
TOBO LA PANYA (21)

SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHIRINI: Lakini wakati huo huo, Anastansia ambae akuwai kuwaza ududu ata siku moja, anajikuta katika hali ambayo akuwai kuiwaza ata sikumoja, “mh!, hivi akama ningekuwa kama mwanaume sinaweza ata kukalazimishe kanifanye, alafu nakakataza kutangaza” anawaza Anastansia, ambae anajikuta anaishia kutabasamu kwa ujinga alio uwaza. ……..Endelea ….
“usikute analaza kidemu chake humu” Nancy anajihisi chuki kidogo, anapo waza ilo, “kwahiyo mwanamke wako uwa anakuja huku, na unalala nae humu?” aliuliza Anastansia huku anamtazama kijana mdogo, kwamachi yenye kusimanga.
Kijana mdogo pasipo dalili ya tabasamu, anatikisa kichwa kukataa, “hapana sina mwanamke” anajibu kijana mdogo, na hapo Anastansia anaongeza tabasamu, “afadhari kama ni hivyo, maana nilikuwa na wasi wasi endapo atanikuta hapa, angenifikilia vibaya” anasema Anastansia akimaliza na kicheko cha kichokozi, na macho yao yanakutana.
Kiajana mdogo anamtazama Anastansia, ambae anaonekana vyema uso wake na jinsi alivyo mzuri, kiajana mdogo anamtazama anastania kwa sekunde kadhaa, nikama anatamani kusema jambo flani.
Anastania anashikwa na aibu kali sana, huku anapatwa na msisimko wa ajabu, japo akufikilia kama hali kama ile, inaweza kumtokea kwa kijana kama huyu.
Anastansia anakwepesha macho yake, kwa kutazama chini, huku kijana mdogo nae akitazama pembeni, “dogo unamiaka mingapi?” anauliza Nancy, ambae sasa hakuwa amejiufunga lile jacket kiunoni, huku wanatembea kusonga mbele kuzunguka eneo lile, kiasi cha kufanya makalio yake yaonekane vyema yanavyo tikisika, pale alipokuwa anakata hatua moja baada ya nyingine.
“namiaka 20” alijibu kijana mdogo, ambae Anastansia akuwa anafahamu jina lake, “hoooooo!, kumbe nimekuzidi kidogo, mimi na miaka 23” alisema Anastansia kwa sauti iliyo changamka kidogo, sambamba na kicheko cha chini chini.
Sijuwi ilikuwaje, maana ghafla kijana mdogo anasimama, kisha anamgeukia Anastansia, “samahani dada, muda umeenda, nivyema nikakusindikiza uende chuo” alisema kijana mdogo, na kumfanya Anastansia, atabasamu kidogo.
“hapana dogo, wala sina aja ya kuwai chuo, au utaki niendelee kuwepo hapa kwako” alisema Anastansia kwa utani, huku anajichekesha kicheko cha aibu, dogo anatazama pembeni, kwa kushindwa kumtazama mwanadada huyu mrembo.
“hapana, sina maana hiyo, ila nilizani unaweza kuchelewa chuo” alisema kijana mdogo, kwa sauti ya upole, huku wakitembea kutazama mazingira yanayozunguka eneo lile.
“nitakuwepo hapa mpaka jioni, tutangozana wote, utapoenda kutazama mpira” alisema Anastansia, huku wanaendelea kutembea taratibu, kijana mdogo akiiibia kutazama makalio ya mschana huyu mrembo, akizania kuwa mwenyewe amwoni.
“sawa, lakini nahisi kuna mtu atakuwa anakusubiri” alisema kijana mdogo, huku anamtazama Nancy, ambae anaongoza kwenye mti wa zambarau, ambao ulikuwa umesheheni zambarau mbivu.
“mtu gani unamzungumzia dogo?” anauliza Anastansia, huku anajaribu kunyoosha mkono wake ili kuchuma zambarau kwenye tawi lililoinama, lakini afikii, kwamaa tawi lipo juu zaidi, “sijuwi, mi nimesema tu” alijibu dogo, huku anamtazama Anastansia, ambae sasa alikuwa anajaribu kuruka kidogo, ili kufikia lile tawi.
Kuna vitu vina tokea, kutokana na kitendo kile cha Anastansia, kitendo hicho kinamvutia sana kijana mdogo, na kumletea msisimko mkali sana, msisimko ambao, unasababisha damu kukimbia kwa kasi, kwenye mishipa yake ya damu, na kujaa kwenye kutaza mishipa ya dudu ya kijana huyu, ambayo ilijitutumua na kusimama vyema.
Anastania ambae hakujuwa kinachoendelea kwa kijana huyu, anagusa kidogo tawi la mzambarau, lakini awezi kuchuma zambarau, maana bado zipo juu kidogo.
Pasipo kujuwa kinacho tokea, Nancy anajaribu tena kuruka, lakini inakuwa vile vile, kwamaana anafikia tawi, lakini anashindwa kuchuma zambarau, anagundua kuwa, kila anaporuka maziwa na makalio yako yanatikisika kwa fujo, huku tishet lake lina inuka juu, na kuacha kiuno na kitovu wazi.
Nancy ajari kuhusu ilo, maana aoni kama ni tatizo kwa kijana yule mpole, asie na mwonekano wa tamaa za ngono, Nancy anatazama chini kuangalia kitu flani cha kumsaidia kupata zambarau.
Nikama anakuona anacho kiitaji, maana anakifwata kipande kidogo cha mti, pale chini, anakifwata, na kuinama kwaajili ya kukiokota, kitendo ambacho kinafanya tishert lake liinuke zaidi, na kuacha eneo la kiuno kizuri cha mschana huyu wazi.
Akiwa ajuwi kinachoendelea kwa kijana mdogo, licha ya Nancy kupata kipande cha mti, anaona itakuwa vyema kama atapata msaada wakijana mdogo, ilikuzipata zambarau zilizopo mtini.
Hapo ndipo Nancy anapogeuka na kumtazama kijana mdogo, ambae anamwona akiwa amesimama anamtazama kwa macho yenye mwonekano tofauti kidogo.
Maana ata macho yao yalipokutana, kijana mdogo anakwepesha kwa aibu, na kutazama pembeni, kitu ambacho kina mshangaza kidogo Anastansia, ambae kwa haraka anachekecha akili yake, na kupata jibu la moja kwa moja.
Anastansia anagundua kuwa, huyu kijana mdogo, muda wote alikuwa anamtazama na kuona vile ambavyo alihhisi kuwa avikuwa na madhara kwake, hivyo Nancy akakumbuka kushusha macho kwenye kaptula ya kijana huyu, ambae yeye anamwita dogo.
Hapo ndipo Nancy aliposhukwa na mshangao wenye aibu, na kujikuta anatabasamu na kutazama pemeni, maana aliona jinsi kaptula, ilivyotuna usawa wa zip ya kijana huyu, ikiashiria kuwa, kijana alisisimuliwa na vile alivyo viona kwenye mwili wa mschana huyu mrembo.
“dogo nisaidie kuchuma zambarau” alisema Anastansia huku anapatia kijana mdogo, kile kipande cha mti, dogo anapokea na kukirusha pembeni, kisha akasogea kwenye lile tawi, na kulirukia, analidaka kama anabembea, nalo linashuka chini.
Hapo Nancy bila kuambiwa cha kufanya, anaanza kuchuma zambarau huku anatabasamu kwa furaha, na mala kwa mala anajikuta anatazama sehemu ya mbele ya kaptula ya dogo, ambayo bado ilikuwa imetuna.
“mh!, kwahiyo amenitaani?” anajiuliza Nancy, na kujikuta anatabasamu, sijuwi kwanini alijihisi furaha, kitu ambacho akuwai kujihisi hapo mwanzo, zaidi ya kutopendwa, kutamaniwa na mwanaume yoyote.
Anastansia akiwa amezama kwenye mawazo ya kipuuzi, huku anachuma zambarau, mala anashtuka kuona kijana mdogo ameachilia tawi, nalo likapanda juu, na kuchomoka mikononi mwa Anastansia, nikama kijana mpole alishtukia kile ambacho, Anastansia alikuwa anakitazama kwake. . ……..Endelea …. kufwatilia mkasa huu wa #TOBO_LA_PANYA, hapa hapa

