
JOGGING MASTER ππ30 Finally
(Master of Loveπ)
nilikubali kumhudumia mpaka pale alipojifungua ,nilichukua sample ya mtitina yangu na kwenda kupima DNA good luck Nancy hakunidanganya nampengeza kwa Hilo
lkn alianza akunisumbua kutaka nimuoe sasa ,akamtumia mtoto kama ticket ya kunisindikiza nimuoe but how can I marry her wakati Sina hisia za mapenzi juu yake nilipokataa alianza kuniletea fujo na kuja kunitupia mtoto mlangoni
sikuhangaika nae nilimtafuta mama Linus akaanza akumlea Jiden since he was 1 mpaka sasa the boy is 5 …sasa Nancy amerudi kwa kasi anataka kuolewa na Mimi na Mimi siwez kumuona nataka kukuoa wewe nakupenda sana Fenny…..
alinisogelea na kunikiss ….
kesho tunaenda kwenu ongea na rafiki yako akuombee ruhusa chuoni I want to Marry you this week π
“this week jarred? nilimuuliza kwa mshangao
Yeah this week no time to waste alisema …..basi siku hiyo tulispend tukiwa pamoja jion Jiden alipokuja Jarred alinitambulisha kama mama yake
Jiden alifurahi sana βΊοΈ
kesho yake tulienda mpaka kijijini kwetu ambapo Jarred akipeleka zawadi za kutisha na kila kitu pale kijijini wazazi walishangilia kupita kiasi baba akasema yeye Hana shida oaneni tu wanangu na Mungu awabariki …
wale mbuzi wa baba nikakuta wamekuwa watano hahaha amewatunza vyemaaa ….
basi maandalizi ya ndoa yalifanyika siku moja tu yaan pesa bwana π
Maombi sasa π hakuamin rafiki yangu alikuwa akinitizama anasema na yeye ataanz akipita ile njia yoyote atakayekuwa anakimbia kimbia pale njian atanyooka nae mpaka amuoe ππ
basi Tulifunga ndoa kubwa hiyo watu walikunywa na kula ,Nancy alikuna kuleta fujo ila Walinzi walimkamata na kumtipa nje kama kipeto hahahaha
kumbe yule mdada wa dukani ni mdogo ake Jarred kwa mama mwingine hahha hatarious …..wifi tunae na tuna tamba nae π
tulienda honeymoon yetu Dubai tukakaa huko kwa wiki mbili ,ndani ya hizo wiki mbili nilijigundua Nina mimba jamn hahahah jarred keshafanya yake
baada ya pale Maombi aliendelea kubali cpale lodge na Mimi nikahamia kwangu
Maombi alikuzabile biashara Sasa ana fremu nne kkoo za underwear π©² π©³
mpaka tunamaliza chuo tulizidi kuwa amaragili wazuri
naitwa mama JerineβΊοΈ nampenda sana Jarred he is the best
kule kijijini siku hizi wazazi wangu ndo matajiri kijijizkizima π jarred alienda kufanya yake ..
OYA Ndoa tamu jamni π
Finally ……..
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU