BIKIRA YA BIBI HARUSI (12)

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA MOJA : “huyu demu mjinga sana, yeye anajijuwa ni mzuri, alafu ana jifanya kuja kulala kwenye ma guest, ona sasa midume inavyo mfukuzia, watambaka huyu” alisema Edgar, huku anainuka na kuelekea kule upande wa vyumbani, akizania anaenda kumwokoa Monalisa toka kwa wanaume wenye uchu, wa ngono, pasipo kujuwa huo ndio mwanzo wa matatizo, ENDELEA……..
Wakati huo polisi wote wa mji wa njombe walio unganishwa kwenye oparesheni hii, ambayo wao walijuwa kuwa wanamtafuta na kumbe ni msako wa kifo mkononi, msako wa tape, sasa walisha pata habari ya kutokea kwa tukio la mashambulizi aliyo fanyiwa Lukas na kuuwawa, wao wakajuwa kuwa tayari msako umeisha, isipokuwa ni wale polisi waliotokea songea tu! walijikusanya kwenye gari lao, lililotoka hospital kuupeleka mwili wa Lukas, na kuelekea kule waliko waacha wakina Kibabu, huku mawazo yao yakiwa ni kuimaliza mapema kazi hiik kisha wakagawane mali walizo pola NMC, mari ambazo zinge wapa utajiri mkubwa sana, **
Monalisa aliingia chumbani kwake, akiwa ana wasi wasi mwingi sana, kushuhudia mtu ana kufa mbele yake halikuwa jambo dogo, tena ukichukulia mtu mwenyewe ametoka kuongea nae muda ule ule, na kilicho mtia uoga zaidi, ni kwamba alikuwa amekabidhiwa kitu ambacho anahisi ndicho kilicho sababisha kifo cha yule jamaa, Monalisa akiwa anaamini kuwa you salama mle chumbani, akaweka kitandani kibegi chake na mfuko wa vitumbua, kisha aka tupa chini viatu vyake, na kujilaza kitandani,
Lakini azikupita ata sekunde kumi akashangaa mlango wachumba kile ukifunguliwa, nae akatazama upande ule, na macho yake yaka tazamamana uso kwa uso na vijana wawawili, ambao walimwonyeshea ishara ya kukaa kimya, huku vijana wale wakijipapasa viunoni mwao na kuibuka na bastora, “jamani msiniue nitawapa kidude chenu…..” alisema Monalisa, kwa sauti ya uoga na mwili mzima ulitetemeka, huku ana nyanyua kile kijibegi chake, maana aliwatambua mala moja vijana hawa, kuwa ndio wale walio kuwa wana mkimbiza yule kijana alie mpatia video tape, na ndio wale walio muuwa kijana huyo, mbele ya macho yake, akawaona wale vijana wana chukuwa vitu lani ka vibomba vilefu kwenye mifuko yao ya majaketi yao, na kuanza kuya funga kwenye bastora zao, “hoya huyu demu nataka nimgonge kwanza kbla hatuja muuwa huyu demu” alisema Charles, hku akiiweka bastora yakke kitandani, hapo Monalisa akaacha kufungua kibegi chake na kukimbilia kwenye kona, ya kitanda akajikunyata, “tafadhari msinifanye hivyo jamani, aliongea Monalisa kwa sauti ilianza kuambatana na kilio, alilia kwa mambo mawili moja ikiwa ni kubakwa tena akiwa hajawai kufanya kale kamchezo, pili alisikia kuwa anatakiwa kuuwawa, Monalisa nikama hakueleweka ndio, kwanza akamwona Charlrs akimfwata na kumshika mguu, “ukipiga kelele na kushindilia risasi” alisema Charles, kwa sauti ya chini isiyo na chembe hata moja ya huruma, “unaremba chaz maliza na mimi nimalize” alisema Mike, hapo Monalisa akamwona yule anaetaka kumbaka akianza kumfungua kishikizo cha suluali yake, huku mwezie akiwa amesimama na bastora yake mkononi, akiwatazama,
Moalisa akiwa amekata tamaa ya maisha yake na bikira yake, akabakia anaangua kilio cha chini chini, maana alisha katazwa kupiga kelele, na huku tayari Charles alisha fungua kishikizo cha suluali ya Monalisa, na sasa alikuwa ana fungua zip, hapo ghafla Monalisa alishuhudia mla ukifunguliwa kwanguvu sana, na wote watatu mle ndani wakatazama mlangoni, huku Charles akisitisha zoezi la kufungua zip ya suluali ya Monalisa, “pumbavu kabisa, yani midume mizima mnabaka” ilisikika sauti iliyo jaa hasira ya fumanizi, hapo Moyo wa mona lisa uka pata japo nusu amani, kwa kumwona mtu ambae, akutegemea kama ange mwona mahali hapa, muda huu, Monalisa alimwona Edgar akiingia haraka, na kumkumba yule alie simama, ambae alionekana kuto kutegemea tukio lile, maana yule jamaa nikama alipigwa bumbuawazi, iasi kwamba ata Edgar alipo alimsukuma na na kumtupa ukutani ambako alijibamiza kichwa na kuanguka chini, huku bastora ikimtoka mkononi, na kusogea pembni kidogo, ata hivyo yule jamaa, yani Mike, hasingeweza kufanya lolote, sababu alikuwa amekata moto, yani amezimia,
Kuona hivyo Charles aka mwacha Monalisa na kuifwata bastola yake, lakini aikuwa bahati yake, maana Edgar aliiwai na kumzibua teke la usoni, lililompindua Charles, alie jibwaga pale pale kitandani, lakini kwa wepesi wa haraka sana, Charles akaruka na kujitoa kitandani, akiwa amekaa katika mkao wa kuz dach, tayari kushambulia, inaonekana alishaona kuwa ana mmudu Edgar, lakini ilikuwa tofauti kidogo maana Edgar akuangaika na ngumi ambazo haziwezi, akainama haraka na ukiokota bastora aliyo iangusha Mike, ambae bado alikuwa amelala chini ajitambui huku damu zikimanza kumvuja kisogoni, pale alipojibamiza. “ukileta mbwembwe nakufyetua” alisema Edgar akiwa anamwonyeshea bastora, yule mtu ambae yeye alimwona kuwa ni mbakaji, “twende Edgar wata tuuwa” alisema Monalisa akiwa amesha vaa kibegi chake mgongoni, huku mkono wake mmoja ameshika kiji fuko cha kaki, kile cha vitumbua, Edgar akamwabia Monalisa achukue ile bastora kitandani, Monalisa akaichukuwa haraka na kumpatia Edgar, kisha wakaanza kutoka, huku Edgar akiwa amemwonyeshea bastora Charlres kwa tahadhari kubwa sana, “unajuwa dogo, unacho kifanya ni hatar…” alisema Charles, na Edgar hakumpatia muda wakumaliza kuongea, aka mtwanga kwanguvu kichwani na kitako cha ile bastora, hapo wakamwona Charles akiyumba yumba na kujibwaga chini, akiwa amezimia, na wao wakatoka haraka mle chumbani, wakiacha begi la Monalisa, Edgar akiongoza. Monalisa akashangaa kuona wanaingia kwenye chumba kinacho fwata,
“kwanini wakufwate na bastora awa washenzi” aliuliza Edgar huku anakaa kwenye kitanda, hukunaweka zile bastora pemnei yake, Edgar wapo wengi watatukuta sasa hivi, tuondoke haraka” alisema Monalisa, alie kuwa amesimama kati kati ya chumba, “Wapon wengi? wakinani?” aliuliza Edgar kwa mshangao, “polisi hao, wamesha muuwa mtu, tuondoke watatuuwa” hapo Edgar hakuwa mbishi, aka fungua begi lake haraka na kutoa pea moja ya raba, kati ya nyingi alizo nazo, maana uwa ana penda raba hizi kwaajili ya mazoezi ya mpira wa kikapu, aka mpatia Monalisa, ambae alizishika mkoni wa kulia wakoshoto akiwa ameshika kijifuko cha vitumbua, Edgar akiwa amshaanza kuiona harari iliyopo mbele yake, aka chukuwa begi lake dogo la mgongoni, tayari kutoka nje. akatazama kitandani kama kuna chamuhimu alicho kisahau, akaziona zile bastora, akaichukuwa moja na kuitoa magazine ya risasi, yani kikebe, kisha akaiweka kitandani na kuichukuwa ile nyingine. kisha akaongoza kutoka nje akifwatiwa na Monalisa alie mshika pindo ya jacket lake,
Haikuwa lahisi hivyo, maana ile wanatka tu! waka waona vijana wawili wana ingia kwenye chumba namba tisa, ambacho kilikuwa cha Monalisa, “hao wamefika” alisema Monalisa kwa sauti ya kunong’ona, Edgar hakuzubaa, aka mshika mkono mmoja Monalisa, niule alioshikia kijifuko cha vitumbua, kisha akaamwongoza kuelekea mlango wa uwani, yani kule aliko ingilia wakati ana kuja kutoka mbeya, Monalisa akafwata kama mbuzi wa sadaka,
Lakini wakiwa wana karibia kuufikia mlango mdogo wa chuma wakutokea nje, upande nyuma mala wakasikia, “wale kule” hapo wote wawili wakageuka na kutazama nyuma yao, naam wote wawili wali waona wale vijana wawili walio ingia mala yamwisho chumbani kwa Monalisa, wakiwajia mbio mbio, na bastora zao mikononi, itaendelea………. endelea kufwatilia mkasa huu hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata