
JOGGING MASTER 💕💕27
(Master of Love)
“Hello Jarred ” nilimuita
“Naam Fenny”
tunaweza kuongea sasa ? nilimuuliza
yes bila shaka nakusikiliza Fenny
but naomba tuonane ,nilimwambia
am not okay today if u can come home then come ,alinambia
sawa ,niki request niandike wapi? nilimuuliza na akanielekeza ..bila kuchelewa nilioga nikavaa nguo nzuri kuliko zote nikachukua bolt huyooo kwa Jarred maana siku hiyo sikuwa na kipindi darasani
Bolt ilinifikisha mpaka pale ,nikakuta getini mlinzi Yuko kwa nje , nikawa nafungua pochi yangu nilipie
yule mlinzi akaja pale tulipo akamuuliza dereva ni shingapi ?
akataja bei ,dereva akalipia 🙄 ,nilibakia nashangaa tu
inawezekana vipi Jarred na moyo wake wa dhahabu akawa vile wanavyomsema 😩 niliingia ndani na kukutana na mama Linus akiwa anamuandaa Jiden kwenda shule
nilimsalimia mama Linus na kupanda juu ,sikuhizi nishakuwa mwenyeji jamani 🤣 sihitaji hata kusaidiwa kitu
nilifika na mlango ukiwa open kabisa ☺️
niliingia moja kwa moja na Jarred alikuwa kitandani kalala zake mwanaume huyu nimependae kwa dhati
“shkamoo ..nilizoe kumsaliami hivyo
“sit down alinambia na hakuitikia salamu yangu
nilikaa juu ya kitanda chake na akajivuta kwake sasa ☺️
alinitizama sana akanambia
“Umekuwa sawa sasa”
“No am not 😔nilimwambia
alinitizama tena Tena akanambia Kuna sehem anahitaji nimsindikize
wapi ? wakat mm nataka tuongee nilimwambia
don’t worry tutaongea tukiwa hukohuko ,aliniomba nibadili nguo zangu
nitavaa nn Tena Mimi nimekuja na guo moja tu hizi ,nilimwambia
kila kitu Kiko hapa usijali alisema na kunambia nikachukue nguo kwenye kabati ….nilienda kuchukua na kwenda bafuni nikabidili nisijue kuwa ulikuwa ni mtego huo 🤣🤣
nilipoingia bafuni tu Jarred aliinuka oale kitandani na kunifuata hukohuko bafuni …
“My lord 😳 nilishtuka sana baada ya kumuona alikuwa na boxer yake kifua wazi kabisa…..
nataka nikusaidie kuvaa Ili twende alisema akifungua mikanda ya gauni yangu niliyokuwa nimeivaa
Jarred” nilimuita moyo wangu ukiwa mbio sana
“Naam Fenny ” aliitikia
“Please stop it …
“How can I” I want to show you something good…alisema
alipomaliza kufungua mikanda aliivuta gauni yangu kwa chini ikaanguka chini kabisa nikabakia na kitait na brazia
“Jarred usifanye hivyo please nilimwambia
“bila hivi naona kabisa utanikimbia Fenny”
how can u shoult juu yangu mbele ya Jiden unjua ni jinsi gan umeniumiza Jana ?
I know Jarred but ndo unataka kufanya nn ?
“I want to marry you Fenny for the rest of my life alisema akihangaika kufungua brazia yangu 😔
niligeuka kumzuia huku nikimtizama kwa macho ya huruma Ili anihurumie na kuniacha
lakini nilikuwa nimeshachelea maana boxer yake ilikaribia kupasuka kwa jinsi ambavyo mb yake ilikuwa imevimba haswa
woga ulizidi kunitanda nisijue nataka kafanywaje hapa ndani kwa watu
sijui nimuite mama Linus aniokoe au 😩
itaendelea dears
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU