TOBO LA PANYA (79)

SEHEMU YA SABINI NA TISA

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA NANE: “sijawai kutongoza, pengine ingesaidia” alisema Hance, aliekuwa amemgeuzia mgongo Nancy, kwa haraka usingejuwa anamaanisha nini, ila Nancy ni kama ameelewa, maana alitabasamu kidogo, “kama ungeweza kutongoza ungeomba nini cha kwanza” anauliza Nancy, kwa sauti yenye aibu na tahadhari. ….ENDELEA…..

“ningeomba tuoge pamoja kama wazungu” alisema Hance, kwa sauti ile ile ya upole, na kumfanya Nancy azuwie kicheko, kwa mkono wake, “kwahiyo kama nimekubari kuoga na wewe, ndio tumesha kuwa wachumba?” aliuliza Nancy, huku anashika tisher na kulipandisha juu, nikama alikuwa anavua lile tishert.

Ukweli kwa hali aliyo iona Hance kwa mschana huyu mrembo, ambae ukimwona lazima ungetamani kuwa nae, achilia yeye kumpenda kuwa nae kama mchumba wake, ila pia tayari alishatamani japo aguse bumunda la mrembo huyu, ambae ni mtoto wa nje, waziri mstaafu wa #Mbogo_Land.

Hivyo aligeukia ukutani na kuendelea kuoga, pasipo kutamani kumtazama Nancy, kwa kuogopa kuzidi kuingia tamaa, maana siyo tu, uzuri wa mschana huyu, pia alikuwa tofauti na wamschana wengine alio wai kuwaona pale chuoni, huyu alikuwa anajiheshimu sana.

“kama ingekuwa lahisi hivyo, ningejiona mwenye bahat….” Alisema Hance kabla ajasita gafla na kutulia, akisikilizia mikono laini iliyomshika mabegani, “kama autotangaza, nitakupa kila utakacho niomba” ilikuwa sauti tulivu yenye msisimko ya Anastansia, ambae alikuwa anatembeza taratibu mikono yake, juu ya mwili wa Hance, alie kuwa anamwagikiwa na maji ya bomba la mvua, na kuondoa damu zilizo jaa kwenye mwili wa kijana huyu.

Hance anageuka tarabu, na kumtazama Nancy, ilikuyalidhisha macho yake, kwamba alicho hisi ndicho kinacho tokea, au ni wenge la uchu wa kitumbua, ndio ulikuwa unamsakama.

Kijana Hance, au Panya, yani SA-26, aliweza kumwona mwana dada Anastansia akiwa mtupu, kama alivyo zaliwa, labda utofauti ni vile vinywele, vilivyo kwanguliwa pale kwenye kinena, aliekuwa amesimama mbele yake, huku anashindwa kumtazama vyema, kwa aibu aliyokuwa nayo.

“hakika siwezi ata kutaja ata jina lako, mbele ya mtu mwingine” alisema Hance huku anamkumbatia Anastansia, wote wanasogea chini ya bomba la maji, ambayo yana mwagika vichwani mwao, na maji ya sambaa kwenye miili yao, vifua vyao vina kutana, chuchu za Anastansia zina gusa kifua cha Hance na kujitekenya kidogo, zikisababisha msisimko mkubwa na mkali, kiasi cha kuhisi koo lake linakaukiwa, kwa kiu ya kupata dudu.

Naaaaam!, ebu tuachie hapo, sizani kama tunaitaji kujuwa kilicho endelea, baada ya kuwa katika hali hii, hali mbayo imetokea kama wamebumbuwaziwa, unaweza kusema kuwa, wawili awa walikuwa wanamendeana, ila awakupata nafasi na ujasiri wakuelezana ukweli.

Siunajuwa mimi friji aligandishi, asa linapokuja swala la wapenda nao kupeana hakizao za msingi, roho ina pwita asa ninapo mwona Anastansia anajilegeza kifuani kwa Hance, na pumzi ake zinakuwa nzito zikitoka kwa tabu, kutokana na msisimko, ambao unazidi zaidi, pale ambapo dudu ya Hance, iliyosimama kama askari wa Malkia, inapo gusa eneo la kitumbua chake.

“lakini usimwambie mtu” anarudie tena kusema Anastansia, kwa sauti iliyolegea, kabla awajasogezeana midomo yao na kuanza kunyonyana ndimi zao.**

Naaaaaaaaaam!, saa saba za usiku, sasa mji wasongea, ulikuwa umetulia kabisa, kasoro eneo moja tu la uhindini huko mateka, ambako bado watu walikuwa wamejaa msibani, hii nikutokana na mambo mawili tofauti.

Moja na ni kwamba, watu waliopo pale, watu wengi waliotoka mbali, awakuwa na usafiri binafsi, hivyo awakuweza kuondoka eneo la msiba, wakiofia usalama wao, maana walihisi kuwa vijana wa Tino Nyondo, watakuwa wamezagaa mitaani wakimsaka adui yao.

Pili ni kwamba, wengi walitaka kusikia au kona, kile ambacho kita fwatia baada ya tukio la kuuwawa kwa kijana mkorofi na kelo kwa mji wa Songea, hapo tuna mzungumzia kijana Lukas Nyondo.

Ukweli muda huu, ukiachilia magari mawili ya polisi, yalikuwa yanazunguka mji mzima kufanya doria, pia magari mawili ya vijana wa Tino Nyondo, nao walikuwa mtaani wakizunguka huko na huko, bila faida yoyote, kwamaana walisha juwa adui yao yupo wapi, japo hawakuwa na uwezo wa kumchukuwa.

Wakati huo huo bwana Tino Nyondo, yeye alikuwa anasisitiza kuwa mdogo wake ato zikwa, mpaka apatikane muuwaji na azikwe pamoja nae, kauri ambayo ilianza kusambaa taratibu, na kuwafikia baadhi ya watu waliokuwepo pale msibani.

Aikuwa ajabu, au kauri ya kushangaza kusikika toka ka Tino Nyondo, sababu ukiachilia watu kumfahamu vyema bwana Tino Nyondo, lakini pia watu wengi walitegemea kitu kama hicho, japo swali lina kuja, je wataweza kumpata na kumzika kama pamoja na Lukas, maana tayari muuwaji amesha teketeza kundi la kwanza bwana Nyondo.****

Naaaaaaaam!, ilikuwa ni jumamosi, saa moja na robo za asubuhi, kwamaana ya siku ya pili tangu kifo cha Lukas,nasiku ya pili ya tangu TSA wagundue makazi ya SA-26, ikiwa ni siku ya pili tangu mwanadada Anastansia aingie kwenye #TOBO_LA_PANYA, akiwa na mwanaume ambae amahamu ata jina.

Mida hii ndani ya tobola Panya, tunamwona mwanadada Anastansia akiwa peke yake kitandani, atuwezi kusema ni mtupu kama alivyozaliwa, ila mwonekano wake ni sawa hivyo, maana licha ya kujifunika shuka, lakini nusu ya mwili wake ulikuwa wazi, pasipo nguo ya aina yoyote.

Licha ya kuwa alikuwa bado amefumba macho, lakini mala kwa mala alionekana akitabasamu, sijuwi ilikuwa ndotoni, au alikuwa amesha amka, ila zingatia tabasamu lililokuwa linachanua usoni mwake, huku amefumba macho, na kujigeuza kila baada ya sekunde chache, yani mala alale chali, mala kiubavu, mala kifudi fudi. ….ENDELEA….. KUFWATILIA HADITHI HII YA TOBO LA Panya HAPA HAPA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata