
SEHEMU YA 53
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI: kwanza Careen anaanza kwa kucka kidogo, kicheko ambacho ata mama yake ukisikia mala moja moja sana, katika Maisha ya Careen toka alipovunjwa moyo na Mwenye Elvis, miaka miwili iliyopita, “nimepata mchumba mama” alisema Careen huku anacheka cheka, hapo ukafwata mshangao wa hali ya juu toka kwa mama Careen mke wa mzee Martin, “weee unahakika unacho kisema, ni nani huyo mchumba, ni mmoja wawafanyakazi wako, au ni mtazanzania?” aliuliza mama Careen kwa mshangao wa hali ya juu.……..Endelea…
Mashangao wa kuto kuamini, maana sikuzote walikuwa wanaamini kuwa Careen baada ya kukosa Elvis, asinge weza kujiingiza kwenyemausiano mengine tena, “ni mtanzania mama, anaitwa Peter Jacob, ni yule niliekuambia, alinisaidia juzi, nilipopewa dawa za kulevya” alisema Careen, ambae tayari alisha wai kuwa julisha wazazi wake kumhusu, “imekuwa bahati mwanangu, umempata mwaume ambae umemkusudia” alisema mama Careen kwa sauti iliyoonyesha wazi kuwa na furaha.
Waliongea mawili matatu, na mwisho wakaagana huku mama Careen akiomba kutumiwa picha za mkwe wake, “sawa mama nita kutumia” alisema Careen ambae alipanga kupiga picha nyingine baadae, ambazo angemtumia mama yake, na picha hizo zingepigwa kwenye studio mahalumu ya kupigia picha iliyopo pale nyumbani kwake.
Naam kwakifupi mida ya saa mbili tayari mambo mengi yalikuwa yamesha kamilika, tayari picha zilisha pigwa, na kutumwa kwa mama Careen, picha ambazo ata wewe msomaji ulie mwona Peter juzi akiwa anatoka Mwanamonga ungeziona picha hizo, hakika usingekubariana na macho yako, picha ambazo ata mama Careen alipoziona alipiga simu kumpa hongera mwanae kuwa amepata mwanaume mzuri, japo saa Peter alikuwa amesha badirika na kuonekana handsome, lakini siyo kama alivyoonekana kwenye picha.
Yap mida hii walikuwa wamekaa kwenye kibaradha cha nje cha ghorofani, wakipata chakula cha jioni, pamoja na mtoto Michael, ambae sasa alisha zowea kumwita Careen mama, huku wawili jioni hii, wakiongea na kucheka kwa pamoja, tofauti na ilivyo kuwa mchana, wakati wanaenda mjini, “kesho tunaondoka saa ngapi kwenda kuwasalimia wakina mama” aliuliza Careen wakati wanaendelea kupata chakula, “nivyema tukienda mapema, ili tuwai kurudi” alisema Peter, ambae mpaka sasa japo alishaamini kuwa ayupo ndotoni, lakini akuelewa kwanini Careen amempenda namnaile, “basi piga simu uwajulishe kuwa tutaenda mapema” alisema Careen, ambae ni wazi alikuwa na hamu sana na ile safari, Peter alipiga namba ya baba yake, lakini aikuwa inapatikana, “mh! bado ajaichaji au simu ni mbovu?” aliuliza Careen kwa sauti iliyojaa mshangao, “sijuwi, lakini nazani, atakuwa bado ajaifwata alikopeleka kuchaji” alisema Peter, huku anaweka simu mezani na kuendelea kula, “nazani kesho tatizo la umeme litaisha, maana wale mafundi wataondoka mapema kwenda huko kijijini kufunga Solar, sasa inabidi uwape maelekezo namna ya kufika nyumbani” alisema Careen, ambao walimaliza kula na kuanza kupata mvinyo wa nazi toka mbogo land.
Saa tatu ndio mida ambayo wawili awa waliingia ndani, Michael akapelekwa chumbani kwake na huku Peter na Careen wakiingia chumbani kwa Careen ambako sasa nikama chumbani kwao, ambako Careen aliweka wine mezani na wakaendelea kuinywa taratibu, huku wamekaa kwenye kochi moja, wamegusana kabisa, na kila mmoa akihisi joto la mwili la mwenzie, huku mambo yakiwa yame badirika kidogo, maana nikama walianza tena kuoneana aibu flani, japo kila mmoja alihisi kuitaji kutu flani kwa mwenzie, wakati Peter alie valia bukta nyepesi ya rangi nyeupe na tishet lililoshika mwili, alikuwa anasisimkwa na ule mgusano na mkaribiano wake na Careen, huku akiongezea na jinsi alivyo mwona Careen jana usiku akibadiri nguo mbele yake, alijikuta akisimamisha mnazi muda wote, na kutamani Careen angesema ata kwa bahati mbaya kwamba wafanye kile wanacho fanya wanandoa, huku upande mwingine akiona kama vile ni ndoto, kwa mtu kama yeye kuonja kitumbua cha mwanadada wa daraja la juu kama huyu, huku Careen mwenyewe akiwa katika hali ambayo, iliwai kumtokea miaka yanyuma, aliponusulika kupoteza bikra yake, kwakutamani kumpatia kitumbua Elvis, wakati huo akiwa mwenye Kijana, maana licha ya kuwa karibu na kugusana na Peter, lakini pia alijikuta akikumbuka jinsi alivyoona dudu ya kijana huyu, ambayo aliigua wakati ambao aliaminikuwa, Peter alikuwa usingizini, hakika alijihisi kuna kitu kinatekenya kwenye kunde yake na kutamani dudu ya Peter, ipite kwenye kunde ya kitumbua chake, na kuondoa ule mtekenyo, yani alitamani ata kijana yule mwenye aibu, amvamie na kumwingine kile kidude cha kutilia mimba, kama angeshinwa kuomba kwa mdomo wake.***
Usiku huo huo, ulikuwa ni usiku wenye pilika nyingi sana, wakati kule Linjumbwi, bagi ikiendelea kuvunwa, huku mjini iliendelea kuuzwa vibaya sana, vijana waliivuta kufanya kama ilivyo watuma, wapo walio itumia kama starehe, na wapo walioitumia kama kichocheo cha kufanya walicho kusudia, kama vile kwenda kufanya jukumu flani, ambalo lilimtia uoga mwanzo, kama vile kuiba au kufanya kazi ngumu, malipo yaliendelea kukusanywa, na kijana Husseni, ya dogo Janja, ange pitia toka kwa wauzaji wadogo wadogo, ya ni mapusha, kisha kwenda kureportisha kwa Emma ambae sasa alikuwa anauguza majelaha yake, yeye angegawa kidogo fedha zile na nyingine kumtuma huyo huyo janja, kwenda kupeleka bwana Kalonga, ambae anamkuta Kuchile Motel akiwa na OCD Mwanauta wana panga mikakati.
Na wakati Janja anarudi, anakutana na dogo Mwamba, ambae alipewa kazi ya kumfwatilia Careen, anatoa taarifa kuwa, alimwona amchana akiwa na wafanyakazi wawili ya ni wakike na wakiume, wakiwa wanafanya manunuzi kwenye duka la solar, lakini akuwa na mtu ambae wanamsema, Mwamba akujuwa kuwa huyo alie mtaja kuwa ni mfanyakazi wakiume ndie asa alie kusudiwa.
Janja nae anafikisha taarifa ile ile kwa Emma, ambae kwa sasa yupo ndani mwake, anakunywa bia na mpenzi wake anae mfahamu kwa jina la Queen wakati kule kijijini anafahamika kwa jina la Sada, na yeye anajiunga nao maana alikuja na chupa mbili kubwa za pombe kali, wanaendelea kunywa huku wanaongea na kufurahi.
Wakati huo huo, OCD Mwanauta na Kalonga, wanamaliza kupanga mpango wa kusafirisha bangi, ambayo walipanga isafirishwe week inayofwata, na waamia kwenye mpango wa kumnasa Careen, ambae kiukweli alipania kumwingilia kimwili, “kaka siwezi kukubari kumwacha yule mtoto, yani wakati vijana wanakomba ofisini kwake, huku mimi nakula … (alitaja jina kiungo kile cha uzazi cha kike) mtoto mkali sana, alafu ananata sana yule malaya” alisema Kalonga, huku OCD akicheka taratibu, wakati huo meza yao ilikuwa imetapakaa chupa za pombe kali za gharama, “mtoto mkali sana, anakitako flani ni hatari” alisema OCD, huku anaonyesha kwa mfano wa mkono, “we ngoja tu akijaa mkononi, natafuna mpaka lile tako” alisema Kalonga, na OCD akadakia, “dawa yake unamtafuna huku unamtazama usino, jinsi anavyo kunja uso kwa maumivu” alisema OCD mtu ambae, pengine ndie angetakiwa kutoa ushauri mwema kwa Kalonga, na kumsihi ahache mpango wake huo mbovu.****
Usiku huo huo tukienda kijijini mwanamonga, mambo yalikuwa moto, ndio kama kulikuwa kunakucha, kijiji kilichangamka, kwa sauti mbali mbali za redio, zilizokuwa zina piga music, usinge shangaa kuona, katika kundi la watu sita wawili au watatu kati yao wapo na redio, na wamefungulia kwa sauti ya juu, na wanasikiliza nyimbo tofauti, huku wana endelea kunywa pombe mbali mbali, ikiwa na ulanzi, ambao unapatikana madimbeni (mtoni/mkondeni) na komoni, ambayo ilipikwa kwa kimea, hiyo ndiyo pombe harisi, ikiwa ni toleo la kwanza la Beer, (afrikan beer) ambazo unywewa kwenyevisonjo, au vikopo vya plastic ambavyo uitwa con, kwenye wiwanja vya mazoezi, kama wangoni uita dumla, au robot, wanakamsemo kao “ugimbi unoga mumrobot”, ukiachia hiyo afrikan beer, pia wapo waliokunywa bia za kisasa, watu walicheza na kuburudika.
Achana na mambo ya pombe, sasa tuje kwenye mambo yanayo tendeka usiku, baada ya kulewa au ata kwa wale wasio walevi, walitembezeana dudu, kama hawana hakiri nzuri, iwe majumbani vichakani uwani ata msalani, na ndio mida ambayo mzee Nyoni na mke wake, walikuwa wanajitapa kuwa, wakati wowote, kijiji kita simama kwa muda, wakati wakazi wote wa Mwanamonga wakishangaa mizawadi ambayo binti yao Sada, atakuwa amewaletea, toka mjini songea, “shauri zao wanaoshangaa magari huko mjini” alisema mama Sada, kwa sauti ya nyodo na kebehi, na kwa bahati mbaya wakazi wa kijiji hiki, ni sawa na bahari, uwa aikai na uchafu, maneno yote na matambo yali mfikia mzee Jacob na mke wake, ambao nao walikuwa katika starehe zao, pale pale nyumbani kwao.
Jambo jema kwa mzee Jacob na mke wake, nikwamba awakuwa na muda wa kusema vibaya wala kuyaongea waliyo ya ona kwa Sada kule mjini, ila walisubiri kuona kitakachotokea hiyo kesho, maana wakati mzee Nyoni anasema kuwa Sada anawaletea zawadi, huku Peter nae, anasema kuwa kesho anakuja na rafiki yake wakike, ila aliwambia kuwa ameibiwa na Sada, na kwamba mengi zaidi atakuja kuwaeleza hiyo kesho, mala tu atakapofika nyumbani.****
Turudi songea mjini, mtaa wa maji maji shuleni, ndani ya jumba kubwa la kifahari, chumbani kwa Careen, kilichopo ghorofa ya pili, ambako wawili awa bado walikuwa juu ya kochi, wakiendelea kunywa mvinyo ambao sasa ulikuwa umesha wachukulia hakiri wka kiasi kikubwa kidogo, “nita furahi sana, nikiwaona baba na mama huko kijijini” alisema Careen kwa sauti iliyo changamka, huku anainuka na kuifwata switch ya kitandani, na kuvuta kijikamba kilichikuwa kina ning’inia, na mwanga wa taa ukabadirika na kuwa mwekundu, “ata mimi nitafurahi sana, maana sijawaona yapata siku ya tatu leo” alijibu Peter, ambae alikuwa anamtazama mschana huyu, alie umbika akaumbika, akiwa amevalia gauni jepesi lenye kuangaza, ambae sasa alivuta tena kile kijikamba na mwanga wa taa ukabadirika na kuwa wa blue, na kuzidi kufanya mle ndani kuwe na mwanga afifu, “huu mwanga utatufaa zaidi” alisema Careen huku anarudi tena kwenye kochi, “ndiyo huu mwanga ni mzuri sana, ahuumizi macho” alijibu Peter, huku anamtazama Careen ambae alikuwa anakaa kwenye kochi na safari hii, akamwengemea Peter mzima zima, akijilaza kwenye kifua cha Peter, “Peter na kupenda sana” alisema Careen kwa sauti ya kulegea, huku mkono wake mmoja ukishuka kwenye bukta ya Peter na kugusa msumari uliokuwa umesimama kweli kweli, na hapo ndipo Peter alipo tumia faida, “ata mimi nakupenda sana” alisema Peter huku anapeleka mkono wake kwenye kiuno cha mwana dada huyu, na kugusa ule mkufu wa dhahabu, na kama vile alikuwa anaukagua, akatembeza kiganja chake cha mkono, na kufanya kama vile anautembeza ule mkufu, na kufanya Careen ashtuke kwa mtekenyo alioupata, “kam… kama unanipenda mbona ujaniomba kuniowa” alisema Careen, kwa sauti ya kivuvu iliyolegea, ambae alishikwa na msisimko kubwa na mtamu, huku akielewa maana ya yeye kuvaa ule mkufu na kazi yake kwenye kiuno chake……..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU