SEASON 2: JOGGING MASTER (21)

JOGGING MASTER πŸ’žπŸ’ž 21
(Master of Love πŸ’—)
πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—

Nilirudi mpaka pale room ambapo Jarred alikuwa kajilaza kitandani vile vile na nguo zake huku miguu ikiwa chini ……alionekana mwenye stress sana tukio la kule restaurant lilimvuruga sana kuliko hata kimi niliyemwagiwa mchuzi wa samaki πŸ˜”πŸ˜”

sasa hapa natokaje jamani ,kitaulo kifupi namba ile πŸ˜”…..okay naayway sikujali anione vipaja vyangu kirahisi nmna hii ….

nilinyata kama nyau πŸ˜‚mpaka kwenye ule mfuko wa nguo , nikachukua taratiiiibu asisikie …..nikaukwapia pwaaa Ili Jarred asishtuke na kuona utupu wangu 🀣

kitaulo chenyewe kimini mno aisee hahaha
hee sijakaa sawa Wala kugeuza mguu
mara paap Jarred huyu hapa ……. aliinuka akakaa vizuri na kunitizama …….

“come here”aliniita akitanua mikono yake kunitaka niende πŸ˜”,niende kwenye ufalme wake πŸ˜”
“Mimi.? nikaukiza swali la kijinga, nimeshachanganyikiwa πŸ˜‚sikutegemea kama angegeuka namna ile …nafanyaje sasa …..

nilimsogelea nikiwa navutavuta kile kitaulo kishuke chini zaidi ilimradi tu asione vipaja vyangu kama shoka🀣🀣

nilimfikia nikiwa macho chini ,akili Ina load minyanduo tu kwa wakati ule πŸ˜”…..

alinivuta nikwangukia kifuani kwake ,then akajilaza nikawa nimejilaza juu yakeπŸ˜‚ Yan nikamlalia kwa juu zero distance πŸ˜‚


“how do u feel ? akaniuliza

Sina la kujibu natizama chini moyo ukiwa mbio hatarious…..
“unaogopa ? akaniuliza Tena

“Yeah”nikamjibu

“Usiogope maana tutalala hivi for the rest of our lives”

πŸ€” unamaanisha Nini ? nilimuuliza kana kwamba sijaelewa anamaana Gani

okay bas tuondoke we have to Go alisema akiniinua nisiamin kama nimeachwa nikiwa salama salmini πŸ™Œ

Niliinuka nikabeba ule mfuko nikakimbilia washroom kuvaa πŸ˜‚ nani anataka kuchunguliwa subutuuuu

niliivaa nikamaliza nikatoka ,Jarred alikuwa off mood kabisa maskini 😒

aliinua simu yake na kuipiga sehemu ….
nadhan ilikuwa ni hospital kwa dactari wake ….

“hallo doctor”

“Naam Mr Jarred , nilikuwa nakupigia saa hivi ila umeniwahi …alisema doctor…..

“ndiyo doctor niambie”anaendeleaje kijana wangu ?


“kijana wako ameamka na Yuko sawa kabisa ,unaweza kumfuata tu tumeshamruhusu alisema dactari

“okay namtuma Dereva aje amchukue amlete nyumbani alisema Jarred na kukata simu

alimpigia dereva wake na kumwambia akamchukue mwanae shule na kumleta nyumbani “


muda huo nimeshajiaandaa Jarred alinishika mkono na tukatoka zetu
Pale sebuleni palikuwa na mama Mtu mzima kidogo ambae ndo alikuwa maalum kwa kumlinda Jiden……

wakati tunaingia yule mama hakuwepo ,basi tulivofika Jarred alimsalimia yule mama kwa adabu zote ☺️


hamjambo wanangu ?

“we are okay” alijibu Jarred
Jiden anakuja utamuandalia chakula chake anachokipenda najua unamjua vzr kuliko Mimi ,alisema Jarred

“Ni jukumu langu mwanangu Wala usijali ” alijibu yule mama aliyekuwa akionekana ana adabu mno na ustaarabu wa Hali ya juu ….


“Meet my friend Fenny”☺️ Jarred alinitambulisha

“welcome Fenny” alisema yule mama

thankyou mom ,nilijibu huku nikiwa nyuma ya mgongo wa Jarred nikiwa nimemuwekea mikono yangu kwenye bega lake Moja ☺️….

Fenny ,aliniita
“yes Jarred

met my beautiful mom and grand mom of Jiden ,she is mama Linus”alisema Jarred

“nice to meet her” nilimjibu na baada ya pale tukaondoka zetu na kuahidi tutarudi badae kidogo ….
tuliingia kwenye gari Jarred akadrive nisijue tuendako πŸ™„

itaendelea dears

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!