
JOGGING MASTER (08)

JOGGING MASTER ππ8
(Master of loveπ)
ππππππππ
Maneno ya baba yaliuchoma moyo wanguππ ….niliumia mno ,moyo wangu uliguswa na baridi Kali la huzuni na huruma mnooππsikuweza kuvumilia nilikata simu na kulia kwa uchungu mkubwa sana …..
Niliumia sana nilimhurumia sana baba yangu ,anahangaika kwaajili yangu ,eti alafu Mimi ndo akili ishaanza kuwaza wanaume πππ ..oh No No No ,akili ipo ndani ya ubongo wangu na haiwezi kuniendesha kamweeee labda mimi ndo niiendeshe yenyewe ……..
niliikanya akili yangu kwa vitisho vikubwaaa mnooo
“Nataka utulie sawa…. fuata mambo ya msingi acha upumbv utaniharibia future yangu π’…focus na mambo ya msingi tafadhali ….niliongea maneno hayo live kabisa nikijiambia ,nilijichana ukweli , yes ukweli mtupu βοΈ
Asbh hiyo tulijiandaaa na kwenda kuagiza chai na Rafiki yangu Maombi…. tulikuwa na vipesa vyetu kidogo tu tulikunywa chai na andazi mbilimbili haooo tukaenda notes board kuangalia majina ya wanufaika wa mikopo π’π’
Nilikuwa na wasiwasi sana Kwan mwaka Jana wanafunzi wengi walirudi majumbani kwao na kuacha vyuo kwasababu ya kukosa mikopo π’ vipi kuhusu mm ambae najua kabisa nikikosa tu ni moja kwa moja kurudi Namtumbo nyumbani π’…..
kwa maisha Gani ambayo wazazi watanisomesha Tena? ….. isingewezekana kabisa π’
“Mimi naogopa kuangalia sitaweza nina uoga sana ,nilimwambia Maombi ambae alikuwa akijipenyeza kwenye ubao wa matangazo kuangalia jina lake
“Usijali nitakuangalizia … alisema shujaa wangu…… Maombi na kufanikiwa kufika pale mbele …….
List ilikuwa ndefu sana majina kama yooteeee na jina la kwanza kwenye list ya tatu kabisa lilikuwa la “Maombi Shughuli Msimamizi” ……..
Alipoliona jina lake alifurahi sana ,
“Asante Mungu niliskia tu akishukuru nikiwa pembeni natetemeka hapo ndo nilipopata woga zaidi… rafiki yangu kapata how about me π’
Nilimuona Maombi akipekua ile list nikama alikuwa haoni ,aliweka hadi kidole kwenye jina moja baada ya lingine ππ
“Fanikiwa Ombeni Mafumbo
“Fanikiwaaaa ,fani…alikuwa akitafuta huku akitaja majina yangu yote matatu π© niliogopa sana…..
Alirudia na kurudia ile list lakin hakuliona jina langu π’π’
Majina ni mengi sana rafiki yangu twende pale internet cafe tukaangalie kwa urahisi zaidi alisema Maombi akinishika mkono
Lakin tayar nilishapoteza matumaini kabisa π’nilikuwa na huzuni isiyoelezeka π’
Moyo ulikuwa unauma sana niliwaza kama nitakosa mkopo basi ni lazima tu nitarudi kijijini sitakuwa na Cha kufanya pale mjini π’π’
Tulifika internet cafe na kuanza kusearch
Fanikiwa …yalikuja majina kama mia hivi yote ni kina Fanikiwa ,sasa kutafuta hiyo Ombeni Mafumbo ndo ilikuwa kasheshe π
Kwanza kabisa computer inaandika no result …..
nilianza kulia palepale ππ
Nililia jmni hatari πππ
“Please Fani usilie Bado Kuna batch ya pili na ya tatu haijatoka please Muamin Mungu yeye ndo mpangaji na mpaji wa kila kitu tafadhali acha kulia na uinuke twende zetu …alisema akiniinua na kunikumbatia π«
Ni Rafiki wa kweli huyu nampenda sana Maombi π©
Tulienda mpaka sehem tukakaa na kuagiza kinywaji …..
Usilie kama Mungu hajapanga utoke kwa njia hii basi atakupa njia nyingine ya kukutoa usiruhusu chozi kudondoka mbele ya macho yako utaonesha udhaifu…… kuwa imara simama Tena na naamin utashinda katika yote ,alisema na kunikumbatia
“Twende zetu kazini kwetu ππ
“Maombi saa tatu hii twende kule mgahawani ?
“Yeah twende tunahitaji pesa zaidi kwajili ya masomo yetu”
“Lakin wewe umeshapata …
“Hata wewe utapata pia let’s go girl alisema na kunishika mkono ….nilikuwa na huzuni sana π’ tunaenda kulee kazini kwa Ukhty ,
Sina hata mood ya kumuona jogging master π’π’

