UKO HOME NIJE 17
Nilibaki nikitafakari kwamba itakuwaje maana nilikuwa na wasiwasi sana kuhusiana na suala hilo
“Itakost shilingi ngapi daktari wangu?” niliuliza
“Shilingi laki moja tu ntakusaidia ili upone”
Nilikaa nikatafakari lakini baadaye nikapata jibu kwamba lazima niwe katika hali ya uzima hivyo nikajikuta nimekubali kupata matibabu hayo
Haikuchukua muda mrefu nilipelekwa katika chumba cha matibabu lakini mpaka muda huo nilikuwa sijamuona mke wangu Sayuni, niliambiwa nikishatibiwa ndipo nipata ruhusa ya kumuona
Nilivulia nivue nguo zangu nikajilaza katika kitanda maalum kwa ajili ya matibabu nikaona nimzungukwa na madaktari na manesi halafu wakanishika kwa nguvu, bila kuelewa kwa nini wamenishika
Baada ya kunishika kwa nguvu nikiwa nimelala chali, niliona daktari mkuu ameingia na vifaa vya kutosha halafu akanisalimia vizuri na miwani yake sitomsahau
Niliona amechukua kifaa kama bomba la sindano hivi sijui ndani kulikuwa na nini lakini alinifuata na kuushika uume wangu, halafu nikafumba macho kwa uoga
Nilishangaa ameingiza sindano ile ndani ya mrija uume wangu mpaka mwisho, tena bila ganzi “mamaaaa” nilipiga kelele kwa nguvu maana sio kwa maumivu yale niliyokuwa nimeyasikia, nilijaribu kufurukuta lakini wale manesi walishika kwa nguvu, sikuweza kufanya chochote
Yule daktari alianza kunyonya uchafu ndani uume wangu, yaani jinsi alivyokuwa ananyonya sikuamini maana nilikuwa naumia kweli
Alinyonya kile kinyesi na kuchomoa ile sindano kwenye uume wangu akaweka pale pembeni, kiukweli nilijua ndo ameshamaliza lakini baadaye tena alikuja na sindano nyingine akaichoka
“Mungu wangu, maaamaaa auwiii inatosha doctor sitaki tenaaa auwii” nilisema kwa maumivu makali, nililia kama mtoto, mwili ulikakamaa lakini sikuwa na cha kufanya nililia zaidi kwa kweli
Alinyonya uchafu na sindano ya pili akaitupa pale na kuingiza nyingine akanyonya, daaah ndugu yangu usiombe yaani unachomekwa sindano katikati ya sehemu ya uume ya kupitishia mkojo nililia kweli kweli daaah yaani maumivu sio ya nchi hii
Waliniachia nikiwa nmeshalegea mwili mzima halafu doctor akanitazama na miwani yake
“Pole sana kijana” aliniambia lakini nilikuwa na hasira sikuitika
“Hata usipoitika, hiyo ndo adhabu ya watu mnaozoea kuwaharibu watoto wa kike sehemu zao za haja kubwa, kama ukirudia nakuambia yatakukuta zaidi ya haya mshenzi wewe” alisema doctor kwa hasira na kuondoka
Nilibaki katika chumba kile nikiwa mwenyewe, baadaye nilipata nafuu baada ya kumeza dawa za maumivu, halafu, nikashuka taratibu nikavaa suruali nikatoka nje nikiwa bado ninaumia kila nikipiga hatua,
Niliruhusiwa kwenda kumuona mke wangu Sayuni, nilipofika machozi yalintiririka kwanza maana nlikuta analia eti halafu mtoto alikuwa ameshajifungua na alilazwa pembeni yake
Nilimkumbatia palepale kitandani, nikiwa ninalia maana maumivu yalikuwa makali “Pole mume wangu” Sayuni aliniambia mimi nikatikisa kichwa tu na kumtazama mtoto
“Imekuwaje ukajifungua?” nilimuuliza]
“Mume wangu nimewekewa matambara katika sehemu za makalio yangu kuzuia kutoa upepo, nimepigwa sana mume wangu lakini ninashukuru Mungu nimefanikiwa kujifungua mtoto wa kike”
“Hongera na pole mke wangu” nilimuambia
“asante”
*
Baada ya siku tatu Sayuni aliruhusiwa kurudi nyumbani hakika nilikuwa bado hata sijadindisha siku hizo zote, nilipata maumivu sana sitosahau, na sitoshauri mtu afanye mapenzi kinyume yaani inaumiza sana na ina madhara pande zote, sio kwa mfanywaji wala mfanyaji yaani watasafa
Niliendelea kuishi na mke wangu na baada ya muda nilirudi katika hali yangu ya kawaida, lakini kamwe sikuthubutu kufanya mapenzi kinyume na maumbile kabisa nilifanya tu kwenye uchi na sio kwenye puru
Nakushauri ndugu usithubutu kufira wala kifirwa, ni hatari sana kwa afya yako ya uzazi na maisha pia utateseka
Asanteni kwa kusoma kisa hiki cha maisha yangu nisichokisahau
MWISHO🔞🔞🔞🔞 jifunze kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni hatari kwa aya yako
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU