TOBO LA PANYA (12)

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA MOJA: Hapo kila mmoja wao, akahisi nini kinataka kuongelewa na mkuu wao wakitengo, ambae sasa alikuwa anatembea kuelekea nje, nao wakimfwata, “Ayoub, kaa na Insp Amary, mwelekeze kuhusu baadhi ya mambo ambayo atakiwi kuyavalia njuga” alisema RCO Zamoyoni, huku wanaendelea kutembea kuelekea kwenye ngazi. . Endelea….

“ndiyo afande naendelea kumwelekeza” alisema ASP Ayoub Mzee, kwa sauti yenye nidhamu, “nawewe Insp Amary, jitaidi kumshilikisha huyu mzee kila kitu, kabla ujafanya chochote” alisema Zamoyoni, wakati huu walikuwa wamesha zifikia ngazi na kuanza kushuka chini.

“ndiyo afande” aliitikia Insp Aisha, na baada ya hapo yakafwata maongezi ya kawaida, mpaka walipofika chini na kutoka nje ya jengo la utawara, kisha RCO akaingia kwenye gari analotumia kikazi, huku wakina Insp Aisha wakitembea kuelekea kwenye kantini ya pale polisi, kwaajili ya kujipatia chai, huku wakishindwa kujadiri maongezi yao na RCO.****

Akiwa mwenye hasira kali sana, bwana Tino Nyondo anaingia ofisini kwa meneja wake, mwanamama alie mpatia dhamana ya kusimamia kamupuni yake, “shemeji, nimemwona huyu mala mtoto ametokea kwako, alikuwa anashida gani?” aliuliza bwana Nyondo kwasauti yenye hasira za wazi kabisa.

“shemeji nimeshindwa kumzuwia kwakweli, amesema anaacha kazi, sababu ya kupotea kwa mwanaume wake” alisema mama mtu mzima, ambae sasa tunagundua kuwa, ni shemeji yake bwana Nyondo, ambae ni dada wa mke wa Nyondo.

“mpumbavu huyu mtoto, sasa atajuta kuzaliwa wakike” alisema Nyondo kwa sauti yenye hasira, huku anafungua mlango na kutoka ofisini, akifwatiwa na kijana mwenye mwili ulio jengeka, wanamwacha mama mtu mzima anawatazama kwa macho ya masikitiko, akimsikitikia Rose, maana kinachoenda kumkuta ni zaidi ya kile ambacho kimemtokea mpenzi wake.****

Turudi kwa Anastansia, yani Nancy, tuangazie kuhusu historia yake kwakifupi juu ya mausiano yake ya mwanzo, japo nikama tunapoteza muda kuelezea hadithi hiyo ya miaka minne iliyopita, lakini kwa kuwa ni fupi, wacha nikusimulie, ili angalau uwe na picha ya mwanamke huyu, mrembo toka kwenye familia ya kifahari.

Aikuanzia mbali hadithi yake, ilikuwa ni ghafla alipo kijikuta anaitaji kujaribu kile ambacho, alikuwa anasimuliwa na wezake, kwamba wanakipata toka kwa wanaume, ambao ni wapenzi wao.

Ndipo na yeye alipo amua, kumkubaria mwanafunzi mwenzie, alie kuwa nae darasa moja, kwa kuwa lengo lilikuwa ni kuonja dudu, na kupata utamu ambao wenzake walikuwa wanausimulia.

Akajikuta anagawa kitumbua kwa mwanafunzi mwenzake huyo, vila usumbu wala karenda nyingi, lakini kiukweli, matokeo ya siku ya kwanza, yaliishia kwa yeye kupata maumivu, tena bila kupata burudani yoyote toka kwa kijana huyu, kama vile alivyoelezwa na wenzake, kamba ata kuchea na kukunyonya maziwa, alafu akiingiza utajisikia raha.

Lakini ilikuwa tofauti, maana jamaa alifika tu akamlaza kitandani, na kupeleka dudu, huku mwanaume akikandamiza na kutumia muda mfupi kumaliza safari, kisha mwenzie kuondoka akimwacha anasikilizia maumivu ya nyege na kitumbua chake, ambacho ilikuwa ndio mala ya kwanza kutumika.

Anastansia akiwa amejipa matumaini ya kwamba, ata sikia raha atakapo fanya siku ya pili, mala akaanza kusikia habari ya kile walicho kifanya, toka kwa wanafunzi wenzake, tena akisimuliwa kuwa siyo mtamu, na ajuwi kufanya lolote, na analala kama gogo.

Hakika ilimuuma sana Anastansia, ambae licha yakuwa ni mmoja kati wanawake waliokuwa wanaongoza kwa ule, pia alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliokuwa wanashika nafasi za juu za ufauru wa masomo pale shuleni.

Kilicho muuma zaidi ni kwamba, licha ya kukosa kile alicho tarajia toka kwa mwanaume yule, lakini anakuja kuambulia kashfa, kashfa ambayo ilisambaa pale shuleni na kuongeza usumbufu kwa wanaume wengine kuanza kumtongoza kwa juhudi, wakiamini anaingilika na anaweza kupatikana.

Toka siku ile Anastansia au Nancy akutaka tena kujiushisha na mapenzi, sababu ya mambo matatu, pamoja na kukosa furaha au utamu wa dudu, pia aliofia dharau za wanaume baada ya tendo, japo alisikia mala chache wanaume waki wakashifu wanawake walio lala nao.

Tatu mwanamke huyu, ambae alikuwa anasumbuliwa na wanaume kila mala, huku wakimkodolea macho kila anakopita, aliamua kutunza heshima yake, kwaajili ya mwanaume ambae atamuona hapo mbeleni, hakutaka awe na stori ndefu, za wanaume alio wai kutembea nae kabla yake.***

Naaaaaaam, tukirudi mjini, kule kwenye kule kwenye ofisini ya Tino Nyondo Trans, ambako Hidaya ambae ni rafiki mkubwa wa Rose, anamwona Rose anatoka nje ya mlango wa jengo ili la ofisi, na kupotelea nje.

Hidaya anatembea kwa haraka kumuwai Rose, Lakini anapofika mlangoni na kutazama nje, anamwona Rose akiwa anatoka kwenye lango kuu la uzio wa eneo ili, na kupotelea barabara kuu.

Hapo Hidaya anajuwa fika kuwa asingeweza kumpata, hivyo Hidaya anasimama na kutazama kushoto na kulia, huku anawaza namna ya kumpata Rose, ili amweleza alichoongea na boss wao.

Hapo Hidaya anawaona vijana nane, ambao uwa wanaongozana na boss wao, waliokuwa wamesimama pembeni ya magari matatu, likiwepo lile la boss wao, ambayo uwa wanayatumia kwenye msafara wao.

Hidaya kwa kufahamu kuwa tayari mpenzi wa rafiki yake alisha uwawa na wakina Lukas, huku Lukas akimbaka Rose nyumbani kwake, Hidaya anageuka na kuanza kurudi ndani.

Lakini ile anapiga hatua kadhaa, mala anamwona boss wao yani bwana Nyondo akiwa na kijana wake, wanatembea kuja upande ulipo mlango, huku bwana Tino Nyondo akiwa amekunja sura kwa hasira, huku anaongea na kijana wake kwa sauti ya chini.

Hidaya ana simama na kujifanya anarekebisha shati lake eneo la kiunoni, kisha anaanza kutembea taratibu kutoka nje, yani kule alikotoka, na kutokana na mwendo wa taratibu aliokuwa anatembea, boss na kijana wake wanamkumta.

“sikia Kichondo, yule binti usiku waleo lazima akamtwe na aletwe kwangu, awezi kuleta kiburi kwangu” Hidaya alifanikiwa kuyanasa baadhi ya maongezi ya boss wake, na yule kijana, “boss ilo ni jambo jepesi kama kumsukuma mlevi” hivyo ndivyo alivyojibu yule kijana wa boss waboss, ambae jina lake ni Kichondo.

Hapo Hidaya ambae anapunguza na kuwaacha boss na mlinzi wake Kichondo wapite, anaiona wazi hatari ambayo hipo mbele ya rafiki yake, kwamaana, akikamatwa lazima abakwe na mwisho auwawe.

Hidaya akuwa na shaka juu ya kile ambacho kinaenda kumkuta rafiki yake, sababu anafahamu vyema sifa, tabia na uwezo wa boss wake, bwana Augustino Nyondo, ambae kuuwa mtu kwake ni kazi ndogo sana.

“lazima ni mwambie Rose atoroke hapa mjini haraka” alisema Hidaya huku anageuka na kuanza kutembea, kuelekea ofisini kwa meneja, akiwa na lengo la kuomba luksa kwa kisingizio chochote.

Lengo lake likiwa ni kwenda kumtafuta Rose, ili amweleze kile alicho sikia kinaongelewa na boss wake juu ya kumteka yeye, ili ikiwezekana akimbie mji, maana bwana Nyondo alikuwa na uwezo mkubwa wa kumkamata na asifanywe chochote, na hakuna mtu wa kumsaidia.****

Yaaaap!, sasa twendeni upande wa mwana dada Nancy, ambae bado alikuwa anaendelea kutembea taratibu, akikatiza mitaa ya mtaa huu mpya wa seed farm, huku anawaza ili nalile kuhusu maisha yake binafsi, anayo ishi sasa, na atakayopenda kuishi baadae.

Anastansia ambae bado alikuwa ajapata sehemu ya kunywa chai, anaendelea kutembea huku tamanio lake lilikiwa ni kupata mwanaume ambae atakae mpatia mambo matatu, yani upendo, heshima na raha ya dudu, ambayo usikia baadhi ya mwanawake wenzake wakiizungumzia.

Anastansia licha ya kutembea kwa dakika alobaini na tano, lakini akuweza kuona sehemu ambayo anaweza kupata huduma ya chai, zaidi ni kwamba, kila alipopiga hatua, alizidi kuona idadi ya nyumba inapungua, na sasa aliingia sehemu ambayo palikuwa na nyumba kubwa binafsi, zilizo jengwa kwa kuachiana nafasi.

Kiu ya maji na njaa vilianza kumsakama, Anastansia ambae mpaka sasa ilikuwa imesha pita dakika ishilini bila kuona mtu yoyote, zaidi ya magari mawili tu, yaliyokuwa na safari zake.

hapa kuwa naduka, wala genge, ambalo angeweza kununua chochote, ata nyumba alizo ziona zilikuwa zime zungushiwa uzio mkubwa wa tofari, huku mageti yakiwa yamefungwa, akuweza kwenda kuomba maji.

Ukimya wa mtaa ulimtisha, na kumkatisha tamaa, alifikilia kurudi alikotoka, ili awai bekari kwa masister akapate huduma ya chakula, lakini akaona kuwa tayari alikuwa amesha tembea umbari mrefu sana.

Nancy anatazama barabara, anaona kuna dalili ya kuwa inatumiwa na watu wengi, pamoja na magari, “wacha ni sogee mbele, pengine kuna mtaa mwingine” Anastansia anajipa moyo, na kuendelea kutembea taratibu.

Anatembea kama mita mia mbili mbele, sasa anajikuta anaingia sehemu ambayo aina nyumba kabisa, zaidi ya kichaka kikubwa cha nyasi ndefu na miti michache mikongwe.

“nimekuja wapi huku” anajisemea Anastansia huku ana tazana barabara ambayo bado inampa moyo kuwa, huko mbele kuna makazi ya watu, “lakini mbona hakuna dalili” anajisemea mwanamke huyu mrembo, huku anainua uso wake kutazama mbele, kule barabara inakoelekea. . Endelea…. kufwatilia mkasa huu wa #TOBO_LA_PANYA, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata