CHAGUO LA MOYO (20)

SEHEMU YA 20

👇
Nilikuja kuamshwa na njaa kali balaa ile naamka tu Mr romantic huyu hapa na chakula

Weee niliamka na kukaa kitako
“Unajisikiaje”
“Vizuri”
“Okay mda wa chakula” waooo alipika tambi na nyama ya kusaga chakula kilikuwa ninanukia balaa

Shida inakuja kwenye kula simnajua tambi wenyeji wake ni wachina na wa Korea sio sisi yaani unakula kama unamsonya mtu vile maana unazivuta mfyuuu 😀

Alichukua uma akawa anazivilingisha vizuri then ananilisha
Mda huo naogopa kumuangalia usoni yaani najifanya niko bz na chakula

Alinilisha kama mtoto vile🥰 baada ya kumaliza kunilisha alinipa deep kiss mwili wangu ulivyokosa adabu ukalegea kama bamia lililotia magadi😀 baada ya kunikiss akaniambia
“I love you” mimi na aibu zangu sikuweza hata kumjibu basi akasogeza sahani yake na yeye akaanza kula nilitamani namimi nimlishe ila tambi hapana 😀 nitamlisha siku nyingine

Basi alimaliza kula nikataka kutoa vyombo kaniambia atapeleka mwenyewe

“Pumzika mke wangu mzuri nitapeleka mwenyewe ‘”
Nyie haya mambo kwann hayakuanza mapema 🥰
Jamani

Basi alinyenyuka na kupeleka mwenyewe nikabaki nimekaa tu

Baada ya dakika chache alirudi akawasha tv Kisha akaniuliza
“Unapenda kuangalia nin”
Nikamjibu “napenda action movies ” nilivyojibu hivyo alinigeukia kanaingalia Kisha akasema
“Hutakiwi kuangalia hizo movies leo “akaweka music laini pale kisha akaja kukaa pembeni yangu akanishika kichwa na kukiweka kifuani mwake 🥰

🎶Raha kupendwa raha jamani Raha 🎶 saizi ndio nauelewa hii wimbo nilikuwaga naimba tu

Tulikaa chumbani hadi jioni ndio tukatoka nje kupata upepo wa Mungu.
“Unajisikiaje kwa sasa”
Jamani hii unajisikiaje imekuwa wimbo Kila mda naulizwa tu

“Niko sawa”
“Hauhisi maumivu tena”
“Ndio ” nilimjibu tu lakin maumivu yalikuwa bado yapo 😔
“Oh so tukafanye tena”
Weee “hapana Bado naumia'”” (yaani unataka ukanikunje tena nani kasema 😏 ) nilipomjibu hivyo alitabasamu na kunishika vizuri

Mara akaja mkaka amebeba mifuko

“Habari ya saizi mkuu”
“Nzuri” nyie ile sura ya ukauzu ikarudi ghafla tu
“Aaaa samahani nimeagizwa nilete huu mzigo”
“Umeagizwa nin na nani?”

‘”Mr Rahul ndio kaniagiza kuwa nimletee miss Sonia ‘”
(Hee kumbe ni mzigo wangu)
“Okay weka hapo pia unaweza kwenda”
Aliweka Kisha akaondoka mmmh! Nilisikia kama kitu kitamu kinanukia sinikataka kuinuka ili nichukue

Akanizuia na kuchukua yeye akafungua mfuko wakwanza ukikuwa na snacks yaani alijaza makolokolo kama yote mfuko wa pili ulikuwa na matunda na watu ulikuwa una box la pizza na kuku wale wa KFC

Wee nilivyo mloho sasa mate yalinijaa mdomoni

Alichukua sm yake akapiga sijui limpigia nani nilisikia akisema “njoo” Kisha akakata
“Ndio boss”
Oo kumbe alimpigia mlizi wa getin

“Chukua hivi vitu ukale na familia yako”

(What 😳 achukue Kwan sinimeletewa mm jamani au 🥺)
“Asante sana boss ubarikiwe “
“Unaweza kwenda “

Mlizi aliondoka akanigeukia mda huo nimeweka sura ya huruma hatari 🥺……nilitamani kuongea ila nikakaa kimya

“Sonia “
” Abee”
“Am sorry wewe ni mwanamke wangu siwez kuruhusu mwanaume mwingine kutumia pesa au nguvu yoyote kwako, kiufupi sitamani kukuona ukila au kupokea kitu kutoka kwa mwanaume mwingine yoyote Zaid yangu si hivyo tu sitamani hata kuona ukimchekea mwanaume mwingine , nataka uwe wangu pekee yangu nipo kwaajili yako hivyo nitafanya kila kitu kinachohusiana na wewe kwa ghalama yoyote ile”

(Heeee umeninunua sasa hadi kucheka 😥 )
“Lakin ni Rahul sio mtu mwingine”
“Rahul ni mwanaume au mwanamke”
“Mwanaume”
“Okay good”
(😓😓 Haya bhn huu ni wivu pro max)

Tuliingia ndani baada ya mda mlango uligongwa akainuka kwenda kufungua yaani hataki niamke aliingia mkaka akiwa ameshika mifuko akaweka mezani na kuondoka

Alitoa vitu vyote vilivyo kwenye mifuko 🥰 kumbe aliagiza kama vile alivyokuwa ameleta Rahul tena kwa msisitizo akaleta mara mbili ya vile 😂 mwanaume nimepata

“Unataka kula kipi kati ya hivi” aliuliza

“Pizza ” alikuja na kunilisha (hivi anavyotaka kunilisha Kila kitu atakuwa akinilisha hivi siku zote au ndio tunadanganyana tu )
Basi nilikula pale nikaona na mimi nijiongeze nikachukua kipande na kumlisha alifurahi balaa

“Thanks”alishukuru na kunikiss

Basi siku zikapita penzi lilikuwa lamoto balaa

Alikaa nyumbani wiki mbili zote akiwa haendi kazin nilijikuta nikimzoea sana japo hakuwa muongeaji yaani unaweza kuhesabu maneno aliyoongea kitu kingine hakuwa mtu wakutoka toka sijui aende hotel au beach mara wapi yaani ninyumban nyumbani tu mkitaka kitu mnaagiza

Mda huo mawasiliano yangu na Rahul yalikuwa hafifu sana alilalamika hadi akachoka alikuwa akituma message asubuhi nakuja kujibu jion au nikijibu nakuwa Sina hata story nae

Kwanza Mr alikuwa beneti na mm mda wote ningewezaje kuwa bz na sm

Siku moja ya juma pili alitaka tutoke hivyo baada ya kutoka kanisani tulipita sehemu tukapata chai Kisha akanipeleka shopping tukavunja maduka 😂 maana sio kwa vitu vile

Baada ya lunch alinipeleka kwa design mmoja hivi mkubwa na maarufu sana anaitwa Mr PK huyu kaka anastory yake nitakuja niwaadisie nikimaliza hii yangu sawae ni kaka
moja hivi amazing handsome la maana wanaijeria wanasemaga (fine man) basi nilifurahi kuwa naenda kumuona live maana nimezoea kumsikia na kumuona kwenye tv na mabango Yale ya bara barani

“Hello naweza kumuona Mr PK ”
“Una appointment nae”
“Yeah”
“Okay subiri, aaaam. Mnaweza kwenda yuko fl ” 😀dada hata kabla hajamaliza kuongea mr alinishika mkono tukaondoka inaonekana alikuwa anajua pakumuonea

Tulipanda lift na kufika sehemu husika

” Nyie Mungu anaumba bhn mmmm Kuna watu ukiwaangalia unaweza kusema wameshushwa huyu Mr PK yuko 🔥sio kama ninavyomuona kwenye tv au picha yaani kumuona kwa kawaida ni mzuri mara mia ya kwenye picha

(Jamani namsifia tu msiseme nimependa Wala mimi nina wangu na yeye ni handsome wa nguvu ila siunajua kizuri kipe haki yake ee kama mtu ni mzuri msifie bhn Acha roho mbaya utazeeka mapema bure maana kuna mtu kashaanza kusema Sonia ameanza umalaya akhaa mnikome😏)
“Habari yako shem”
“Nzuri Lilian anaendeleaje “
“Anaendelea vizuri San”niliposema hivyo Berat alinigeukia na kuniuliza.
“Unamfahamu?”
“Yes nilisikiliza story Yao na pia namuonaga kwenye tv”
walicheka wenyewe

Basi alinichukua vipimo alivyotaka Kisha wakaongea wenyewe sijui waliongea nn hiyo ni Siri Yao

Walipomaliza tuliingia kwenye gari na kuanza safari ya kurudi nyumbani
Siku hiyo nilikuwa na upwiru balaa 😀 nikawa namuangalia tu huku nikitamani tufike nyumbani (nishakuwa mlevi wa hii kitu jamani na niyeye aliyenizoeza kwaiyo msinipopoe mimi kama mnaweza mpopoeni yeye liwakute jambo😀)

“Usiniangalie bhn nashindwa kufocus mbele “
“Ongeza mwendo basi tuwahi kufika “
“Eee tuwahi kufika kuzimu sio”

Basi alivyo na makusudi akapunguza mwendo kabisa 😏 nilitamani nimuanzishie hapo hapo ila nikaona nitulie tusije pata shida maana tuko bara barani

Tulifika nyumbani sikutaka hata kusubiri tushuke kwenye gari nilimvamia na kuanza kubadilisha na mate

“Hii sio sehemu sahihi twende ndani ” basi tukashuka vitu tuliviacha humo humo maana hakukuwa na kitu chaku haribika alinishika mkono nikaegemeza kichwa kwenye bega lake tukatembea kuelekea ndani

“Kwan tuliacha mlango wazi”niliuliza baada ya kuona amenyoga tu kitasa mlango ukafunguka

Tuliingia ndani huku tukiwa bado tumeshikana mikono ile tunafika seblen nilishtuka kidogo nife familia yote ilikuwa seblen tena wamekaa kuangalia mlango kama vile walikuwa wanatusubiri

Rahul alivyo tuona tu akasimama fasta

penda nimeamua kuwaletea Cha kulalia 😘 karibuni muenjoy

👇
“Aaam naomba niamke “ilibidi nitake kuamka maana hapa kinaweza kutokea kitu ambacho hakikutakiwa kutokea

Alitabasamu na kuniachia nilitoka fasta kma nakimbizwa vile

Niliingia chumbani kwangu nikaingia bafuni nikaoga chap nakutoka nilivaa nguo na kwenda jikon ili niandae chai

Nilifika nakukuta Berat akiwa anamalizia kuweka chai mezani

(Kumbe anajua kupika )
“Karibu mezani “
“Asante” alinisogezea kiti nikakaa
Nilichukua sahani yangu na kutaka kula akaniwahi na kunishika mkono
“Subiri kwanza”
Akavuta kiti nakukaa karibu yangu akachukua sahani yangu na kuanza kunilisha nilitaka kukataa ila Kama unavyomjua hataki kukerwa so nikajiachia

Alinilisha hadi nikashiba akachukua dawa na kunipa nimeze hapo ndio ilikuwa kazi maana sipendi dawa kama nn

“Fungua mdomo “Aliniambia lakin sikufumbua niliishia kukunja sura
“Sonia ” nilifungua na kumeza 🤢 nilitamani kurudisha chenji ila nikimuangalia mr naona ni pambane

Baada ya kunipa dawa ndipo na yeye alianza kunywa chai. Nilikaa na muangalia tu nilitaka kuamka niondoke akanizuia

“Ukienda huko utatapika kaa hapa “
“Hapana naenda kulala”
“Subiri twende wote”
(🙄Twende wote wapi)
“Haya” Sikuwa hata naenda kulala Wala nn nilitaka nikachukue sm yangu maana toka jana sikumshika

Alimaliza Kisha sm yake ikawa inaita akapokea nikaona hiyo ndio nafasi huyoo nikaenda chumbani kwangu

Nilichukua sm na kutoa pin number uwiii kulikuwa na missed calls mia na uchafu message ndio usiseme. Nilifungua nione ni nani aliye nitafuta hivyo

Nikikuta missed calls 90 za Rahul 10 za Nicole na mama 3

Nikaenda kwenye message kulikuwa na message 50 za Rahul na 3 za Nicole

Niliona nifungue za Rahul kwanza

Baadhi alikuwa ananijulisha kuwa wamefika zingine alinikumbusha kula mapema pia nimtafute zingine alikuwa akiuliza kwann nimekuwa kimya Nina shida gani

Niliona siwez kusoma zote nikampigia Yani haikupita hata mara mbili akawa amepokea

“Sonia uko sawa”
“Jamani hakuna hata hallo”
“Nijibu kwanza uko sawa “
“Ndio niko sawa'”
“Oh thank God nilikuwa najiandaa kuja huko maana nirihisi Berat atakuwa amekufanyia kitu kibaya”

“Hapana niko poa hamn shida ” basi tukipiga story karibia masaa mawili ndio tu kaagana baada ya kuagana na Rahul nikampigia Nicole

“We mtoto kulikon ulikuwa hupokei sm hadi kaka yangu kashindwa kula” nae aliongea bila hata salam

“Niko poa bhn vp ww”
“Niko poa hembu niambie ilikuwaje Jana ukawa hupokei sm hadi nikahisi Mr kauzu kashakufukuza”

“Hapana jana niliogelea sana hivyo nikachoka”

“Siku nyingine useme unajua Rahul hakula na alitaka kurudi ila mama akamzuia “

“Heee kumbe alitaka kurudi “

“Ndio “
Nikiwa bado naondelea kuongea na sm Berat aliingia chumbani kwangu akakaa kitandan……….nilipomuona tu nikakatisha maongezi

“Naomba hiyo sm” Mungu wangu anataka aivunje kwakua nimeongea mda mrefu so nn

Nilimpa nikashangaa akatoa line na kufungua mfuko aliokujanao mkononi

Alitoa sm Kali kuliko ile akaweka line ile aliyotoa kwenye sm yangu na akaweka nyingine tena

Alipomaliza alinipa

“Hii sm ndio utakuwa unatumia na hiyo lain utakuwa unatumia kuwasiliana na watu wako ila hii niliyokupa ni special kwa ajili yang tu sawa'”

“Sawa Asante ”
“Karibu”
Niliiangalia ile sm kwa mda Kisha nikaiweka pembeni

Alisogea na kulala mapajani mwangu
(Huyu vp jamani) niliwaza baada ya kulala kwenye mapaja yangu

“Sonia”.
“Abee”
“Asante”
“Asante ya nn “
“Kwa kuja kwenye maisha yangu”
Aliposema hivyo kama kawaida yangu aibu zikajaa nikashindwa kuongea alipoona nimekaa kimya akainuka na kunishika mikono yangu akasem

“Sonia naomba uwe wangu pekee yangu maisha yangu yote”
“Mhu”
Nilihisi kama sijasikia vile ati ni nn eti msomaji wewe umesikia kasema nn

Alipoona nimejibu (mhu) alinishika kidevu akaniinua uso sijui nilikutwa na nn sikuweza hata kumuangalia usoni alinisogelea na kunikiss kitu French kiss(denda)

Alienda kuamsha vitu ambavyo sikujua kama vilikuwepo 😁 mwamba anajua kukiss bhn nilegea hadi maini aliniinua akanibeba hadi chumbani kwake akanilaza kitandani na kuendelea kunikiss 🥰 kama unavyojua hatua moja huzalisha nyingine tulijikuta tunahama kwenye Dunia hii na kwenda sayari nyingine ya mbalia kabisa kilichofanya hapo nadhani unajua🙈

Tulimaliza kazi tuliyoianza mm mda huo nalia bala maana nilichofanyia sio poa mashuka yalikuwa yameloa damu

Berat alinikumbatia na kuniambia..

“Nakupenda sana mke wangu na kupenda ” sikuweza hata kumjibu Zaid nililia tu mwamba alinibembeleza mwishon na yeye akalia tulikuwa kama wajinga hivi😀sasa nni ambembeleze mwenzake alafu sikuwahi kufikilia kwamba mtu Kama Berat anaweza kulia alafu leo namuona analia tena bila kupigwa 😂 basi akanikumbatia vizuri nikatulia hapo nimeshachoka kulia 😀

Baada ya mda alinibeba hadi bafuni akaniogesha na kunifuta maji vizuri akanipaka mafuta na kunivalisha shati lake😀 sijui aliwaza nn wakati nguo zangu zipo hapo hapo

Akanikalisha kwenye sofa na kutoa mashuka akaweka mengine alipomaliza akanibeba tena na kunilaza yaani ni mwendo wa kubebwa tu🥰. Alienda jikon akaja na class ya maji akanipa dawa za maumivu Kisha akaja na yeye kulala akanikumbatia kam vile kifaranga 🥰. Tukauchapa usingizi

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!