BIKIRA YA BIBI HARUSI (08)

SEHEMU YA NANE

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABA : “kaka huku mbele kunaonyesha kuna jambo, ngoja kwanza tu ulizie kwanza maana naona jamaa wanawasha taa nyingi sana” alisema mtutuma huku akipunguza mwendo zaidi na kuliegesha gari pembezoni mwa barabara, sehemu ambayo ilionyesha kuwa ni kituo cha daradara, mala wakaona linakuja bus dogo linaloelekea Njombe, wakalisimamisha…. ENDELEA ………
bahati nzuri nalo likasimama, na kondakta akashuka toka kwenye gari, na kuwa sogelea akijuwa kuwa wakina Lukas wanatatizo na gari lao, “mambo vipi kaka kuna ishugani huko mbele, maana naona ishala nyingi sana” aliuliza mtutuma akiwa anawasha sigara yake, “kunapolisi kibao hapo mbele, wana kagua magari yote yanayotoka Njombe” alijibu yule kondakta wa bus, huku akianza kuondoka, lakini alipo ushika mlango wa bus lile dogo aligeuka nyuma na kuwa tazama wakina Lukas ila siyo traffic ni askari wa kawaida wamebeba bunduki, inasemekana kuna gari wana litafuta linatokea songea” aliongea kondakta huku gari likianza kuondoka,
Naam kama Mtutuma angekuwa makini kumtazama Lukas, ambae ni abiria wake alie mchukuwa songea, angegundua mstuko wake wa wazi wazi, “haa! kumbe ni polisi wa kawaida ebu twende zetu nikakuache hapo stendi” alisema Mtutuma huku akiingia kwenye gari na sigara yake mdomoni, lakini Lukas akabaki amesimama, nikama alikuwa anawaza jambo flani, “hoya twende zetu basi” alisisitiza Mtutuma aliekuwa amesha kaa kwenye kiti cha dereva, “braza nazani hapa panatosha, nashukuru sana kwa msaada wako, sijuwi nikihasi gani mpaka hapa” alisema Lukas huku ana fungua pochi yake aliyo ifunga kiunoni, tayri kutoa fedha kwa malipo ya usafiri, “hapana braza we uchune tu, huu ndio mwanzo wa kufahamiana” alisema mtutuma huku ana ingiza gia namba moja na kuanza kutembea taratibu, kuingiza gari bara barani, “asante sana kaka, nikirudi songea nitakutafuta” alipaza sauti Lukas, huku akilisindikiza gari kwa macho, na sasa lilisha shika barabara na kuanza kutimua mbio kusonga mbele, kuelekea mjini Makambako,
Lukas akushangaa aka ingia mtaani nakuanza kutembea kuelekea kati kati ya mji, akuwa mbali sana na barabara, Lukas alitembea taratibu huku akiwaza juu ya usalama wake, “kama hawa watu wamesha juwa kuwa nimefika huku, si itakuwa baraha” aliwaza Lukas huku akiendelea kusonga mbele, mala akapata wazo “lakini naweza kutafuta namba ya nyumbani kwa afande Kisona, kwenye kitabu cha simu za kampuni ya serikali” aliwaza Lukas huku akitabasamu, “ngoja nifike mjini nika tafute sehemu wanayo pigisha simu” huo ndio ulikuwa uamuzi wa Lukas ambae aliendelea kutembea akivuta mguu wake, **
Wakati Luas anawaza hayo, huku bwana Kisona alikuwa maeneo ya NMC akikagua sehemu ambayo jana ili fanyika tukio la ujambazi na mauwaji, mahali pale aliwakuta polisi kumi wakiwa na bunduki zao wanaimalisha ulinzi, dereva akasimamisha garin na kanal Kisona akashuka na kuwa sogelea wale polisi, waliokuwa wanaimalisha ulinzi, ambao wali mpigia salut nae akaijibu, “naona mpo kazini vijana” alisema Kisona huku akiwatazama wale askari mmoja baada ya mwingine, “ndio afande tumeamua kuongeza nguvu, maana jana yametokea majanga” alisema askari mmoja mwenye cheo cha koplo, hapo kanal Kisona aka vuta pumzi ndefu na kuishusha, “dah! poleni sana kwahilo, kwakweli imenisikitisha sana, hivi mtu mmoja anawezaje kuwa angamiza watu wa tano wenye bunduki kilahisi namna hii?” alisema Kisona akionyesha kuwa mwenye uzuni ya ghafla, “kwakwe afande ata sisi tumestuswa sana na tukio hili, inawezekana walikuwa wengi” alijibu yule koplo wa polisi ambae alikuwa amemsogelea kabisa bwana Kisona, aliekuwa ana tazama chinji kama kuna kitu alikuwa anakifuta, “kwani amjapata habari yoyote ya juu ya tukio?” aliuliza Kisona akianza kutembea kuelekea sehemu ambayo ilikuwa ina alama ya damu nyingi sana, “afande kwakweli habari iliyopo ni hiyo ya huyo jambazi mmoja, sisi atuwezi kujuwa zaidi maana hii kesi hipo chini ya CID” alisema yule koplo wa polisi, huku akiambatana na kanal Kisona, ambae alitembea na kusimama karibu na ilea lama kubwa ya damu, kisha aka tazama chini na kutazama ukuta wakaribu, nikama alikuwa anatafuta kitu, “awa jamaa walianguakia hapa” alisema yule Koplo pasipo kuulizwa, hapo kisona akageuka na kumtazama usoni, “ume gundua nini bwana koplo?” aliuliza Kisona, “sijagundua kitu afande” alijibu Koplo wa polisi, kisha akatulia na kusubiri ufafanuzi,toka kwa mwanajeshi huyu mwelevu, “ni kwamba wauwaji walikuwa kariibu sana na askari polisi, ambao awakutarajiw kushambuliwa kwa muda huo” alisema bwana kisona kisha aka chuchumaa na kuokota ganda moja la risasi, na kuinuka, alafu akaanza kuondoka, “ok! kazi njea koplo” alisema kisona, akimwambia yule askari polisi, ambae alikuwa ana mshangaa Kisona kwa ugunduzi wake,
Kisona akaingia garini, kisha akamwambia dereva wake mwenye cheo cha private, “nipeleke nyumbani, nimemkumbuka sana mke wangu na wanangu” hapo mala moja gari likaondoka kuelekea mjini, “washenzi hawa, nita wapata tu!” alisema Kisona uku anatabasamu, **
Gari walilokuwa wamepanda wakina Monalisa lilikuwa limebakiza kilomita sitini kufika makambako mjini, safari iikuwa nzuri kwka wote wanne yani wale vijana wawili walio kuja chuo na gari na Denis pamoja na mpenzi wake Stella, kasolo Monalisa peke yake, ambae kila walipozidi kusogea, ndipo alipozidi kuiwazia ndoa yake na Erasto, na kumkosesha raha na amani moyoni mwake, hakujuwa kuwa vijana hawa wawili kila mmoja alikuwa ana mtazama kwa macho ya wizi, yaliyo jaa matamanio, huku vichwani mwao wakipanga mipango yao iliyom fanana. “simamisha gari ni kojoe kidogo” alisema yule kijana alie kaa seat ya pembeni ya dereva, na yule dereva aka egesha gari pembeni, na wote wawili wakashuka, akiongezeka Denis.
Wakasogea pembeni kidogo wakiwaacha wascha ndani ya gari, “hoya Denis, huyu demu vipi, unaonaje tulale nae hapa makambako?” aliuliza yule kijana alie kaa pembeni ya dereva, “mh! huyu demu agongeki, yani aingiliki kwa chochote” alisema Denis, huku wakiendelea kujisaidia, wewe hakuna kinacho shindikana bwana, tena mimi mwenyewe na mtamani sana huyu demu” alisema yule kijana dereva, hapo Denis akacheka kidogo, “nyie mnacheza kweli, huyo demu ni bikira, haja wai kuguswa” alisema Denis, na wale vijana waka tazama kwa mshangao wa tamaha, na kuachia matabasamu ya uchu, “sikia Denis, ngoja tukupe mpango, atakama ni mgumu kivipi lazima ata gongwa tu!” alisema yule mwingine, na kuanza kumpa mpango wao bwana DENIS, “kwanza tuna lala wote Makambako, pili tuna mchezea mchezo mmoja wa hatari sana, anazimishwa alafu tuna jilia vyetu” alimaliza yule dereva, kisha wote wakacheka kwapamoja, huku wanaelekea kwenye gari, na safari ika endelea.
baada ya kutembea kwa mwendo wa kilomita kumi, Denis akalianzisha, “hivi Stella, unaonaje tukilala Makambako tumpe kampani Monalisa, maana peke yake hapa ugenini anaweza kupata matatizo” alisema Denis huku akimtazama Stella, pia kwa ujanja waka sikilizia Monalisa atauchukuliaje ule ushauri, Stella aka inua uso wake kumtazama Monalisa, macho yao yaka gongana, Monalisa akatabasamu, akionyesha kuwa wazo la Denis, lita kuwa zuri sana, kwani katika vitu vilivyo mchanganya hakiri, ni kulala makambako peke yake, ……… haya jamani, vipi kuhusu bikira ya bibi harusi mtarajiwa, ita kuwa salama kweli?, endelea kufwatilia mkasa huu, hapa haapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!