Sehemu ya 3
Hakua mwingine alikua ni ticha Dylan mwenyewe kabisa, nilistuka mara Akaniachia akaondoka mm nikabaki nimeganda pale sielewi elewi tuu naskilizia busu,nilisimama pale kwa mda mara vanessa akaingia akasema ww mbona umeganda hapo?nikasema iv naota au?akasema nn nikasema tulikua disco akasema ndio na wavulana
wanataka kuondoka wanasubiri basi lao, nikasema ooh sawa waende tu huku nikifikiria ina maana Vanessa hajakutana na ticha d nje huko? Vanessa akasema kuna mkaka anakutafuta kule nimekufata ukaongee nae, nikasema poa, akasema mchumba uyo sasa unapata
tukacheka nikatoka nikaenda bwenini nikava fasta nikasema yn niliogopa umeme ulivokatika jamani, akasema yn sipati Picha kelele zako nikacheka nikaona nimulize nikasema wakati unakuja bafuni ujakutana na mtu yoyote? akasema mtu gan? Mi sijaona mtu mbona?
nikasema yoyote tu akasema hapana ila nimekutana walimu walikua wanaangalia wavulana wasijekua wamekuja mabwenini nikasema walikua kina mwalim nani?akasema mwalim john na kina madam ila nyuma yao alikua mwalim Dylan naona yy alibaki nyuma hapo nikahakikisha kumbe kikichotokea ni kweli,basi nikavaa tukaenda na vanessa hadi walipo wale wanafunzi wavulana yule kaka aliekua
ananitafuta akanipa namba ya simu akasema amenipenda sana nimtafute, tukaendelea na stor basi lao likaja gafra yule kaka alikua anaitwa Gerald akanikumbatia na kunibusu shavuni akaniaga wakati huo nikamuona mwalim john kasimama na ticha Dylan wote walikua wananiangalia kwa hasira,nikazuga nikaondoka na vanessa wakati huo nawaza busu la ticha dylan lkn nikawaza sijui kawaza nn
alivoniona na gerald nikaogopa,muda huo huo kabla ya kufika bwenini mwanafunzi alitumwa amuite vanessa, aliitwa na ticha john akaenda mara akarudi mana alimwambia aje aniite niende ofisin nikamwambia vanessa mm siendi wala nini mi liticha hilo silipendi kama nini sijui, nikiwa pale akaja mwanafunzi mwingine na kidaftari akasema ticha Dylan kasema fanya maswali hayo kesho
asubuhi anataka majibu vanessa akasema heee ivi ticha hajui kesho n jpil jaman khaaa nikasema nitayarafanya tu wala sio dhida,vanessa akasema kweli umetumwa na kijiji Santa kisomo heheeee,mi nikacheka tu nikaenda darasani vanessa akasema atakuja badae anaenda kuoga na kupumzika ivo nikaenda peke yangu,nikiwa darasani nikafungua maswali nisome yalikua mengi lkn nikaona kamshale kanaonesha nifunue page inayofata nikafunua
kila page kulikua na namshale hadi ktk page ambazo hazijaandikwa baada ya kufunua hizo page nikakuta kuna karatasi ilioandikwa msg, kaandika “come to my house as soon as you get this msg,make sure nobody sees you,and plz come alone”(njoo nyumbn kwangu mara tu upatapo ujumbe huu,hakikisha hakuoni mtu na uje peke ako tafadhari)
Nikashusha pumzi bahati nzuri umeme ukakatika tena nikatoka spid bila hata kujiuliza mara mbili mana nyumba za walimu zilikua sio mbali sana na madarasa, unapita kwenye miti miti unafika na uzuri nyumba ya ticha Dylan ilikua imejitenga na nyingine ivo ikawa rahisi, nikaenda
nilivofika nikafungua mlango nikaingia bila hata hodi nikakuta Dylan amewasha tochi amekaa sebleni kwake hapo nahema juu juu woga na zile mbio, nilivoingia tu ticha akafunga mlango nikaanza ogopa sasa nimeinama chini nikamsalimia ticha hakujibu alikua amechukia sana amechukia mno,akasema kula chakula iko apo mezani nikasema asante nimeshiba akasema kula bana nimepika sabu yako nikaona nile tu nikafunua hotpot ilikua ni wali na nyama zimekaangwa vizur sana na hotpot jingine kuna zingine zimeungwa vizur nikapakua nikaanza kula yy amekaa tu anachat na simu yake nilivomaliza nikapeleka
jikon,niliijua nyumba vizur sababu sie ndio tulifanya usafi kabla hajahamia basi nikataka nioshe vyombo akasema acha izo kazi sijakuitia hizo, nikaacha nikarudi sebleni,ticha alikua amejijenga anasofa nzur tv kubwa flat screen ukutan home theater nzur mziki mnene frij jikon, chini seblen kapet la nyoya na meza ya kioo ya duara ndani kwake kulipendeza sana na nyumba zao zilijengwaga na misaada ya bank ya dunia zimejengwa za kisasa kabisa nzuri sana,nyumba ina vyumba viwili vya kulala na ivyo vyumba vyoo ndani kuna sebule, dining room jiko lina sink
la kuoshea vyombo pia nyumba ina fensi na geti na jiko la nje na choo cha nje ni nzur sana kubwa maji na umeme vipo ndani,ticha akaniambia ivi santa unapenda sana wanaume?nikastuka nikasema hapana kwa nn umeniuliza ivo ticha?akasema ww na john mna uhusiano gn?nikasema mm sina uhusiano nae wowote akasema usinifanye mm mtoto ujue nakuuliza tena nikasema sina uhusiano nae ila huwa ananitaka niwe mpenz wake akasema we ukamjibuje nikasema nilikataa mara zote nakataa akasema na hela unazoombaga kwake nikasema mm sijawahi omba hela kwake hata siku moja sina ukaribu nae na siku hizi akiniita siendi, ila yy na vanessa ndio wanaukaribu huo ticha akasema una uhakika nikasema ndio akasema na leo nini ulikua unafanya hadharani na kile kivulana?nikasema
nilistuka tu kanikumbatia na kunibusu shavuni sikukubaliana nae, akasema ww huna misimamo?hukuona kama pale n hadharani?unamruhusu vip mtu akubusu tu na kugusa mwili wako kama humtaki? nikasema nilishangaa tu ilikua gafra akasema sijapenda hayo yote hata kidogo nikasema nisamehe ticha akasema nitaona kama utabadilika nikasema sitorudia akasema rudi bwenini kabla umeme haujawaka nikasema sawa akasema chukua hii akanipa bahasha fln ilikua kama in a kitu ndani nikasema asante akasema usimuoneshe mtu kilichoandikwa ndani wala kilichomo ndani ,nikasema sawa,nikatoka nafika
madarani umeme ukawaka nikashkuru aisee nikaingia darasan nikafungua ile bahasha kulikua na simu nikafungua ilikua ni simu nzuri ya kitochi kadogo hivi,na chaja yake na headphones,japo shuleni kwetu simu hazikuruhusiwa kabisa lkn vanessa alikua nayo kwa kificho sana pia ya kawaida tu ivo sikuwa mgeni na matumizi ya simu pia nilikua natumia ya vanessa,nikakuta pia kuna
karatasi limeandikwa, “dear santa, i love you So much to the point that am hurting every time i see any man close to you,i know am your teacher and am not suppose to tell you what am feeling but i can’t take it anymore,please say yes and be mine,i promise to love you forever
Yours truly D “(mpendwa santa,nakupenda sana kiasi naumia nikiona mwanaume yoyote yupo karibun yako,najua mm ni mwalim wako sitakiwi kukuambia navojiskia lkn siwez kuvumilia tena,rafadhari sema ndio na uwe wangu naahidi kukupenda milele,wako D”
Nikashusha pumzi kiukweli nilifurahi sana sikuamini kabisa kumbe ticha d nae kumbe ananitaka?nifanyaje jmn?daaaaa nikawaza sana iv nikikubali nitasoma kweli?au ndo nitapoteza muelekeo wa maisha mie tena na mwalim jmn?lkn n handsome sana wengi wanamtega niafanyaje?nimwambie vanessa?nifanyajeee nilijiuliza maswali yasio na majibu moyo wangu uliniambia kubali weweeee kutoka na ticha ni sifa lkn upande mwingine usikubali soma shauri yako …
USIKOSE
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU