
KIAPO CHA MASIKINI (67)

SEHEMU YA 67
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA SITA: Nikweli walikuwa wamechoka sana, maana licha ya uchovu wa kuto kulala vizuri usiku, wakitegemea muda wakuamka mapema kwaajili ya kuwai gari, pia walikunywa pombe nyingi sana jana usiku, na ukizingatia walikuwa mlo mmoja tu, mida ya mchana, “twende kwenye muembe ule kule, maana huku barabarani watu wengi sana” alishauri mzee Nyoni, akionyesha mti mkubwa wa muembe, ambao ulikuwa unaoneka upande wapili wa uzio…Endelea…:
Wakatembea tembea kuelekea huko, pasipo ujuwa hatua chache nyuma yao, alikuwa anakatiza binti ambae waikuwa wanamtafuta kwa hudi na uvumba, yani binti yao Sada, alie beba begi dogo, la mgongoni, lakini yeye akuelekea kule walikoelekea wakina mzee Nyoni, ambao akuwaona kabisaaa, yeye alinyoosha kufwata lango kubwa kabisa lililopo upande huu wabarabara usawa wa alama za punda milia, (nisehemu ambayo mzee doctor Johnson yani baba yake Tina, alipata ajari).
Sada au Queen alilifikia lango na kuingia ndani, bila kudaiwa malipo yoyote, maana mtu mzima ambae akuitajika kubembea au kushiriki michezo mbali mbali pale viungani, hivyo ata yeye aliingia na kutafuta sehemu nzuri ya kukaa kisha akaanza kuchambua nguo toka kwenye begi, pamoja na viatu, na kuvipanga, namna ya kuvibeba wakati wa kuviuza.
Naam upande wa mrembo Careen, ambae leo hii aliingia ofisini kwake akiwa mwingi wa tabasamu na uso wenye furaha ya wazi kabisa, alikuta kazi nyingi sana, ambazo jana azikufanyika ata zile zilizo fanyika na kuitaji uhakiki, jambo ili ambalo kwa sasa wafanyakazi wake walikuwa wanaanza kulizowea, ikiwa nitofauti na siku za nyuma, ni wazi walifahamu kuwa furaha na uchangamfu wa boss wao huyu, mpenzi wa kuvaa vito vya vya dhahabu, yani leo ata alipoitaji ufafanuzi wa jambo lolote lililoleta mkanganyiko, “hapa kuna laki mbili, nizanini, naona kama ujaelekeza hapa mbele?” Careen aliuliza kwa sauti tulivu, lakini yenye furaha ya wazi, huku tabasamu likiwa limechanua usoni mwake, “hii laki moja ni ile ambayo uligiza gari likafanyiwe service” alisema msaidi wake, “hoo! lakini kuna fedha zinazousiana na magari, siku nyingine uwe unachukuwa kule” Careen ange sema hivyo kwa sauti ile ile tulivu, pia ange toa maelekezo zaidi, “sasa andika barua ya kutoa fedha kwenye mfuko wa gari na usafiri, hiyo laki moja, uilete kwenye fungu la bidhaa”
Careen alifanya hayo huku mala kwa mala akikumbuka matukio mazuri na matamu kufurahisha, wanayo fanyiana na Peter wakati wana peana dudu, Careen alikumbuka jinsi Peter anavyo mshika maziwa yake na kumchezea chuchu, huku wanapeana ulimi, ata anapomchezea kunde kwa kutumia dudu yake, mawazo hayo yalimfanya Careen ahisi mchuzi unachuruzika toka kwenye kitumbua chake na kujaa wenye chupi.
Hapo Careen anaona ofisini apakaliki tena, anainuka ghafla na kuchukuwa mkoba wake kisha anaufwata mlango na kutoka nje ya ofisi, “natoka simamia kazi zote nitakuja baadae” anasema Careen pasipo kufafanua anakoelekea, huku anatoa moja kati ya simu zake na kupiga namba flani, ambapo sekunde chache baadae akaanza kuongea, “hupo wapi baba?” aliuliza Careen huku anatembea kuzifwata ngazi, “nipo hapa hapa ulipomwambia yule dada anilete, sijuwi panaitwaje” ilo ndilo jibu la Peter, ambalo lilimfanya Careen atabasamu kidogo, “panaitwa NPF KIDS CONER” alisema Careen huku anacheka kidogo, wakati huo Careen mwenyewe alikuwa anashuka ngazi, “hapo hapo nimena bango kubwa limeandikwa hiyo” alisema Peter huku na yeye anajicheka kidogo, “sawa na mimi nipo njiani nakuja” alisema Careen kabla ya kukata simu na kuiweka kwenye mkoba wake.**
Yap! turudi tena NPF KIDS CONER, ambako mambo yalikuwa yanaanza kupamba moto, Emma na Janja wakiwa wametulia ndani ya gari lao, pembeni kidogo ya mti mkubwa wa muembe, wanavuta bangi yao, na kufanya moshi ujae ndani ya gari, huku macho yao yakiwa yameelekezwa, mita kama mia moja hivi mbele, ambako walikuwa wanasubiri kushuhudia jinsi Deullah, atakavyo ondoka na mtoto Jasmin, na uingia nae kwenye gari.
“mbona anauweka sana, inabidi amalize kazi mapema tukadake mkwanja kwa boss” alisema Emma, huku anasha kioo cha gari cha mlango wake, na kuruhusu moshi utoke kwa wingi nje ya gari, “atakuwa anatengeneza mchongo wa kumtoa mle ndani, maana siyo kazi ndogo” alisema Janja huku anae ana chukuwa msokoto wake wa bangi, na kuuwasha, wakati huo huo simu ya Emma inaanza kuita.
Emma mwenyewe akaitazama kwa haraka, “boss huyo anapiga”, alisema Emma, huku anaanatoa mkono nje kukung’uta jivu la bangi yake, yani kwa kutumia dirisha la mlango wa gari, pasipo wakuangalia wazee wawili mtu na mke wake waliokuwa wanapita pembeni ya gari lile, na kusababisha bangi ile imguse myule mzee wakiume eneo la mkono, na kumuunguza vibaya sana, kiasi cha kusababisha ule moto upukutike toka kwenye sigara bwege ya Emma, ambae aligauka kwa hasira na kumtazama mtu alie mwaribia starehe yake, hapo hima akakutana na macho ya mzee mwenye uso uliojawa na maumivu, alie kuwa amejishika mkono, wenye alama ya jivu la bangi yake, “we kum.. (tusi la nguoni) unapitaje kwenye magari ya watu” alisema Emma ambae alikuwa puuzia simu ambayo ilikuwa inaendelea kuita huku anafungua mlango wa gari kwa ghafla, na kwa nguvu zake zote.
Hapo mlango ukambamiza yule mzee, ambae alitupwa pembeni na kumvaa mke wake, alie kuwa nyuma yake, wote wakaanguka chini kama vifurushi, “msheng.. sana huyu mzee, amesha nikata stim” alisema Emma huku anafunga mlango wa gari na kupandisha kioo, kisha akapokea simu, “ndiyo boss” alisema Emma, mala baada ya kusogeza simu sikioni, “niambie vipi mipango imekaaje” ilikuwa ni sauti ya Pitus Kalinga, “boss tupo eneo la tukio, na Dullah tayari amesha ingia ndani kumchukuwa mtoto” alisema Emma, na hapo kikasikika kicheko cha raha, “sasa wacha nimtie jamba jamba huyu fala” alisema Kalonga na kukata simu.
Baada ya hapo Emma akawatazama wale wazee, ambao kama unaroho nyepesi basi lazima ungetoa machozi, kwa jinsi waliyo kuwa wanaokotana na kuamua kuondoka zao eneo lile, huku sura zao zikiwa atika hali ya uoga wawazi kabisa, “ebu vione hivi vizee sijuwi kama siyo vichawi” alisema Emma huku anawatazama wale wazee waliokuwa wanatembea kuelekea upande wa magenge ya mama ntilie, ya ni upande ambao wao pia walikuwa wanatazama, huku kila baada ya hatua kadhaa waligeuka kulitazma lile gari, “vizee vingine nuksi tu” alisema Jinja, ambae bangi yake ndio kwanza alikuwa ametoka kuiwasha.
Tuingie ndani ya viunga vya kuchezea watoto, ambako wanaonekana watoto wengi wakiwa katika michezo mbali mbali, kuanzia bembea za mtu mmoja mmoja, wawili mpaka na kuendelea mpaka watu alobaini, pia kuna michezo mingine ya mseleleko, na mingine mingi, watoto walicheza huku wakisimamiwa na wazazi wao, au baba, kaka au watu wengine wowote waliokuja nao, kasolo Jasmin ambae alikuwa anacheza peke yake, kilichosaidia nikwamba, akuwa mgeni katika michezo hii, japo ile kuwapeke yake ilimpa shida sana, asa alipoitaji msaada, lakini bahati nzuri kwake, anakutana na rafiki wa kiume, ambae ambae amekuja na msaidizi, wanajikuta wanakuwa karibu na Jasmin yani mjukuu wa RCO, anapata msaada hapo.
Kila dakika urafiki wa watoto awa, ulizidi kushamili, na kufikia hatua ya kufahamiana kwa majina, yani Michael na Jasmin, ambao walicheza kwa furaha, ungesema ni watoto waliotoka sehemu moja, lakini awakujuwa kuwa mtu ambae alikuwa anatembea tembea karibu yao wakati wote, alikuwa na lengo la kumteka mtoto Jasmin.
Yap! upande wa nje pale kwenye min pub, sehemu ya vinywaji na chakula, kijana Peter aliendelea kupata soda yake taratibu, macho yake yakiwa barabarani, akitazama watu wanao pita, sambamba na magari na pikipiki, huku kichwani mwake, akiwaza na kuwazua juu ya maisha yake mapya, ambayo kuna wakati aliyaona kuwa akustahili kuishi hivi, “aya mambo ni tofauti kabisa, yani mimi ndiyo naachwa nyumbani, alfu mwanamke anaenda kazini” aliwaza Peter, ambae kiukweli akujuwa mwisho wa mambo yale, “nikweli nimepoteza fedha zote nilizo zitafuta mwaka huu, lakini siitaji kulelewa kama hivi, lazima nipate kitu chakufanya” aliwaza Peter, ambae alijitabiria dharau na masimango huko mbeleni “lakini mjini wanawake wanatafuta sana fedha ebu ona huyu mama” aliwaza Peter huku anageuza shingo yake na kumtazama mama mmoja alie valia mavazi nadhifu ya kike, ambayo yaliutambulisha utu wake, akiwa ametulia anakunywa bia taratibu, huku mkononi anachezea simu yake ya kisasa, “yani ametulia zake tuliii bila ata wasi wasi” alijisemea Peter.
Naam wakati Peter anaendelea kuwaza ili na lile, mala akashtuliwa na sauti ya mtu, “oya! Peter ni wewe” ilikuwa ni sauti ya mshangao ya kijana mmoja aliekuwa alie kuwa anamfwata pale alipo, “hoooo Tindwa mwenyewe, mambo vipi, muda mrefu sana atujaonana” alisema Peter huku anainuka toka kwenye kiti alichokuwa amekaria, na kumpa mkono yule jamaa, ambae mwonekano wake, ulimtambulisha wazi kuwa dereva wa boda boda, maana ukiachilia funguo za pikipiki alizo zishika, na helment alilovaa kichwani, pia alikuwa amevaa jacket kubwa sana, na kikinga upepo kifuani kwake, “nipo babu tunga ganga njaa, kumbe hupo huku mjini, mbona atupeani habari?” aliuliza Tindwa ambae macho yake yalikuwa yana mtazama Peter, kwa mtindo wa kumkagua, “nipo kaka, sema lazime tungekutana tu, maana nimefika week hii, nasiku kama tano tu hapa mjini,” alisema Peter huku anakaa kwenye kiti, “kumbe mbona kama unaonekana hupo mjini kitambo” alisema Tindwa kwa sauti ya mshangao na kuto kuamini, huku akiwa bado amesimama.
Nikweli kabisa alicho sema Tindwa, kijana ambae alitoka mwaka mmoja ulioita kule kijijini, wakati wamsimu wa malipo kama huu, ni baada ya kununua piki piki yake, na kuamua kuachana na kilimo, kisha kuamia mjini na kufanya kazi ya usafirishaji kwa kutumia pikipiki maarufu kama boda boda, ambae kwa jinsi alivyo mwacha Peter mwaka mmoja uliopita, ni tofauiti kabisa na jinsi alivyo mwona leo hii, maali hapa, “kaka kaa kidogo upate ata ata soda” alisema Peter ambae mwonekano wake, ni kama mtu ambae siyo tu! alie kaa mjini kwa muda mrefu, ila pia, mwenye fedha zake, siyo tu kwa mavazi yake, ila pia kwa mabadiliko ya ngozi na sura yake, “usijari kaka, nita kutafuta tuongee zaidi, maana hapa kuna mtu namfwata hapo chini, ebu nipe namba yako ya simu” alisema Tindwa, huku anatoa simu yake na tayari kuandika namba ya simu, “namba hii ni mpya bado sija ikalili, ebu nitajie namba yako nikubip” alisema Peter huku anatoa simu yake mfukoni na kuanza kundika namba za simu za Tindwa.
Yap mala baada ya kumaliza kupeana namba za simu, kila mmoja akaisave ya mwenzake, kisha wakaagana na Tindwa akaondoka zake, huku kichwani anajiuliza nini chanzo cha mabadiliko ya Peter, japo ni kijana mchapa kazi, lakini siyo kwa mabadiliko yale ya ghafla.
Naam Sada akiwa na nguo zake na viatu mkononi, vumbi limejaa miguuni, uso umepauka, midomo imemkauka kwa njaa na kiu ya maji, alikatiza kwenye viunga hivi vilivyo jaa watoto, waliokuwa wanacheza kwenye michezo mbali mbali, huku akitagaza biashara yake kwa kila mtu alie mwona anaweza kununua kati yanguo za mtoto, yani Michael, mwanae mwenyewe wa kumzaa, na wakati mwingine ata nguo za mtu mzima, yani zile za Peter, ambae aliwai kuwa mume wake wazamani.
Bahati mbaya kwa Sada, licha ya kuongea na watu wawili watatu, lakini hakuna mtu ambae alionyesha dalili ya kununua nguo zile, ilikuwa ni mapema sana kwake kukata tamaa, hivyo aliendelea kutangaza biashara, na kumtia mtu mmoja baada ya mwingine alie ona anaweza kuwa na dalili ya kununua bidhaa yake.
Naam!!!! wakati Sada anaendelea kuzunguka mle ndani, na nguo zake mkono wakushoto, huku viatu amevishikilia mkono wakulia, ndipo alipo waona watoto wawili ambao walikuwa wanacheza pamoja, ukiachilia yule wakike ambae mwili wake ulikuwa kibonge kidogo, pia kulikuwa na wakume ambae mwili wake ulikuwa sawa kabisa na mwili wa Michael, yani kwa nguo zile na viatu vinge mtosha vizuri kabisa.
Sada alivutiwa na mtoto yule wakiume, ambae kiukweli tofauto na Michael mtoto wake, nikwamba huyu alikuwa anaonekana ni kutoka katika familia bora, yani wazazi au walezi wake walikuwa ni wenye fedha, maana ata mschana walikuwa nae, ambae yeye aliweza kuhisi kwa ni dada au mama yao mdogo, alionekana kuvalia vizuri, “katoto kazuri kale kamenifanya nitamani kuzaa na Emma” aliwaza Sada, huku anamtazama yule mtoto wakiume ambae alikuwa amegeuzia mgongo, “ngoja nika wwauzie wale, nazani watakuwa na fedha, nitamshawishi niuze ata kwa bei ya hasara, kwani nguo zenyewe nimenunua mimi” aliwaza Sada, huku anapiga hatua kuwasolea wale watoto wawili, ambao walikuwa kwenye bembea ya uzani, mwadada alie valia vizuri akiwa pmbeni yao anawasimia, wakati huo jamaa mmoja alie valia kofia ya duara, akiwa pembeni ana watazama kwa umakini wale watu watatu. ….……….

