SEASON 2: KIAPO CHA MASIKINI (47)

SEHEMU YA 47

ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA SITA: “sijuwi bado amesimamisha” aliwaza Careen, huku amesimama anatazama kitandani alipolala mgeni wake, sijuwi alipata wazo wagani, “ngoja kwanza” alijisema Careen kimoyo moyo na kuachia kitasa, kisha akaanza kurudi ndani akielekea usawa wakitandani, na alipo fika kitandani akaweka mkba chini, kisha taratibu akalikamata shuka alilojifunika pita, alie kuwa amelala fofofo, kama alivyo onekana mbele ya Careen, ………..Endelea…
Careen alifanikiwa kufunua shuka, pasipo kumshtua Peter alie kuwa amelala fofofo, na kuweza kuiona dudu ya Peter, iliyokuwa bado imesimama kweli kweli, akajaribu kuigusa kwa ncha ya kidole chake, kwenye kichwa cha kifaa hicho cha uzazi, ambacho kilicheza kama antenna ya land cruzer mkonga nje, hapo Peter akaonekana kijigeuza huku akiwa usingizini na kulala kifudi fudi, huku Careen akaokota mkoba wake, kwa haraka sana na kuwai mlangoni, akafungua nakutoka nje, akasimama na kuanza kuchea mwenyewe, ungeona wazi kuwa anajicheka.
Naam baada ya kufanya hivyo kwa sekunde kadhaa, ndipo alipokumbuka kuwa lazima kuna mfanyakazi wake mmoja au wawili watakuwa wanamsubiri kwa kikombe cha maziwa, hivyo alikatisha kicheko chake, na kuinua usowake taratibu, akitazama upande wakushoto, ambalo aliweza kuwaona waschana wawili, mmoja akiwa amebeba, kikombe cha chamaziwa, na mwingine akiwa ameshuka simu, nne mkononi mwake, tatu za Careen na moja ya Peter, wakiwa pamoja na yaya Groly aliekuwa wote wakiwa wanamtazama Careen kwa nyuso za tabasamu, huku wanainamisha vichwa vyao, kumsalimia, “mbona mme simama hapa?” aliuliza Careen, kwa sauti tulivu huku ana sura yake akiiondoa katika hali ya kicheko na furaha, na kuwa kawaida kama walivyo zowea kuiona, huku ana tembea kuelekea waliposimama wakina yaya Groly, na kuwapita pale waliposimama akizifwata ngazi za kushukia chini, haraka sana yaya Groly akamfwata, akifwatiwa na wale waschana wawili, “Careen inaonyesha usiku wako ulikuwa mzuri sana, yani umesahau kama kuna kikombe cha maziwa kwaajili yako?” aliuliza yaya Groly, kwa sauti ya kunong’ona, huku anacheka cheka, hapo Careen akasimama na kuwageukia wale waschana wawili, huku ananyoosha mkono kupokea simu zake, akiiacha ile ya Peter, “hakikisheni akiamka mnampatia supu, nguo nzuri za kubadiri, na hiyo simu yake, hivyo hivyo kwa mtoto, na muhakikishe atoki mpaka nije, na mtoto apate muda wakucheza pia” alisema Careen ambae alionekana wazi kuto kuitaji maziwa, asubuhi ile, maana aliendelea kutembea kufwata ngazi za kushikia chini.
Hapo wale wafanyakazi wakainamisha vichwa na kugeuka kuelekea upande wa ukimbi wa juu, wakiwaacha Careen na yaya Groly, wakishuka chini, “yaya sijuwi nikuambie nini, ilikuwa raha sana, yani nimelala kifuani kwake usiku wote” alisema Careen kwa sauti ya kunongona, huku akiachia tabasamu afifu, “weee, vipi lakini mlifanya chochote” aliuliza yaya Groly, huku wanaendelea kuelekea nje ya nyumba, huku mfanyakazi mmoja akijaribu kumpokea begi Careen, ambae alikataa, “hapana yaya, atujafanya lolote, ninaogopa sana, inatisha, yani nikubwa sana” alisema Careen huku anacheka kidogo sana, “mh! alivua nguo mbele yako bila aibu?” aliuliza Groly kwa mshangao, “nilimwambia mimi avue, ni msikivu sana, anaelewa ninachomweleza” alisema Careen huku anafungua mlango wagari, na kuweka begi lake, “vipi kuhusu wewe, ilivua nguo zako mbele yake?” aliuliza Groly, ambae alionyesha kuwa na wasi wasi, “ndiyo lakini nililala na gauni, bila chupi, kwani kunaubaya kifanyahivyo mbele ya mpenzi?” aliuliza Careen huku wakiwa wamesimama nje ya gari, “inashangaza, mlionyesha miili yenu, nabado akujaribu kufanya lolote, au anamatatizo ya kiume?” aliuliza Groly, kwa sauti ya chini, iliyojaa wasi wasi, “unamanisha awezi kulala na mwanamke, mbona niliona amesimamisha kwanguvu sana, na isitoshe Michael ni mtoto wake” alisema Careen huku anamtazama yaya Groly kwa umakini, “basi nikijana mvumilivu sana, yani siyo tu kuona utupu wako, pia mlikunywa wine, lakini bado akaacha kukufanya?” aliongea Groly akionyesha mshangao wa hali ya juu, hapo Careen akatabasamu huku anaingia ndani ya gari, na kufunga mlango, kisha akawasha gari, kabla ajaondoka akawa amekumbuka jambo, akashusha kioo cha mlango wake, “yaya” aliita Careen na yaya groly akasogea mlangoni, “eti yaya, hivi Peter akitaka kunifanya, nifanyeje, maana ninaogopa nitaumia?” aliuliza Careen kwa sauti yenye wasi wasi, hapo yaya Groly akatulia kwa sekunde kadhaa kisha akamweleza, we nenda kazini, nita kusaidia ili usisikie maumivu” hapo Careen akaondoa gari huku ameachia tabasamu pana usoni mwake.***
Naam mida hii ndio mida ambayo, Janja alikuwa anamshusha Kadara yani Queen mbele ya duka la Kadara, ambae alimkuta dio kwanza anamalizia kulifungua, “jamani dada Queen, naona leo unaendelea vizuri, inaonyesha ulipata matibabu mazuri” alisema Kadara kwa sauti iliyochangamka, wakati huo Janja akiwa amebakia ndani yagari, anamsubiria mshemeji yake huyo, “sanaaa yani nakushuruku kwakuniwezesha fedha ya kwenda Hospital” alisema Sada, kwa uchangamfu pia, “aya niambie mbona mapema hivi” alisema Kadara, na hapo Sada akamweleza Kadara nia na dhumuni la safari yake, akidai kuwa anaitaji kuwasiliana na wazazi wake, “sawa, ngoja nikupe namba ya mama Kachiki, pale jilani yenu, ila da Queen inabidi uwa nunulie ata kitochi, wazazi wako” alisema Kadara, huku anatoa simu yake na kuanza kupekuwa majina, “nita wanunulia Kadara, siuajuwa jana tu nimetoka kuibiwa” alisema Sada kwa sauti ya kulalamika, huku ameshaishika simu mkononi, niile ya Peter.
Muda mfupi ujao tayari Kadara alikuwa ameshaipata namba ya simu waliyo itaji na kumtajia, huku Sada akiandika kwenye simu ya Peter, na alipomaliza akaipiga, nakuisikilizia kidogo, nayo ikaanza kuita, “inaita saa poa basi baadae” alisema Sada huku anaelekea kwenye gari, huku simu ikiwa sikioni, inaendelea kuita, “vipi umesha fanikiwa?” aliuliza Janja, mala tu baada ya Sada kuingia kwenye gari, “ndiyo nampigia” alijibu Sada kwa sauti ya chini, ni sawa tu na kunong’ona, kabla ajaanza kuongea, ni mala tu ya baada ya simu kupokelewa, “niambie mama Kachiki, mambo” alisalimia Sada, kwa sauti flani hivi, kama ya mtu alie rizika na maisha yake, “poa tu nani mwenzangu” ilikuwa ni sauti ya kike, iliyobeba rafudhi ya kindendeule, “hooo vibaya hivyo shost, yani umeshindwa kunifahamu, ni mimi Sada” alisema Sada akijitambulisha jina lake harisi, “hooo Sada jamani, yani toka uondike ndio kimya, alafu nasikia mumeo na Michael wamekuja huko vipi hupo nao?” mh! mpaka hapo Sada akaona akuna msaada wowote anaweza kuupata kwa mama Kachiki, “kazi nyingi best, yani ukiingia ofisini asubuhi, kutoka saa nne usiku” alisema Sada, huku Janja alie kuwa anendesha gari, akijizuwia kucheka, kwa uongo wa Queen, “hongera sana Sada kumbe unafanya kazi ofisini” alisema mama Kachiki, “asante best, sasa niliktaka kuongea na mama hapo nyumbani, kuna mizigo nimeituma, nataka niwaelekeze wakaipokee” alisema Sada ambae aliona kuwa mtu pekee wakumtuma akachunguze juu ya maali ambapo Peter na mwanae walipo, ni mama yake tu, “wala usiwe na wasi wasi, nawapelekea sasa hivi, nikifika tu, nita kupigia” alisema mama Kachiki, kwa uchangamfu mkubwa sana, “poa basi nasubiri” alisema Sada, kisha wakakata simu, kwamakubariano ya kwamba mama Kachiki ata piga simu muda mfupi ujao, endapo ata kutana na wazazi wa Sada, “he! Sada tena, ndio jina lako la utotoni au?” aliuliza Janja, ambae alilisikia jina la Sada kwa mala ya kwanza, “jina langu la utoto, watu wakijijini wanapenda sana kuniita jina ilo, siunajuwa washamba awajuwi kuita Queen, yani wananikera sana” alisema Sada, akionyesha kama amechukia.
Hivi kama jina la mtu ndiyo mtu, na sada anaweza kulikana si sawa na amejikataa mwenyewe, sasa sijuwi Peter alitegemea nini, toka kwa mwanamke huyo, ambae ameweza kulikana jina lake mwenyewe, pia amemkataa mwanae alie mzaa kwa uchungu mkubwa, atashindwaje kumkataa yeye.***
Peter ambae siyo tu kubanwa na mkojo, ila ukweli alikuwa ameshikwa maana mpaka kibofu kilikuwa kina mchonyota kwa ujazo wa mkojo uliokuwepo, alipohakikisha Careen ameondoka zake, aliinuka haraka toka kitandani nakukimbilia chooni, ambako mwanzo alizania kuwa amepotea, kwamaana ameingia kwenye chumba ambacho, bado ajajuwa matumizi yake, kutokana na usafi wake, hivyo katoka na kutazama pembeni ya mlango ule wa bafuni pengine kutakuwa na mlango mwingine, lakini akashangaa kuona hakuna dalili ya mlango wowote, akarudi tena mle mle alimoingia mwanzo, na kutazama vizuri na kuona kuna sinki kubwa kama bwana lililoelekezewa mabomba kisha ya maji, huku sakafu ya vigae vya chupa vya rangi ya blue na uwa meupe, vikiwa na dalili ya kulowa, ndipo alipo tambua kuwa ni bafu la kuogea, lakini sasa choo cha kujisaidia kiko wapi.
Makini Peter alie banwa na mkojo, kisawa sawa, akuweza kuliona sink la choo, ambalo lilikuwa mbele yake, upande wa kushoto, ni lile la kukaa, ambalo kutokana na kuwa limefunikwa ndio sababu ya kuto kutambua matumizi yake, maana ata alipopata wazo la kufunia lile sink jeupe, mfano wa kiti au kigoda, akaona ndani kuna maji ambayo aya kuwa na dalili ya kukauka, “mh! yani chem chem. mpaka ndani?” alijiuliza Peter, ambae kiukweli bado alikuwa anasikilizia maumivu ya kibofu, kilicho jaa mkojo.
Hapo ndipo shilingi iliposimama, kichwa akitaki, mwenge unakataa, Peter alibakia anatazama ile chem chem, huku amefunika viganja vyake sehemu zambele za dudu yake, ambayo ilikuwa imesimama kweli kweli, “uuuuuwiiiiiijamani choo kikowapi? ukisikia kuzalilika ndo huku” aliongea peke yake Peter, huku amebana miguu, na wakati huo huo akasikia mlango wa chumba kile unagonjwa toka nje, yani ile hodi ilikuwa kama imeusukuma mkojo, na sasa ulikuwa unakunja kwakasi, tayari kutoka nje. ………..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!