CHAGUO LA MOYO (06)

SEHEMU YA 06

Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi ………nilikaa mda mrefu hatimae akaamka na kunikuta nimekaa ……..
“Hee wewe ulikuwa kuwanga au “
“Shikamoo da johari”
“Shika yako Kama nimali alafu siongei Mara mbili hiyo dada ukamuite daa yako huko shamba sio mm”

“Samahani nimesahau”
“Haya nifate nikupe vutu uanze usafi”

“Alinipa vifaa vya kufanyia usafi nikaanza kufanya kazi pale mda huo yeye yuko anapika …….

” Nilimaliza kazi za asubuhi mda mfupi watu wanaanza kuamka …….. Nicole ndio alikuwa wakwanza kushuka……….”mambo soni”
“Poa umeamkaje”
“Salama”……. ……
“Sinimemaliza kufanya usafi”
“Ndio “
“Haya fanya haraka basi maana tunakula pamoja “
“Haya”

“Alafu johari utampa mwenzako nguo basi maana Hana nguo”

“Nimpe nguo kwamba huko alikokuwa alikuwa anashinda uchi au kaona anakuja kiwandani “

“Sema moja unampa au haumpi nasio maneno mengi”
“Mpe wewe mm sivaliani na mtu kwanza mtu mwenyewe amekaukiana kama mgonjwa wa kisonono “

“Johar kauli gani hizo”alikuwa mama mwenye nyumba…… johari alinyea huyo

“Nifate”aliniambia Nicole ……tuliongozana Hadi chumbani kwake ……..mmm humu analal mtu au malaika maana sio kwa chumba hiki

“Haya chugua nguo unayoona inakufaa hapa “alisema Nicole baada ya kufungua kabati la nguo

Mmmmh hizo nguo ni fupi balaa …….
Nilichagua lakini hazikunitosha

“Heee pole, ngoja nikaongee na mama ukanunue baadae sawaee”

“Sawa”
Tulishuka chini na kukuta watu wako mezani ……. Aloo
Hawa ni watu au majini …….niliwaza baada ya kuona waka watatu wamekaa mezani huku kila mmoja Yuko bz na sm yake……

Tulifika mezani Nicole akakaa……. Mimi nikabaki nimesimama

“VP mwanangu mbona umesimama,kaa”
Aliposema hivyo nikisogeza kiti ili nikae mda wote wale wakaka wako bz na sm zao,

“Nyie wekeni sm zenu pembeni ni mda wa chai”alisema Yule mama na wote wakaweka sm pembeni Kisha wakanigeukia alafu wakamuangalia mama yao,

“Sonia”aliniita yule mama
“Abee boss”
“Niite mama inatosha, Sasa Hawa unaowaona hapa ni wanangu,na tunaishi nao hapa wote isipokuwa huyu alievaa blue sawae “

“Na nyie big boy’s huyu ni Sonia ni dada mpya atakuwa anahusika na mambo yote humu ndani isipokuwa kupika maana hiyo ni kazi ya johari , hope mtaishi nae vizur sawae”

“Nice to meet you”alisema mmoja wa wale vijana Mara Nicole akadakia…………”alafu ni mhindi mwenzio”………
Aliposema hivyo nikakumbuka kuwa alisema kaka (Rahul)yake atafurahi kupata mwenzake………so huyu ndio Rahul (niliwaza)

“Asante”

“Nimefurahi kusikia kuwa na wewe una damu ya kihindi so Nani muhindi Kati ya baba yako na mama yako”
“Baba”nilijibu mkato
“Okay vizur unamacho mazuri hongera sana”

“Mmmmmmmmmmmm Mara hii”waliguna wote tena kwa pamoja

Nilihisi aibu nikaangalia chini
“What kwani uongo “
“No sio uongo,Ila Mimi nimependa kila kitu 👌”aliongea Nicole
“Mimi nimependa pua”alisema (mkorea) lee
“Mimi lips”alisema (Wang)mchina
“Mimi sauti”(Salim) mwarabu

“Haya inatosha “aliongea mama
“Mara akaja mkaka mwingine nyie huyu alikuwa handsome kuliko wote pale alishtuka akiwa kaweka uso wambuzi blaa,alipofika wote wakaa kimya alivuta kiti na kukaa

“Berat,huyu ni Sonia mdada mpya ndio anashika nafasi ya Victoria”…….mama alimwambia Yule kaka aliefika

“Okay”alijibu na kuanza kula

Mmm mbona kauzu hivi na kafika tu watu wote wamekaa kwa adabu ,…….

Berat:”thanks”…… aliongea na kuondoka. Baada ya kuondoka tu Nicole alishusha pumzi Kama vile mtu aliyekuwa amebeba mzigo mkubwa

“Uuuuuuuu”

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

BIKIRA YA BIBI HARUSI FULL

SIMULIZI YA INGIZA FULL

TOBO LA PANYA FULL

error: Content is protected !!