TOBO LA PANYA (48)

SEHEMU YA AROBAINI NA NANE

ILIPOISHIA SEHEMU YA AROBAINI NA SABA: Maana ukiachilia kuwa mwenye sura na mwonekano wa upole, kupita kiasi, lakini kijana huyu, anamatendo ya kikatili ambayo ayajapata kuyaona ata kwenye filamu, kijana ambae amekuwa akimchukulia kama kijana mnyonge, ata alipomtuma akamletee chakula, alimtuma kama kijana mnyonge, alie mshuhudia akinyanyasika na mlinzi wa geti la pale chuoni. . . . . . . ..Endelea

Ila pia kijana huyu ambae anaonekana kuwa ni dhaifu na fukara anae itaji msaada wakifedha, ilikuboresha maisha yake, pale kwenye banda lake la udongo, mida hii ya usiku anaonekana akiwa anaendesha BMW, yani gari la kiufahari, linalo milikiwa na watu wenye fedha nyingi, kama baba yake ambae ni waziri mkuu mstaafu.

“hivi huyu ni nani asawa, mbona aeleweki?” anawaza Anastansia huku anamtazama Hance kwa macho ya wizi, anamwona kijana mpole akiwa anaendesha gari, huku macho tulivu yakiwa yametazama mbele, usingesema kuwa ni yeye, mikono na nguo zake zimelowa damu, kama mfanyakazi wa machinjio ya ng’ombe.****

Naaaaaaaam!, mji wa Songea ulishaanza kuzizima kwa habari zenye hadithi yenye vitisho, ya kuuwawa kwa kijana Lukas Nyondo, kila mmoja akitabiri la kwake katika hadithi hii iliyoshangaza watu wengi, kwa ujasiri wa muuwaji kuthubutu kumuuwa mdogo wa Tino Nyondo.

Ulishangaza na kushtua watu wengi sana, maana siyo mtu mmoja au wawili, walio lazimika kukubari kudhalilishwa na kijana Lukas na kundi lake, kwa kumhofia kaka wakijana huyu, ambae asinge kusamehe kwa kusikia ume mkosea au kutishia amani ya mdogo wake Lukas.

Ebu fikilia kidogo, Tino Nyondo Nyondo ambae akutaka mdogo wake akose kitu alicho kitaka, alifikia hatua ata kama kuna mwanamke amemkataa Lukas, yeye angetuma watu, wakamchukue kwanguvu, na kumfungua kwenye chumba, ambacho Lukas angekitumia kumbaka huyu mwanamke mpaka kiu yake ikatike.

Sasa leo watu walikuwa wamesimama kwa makundi, wanatabiri kile ambacho kitafwata, baada ya tukio ili la leo, siyo tu raia wema, huko mitaani, hii iliwa fikia ata viongozi wa juu wa serikali, katika sekta ya ulinzi na usalama.

Maana wakati ayo yanaendelea huko mitaani, mida hii maeneo ya katikati ya mji wa Songea, mbele ya jengo moja kubwa la hotel moja kubwa maarufu, ya MAKIMAKULUGA MOTEL, wanaonekana watu wengi waliokaa kwenye viti vyao wakizunguka meza zao, wawili wawili, wengi wakiwa ni mke na mume, wakipata burudani zao, ikiwa ni vinywaji na chakura, huku wakiongea na kucheka kwa furaha, na kukumbusha.

Nakukumbusha tu, katika mkusanyiko huu, sehemu kama izi, kuna ambao wamekuja kuombana msamaha, wapo waliokuja kuburudika ilikuimarisha penzi lao, wapo waliokuja kutongozana, na wapo waliokuja kulewa ili wakapeane dudu.

Achana na hayo maana ayatuhusu, sisi twende ndani ya jengo ili, ambalo kwenye maegesho yake, yamejaa magari mengi ya kila aina na ngazi mbali mbali, ya hadhi, kwamaana yapo ya kifahari sana, ambayo yalikuwa machache, pia yapo ya kawaida ambayo yalikuwa na uwingi wawastani, pia yalikuwepo yale ambayo, ata mimi nilinalo, hayo yalikuwa mwengi sana.

Ghrofa ya tatu ya jengo ili inayo tambulika kama VIP, tunawakuta wamzee watatu waliokaa kwenye meza moja, ambao ni viongozi wa juu wa jeshi la polisi, ambae tuna mfahamu kwa haraka ni SP Zamoyoni Mpeta ambae RCO wa mkoa wa Ruvuma.

Zamoyoni na wenzake walikuwa wametulia kwenye makocho mazuri ya kisasa, ndani ya chumba iki chenye mwanga afifu wa taa zenye rangi nyekundu, wakinywa vinywaji vyao vyenye mchanganyiko wa pombe za aina mbali mbali, walizo hudumiwa na waschana warembo waliovalia mavazi tata, yaliyo acha sehemu kubwa ya wili ikiwa wazi.

Kwa kuhesebabu sehemu zilizo fichwa, naweza kusema, vitumbua vyao, vilivyo fichwa na vitambaa vidogo, vya rangi nyeupe na maua yenye rangi mchanganyiko, vilivyo shikiliwa na vijikamba vyembamba, vikipita kiunononi na kwenye kizama kwenye njia ya mgawanyiko wa makalio yao kiasi cha kuto kuonekana.

Pia chuchu za matiti yao, zilizo fichwa na kitambaa laini cha sidiria ya vijikamba iliyo fanana rangi na mauwa na chupi, pia kingine ni nyayo za miguu yao iliyoveshwa viatu vizuri vyenye visigizo virefu, pasipo kusahaumu kuwa wadada awa wamejaliwa tabasamu mwanana.

“afande RPC kiukweli hii nihatari kubwa sana, hatuwezi kuendelea kuwaacha askari wa wafwatilie vijana Nyondo, ni lazima wataanza kutupiana risasa, na mwisho kuuwawa” alisema mmoja kati ya wale wamzee wawili waliokuwa na RCO Zamoyoni.

“samahani afande staff officer, ngoja nikutoe wasi wasi, nime watuma askari wawili tu, nao nimewaambia wawafwatilie kwa siri, ujuwe hakuna kitu cha aibu kama likitokea tukio na sisi kukosa maelezo kabisa” alisema Zamoyoni.

“yah! nikweli Zamoyoni yupo sahihi, ni lazima tuwafwatilie, na isitoshe lazima tupate njia ya kuzuwia maafa zaidi yasitokee” alisema yule alie itwa RPC akimweleza huyu alie itwa staff officer, “afande hapo njia ya kuzuwia mauwaji mtaani ni moja tu” alisema staff officer.

Hapo RCO na RPC wakatulia kumsikiliza staff officer, “hapo jambo linalotakiwa kufanyika ni kuwasaidia kumkamata huyu jamaa, maana hatuna tena namna, na pengine wakimpata huyo mpuuzi, waamishia hasira yao huko, na siyo kwa raia wengine” alisema staff officer.

RPC anamtazama RCO wanapeana ishara ya kukubari, “umeongea point staff officer, ebu waandaeni watu, endapo hao wakina Nyondo wakimkosa, basi vijana wetu waingie kazini, wakamsake huyo mpuuzi kisha wakamkabidhi kwao wamfanye wanavyotaka” alisema RPC akimtazama RCO Zamoyoni. . . . . . . . ..Endelea……. kufwatilia hadithi hii, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata