
JOGGING MASTER ππ 25
(Master of Love π
πππππππ
Una maana Gani kusema hivyo ? nilimuuliza yule mkaka kutaka kujua anamfahamu vipi Jarred!
mbona unataka kujua sana kwani ni kweli ni mme wako ? aliniuliza
nataka tu kujua kama unamfahamu ili na Mimi nimfahamu maana alisema anataka kunioa ….
eeh akuoe ? aisee acha kujipotezea muda wako ,huyo jamaa siyo muoaji hapo jiandae kupigwa na kitu kizito …. alisema yule Filbert huku akijiamin sana
nilimtizama sana na kuyarejea maneno yake ….mmh huenda ikawa kweli au. ? lakin inawezekana vp Jarred akawa mpuuzi hivi ?
unawafaham hao wapenzi wake? nilimuuliza
eeh ngoja niwapigie wawili tu uwasikie
alitoa simu yake mfukoni na kupiga namba mojawapo ,iliita na kupokelewa
Hallo Filbert
hello Doreen mambo
Poa Filbert nambie
aisee nimepishana na gari ya shem Jarred ile nyeusi hapa imekatiza , vipi umo ndani nini Doreen ?
hamna bwana shem wako anawahi kikao Cha kazi bimeongea nae sasa hivi tu …..bas poa D ,Filbert kakata simu
.akapiga namba nyingine
hallo Naima
hello Filbert ,ilikuwa sauti tufauti na ya mwanzo
aloo Niko hapa nimemuona shame Jarred kwa mbali pale vipi upo jiran nin?
hamna bwana ameshatoka alikuwa hapa kwangu usiku mzima now amewnda kazini
niliposikia zile sauti za wanawake moyo wangu ulipasuka paaaa
nililengwa na machozi mengi mno nikatamani kulia lkin nikajizuia pale kwa kujufuta na tissue machoni….
vipi nimpigie mwingine ?
hapana acha acha kabisa
Mimi nilijua tu wanaume siyo watu wazuri na ndio maana mama alisema nisigusane nao …..ila hakijaharibika kitu nitamtumia tu kunipa mahitaji yangu na nitatafuta mwanaume wa maisha yangu siyo yeye Tena nilisema kwa uchungu sana ππ
usijali Niko hapa tunaweza kuwa marafiki wazuri tu na ukasahau yote
huyu jamaa kaa nae mbali kabisa hafai kabisa alisema Filbert ….
.muda huohuo simu yangu iliita
“Jarred is calling you”niliziangalia simu kwa hasira sana na sikuipokea
simu iliita Tena na Tena but sikuipokea
mwisho iliingia msg
“Niko hapa Lodge after u’re session utanikuta restaurant……
nilitizama simu na kuanza kulia ππ nimeshampenda mbona napokea habari mbaya kumhusu ππ kumbe ni muhuni tu na hajatulia Ooh jogging master ameuumiza moyo wangu π
kwa hasira niliinuka pale na kuchukua bolt hadi pale Lodge kwetu
nilikuta Jarred akiwa na mwanane Jiden
oh My God wanafanana mno mno mnooo
sikuwa na mood nilimsalimia kishingo upande tu tafanyaje sasa ndo sponsor wa kila kitu changu pale
“are u okay Fenny? aliniuliza
Am not ,yes am not okay , nilimjibu kwa hasira Tena mbele ya Jiden ….alikunja ndita na kunitizama
“what’s wrong with you Fenny ? aliniuliza
haujui shida Ninini Jarred?
nilimfikea Tena π
itaendelea dears
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU