BIKIRA YA BIBI HARUSI (26)

SEHEMU YA 26
 .
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA 25: aikuchukuwa muda askari walianza kuondoka, wakimfwata Khassim, huku wale askari watatu walio chaguliwa wakibakia na Mike, maskini wawindaji haramu hawakujuwa kinacho fwatia, walibakia pale chini walipo lala, wakiwa wame wakodolea macho askari hawa, walio kuwa wana weka vizuri silaha zao, na kuzikagua kama vipo vyema. ENDELEA ……….
“Hivi afande Lusinde, awa jamaa iwapo wata chelewa kutoka, humu ndani tuta fanyaje?” aliuliza askari mmoja, alie simama pembeni ya koplo Matata Lusinde, ambae alikuwa ameyaelekeza macho yake upande, lilipo lango la kuingilia kambini, sehemu ambayo walihisi kuwa Kanal Kisona amelala hapo, “ilo lakutoka saangap ni jambo jepesi sana, ila kuna swala la sehemu aliyo lala, je ni hapa au sehemu nyingine?” alisema Koplo Lusinde, huku akiendelea kutazama kule kwenye geti, la kambi la jeshi la ulinzi, au lile gari lililopita ndio linaenda kumchukuwa” alisema yule askari.
Hapo walitulia na kuendelea kusubilia mawindo yao, pasipo kujuwa kuwa Kanali Kisona akiwa na askari wake wawili, na yule koplo wa pale getini, wakiwafwatilia na kujiuliza, lengo la watu hawa, yani polisi hawa, “unajuwa nini, lile gari nililiona songea saa limoja kabla sisi hatuja ondoka, yalikuwa mawili na bwana Kingarame” alisema Kisona ambae alijilahumu kuto kushuka na darubini yake toka kwenye gari, “sasa watakuwa wanasubiri nini pale, au nitume askari wakawaulize?” alisema yule mkuu wawalinzi, “hapana waache tu, ila hapa ndio Napata picha ya kinacho endelea” alisema Kisona, akiwageukia askari wake, “niliwaambia muwe tayari kwa lolote, wale polisi wapo pale kama observer,” alisema Kisona huku wana wote wanageuka kutazama gari lao lililo kuwa linakuja kutokea store, lilikoenda kujaza mafuta na kuchukuwa mengine ya akiba, kwenye madumu mawili ya lita ishirini, na kuchukuwa biff na biscuit, zitakazo wasaidia wakiwa porini, “haya Koplo tutaonana” alisema Kisona, huku anaelekea kwenye gari, “asante afande nakutakia safari njema” alisema yule koplo, huku anapiga salatu ya kuagana, “sante bwana koplo” alijibu Kisona, huku akiitikia ile salut.
Aikuchukuwa muda mrefu Kisona na askari wake waliingia ndani ya gari, na safari ikaanza taratibu sana, “mzee Mbogo, endesha gari kwa speed kali, kisha kasimame baada ya kulivuka station, nahisi kunawatu watatufuata” alisema kanal Kisona, na hapo akari wote mle ndani kasoro wale wawili, walistuka kidogo, “hakuna tatizo” alisema baba Edgar, huku ana kanyaga mafuta ratatibu, akitembea kwa barabara mbovu inayo elekea barabara kuu, huku kanali Kisona na askari wake wakiwatazama wale askari polisi waliosimama kaaribu na station ya Tazara ambao waliwaona wame tulia, wana litazama gari lao, ambali baada ya kuipata barabara kuu, lika ongeza mwendo na kuingiza gia namba mbili mala namba tatu mala nne mala nambatano na kuwa katika speed kari sana, ambapo walipo lipita lile Toyota land cruzer, la polisi lililo simama pembeni ya barabara, kwa kutumia kioo cha nyuma, na side mirror, waliwaona polisi waki panda kwenye gari hilo haraka haraka, lakini awakujuwa kilichotokea baada yapo maana tayari land rover mia na kumi, lilisha fika mbali sana, ****
Ndani ya msitu huu mnene uliopo kati kati ya Njombe na makambako, uliogawanywa na barabara hii ya vumbi, ambayo tukiifwata kama kilomita nane kutoka, barabara kuu iendayo makambako na Njombe, tuna kuta magari mawili ya polisi, yakiwa yamesimama pembeni ya barabara, kwa kutazama, huku askari polisi wakiwa wame zagaa, eneo lile huku SSP Manase Kingarame, akiwa mita chaache pembeni pamoja na sajent Idd Kibabu, wakijadiliana jambo, “hapo nyuma kidogo kuna kona moja kari ipo kwenye mwinuko, nazani pata faa sana kuweka mtego wetu” alisema sajent Kibabu, kwa sauti ya chini, ikionyesha kuwa hawakutaka wengine wasikie, “ok! nakuaminia sana Kiba, vipi kuhusu askari unawaamini?” alisema Kingarame, kwa sauti yachini, kama alivyo fanya Kibabu, “nime wachagua Chaz na Dinno, alafu na askari watatu wa hapa hapa Makambako, Mapombeka ameniambia kuwa ni wazuri kwa silaha za msaada” alisema Kibabu, “unazani inafaha kuwa shirikisha askari wa hapa Makambako?” aliuliza kingarame, kwa sauti ya kutilia mashaka, ‘sikuwa na jinsi ilibidi nifanye hivyo, maana nimebakia na askari watatu tu!” alijibu Kibabu akiendelea kwa kusema, “lakini nime wajaza ujinga kuwa, hao ni majambazi waliokuwa ndani ya sala za jeshi, wana kuja kumsaidia mwenzao” Kingarame alitulia kidogo kama vile anawaza jambao flani, kisha akasema, “sikia ebu uwe karibu na eneo hili, endapo itatokea waka leta mashaka baada ya tukio, uwa zibe midomo” alisema Kingarame akionyesha ishara ya kuupisha mkoni wake shingoni, akimaanisha chinja, “lakini kwenye gari langunina askari wa kutoka makambako” alisema Kibabu, na Kingarame akatabasamu kidogo, “hao nita ondoka nao, na wewe utabakia na askari nilio kuja nao mimi” alisema Kinagarame.
Naam ikawa hivyo, “nyie wenyeji, pandeni kenye gari la afande na nyie mliokuja na afande, mtabakia na mimi” alisema sajent Kibabu, wakati huo Kingarame alikuwa anaingia kwenye gari lake, Toyota land cruzer, na hapo askari wanne, walio kuwepo kwenye gari la sajent Kibabu, waliingia kwenye gari la kamanda huyu wa upelelezi, na bila kuchelewa PC Hokololo, akaondoa gari, na kuelekea upande wa mashariki, yani walizidi kutokomea porini zaidi, wakiwaacha wakina Kibabu, wana ingia kwenye gari lao, na kwenda kwenye eneo walilopanga, kuweka shambulio la kushitukiza, ili kumwangamiza Kanal Kisona, inamaana wakina Katembo na mzee Mbogo, nao wanatakiwa kupoteza maisha.
Mpango ulikuwa mzuri, wakitega silaha nzito za mashambulizi, nao wakijitega kwenye kona kari sana, iliyopo kwenye kimwinuko, askari hawa walielekeza mitutu na makombora yao kwenye kona ya ghafla iliyozibwa na ukuta mkubwa wa barabara, yani pale kama wakina Kisona wakitokeza tu! pua ya gari lao, achomoki mtu,
huku sajent Kibabu mwenyewe, akiondoka naskari wake watano walio tokea songea jana usiku, na kwenda kulificha gari lao mita mia moja nyuma ya sehemu ya mtego, yani kutokea mjini, sehemu ambayo wangeweza kuona jinsi jamaa wavyo ingia kwenye mtego na jinsi watakavyo shambuliwa, wao waliona vizuri kuliko ata washambuliaji, ***
Koplo John Mapombeka, leo alipata nafasi ya kupitia nyumbani kwake, ambako alimkuta mke wake alie mbebea mtoto tumboni mwake ikiwa ni miezi nane sasa, licha ya kupokelewa vizuri pia John alishapata chai nzuri ya moto, akisalimia cheza na mke wake kwa dakika kadhaa, akipata nafasi ya kuoga, na kubadiri bahadhi ya mavazi, ikiwa na ile ndogo kabisa ya ndani, pia sox ata vesti yandani,
saa mbili kasoro ndio muda ambao, alisikia muungurumo wa gari nje ya nyumba yake, ikionyesha wazi dereva, alikuja kumpitia, poa mke wangu nazani leo tuna weza kumaliza kazi hivyo tuta kuwa wote,” Mapombeka alimhaga mke wake, “basi ujiangalie mume wangu” alisema shemeji yao, wale askari, waliokuwa wanamtazama mkubwa wao akiagana na mke wake, ambae tu,bolake lilikuwa imetangulia mbele kwa ukubwa wa ujauzito, “poa usijari mke wangu nitakuwa makini” alisema John kisha akageuka na kungalia nyuma yagari, nikama alikuwa anawakagua askari wake, “nazani kila mmoja amepumzika kidogo, twende tukamalize kazi walau leo tupate usingizi” alisema koplo mapombeka, baada ya kujilizisha kuwa askari wake wawili ma Dereva wake, wote wapo salama, maana uwezi kujuwa, pengine ameenda kufumania, na pametokea ngumi na mtu katolewa meno, “tumepumzika sana afande, yani baadae tukija tena, inabidi tupumzike kwanza” alishauri askari moja anaependa sana kupumzika, koplo John aliishia kucheka tu, akaingia kwenye gari na sfari ya kituoni ikaanza, wakienda kuchukuwa chakula, kwaajili ya wenzao, ***
“Kanyaga mafuta wawai kabla hawajafika mbali, lazima tuwatangulie, ili tutoe ishala” alisistiza koplo Lusinde, alie kaa karibu na dereva, wa Toyota Land cruzer, ambalo lilikuwa speed moja kali sana, kikiipita station ya tazara, “hao tuna wakuta pale pachani, lazima wapunguze mwendo, alisema dereva wa gari hilo, huku akikanyaga mafuta kwa fujo.
Lakini ghafla, wakati wakiwa katika mwndo mkali, wakaliona gari aina ya land rover, mali ya jeshi la ulinzi, likiwa limesimama pembeni ya barabara, hapo yule dereva aka kanyaga breack za ghafla, na kulifanya gari lao liyumbe kidogo, “usisimame bwana watagunsua tuna wafwata” alipiga kelele Lusinde, na hapo dereva akakanyaga mafuta nakuendelea na safari, “hpa kunajia moja tu ya kuendea kule porini, twende tuka waasubiri utwango, wale ndio wenyewe” alisema Lusinde**
Baada ya kuwaza kwa dakika kadhaa huku wanatembea, Monalisa akapata sawali la kiuchokozi, “Eddy kwani wewe usikii aibu tulivyo fanya jana?” aliuliza binti huyu mrembo ambae alikuwa nyumba ya Edgar, akiwa ameushikilia mkono wa rafiki yake huyu ambae alikuwa ana kong’otwa na baridi, mwenzie alikuwa amevaa jacket lake, “kwani wewe unasikia baridi?” aliuliza Edgar, “ndio mwenzio nasikia aibu, ile si ilikuwa usiku” alisema Monalisa huku anacheka cheka, “unataka usisikie aibu?” aliuliza Edgae huku anasimama, na Monalisa akasimama, huku anaitikia kwa kichwa, kwamba anataka asaidiwe asione aibu, “haya fumba macho nikumbwatie” alisema Edgar akimgeukia monalisa, nae akafanya kama alivyoambaiwa, akafumba macho na kumkumbatia Edgar, akizungusha mikono yake shingoni kwa rafiki yake huyu wa zamani, huku Edgar akitumia mkono wa kushoto kumkumbatia Monalisa, akiuzungusjha kiunoni, sababu ule wa kulia ulikuwa ume shikilia kizigo cha nyama ya kuchoma, laza kichwa chako begani kwangu, Monalisa akafanya hivyo na kutulia kwa sekunde kadhaa akihisi msisimko flani ulio mfanya aanze kutoa pumzi nzito puani kwake, zilizo puliza shingoni kwa Edgar na kumtekenya, “haya fumbua macho kishanitazame usoni” alisema Edgar, na Monalisa akafumbua macho na kuinua uso wake, ili kumtazama Edgar usoni, lakini waliweza kutazamana kwa sekunde mbili tu Monalisa aka rudisha kichwa chake begani kwa Edgar, “bado naona aibu” alisema Monalisa, kwa sauti nyororo, Edgar akatoa kakicheko cha mguno, kisha aka tumia mkono wake wakushoto kukiweka sawa kichwa cha Monalisa na kuusongeza mdomo wake kwenye midomo ya mrembo huyu, ambae aliisha juwa kinacho takiwa kufanyika, akalegeza midomo na kuanza kupeana juice, pasippo kujali kuwa hawakupiga mswaki,
walifanya hivyo kwa sekunde kama stini hivi, kiasi cha kuanza kuleagea kabisa na dudu ya Edgar ikizidi kuvimba na kututumka, mala Monalisa akajitoa kwa Edgar, na wakabaki wanatazamana, Mnalisa akuweza kuvumili aka tazama chini huku anatabasamu, “vipi aibu imeisha?” aliuliza Edgar, na Monalisa akaitikia kwa kichwa, kukubari kuwa aibu ime isha, “haya twende zetu” alisema Edgar huku anamshika mkono Monalisa, na kuanza kuongoza kukifwata kile kinjia, upande walio ambaiwa inaenda kutokea kijijini, lakini awakufka mbari, wakasikia ‘pah! pah! pah! pah!’ ilikuwa ni milipuko ya risasi za SMG, kutoka nyuma yao, itaendelea hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata