ashangae sana asijue mama huyo amepajuaje hapo kwake.
MWISHO
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU