
JOGGING MASTER (26)

JOGGING MASTER ππ 26
(Master of Love π)
πππππππ
.I think ningejua shida Iko wapi nisingekuuliza ,can u share? alizidi kuniuliza Ili ajemue shida Ninini…..
umetoka wapi muda huu Jarred?
what ? this morning Fenny?
Yes unatokea wapi Jarred ? nilimuuliza kwa hasira
“okay cool down ,Kwan umesikia Nini huko mtaani Fenny ? aliuliza kwa upole kabisa
ila kwakuwa sikuwa timamu nilizidi kubwatuka mbele ya Jiden
okay ukisha cool utanitafuta tuongee kama watu wazima sorry alisema na kuinuka akaondoka zake ,
nilibakia pale restaurant nalia balaa
nililia Mimi mpaka mhudumu mmoja hivi mdada akaja , dada vipi umepata msiba ? aliniuliza
nilimtizama na kuchukua pochi yangu nikaenda room
nilimpigia simu Maombi akaja nikamsimulia kila kitu
“Fanikiwa ,aliniita
“abee ”
“uko timamu kweli wewe Binti ? π
“kwann Maombi ?
“wewe Fani ukapimwe UTI sugu haiwezekani mtu wa degree usiwe na akili namna hii alinichamba Maombi mpaka nikakasirika zaidi
.inamaana unanitukana au mbona sikuelewi Maombi
Yan Tena siyo nakutukana na makofi unakula hapa siwezi kukuacha ,Maombi aliniwasha bonge ya mbata kibao Cha kwenda mpaka vidole vikachora mashavuni π
nililia sana π nikimlaumu Yan badala ya kunitia moyo yeye ananipiga kunitukana
wewe Fanikiwa akili huna sasa naomba namba ya Jarred niongee nae kama mwanamke na kumuomba awe na Mimi maana watu kama nyie haya mkipewa shilingi wakati wa shida mtaenda kuichezea chooni alisema Maombi
“una maana Gani ? nilimuuliza
asiyeelewa maana haambiwi maana ,Maombi alimaliza na kusema yeye anarudi chuoni kwani haijaja kubenbeleza watu wajinga amekuja kusoma π
alichukua mkoba wake na kuondoka zake …nilibakia kuyatafakari maneno yake bila kujua akimaanisha Nini …..
nililala zangu na usingizi ulikuwa mbaya sana ,yann Jarred amenisogeza kwake ndo aje aniumize kizembe namna ile π’
alinitumia sg moja tu
“have a good night” nakupenda β€οΈ
nilisoma ile msg nikaanza kulia Tenaππ
sasa kwann kama ananipenda ananifanyia hivi ,niliamua kumjibu kuwa Nataka aje usiku huo ,ila niliishia kuandika na kufuta bila kutuma ule ujumbe …
nilikosa usingizi kabisa
usiku saa saba niliamua kumpigia simu
nilidhan hatapokea ,lakin ajabu saa saba hiyo hiyo Jarred alipokea simu yangu
“Naam Fennyπ’” aliniita kwa sauti ya kinyonge
sikuweza hata kuongea ,nilipata hisia za kulia kabisa
“Fenny are u okay ? akaniuliza
“Jarred nilimuita”
“Naam mama π’ ” aliitikia kwa adabu zote jamni sijui yule mpuuzi Gilbert alifanya nn jamni
“ni kweli unanipenda au unaigiza? nilimuuliza
” Have some rest Fenny tutaongea ukiwa sawa alisema na kukata simu “π’
nilimuelewa nilitakiwa kupumzisha akili yangu mbovu na ukizingatia nimemkwaza sana mbele ya mtoto wake π’
nililala tu …
asbh na mapema saa kumi na mbili nikampigia simu Jarred Yan moyo hautulii nishapenda Mimiπ©
alipokea ,
“Hello mom”hakuna na shida kabisa Jarred
itaendelea dears

