Mahaba ya Dhati (02) 💞❤️

Sehemu ya 2

Nikajiziba matiti na huku kwa bibi ,ticha aliendelea kuniangalia tu nikageuka nikakimbilia ndani ya chumba kidogo cha bafu,ticha akasema sa unakimbia nn akati

nimeshaona kila kitu sikujib nilikua natetemeka naogopa kwanza kaniona uchi pili adhabu nitakayopata sijaenda parade na alivo mkali sasa uwiiii,ticha akasema fanya haraka toka huko uende darasani na nina kipindi darasan kwenu mda huu nikukute,nikakaa kimya tu akatoka,bafu

letu lipo kam chumba cha darasa pembeni upende mmoja kuna vyoo nane na upande mwingine kuna mabafu nane katikati kuna masink na mabomba ya maji,nilipohakikisha ametoka nikatoka fasta nikaingia chumbn nikavaa nikapaka mafuta chap nikavaa nikachukua begi nikaenda

darasani,kutokana na kuwa mtoto mwema walimu walikua wananiamini sana hivo ata walivoniona nimetokea bwenini waliamini labda nimefata daftari au kitabu hivi kumbe nilichelewa zangu,nilivoingia darasani nakaa tu mwalim dyln akaingia kufundisha geography,sikuwa naweza

muangalia usoni nae akawa ananiuliza maswali mara kwa mara nikawa najibu vizuri huku nikijiuliza hivi adhabu gani kaniandalia ina mana kunikuta bwenini kote ametulia tu mmh,ticha d hakuniita wala hakunipa adhabu siku kadhaa zikapita nilikua napata wakati mgumu snaa kila akija darasani kufundisha mana tukitoka darasani namkwepa sana niliona aibu sana, lkn bahati nzur ticha Dylan

akabadilishana na ticha john yy akawa anafundisha wengine darasani kwetu ticha john ndio akawa anatufundisha geog hatukujua sababu lkn nikashkuru mana nitakua simuon sana zile aibu za kuniona uchi.
nilikua namkimbia kila nikimuona na akisimama mahali mm sipiti ilipita wiki hatujawahi onana na ticha dylan,siku moja nikiwa bwenini baada ya kula mwanafunzi akaja kuniita

nilikua na vanessa akasema naitwa ofcn na ticha dylan,nilistuka sana na vanessa akasema wee umefanya nn nikasema sijui hata Mungu wangu, Vanessa akasema twende nikusindikize nikasema sawa,sikuwahi msimulia mtu kuwa ticha alikikuta uchi ivo nikaenda na vanessa

tulivofika vanessa akabaki nje ya ofic mm nikaingia huku natetemeka ticha dyln akasema ww kwa nn unanikimbia?nikakosa jibu,akasema au sababu nilikuona ukiwa hujavaa nguo?nikakosa jib nikakaa kimya tu nashika vidole

navibonyeza bonyeza huku nikiangalia chini, akasema sio vizur ivo santa sawa mm nishasahau hayo na sipendi unavonikimbia nikasema samahani ticha sitorudia akasema umekuja na nani nikasema na Vanessa akasema mwambie aingie nikamuita vanessa akaingia akamsalimia ticha nae akajibu akatuuliza maswali ya hapa na pale ya kimasomo

kisha ticha Dylan akanipa maswali matano akasema ukayafanye haya maswali kesho uniletee majib,kuna mahali nimeyatoa nataka nione uelewa wako nikasema sawa,nikatoka na vanessa wangu tukaondoka vanessa

akasema santa kisomo maswal mbona kama magumu sana ya chuo nini? Tukacheka sana huku tunatembea,vanessa alikua ananiitaga mm santa kisomo vile mda mwing nasoma soma akasema ehee Santa kisomo utafanya DA ngapi hayo maswali? nikacheka tu nikajibu nitafanya usiku,kweli usiku nilihangaika nikayafanya na vanessa lkn kuna moja

lilinishinda kabisa asubuh nikamfata ticha nikampa nilofanya na kumwambia moja limenishinda akasema sawa nitasahisha haya afu nitakuita badae nikuelekeze nikasema sawa,baada ya masomo akaniita akanielekeza yote mana sikuyafanya ipasavyo na lile lingine

akanielekeza nikamshkuru sana.ticha d akawa akinipa maswali mara kwa mara japo hatufundishi darasani ananipa maswali nafanya anasahisha ananielekeza nikawa nafanya vizur sana test za somo hilo,siku moja aliniita ofcn nikaenda peke angu akasema kaa hapo nisaidie kuandika hii kazi ilikua ni kazi ya kiofisi na vile alikua

ananifundisha nikawa nimemzoea kiasi simuogopi sana kama mwanzo ila namuheshimu tu akanielekeza jinsi ya kufanya hizo kazi nikaanza kuandika nikiwa naandika mara akaniita akasema santa,nikasema abee akasema una boyfriend nikastuka nikasema hapana mm sina akasema kweli nikasema ndio sina akasema ok,nikasema kwa nn umeniuliza akasema basi tu nilitaka nijue nikasema

sawa,nikaendelea na kazi sasa kuna mahali sikuelewa nikamwambia ticha hapa sijaelewa akatoka kwenye kiti chake akaja nyuma yangu akainama akawa ananigusa iv na vindevu vyake shingoni,ticha ananukia vizur anajoto flani hiv na mm sijawah kaa na mwanaume hivi,nikaanza pata hisia flani sikuzielewa yan kama naskia mwili unasisimka

hiv mapigo ya moyo yanaemda kasi ticha akanielekeza akarudi kukaa mm nikawa nimezubaa bado siandiki wala nini nikastushwa naitwa wee santa santa nikasema abee akasema vip mbona kama umesafiri hivi nakuita muda wote huskii, nikacheka nikasema hapana akasema

umeelewa nikasema ndio nikaendelea na kazi ila nikafanya harakaharaka nikamaliza nikasema nimemaliza tayari, akachukua akangalia akasema safi sana akanipa kazi ingine nikafanya mpaka mida ya sa 12 jioni mida ya

chakula,akasema nakuja nikukute nikasema sawa baada ya muda akarudi na chips mayai na mishkaki sahani mbili akasema tule najua muda wa msosi huu nimekufanyisha kazi hivo unastahili kula vizuri Santa, nikasema asante nikala nikamaliza nikaendelea na kazi vanesa baada ya

kuona sirudi akaja ofisin kwa ticha yy alikua muoangeaji sana ivo alisha mzoea ticha sana sababu yangu ivo akakaa juu ya meza wanaongea mm naendelea na kazi hadi mida ya saa 2 akanipa maswali nikaenda prepo,io siku sikujielewa mana nilikua nataman mda wote nikae na ticha hata Vanessa alivokuja sikupenda kabisa nilitamani

nimfukize, ticha d alikua anaongea taratibu ivi na anasauti ya kiume haswa, nilikua najiwazia nini kimenikuta jamani kwa nn nimejiskia tofauti sana wakati amenisogelea sikupata majib,nilitamani kukuche nikamuone ticha nikasoma nikarudi kulala kesho yake nikampelekea maswali kama kawaida akanipa mengine

akademsa utaleta majibu jioni nitakugundisha yote na haya sawa nikasema sawa, jion nilijua muda wa kwenda kwa ticha ivo nikaoga vizuri nikajipulizia perfume na mie nikajipaka poda wakati sijirembagi mpaka Vanessa akasema kulikoni leo unajipaka poda na maperfume Santa kisomo? nikasema basi tu nataka nijione nakuaje nikapendeza na rangi yangu ya chungwa huyoo nikaenda

kwa ticha,nikamkuta ofcn kwake yupo na ticha john nikagonga nikakaribishwa nikaingia nikampa daftari akaangalia maswali ticha john akawa ananisifia anasema huyu mtoto anasoma sana huyu na ni kichwa sana,dogo ukiendelea hivo utafika mbali usiige tabia za wengine

wajinga jinga utafeli nikasema sawa mwalimu,ticha John alinisifia sana akahamia kwenye shepu eti mtoto umeumbika sana yani mzur we mtoto daah! , ticha Dylan akasema oyaa jamaa mwanafunzi huyu acha kumkadilia mzee daah! ticha john akaanza kucheka lkn dylan akawa serious akaniambia umefanya maswal vizuri nenda mengine nitakupa badae akanipa daftar nikatoka,ticha

john akanifata nje akasema badae mda wa prepo uje ofisini kwangu kuna kazi nikupe nikasema sawa akasema uje mida ya saa 2 nanusu iv nikasema sawa,nikaondoka muda wa chakula ticha Dylan akaja kule tunakolia chakula akanitafuta akaniita nikaenda, akasema john alikua anakuambia nn? nikamwambia alichosema akasema

usiende io usiku sawa? nikasema lkn amesema kuna kazi anataka Nimsaidie,Dylan akasema nimesema sitaki uende hunielewi? Aliongea kwa ukali hadi nikaogopa, nikasema ticha lkn atanichapa akasema hawezi staki uende ukienda santa sitokuelewa kabisa,akaondoka nikarudi zangu vanessa akasema ww mbona kama ulikua unagombezwa

nikasema ndio sijafanya maswali akasema heee ticha Dylan nae mkali jmn kayafanye mana wote tulikua tunakuangalia unafokewa japo hatuskii nikacheka tu,nilijiuliza kwa nini ticha d alikua mkali mm kwenda kwa ticha John? Sikupata jibu. muda ulifika ticha john aliosema niende lkn sikuenda john akamtuma mwanafunzi darasani aniite nikamwambia kamwambie anaumwa ameenda

bwenini kweli nikaenda bwenini sikuwa tayar kumkwaza ticha Dylan,kesho yake asubuh john akaniita ofcn ikabidi niende akasema pole naskia jana ulikua unaumwa nikasema ndio asante, akasema ivi Santa ww si umekua?nikasema kivipi?akasema si unakifua? Nikasema ndio ninacho akasema kuna kitu nataka nikuambie naomba nitunzie siri hii tafadhari usiseme kwa mtu, nikasema jambo gani

akasema santa unajua ww ni msichana mrembo snaa tena umetulia una shepu matata hadi kwenye sketi ya shule inaonekana nikasema ehee akasema mm tokea nimefika shule hii umenivutia sana nimekupenda sana wewe ni mzuri kuliko wasichana wote shule hii naomba uwe mpenzi wangu naahidi kukupenda na kukusadia ktk kilajambo lako nitakua nakupa hela pia nitakuwekea bili ya chips kila siku na maziwa,nilishangaa nikasema mwalimu hapana ww ni

mwalim wngu unataka nifeli? Mm siwez na nakuheshimu naomba usiniambie hivo tena akasema hapana santa skia usipanik mm nitakusaidia nitakupa kila utakacho ninakupenda na ukimaliza shule nakuoa kabisa chuo nakusomesha kabla sijajibu ticha Dylan akaingia ofcn kwa

john akatukuta akaniangalia kwa jicho kali ni wazi hakupenda alichoona mm nikatoka nje nikawaacha nikawaza kuhusu john yani mshenz kweli mtu mzima hovyoo nikarud darasani nikiwa nimejiwenga vanesa akasema vip mbona umenuna hivo kisomo? nikamsimulia yote akasema njoo tumlie hela zake nikasema mm siwezi na simpendi kabisaaa simtaki mweee seeeeee, Vanessa akasema acha

ushamba ww utasubiri elfu 50 za mama santa hadi lini kula hela hizo za ticha john nikasema siwezi jmn sitaki, vanessa akaongea weee eti ananishawishi nikubali sikukubali kabisa ,siku io ticha Dylan hakuniita wala,kesho yake hakuniita niliendelea kuitwa na john tu anamtongoza mm wala sitaki john akaona haitoshi na asivo na haya mtu mzima kileja yule akamuita vanessa akamwambia anibembelezee vanesa hakulaza damu akasema

sibembelezi bure nipe pesa li John likamtoa hela Vanessa akawa ananibembeleza sasa nimkubali John mm jibu langu likawa sitak,ticha Dylan akawa haniiti wala na tukionana nikimsalimia anajibu salamu tu anapita zake, kitu ambacho kiliniwazisha sana,siku moja kulikua na disco shuleni,

walikuja shule ya wavulana flan shule kucheza mziki na sisi mm sikuwa mpenzi wa disco lkn vanessa alinifosi tukaenda disco ilikua mchana lkn ilienda hadi mida ya sa mbili hiv,mda huo mm nilitoka nikaenda bwenini kuoga nilihisi kuswet sana, nikiwa bafuni umeme ukakatika kukawa na giza kubwa sana mda huo wengin wako disco ukumbini mm nikaanza kupapasa nitoke nje niko na taulo mara nikadakwa na mtu nisiomjua akanikumbatia

akasogeza midomo yake hafu kwenye midomo yangu,niliskia harufu ya marashi cha ajabu nikatulia tu maana niliskia raha,akaanza ninyonya midomo yangu huku amezungusha mikono yake kiunoni kwangu alininyonya kwa mda niliskia raha ya ajabu,mwili wangu ulisisimka vinyweleo vikasimama miguu ikakosa nguvu mara umeme ukawaka ndipo nikamuona vizur sasa mtu huyu uwiiiii….

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata