TOBO LA PANYA (31)

SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA

ILIPOISHIA SEHEMU YA THELATHINI: Nancy anatembea hatua kadhaa, kisha anatazama tena nyuma, anamwona bado kijana mpole, anamtazama kwamacho tulivu kabisa, katika hali tata aliyo kuwa nayo Nancy, anashindwa kuelekwa kwanini kijana mpole anamtazama, je ni kwaajili ya kuhakikisha usalama wake, au anamtazama makalio yake, kama wanaume wengine wanavyofanyaga. …….Endelea ….

Anastansia anatembea tena hatua kadhaa, sasa anakalibia kwenye vyoo vya wanawake, na watu wengine wanamtazama, wakishandwa kuelewa mrembo wao anatokea wapi, watu hao akiwemo mwadada Farida, ambae alikuwa anamtazama Nancy kwa umakini mkubwa.

Pasipo kuangalia au kujari watu waliokuwa wanamtazama, Anastansia anageuka na kutazama upande ambao, alitokea, yani kule ambako kijana mpole, alikuwepo, anamwona kijana huyu akiwa bado amesimama anamtazama.

Nancy anajikuta ameinua mkono na kuupunga, kwa kijana mpole, ambae pia anapunga mkono wa kweheri, huku amesimama pale pale, na wakati huo huo, Nancy na watu wengine wanageuka, kutazama barabara ya kutokea upande wa majengo ya utawara ya pale chuoni, ambako kulisikika ngurumo ya magari.

Nancy anaona magari mawili yale ya polisi, yanatokea upande wa utawara, yakirudi yalikotokea, yani uelekeo wa makazi ya walimu, kuelekea midizini, ambako kijana mpole alikuwa amesimama.

Nancy anaingiwa na hofu kuu, akizania kuwa kijana mpole anaenda kukamatwa, anageuka kumtazama kijana mpole, kuona nini kitamtokea, maana ni wazi anaweza kukamatwa, kwa kuusishwa na mauwaji ya yule kijana mkorofi.

Lakini Nancy anapotazama upande alipomwacha yule kijana mpole ambae licha ya kushinda nae toka asubuhi, anashangaa kuona sehemu ile ni nyeupe, kwamaana ya kwamba aikuwa na mtu yoyote.

Moyo wake unashikwa na furaha, na kujikuta anaachia tabasamu pana, kitendo ambacho kilionwa na mwana dada Farida, ambae sasa alikuwa anarudi upande wa bwenini, huku amebeba ndoo ya maji.

Farida alipofika kwenye mauwa yaliyo pandwa kuzunguka bweni lao la ghorofa mbili, anamwagia maji kwenye mauwa, na kuelekea kwenye chumba chake, akitanguliwa na Nancy, ambae pia aliingia kwenye chumba chake.

Kwa haraka sana, Farida anaweka kopo la sabuni, na kuondoa tauro mwilini mwake, kisha anavaa gauni lake, na kuchukuwa card ya kupigia simu, kwenye call box, alafu anatoka nje, akielekea upande wa bwalo la chakula.***

Yaaaaaap!, sasa twende mateka uindini, nyumbani kwa bwana Tino Nyondo, ambako sasa tunamwona bwana Nyondo, anatoka chumbani kwake, akiwa amevalia vyema kabisa, suruali yake ya kitambaa, ya rangi nyeusi, shati la kijani, na viatu vyeusi vyenye kung’aa.

Ikiwa ni baada ya kuoga, akitokea kwenye burudani aliyo ipata toka kwa mschana wake wakazi, alie mnyonya dudu pale sebuleni, na kumalizia aja zake kwenye mdomo wa mfanyakazi wake huyo, ambae kwake jambo ilo siyo geni, maana utokea mara kwa mara.

Kwamaana akimwona boss anaregeza suruali, anajuwa anachotakiwa kufanya, na hii siyo peke yake, ni kwa wafanyakazi wote wakike, wanaofanya kazi mle ndani, katika kipindi kama hiki, ambacho mke wake na watoto wake wawili, wanapokuwa wamesafiri.

Wakati bwana Augustino Nyondo anakatiza sebuleni, mara anasikia simu yake inaita, na moja ya utaratibu wake, ni kuto kupuzia simu, hii nikutokana na kuwa mfanya biashara mwenye washirika wengi.

Tino Nyondo anaifwata meza ya simu, na kunyakuwa mkonga wa simu, “Nyondo mwenyewe naongea hapa, nan mwenzangu” alisema Tino Nyondo, mala baada ya kuweka mkonga wa simu sikioni.

“unaingea na SP Zamoyoni hapa, habari za jioni bwana Nyondo” anasalimia mwanaume upande wapili wa simu, kwa sauti tulivu yenye nidhamu, na kumfanya Nyondo ashushe pumzi ndefu, “niambie shida yako Zamoyoni, namambo mengi ya kufanya” alisema Nyondo, akionyesha kuchukizwa na simu ile.

“ok!, bwana Nyondo, nimekupigia kujulisha kuhusu taarifa ya vijana wako” alisikika Zamoyoni toka upande wapili wa simu, inamkela kidogo bwana Nyondo, ambae anakunja sura kwa hasira, “Zamoyoni, unaweza kuacha kupotezeana muda ndugu yangu?” anauliza Tino Nyondo kwa sauti yenye chuki ya wazi.

Ukweli nikwamba, Tino Nyondo alijuwa kuwa, wakina Lukas wamesha fanya tukio la fujo huko mtaani, mala siyo mala moja, kupata taarifa ya tukio lililofanywa na mdogo wake Lukas akishirikiana na wenzake.

“samahani bwana Nyondo, ilini utukio ambalo limetokea jioni hii, nivyema kama….” Kabla bwana Zamoyoni ajamaliza kuongea, Nyondo akamdaka juu kwa juu, “sikia Zamoyoni, ataka bado alijatokea, fanya unavyo juwa, sitaki kusikia Lukas, anausishwa kwa lolote” ilikuwa ni sauti ya ukali, ungesema general anaongea na askari wake.

“bwana Nyondo, kuna shida zaidi ya unavyo zania, naomba uende hospital ya mkoa ukajionee kilicho tokea” alisema Zamoyoni na kukata simu, akimwacha Nyondo ameshikilia mkonga wa simu, kwa sekunde kadhaa, kichwani mwake akijaribu kubashiri, kilicho tokea.

Lakini anakosa jibu la kuliamini, hivyo anaweka simu achilia simu nayo inaning’inia, pasipo kukaa sehemu yake, anatembea haraka kuelekea nje, na mara tu anapofika nje, vijana wake wanamwona nao wanakulupuka na kuingia kwenye magari kwa haraka.

Sekunde chache baadae tayari magari yapo njiani yanaelekea mjini, upande wa hospital ya mkoa, “nini kime tokea, mbona huyu Zamoyoni anajifanya mjuwaji sana, yananaiweza kuongea na mimi kwa jeuri namna hii?” anasema Nyondo ambae usowake umetawaliwa na hasira.**

Farida anafika kwenye bwalo la chakula na ambapo anakuta wanafunzi wakiwa wamesimama kwa makundi wanajadiri kuhusu tukio lililotokea muda mfupo uliopita, nae anajisogeza kwenye moja ya kundi, ambalo anaamini kuwa anaweza kupata chochote.

“tatizo Lukas alijiona kama vile hii nchi niyakwake, mwache nae afe bwana” alisikika mwanafunzi mmoja wa kiume, na mwingine akadakia, “lakini ujuwe kuwa, huyo jamaa alie muuwa Lukas amejipalia moto” aliongea mwanafunzi wakike, kwasauti ya kutahadharisha.

Akiwa mwenye kiu ya kujuwa kilicho tokea, Farida anaamua kupata ukweli, “kwani kimetokea nini jamani?” aliuliza Farida, “tumemsikia yule polisi alikuwa anaongea na simu, kuwa mdogo wake Nyondo, ameuwawa” alisema mwanafunzi mmoja.

Jina Nyondo alikuwa geni masikioni mwa Farida, ambae anashtuka kidogo, “hii sasa ni vita” alisema Farida kwa sauti ya chini, huku anatazama call box, ambalo lilikuwa na wanafunzi kama wawili wanapiga simu.

Nawatazama wale wanafunzi wenzake, “wamemjuwa huyo muuwaji?” anauliza Farida, “mh!, kwani wangemjuwa angekuwa mzima mpaka sasa” anasema mmoja wao, akionyesha wazi kuwa, mtu alie uwawa, anashirikiana na watu hatari sana.****

Naaaaaaam!, saa moja kasoro za jioni, giza ndio kwanza lilikuwa linatanda, anga lilisha kuwa jeusi, maeneo ya chuo cha ualimu na uongozi wa jamii, kando kando ya viwanja vikubwa vya michezo, tunamwona kijana mpole anaibuka toka kwenye kichaka, na kuitokea barabara kuu, barabara aina watu.

Kijana anatembea taratibu kuelekea upande wa mabatini, huku njiani anawaza jambo flani kichwani mwake, siyo kuhusu kile alicho kifanya madizini, maana alimini kuwa tayari amesha maliza kazi, kwa hakika alisha wai kufanya matukio makubwa zaidi ya ilo.

Yeye alikuwa anawaza juu ya uzuri wa mschana Anastansia, mwanamkea mbae licha ya kumwona mala nyingi pale chuoni, na kuwai kutumwa nae mara kazaa, lakini akuwai kukaa nae muda mrefu, kama ilivyokuwa leo hii.

Baada ya miaka mingi sana, leo kijana mpole anajikuta anatamani kuonja kitumbua cha mwanamke yule, ambae kiukweli, ukitazama kwa haraka, unaweza kusema siyo wa adhi yake, lakini kwa anae mfahamu kwa undani kijana huyu, awezi kushangaa kwanini awaza jambo ilo.

Achana na kuwa kijana mpole nae binadamu, pia ni mwanaume, ila pia kijana mpole, ni mtu ambae ukiachilia kuto kutafsrika kihisi, ila pia ni mtu ambae anahistoria ya kusisimua katika maisha ya kawaida na mapenzi.

Huyu anaitwa Hance, ni mtoto wa kwanza na wapekee, wa bwana Johnson na mke wake, alie zaliwa tarehe 26 mwezi wa pili ya mwaka 1980, katika familia yenye kiwango cha maisha ya kati, na siyo masikini kama tunavyo zania. …….Endelea …. kufwatilia mkasa huu wa #TOBO_LA_PANYA, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata