JOGGING MASTER (18)

JOGGING MASTER πŸ’žπŸ’ž 18
(Master of LoveπŸ’—
πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—

Nilifika hadi pale dukani ila sasa palikuwa closed πŸ” ,pamefungwa ,uzuri palikuwa na namba za simu pale za muuzaji wa lile duka …….

nilicopy zile namba na kuzipiga ,iliita weee mwisho zikapokelewa

“hello” aliita yule mdada

“hallo dada shkamoo

“marahaba”

“samahani uko Na Jarred? naweza kungea nae Jarred ? niliuliza maswali mawili mfululizo .

“wewe ninani ?

Mimi Fanikiwa ,ananifaham vzr sana …

“oh Fenny …..Jarred hayuko sawa please mcheki baadae…….

“Kwan Kuna shida dada ?

“ndiyo mwanae anaumwa sana kwahyo yeye pia hayuko sawa

“mwanae? 😳

“ndiyo mwanae Jiden kwani vipi? yule mdada aliniuliza

“Sawa dada kwani mkowapi

tuko hospital hapa …..akanitajia hospital walipo , but usije hapa hospital utaleta shida na ugomvi …..

“Ugomvi Gani tena?😳Kwan Kuna Nini dada ? nilimuuliza Tena
aliona namsumbua akakata simu 🀣

nilichukua simu yangu na kuchek bolt nikaipata hiyo hospital chap nikaendaaaaa

aloo sijui nitakutana na nn huko hospital na nimeambiwa nisiende πŸƒ
nilienda faster mpaka pale hospotila …ni zile hospital kubwa VIP yaan maskini na kajamba nani huingii humo πŸ™Œ
nilifika mapokezi na kuulizia wodi alipo “Jarred”

“hatuna mgonjwa anaitwa Jarred hapa”
nilijibiwa na yule mdada wa mapokezi

“siyo yeye anaeumwa ni mtoto wake ndo anaumwa

“taja jina la mgonjwa Ili iwe rahisi na ukishindwa hatutakuruhusu kuingia ndani alisema yule mdada 😏

mbona kama Wana dharau sana hawa 😏

niliona isiwe tabu nikajibeba hadi kwenye bench nikakaa kusubiri kama Jarred atatoka humo ndani Ili nijue Hali ya mwanae

nilikaa masaa hakuna mtu 😒
nikakaa na kukaa badae nikakumbuka kumpigia simu Tena

nilimpigia na safari hii alipokea

“Fenny” aliniita kwa sauti ya unyonge sana

“Jarred”😒 nilimuita
“Naam ” akaitika kwa heshima zote 😒

“uko sawa ?
“yes Niko sawa unaendeleaje ? aliniuliza

Niko hapa nje ya hospital ulipo please njoo tuonane

“Hospital? alishangaa sana nikaskia akipiga hatua haraka kutoka …am coming, am coming alisema ila kwa mbali nikaskia sauti ya kike
” unaenda wapi baba Jiden ni zamu yako kukaa na mwanao Jarred unaenda wapi ilikuwa sauti ya mwanamke alileta fujo ….

“pleaseeeeee Nancy niache tafadhali

siwez kukuacha ukaondoka ukaniachia mwanao hapa , alisema yule mwanamke

“okay unataka iweje ?

“nataka ukae na mwanao

sawa Mimi siondoki ….unaweza kwenda sasa alisema Jarred simu ilikuwa haijakatwa nikapata hofu sana ……
nikajificha kwenye kijisehem kimoja hivi ….

badae alikata simu na dakika moja tu nilimuona pale nje

Nilishindwa kuzuia hisia zangu juu yake nilimkimbilia na kumkumbatia kwa furaha kubwa mno

“Jarred”😭nilianza kulia hata sijui nalia Nini Mimi 😭😭

“hello Fenny” aliniita ila alikuwa kapoa sana haikuwa kama siku za nyuma 😒

“umejuaje Niko hapa ? aliniuliza

nimejua tu kwa maana nakujali sana Jarred nilimjibu

” I know ….I know it Fenny alisema”
twende tukakae somewhere tuongee alisema

tuliongozana hadi sehemu ya restaurant palepale hospital tukakaa

“agiza chakula alinambia

“Sina appetite ya kula Jarred 😒 na kweli sikuwa na appetite kabisa siku yangu haijawa nzuri kabisa 😒

“please Fenny kula Mimi Niko sawa tu alisema Jarred muda huo akaja mhudumu

niliagiza tu wali samaki na Jarred pia akaagiza huohuo wali samaki

hakuwa sawa kabisa

nilivishika viganja vya mikono yake na kuvipapasa taratibu ,
“naomba unielezee kama Kuna shida yoyote naweza kukusaidia hata kinawazo tu 😒 nilimsihi

“Shida ipo Fenny” but I can fix it alisema

“naweza kujua shida Ninini ?

“kijana wangu anaumwa sana and am too confused😒alisema Jarred akishika kipandauso chake ….

niliinuka na kwenda pale alipo😒 nikachuchumaa na kumkumbatia πŸ«‚

“sorry sana Jarred usijali Mungu mponyaji wetu atamponya na atakuwa sawa please usiwaze sana utaumwa Jarred 😒 nilimwambia ……muda huo huo chakula kililetwa pale mezani ……

lakin kabla hata sijainuka nikakae tuanze kula zilisikika kelele

“wewe kaha*** fundi wa kuparamia Mali za watu wewe Binti mdogo nakwambia hivi utaumia”kumbe ni wewe Binti ndo unavunja ndoa yangu eee 😳alikuwa ni …..
itaendelea dears

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!