KIAPO CHA MASIKINI (93)

SEHEMU YA 93

ILIPOISHIA SEHEMU YA TISINI NA MBILI: “uwezi kujuwa maana week sasa ujampatia ata shilingi” alisema Janja wakati anamfwata Emma kule nje kabisa ya jengo lile, “oya! hivi unaona kile siyo gari lime simama pale” alisema Emma huku akionyesha upande wa mjini, ambako lilionekana gari dogo, likiwa limesimama, mita kama ishilini, huku mlango mmoja wa gari lile, ukiwa wazi, “ni gari lile tena…. ebu ona Emma, nikama jamaa anakula mzigo” alisema Janja huku wakiongeza umakini kutazama kule ambako gari lilikuwepo…… ..…..Endelea…

Macho ya wawili awa, yaliona watu wawili wakiwa wanafanya yao pale nje ya gari, yani mtu mmoja kati ya wale wawili, yani mwanamke alikuwa ameinama ubavuni mwagari, akishikilia usawa wa boneit, huku mwanaume akiwa nyumba yake anabiga viuno vya nje ndani.

Ukweli kitu kama machale kilicheza kichwani kwa Hussein, ambae alhisi kuwa mtu yule atakuwa ni Queen, na kabla ajamweleza chochote, Emma, tayari Emma alisha anza kutembea kufwata uchocholo wa nyumba, na yeye akamfwata, na kuelekea kule ambako Emma, alikuwa anaenda, yani walipita chocholo kwa chocholo, kueekea upande ule ambao, waliona watu wananyanduana.**

Usiku ule ulikuwa ni usiku mgumu sana kwa ODC Mwanauta, ambae toka saa tano akuwa amepata usingizi, akiwaza tukio la kukamatwa kwa wakina Panga na Kalonga, huku akili yake ikimtuma kuwa, muda wowote ata pokea simu ya kuitwa kituoni, japo aikuwa hivyo.

Maanaa wakati akiwa kitandani usingizi ume mkataa, mala akasikia ngurumo ya gari nje ya nyumba yake, akuitaji akili nyingi kutamua aina yagari lililo simama nje ya nyumba yake, maana alikuwa anautambua vyema ngurumo ya gari lile aina ya land rover defender mali ya jeshi la polisi, hapo akajuwa tayari kimesha umana, hivyo yeye mwenyewe huku akiwa anajaribu kupanga majibu ya kulidhisha kichwani mwake, akainuka na kuvaa suruali yake, pamoja na shati, chini akivalia sendo, wakati huo tayari mlango ulishaanza kugongwa, akaondoka zake akimwacha mke wake amelala fofofo, akutaka kumweleza chochote, akiamini kuwa, anaenda kituoni kutoa maelezo yake na kurudi nyumbani.

Sidhani kama alikuwa sahihi, maana dalili alianza kuziona mala tu baada ya kutoka nje, ambako alikutana na afisa wa zamu, alie ongozana na askari sita wenye bunduki zao, “samahani afande, unatakiwa kituoni, kutoa maelezo juu ya matukio mawili, yaliyotokea usiku huu waleo, ikiwa ni kukamatwa kwa raia Peter Jacob, na pia kutumika kwa gari la jeshi kusafirishia dawa za kulevya, aina ya bangi” alisema yule afisa wa polisi mwenye nyota moja, huku anamsogelea Mwanauta akiwa ameshikilia pingu mkononi, “pingu za nini sasa, kwani nimekataa kwenda?” aliuliza Mwanauta kwa sauti ya jazba, huku anaficha mikono yake nyuma, “afande kesi yako ya yajinai, na unausishwa na utekaji, na jaribio la kuuwa, hivyo unastahili pingu” alisema yule A-insp huku anaukamata mkono wa Mwanauta na kuuvesha pingu, “unazani naenda kukaa huko ndani, sijuwi tajificha wapi nikitoka” alisema Mwanauta huku anaveshiwa Pingu mkono wapili, kisha waka mpakiza nyuma yagari ili la polisi, kama ambavyo waharifu wengine upakizwa, ilikuwa ni kutoka MKAMATAJI kuwa MKAMATWAJI, safari ya kituoni ikaanza huku Mwanauta akianza kuwaza hatima yake.***

Naam upande wapili, yalionekana magari mawili ya polisi kumi wenye silaha zao zilizo ambatana na mikebe mitatu ya risasi kwa kila mmoja, ambalo sasa lilisimama pembeni ya barabara, usawa wa ukuta mkubwa wa uzio wa idara ya maji, wote wakashuka na kuwaacha madereva peke yao, kisha wakaanza kujigawa kwa makundi, wakisimamiwa na askari mwenzao mwenye cheo cha sanjet, wakagawana makundi sita, ambayo walionyeshana uelekeo wa kupita, ili kuzunguka mtaa wa nyumba anayo ishi Emma, kwa kufwata maelekezo ya bwana Kalonga.

Askari wakaingia mtaani, kwa mwendo wa kimya kimya, kuelekea mtaa wa kina Emma, kila kundi likipitia njia yake, lakini wote wakielekea kule kwenye nyumba ya Emma, ambako kuna jambo lilikuwa linaendelea.**

Naam ebu tuangazie nyumbani kwa Dada wa Dhahabu, yani mwana dada Careen, ambako tayari Peter alikuwa amesha kaguliwa na doctor wa familia wa Careen, kwenye chumba maalumu cha matibabu, na kumwona kuwa ukiachilia maumivu ya mguu, na sehemu mbali mbali za mwili wake, ikiwa pamoja na mikono yake, ambayo ilikaa na pingu masaa kadhaa, Peter akuwa na tatizo jingine lolote.

Tayari Peter alisha oga na kupata chakula pamoja na mke wake Careen, ambae muda wote alikuwa ubavuni kwa mume wake, pasipo kujari kama kuna wakati anamuuza majelaha yake, wakati huo tayari Michael alikuwa ameshalala.

Mida hii wawili awa walikuwa kitandani wanaongea ili na lile, na kujaribu kupanga mambo yao, asa ratiba yao yakesho, ambayo walipanga kuwa wakisha toka kituo cha polisi, kuandika maelezo yake, juu ya kilichotokea, warudi nyumbani, kwaajili ya kupanga mipango yao ya biashara na kampuni mpya ya kilimo na kiwanda, ambayo ingefanyika huko kijijini mwanamonga, ambako mpaka sasa awakuwa wanajuwa chochote kilichotokea kwa kijana wao Peter.

Hakika Careen usiku waleo, alisimama vyema katika nafasi yake, akimtazama na kumhudumia mpenzi wake kwa kila kitu, ikiwa na kumpeti peti, kwa mahaba mazito, huku mala kwa mala Careen akisikika akimlaumu, Kalonga na washirika wake, kwakumuumiza Peter, na kumkosesha yeye Careen, kupata itajio la kitandani, ambalo siku zote amezowea kulipata, na ametokea kulipenda kuliko kikombe cha maziwa, ambacho siku za nyuma alizowea kupata kila siku asubuhi, “lakini kesho lazima utakuwa umepona, si eti Peter?” aliuliza Careen ambae leo alishindwa ata kulalia kifua cha Peter, “ndiyo lazima nitakuwa nimepona, ila wale watu ni wabaya sana” alisema Peter, kwa sauti ambayo, japo alijitaidi kuficha maumivu, lakini ilionyesha wazi kuwa, leo alikuwa tofauti kidogo.***

Naam gari lililo mbeba OCD Mwanauta lilisimama nje ya kituo kikuu cha polisi, mkoa wa Ruvuma, ambapo alipokelewa na RCO Mlasani, “afande nina usika vipi kwenye jambo ili, mpaka nafanyiwa hivi?” aliuliza Mwanauta, ambae alikuwa amevalishwa bangiri za chuma mikononi mwake, wakati anaingizwa ndani ya jengo ili la polisi mkoa, na kuongozwa, kwenye mahabusu, “Mwanauta siku zote mjinga wakati wakwenda, lakini wakati wakurudi, yeye ndie mwongoza njia, kwa hiyo unazani, unaweza kuendelea kutufanya wajinga?” aliuliza kwa sauti ya kusimanga, “nausika vipi sasa, wakati mmewakuta askari waliousika kwenye eneo la tukio, mimi ata sijuwi walifikaje huko, na walitumwa na nani” alisema Mwanauta kwa sauti ya kulalamika Mwanauta, huku anatembea mbele ya askari wawili wenye bunduki zao mikononi, mbele akiwa ametangulia RCO.

“kwahiyo ile operation ya siri ambayo ulikuwa unaipanga, nayo walikuwa na hao askari?” aliuliza Mlashani, na hapo Mwanauta akapiga ukimya, “eti Mwanauta, wewe sindie ulie sema kuwa unaenda kumkamata msafirishaji na muuzaji wa dawa za kulevya, na mpangaji wa utekaji wa mjukuu wangu, kumbe nia yako ni kumficha Kalonga ambae alisha jaribu mkuteka Careen mala kadhaa, na Peter akavuruga mipango yenu?” aliuliza tena Mlashani ambae ilibakiakidogo avunje utaratibu na kumtandika makofi, kama malipizi ya kile alichotaka kumsababishia.

Naam akiwa amejitaidi kudhibiti hasira zake, Mlashani alifungua lango la mahabusu katika chumba ambacho, akikuwa na mtu yoyote, “afande mimi ni askari mwenzako, naomba unisaidie…” alisema Mwanauta na kabla ajamaliza alichokusudia kuongea, tayari Mlashani akamkatiza, “mwingizeni ndani huyo” alisema Mlashani, na wale askari wakamfungua pingu na kumsukuma Mwanauta ndani ya ile selo, “afande naomba tuongee kidogo” maneno hayo ya Mwanauta, yalisikika kwambali masikioni mwa Mlashani, ambae alikuwa amesha anza kuondoka eneo lile la mahabusu.***

Queen akiwa ameinama anasikilizia dudu kitumbua, na kumwacha mzee wa busu busara akiwa anakata kiuno cha nje ndani, huku ameshikiria kiuno chake, hakika Sadajapo alionekana kuzungusha kiuno chake kama feni bovu linalo karibia kuzima, hakuonekana kufurahia na mnyanduano ule, maana akutoa mguno wa aina yoyote, ata kuna wakati alisitisha kuzungusha kiuno chake, na kuupeleka mkono kwenye makalio yake, akaishika dudu ya mzee wa nusu busara, ambae pia alitulia, akiangalia Sada anataka kufanya nini.

Hapo akamwona Sada aichezea dudu aliyo ishika “mwenzio bila kunifanya huku, sisikii raha” alisema Sada huku anabinua makalio yake na kuilengesha dudu ya mzee wa nusu busara kwajuu kidogo, yani kwenye mlango wa nyumba ya jilani, kisha mzee huyu, ambae bado atuja mjuwa jina, akaikandamizia ndani, ambapo dudu ilitelezea ndani kama ambale topeni, “hooooo! asanteeee” alisikika Sada, huku akianza kuzungusha kiuno, taratibu, na mzee wa nusu busara, akiapiga nje ndani, pasipo kujari kama kuna vitu inatoka mle alimo ingiza kifaa chake cha uzazi.

Naam wakati shuguri hii inaendelea, mala ghafla mzee wa nusu busara akasita kuendelea na kile alicho kuwa anakifanya kwenye makalio ya Queen, ya ni Sada Nyoni, na kutazama upande ambao, alisikia kitu flani kama kishindo cha kuvizia, na hapo ghafla mzee Nusu busara akachomoa dudu yake, kwenye makalio ya Sada, na kukimbilia ndani yagari huku suruali yake ikiwa usawa wa magoti, akafunga mlango kwa kulock kwa ndani, huku Sada anajiuliza kunanini, akashtuka akizolewa umtama na kupaishwa mzima mzima, kisha kujibwaga chini kama kizigo cha vyuma chakavu, wakati huo mzee wa nusu busara alikuwa anawasha gari lake.

Japo gari liliwaka, lakini Nusu busara alishtuka gumi, ikigonga kwenye kioo cha upande wake wa dereva, lakini kioo akikuvunjika, na hapo Mzee huyu, akaona wazi hatari iliyopo mbele yake kwamaana aliona kile anachofanyiwa Sada, ambae sasa alikuwa anapigwa kama wizi, pale alipoanguka, mzee wanusu busara akaondoa gari kwa speed kuelekea mbele yani kule iliko nyumba ya Emma, kule ambako alikuwa anafahamu kuwa, kuna njia ya kutokea upande wapili wa mtaa ule. ..…..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata