SEASON 2: KIAPO CHA MASIKINI (43)

SEHEMU YA 43

ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA MBILI: Careen alitazama muda, akaona kuwa inakaribia saa nne na nusu za usiku, kisha akainua uso wake kumtazama Peter, “mume akisema basi mke hana chaguo” alisema Careen huku anainuka na kumpa mkono Peter, kwa maana ya kumtaka aushike, Peter akaushika mkono wa Careen huku kichwani mwake akijadiri swala zito, “inabidi niwe makini sana, nisije kufanya jambo la kipumbavu alafu nikaishia jela” aliwaza Peter, huku anainuka toka kwenye kiti, hapo kwa bahati mbaya Careen akatazama sehemu zambele za Peter, usawa wa bukta, alicho kiona kilimfanya atabasamu, “nimeelewa kwanini unasema tuende kulala, lakini mbona hivyo alafu bado mapema sana” alisema Careen kwa sauti iliyoambatana na kicheko flani hivi cha aibu, huku anatazama chini………..Endelea…
na kuanza kutembea, kuongoza ndani, huku ameushikilia mkono wa Peter, “lakini bado hatuja ondoa vitu mezani pamoja na simu zetu” alisema Peter, huku akisimama kumzuwia Careen asiweze kuendelea na safari yake, “usijari Peter, kuna watu wataondoa” alisema Careen, huku anaanza tena kutembea, na Peter akamfwata, kila mmoja kwa wakati wake akifanya jambo ambalo mwenzie alilifanya, lakini pasipo mwenzie kujuwa anafanya anacho kifanya, Peter akiwa nyuma ya Careen, alikuwa anatathimini, mwili nzuri wa Careen ulio umbwa na ukakubari kuumbwa, na ukizingatia kuwa Careen alikuwa amevalia kijigauni chepesi, basi dah! Peter alikuwa anafaidi kwa macho, alipoweza kushuhudia jinsi makalio ya mwanadada huyu, yalivyokuwa yana tikisika kwa mpangilio na utaratibu, kila alipokuwa anapiga hatua kuusogelea mlango, na kufanya dudu yake yenye kiu, kuzidi kututumka na kuona wazi ilivyo jaa kwa kusimama, ndani ya bukta ile nyepesi, huku mala kwa mala akimwona mschana huyu anamtazama usoni na kushusha macho chini, kisha kumtazama tena usini, kwa macho ya liyojaa aibu ya kike na kutabasamu, kisha kutazama mbele, kwa dalili ile ni wasi kabisa kuwa Careen akuwa amelewa sana, Peter nae angeachia tabasamu, pasipo kujuwa kuwa Careen alikuwa anatazama jinsi dudu ilivyo simama.
Waliingia ndani, huku wafanyakazi waliokuwa macho wakiwakiwa tazama kwa mshango, huku wengune wakienda nje kutoa vitu vilicyo salia mezani, wao wakipandisha ngazi moja kwa moja mpaka ghorofani, ambako waliingia kwapamoja chumbani kwa Michael, ambako walimkuta amesha pitiwa na usingiz juu ya kitanda kizuri na kikubwa, huku chumba kikiwa kimepambwa na vitu vingi sana, ambavyo vilitamburisha chumba hiki kuwa ni chumba cha mtoto tena wakiume, Peter alijikuta akitabasamu na kumtazama Careen, “asante Careen, japo kwa siku mmoja tu, umefanya mwanangu aishi kama mtoto wa mfalme” alisema Peter kwa sauti iliyojaa hisia kali sana yenye shukrani yadhati toka moyoni, “Peter, situmekubariana mimi ndie mama bora wa Michael” alisema Careen huku anasogea zaidi ubavuni kwa Peter na kujiegemeza kwenye bega lake, huku nywele zake ndefu zikingusa gusa Perer shingoni nakuwa kama zinamtekenya kwa makusudi, “hakika, ata mimi napenda ningekuwa mume unae endana nae” alisema Peter, huku akilazimisha sauti yake kuwa ya kawaida isiwe ile ya mtetemeko, “unakila sifa ya kuwa mume bora kwangu, twende chumbani tukaongee zaidi” alisema Careen, huku anaushika tena mkono wa Peter, na kumwongoza kutoka nje ya chumba kile ambacho sasa tuna weza kusema ni cha Michael, huku Peter ambae nikama bado alikuwa katika mawazo yake ya kwamba Careen, anamfanyia utani, akimfwata nyuma, na walipofika kulidoni, wakaanza kutembea sambamba, huku Careen akiwa amejiegemeza ubavu kwa Peter, huku Peter mwenyewe akiwa anashindwa la kufanya, na kubakia kama mdori, “Careen kuna chochote utaitaji usiku huu, au niwaluhusu wafanyakazi walale?” walishtuliwa na sauti ya yaya Groly, ambae alikuwa amesimama kwenye gazi za kushukia chini, huku ameachia taasamu angavu.
Kabla Careen ajajibu, kwanza alimtazama Peter, kama vile anatakumwuliza jambo, lakini ni kama alipata jibu kabla ajauliza, “hapana yaya, unaweza kwenda kulala, Peter nita mtazama mwenyewe, waambie wafanyakazi wamtazame Michael mala kwa mala” alisema Careen kwa sauti ile ile tulivu kama kawaida yake, kisha akamtazama Peter, “sindiyo Peter, unaitaji kutazamwa na mimi sawa” alisema Careen, na pasipo kusubiri jibu, akaanza kutembea kuelekea upande wa chumba chake, huku wakipita, mlango wa chumba cha Peter, Peter akushangaa sana, alizania kuwa anapaswa kumsindikiza Careen mpaka chumbani kwake ndipo na yeye arudi kulala chumbani kwake.
Lakini aikuwa hivyo, mala walipoingia ndani ya chumba kikubwa mfano wa nyumba yenye kujitosheleza, kuishi mtu, mwenye maitaji makubwa, “sumba chako kizuri sana Careen, nikutakie usiku mwema wenye ndoto njema, ndani ya chumba hiki cha binti malkia” alisema Peter ambae alitaka kutoka nje na kueleka chumbani kwake, lakini Careen akamdaka mkono, “hooo peter unawezaje kumwacha mkeo alale peke yake, kuanzia leo uta lala hapa, karibu uke nikuwekee wine nzuri toka kwa malikia wa #mbogo_land” alisema Careen huku anamwongoza Peter kwenye kochi zuri mfano wa lililotengenezewa kwa dhahabu, “lakini Cereen, tumelewa sena, kesho tutashindwa kujibu maswali kwa kile unacho kianzisha sasa” alisema Peter, huku anaweka ubishi kukaa kwenye kochi, “maswali? kama yapi labda?” aliuliza Careen huku anamgeukia Peter na kujiegemeza kifuani kwake, hapo msisimko ilizidi mala dufu, na kuzidi kuinua dudu kule chini, ambayo sasa ilienda kugusa, eneo la shamba la bibi la Careen, “Careen sisi ni binadamu, nilisha kuambia ukweli kuhusu mimi, nina mwaka sasa sija lala na mwanamke…” hapo Careen akamkatiza Peter, “Peter bwana, mimi na wewe ni baba na mama, sindivyo tulivyo kubariana, au ulikuwa unanitania?” aliuliza Careen kwa sauti iliyojaa uzuni kubwa, huku anamtazama Peter usoni, kwa macho ya mshangao na kukata tamaa, “Careen sidhani kama unamaanisha unachokisema” alisema Peter, huku akisikilia joto la matiti ya Careen ambayo yalikuwa yamegusa kifua chake, kwa namna ya kupendeza, “Peter unataka nisema nini ili uamini kuwa ninamanisha kwa kile ninachokisema, lakini si tulikubaliana kuwa tunaenda kuwa baba na mama Michael?” aliuliza Careen, akionyesha wazi kuwa hakuwa na anatania, “Careen unazani nita weza kutimia ata punje moja, ya yale ambayo umezowea kupewa na mwanaume wako wa zamani?” aliuliza Peter, huku anamtazama Careen alie kuwa bado kifuani kwake, “sijawai kuwa na mwanaume, wewe ndie mwanaume wangu wa kwanza, na ninaamini ulicho nipa wewe, hakuna wanaume mwingine ambae anaweza kunipa” alisema Careen huku anamvuta Peter kwenye kochi, na Peter nae akalegea na kuelekea kwenye Kochi.***
Ebu twendeni Linjumbwi usiku huu, nazani wengi wetu siyo wageni wakijiji hiki, ambacho kikawaida tunakiita ni mashambani, kutokana na kuachana ahcna kwa nyumba za wanakijiji, katika kijiji ambacho akina shule wa hospital au ofisi za mwenye kiti wa kijiji, yani ukitoka kwa Mhagama, basi ungevuka vichaka na mashamba, mpaka ufike kwa mzee Komba Kofia mbaya, baada ya hapo ungetembea kwenya vichaka kwa mwendo wa mita mia mbili au miatatu, mpaka ufike kwa mzee Mabudi, lakini hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kilichokuwa kina fahamu kuwa kilomiya moja nje ya kijiji hiki upande wa kusini, kulikuwa na shamba la hekari, ishilini la bangi, ambalo uzalisha bangi nyingi, inayouzwa ndani ya mikoa ya kusini na nje ya ukanda huo, ni shamba linalomilikiwa na bwana Pitus Kalonga, na usiku huu kulikuwa na vijana wanao vuna hekari tano za bangi, katika shamba ilo lenye ubwa wa hekari ishilini.
Huku wakipakia kwenye mifuko mikubwa, na kuipanga vizuri tayari kusafirisha, pindi wakimaliza mavuno, katika lengo lao, hakika mzigo huu ukifanikiwa kuingia mtaani, kitakuwa kiasi kikubwa cha bangi, kuwai kuingia mtaani kwa pamoja.***
Peter akiwa ananza kuamini kinachomtokea kuwa kinamtokea yeye, na siyo utani, alikaa kwenye kochi, huku anamtazama Careen ambae bado alikuwa amesimama, “Careen nimekupa nini kinacho stahili haya yote, au ninaota kwamba nikiamka nitajikuta hotelini nadaiwa ela ya watu?” aliuliza Peter akimtazama mwanadada wa dhahabu, ambae sasa alikuwa anatembea kuelekea kwenye kabati la vioo ililobeba chupa za vinywaji mbali mbali, ambayo mwonekano wake ni waghalama kubwa, “Peter ulichonifanyia unaona nikawaida, lakini kwangu niutambulisho mkubwa ana kuwa wewe ndie mume bora kwangu, kitu muhimu ninanchojali ni kwamba unanipanda, sindiyo hivyo Peter” alisema Careen, kwa sauti ya taratibu, huku anafungua kabati la vioo, na kuchukuwa chupa ya wine, na grass mbili, kisha akasogea nazo pale alipokwepo Peter, alafu akaweka mezani na kuifungua kisha akamimi na kwenye grass zote mbli na kumpatia moja Peter, alafu akainywa yakwake kidogo, na kuiweka mezani, huku Peter muda wote anamtazama tu, akamwona anakaa pembeni yake juu ya lile kochi dogo la watu wawili, na kufanya miili yapo igusane, “hii ndoto ni tamu, natamani kusikuche” alisema Peter, akiamini kuwa yupo ndotoni na kwamba anaomba ndoto ile isikatike mapema, na Careen ambae alikuwa pembeni yake, akizania kuwa ni utani,
Naam wawili awa mida hii kwao, ilikuwa nikama wanaanza upya, maana walianza kunywa taratibu, huku wamegusana miili yao, “kwahiyo Peter ukiachia huyu mwanamke mkorofi, auna mwanamke mwingine?” aliuliza Careen huku anaweka Grass mezani na kukujiegemeza kwenye ubavu wa Peter, hakika kitendo hiki kilikuwa kina mfanya Careen ajihisi msisimko wa ajabu, wenye kuleta utamu ndani mwilini mwake, hali hii alianza kuipata toka usiku wa siku iliyopita kule hotelin, aliponyanyuliwa na kijana huyu, wakati awezi kutembea, “daima uwa sichanganyi mapenzi kwa wakati mmoja, uwa nataka mwanamke nilie nae ajione wakipekee” alijibu Peter, huku anasikilizia mgusano wa miili yao, msusano ambao ulifanya damu yake izidi kuchemka na kuongeza kasi, na kuzidi kunyanyua vilivyo fichika, “wow! kwahiyo na mimi utanipenda peke yangu!?” aliuliza Careen huku anaachia tabasamu la furaha, swali ilo lilimfanya Peter amtazame Careen kwa macho yanayo uliza, ………..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata