BIKIRA YA BIBI HARUSI (34)

SEHEMU YA 34

ILIPOISHIA SEHEMU YA 33: “Eddy nasikia baridi sana” alilalamika Monalisa huku wakizidi kutembea, “vumilia kidogo Mona, tutafute sehemu tuone tutafanyaje” alisema Edgar ambae alijikaza kidogo, asionekane kuwa amechoka, maana yeye alibeba bunduki ambayo kikawaida ikiwa na mke mmoja wa risasi unakuwa na uzito wa kilo sita, sasa jumlisha na mikebe mitano ya risasi aliyo kuwa nayo. ENDELEA…..
Wakati wana endelea kupeana moyo mala waka kujikuta wakitokea kwenye mashamba ya viazi mviringo huu pemembeni kidogo, wakaona vibanda vya vyasi na udogo, vikionyesha kuwa kuna watu wanaishi, maeneo haya, maana kulikuwa na moto una waka, na kdiri walivyo sogea, ndipo wakaona watu wakiwa wanaota moto, “mungu mkubwa, atimae tume pata sehemu ya kulala” alisema Edgar,kwa sauti yenye uhai, “mh! we sema tu ! si unakumbuka jana?” aliuliza Monalisa, lakini Edgar akaonekana kupuuza maneno ya Monalisa, “hawa si wanaonekana kuwa ni wakulima,” alisema Edgar huku akiisogelea nyumba moja iliyo karibu yao, na mona lisa akifwatia kwa nyuma.
Wawili awa wali sogelea nyumba hiyo kwa tahadhari kubwa, ambapo waliweza kuwaona watu kadhaa wakiwa ni wa baba na wamama, na watoto, waliokuwa wanaota mota huku wale wakubwa wakubwa wakinywa ulanzi, (pombe inayo tokana na mti wa muhanzi, Edgar aka iweka bunguki yake mgongoni, kisha aka sogea karibu kabisa na ile ilenyumba, “hodi jamani” alisema Edgar wale watu hawakustuka sana, ila waligeuza shingo zao na kuwa tazama wakina Edgar, “karibusana, mbona usiku sana huku polini?” aliuliza mzee moja, kati ya wale watu, kwa sauti ya kilevi, huku wote wakiwa tazama, “tume achwa na nawanafunzi wenzetu, kwa bahati mbaya, hivyo tuna omba tupumzike hapa, mpaka asubuhi, kisha tujaribu kuelekea barabara ni” hapo wale wazee wakacheka kidogo, huku ikionyesha wale watu wasima karibu wote walikuwa wame lewa, “kwa hiyo mwende barabarani kwa miguu?” aliuliza mzee mwingine, kisha wakacheka tenna, alafu mama mmoja akasema, “ila msiwe na wasi wasi, kuna magari yana kuja alfajili kuchukuwa viazi, mtaondoka nayo” akika ilikuwa habari njemakwa wakina Edgar, ambao sasa walisha jisogeza kwenye moto, “he! nahilo tope ilikuwaje?” aliluza mtu mwingine, kwa mshangao, “tulipotea njia tukapita kwenye njia ya tope” alijibu Edgar, kisha wenyeji wao wakacheka sana, “haya we kalinga, ebu wawashie moto kwenye kibanda cha Mwagoda, ili wachemshe maji na kufua nguo zao” lilikuwa wazo zuri toka kwa yule mzee alie wakaribisha, “karibuni sana vijana, tena kuna vijana wenzenu polisi, walikuja jana usiku wakalala humo humo kwa Mwagoda” alisema yule mzee, wakati wakina Edgar wanaongozana na yule kijana alie itwa Karinga, alie beba sped (koleo) lenye moto mwingi, wakiwaacha wale wazee wakitoa maagizo kwa vijana waliokuwa nao, wakachote maji na kuya pelekeka kwenye nyumba ya Mwagoda. ***
Miada hii huku SERENA Hotel, dada mhudumu alikuwa amekaa meza ya pembeni kidogo, akimtazama manaume wake alie toka kupewa nae dudu mchana, akiwa meza moja na watu wengine watano, wababa watatu, na wa mama wawili, wakinywa pombe, akika watu awa waliamua kunywa pombe, maana ni tokea mchana, mala waka mwona kamanda wa polisi ana pita, eneo lile akitembea haraka sana, akielekea ndani ya hotel, mala mzee Anderson akainuka na kumfwata, lakini kila alipo mwongelesha alionekana kukosa nafasi, maana kamanda yule alionekana kuchanhanyikiwa, “mzee vipi mefanikiwa” aliuliza kwa mala ya pili mzee Anderson, wakati huo mke wake nae alikuwa anajitaidi kuinuka ili amfwate mume wake, lakini akashindwa kutokana na kulewa sana, “naimani kesho tuta mpata” alijibu Kingarame kwa makato, kisha akaingia ndani, na kumwacha mzee Anderson ameduwaha, akamsindikiza kwa macho mpaka mzee yule alipo potelea ndani kabisa, kisha yeye akarudi kwa wenzake, “vipi anasemaje huyu kamanda?” aliuliza mzee Misago, “anasema bado hawaja wapata, ila anauakika kesho wata wapata” alisema mzee Anderson kwa sauti flani yakinyonge, akijitaidi kujichangamsha, “haaa! jamani mwanangu sijuwi anaishije huko porini na baridi hii” ali lalamika mama Monalisa, na hapo maongezi yaka dakia, kujaribu kupena moyo kuwa kesho ataoneka.
Lakini katika maongezi hayo ni mtu mmoja tu akushiriki, nae ni Erasto, ambae alionekana kuwa busy na yule mpenzi wake mhudumu wakipeana ishara mbali mbali, za kukonyezana kimapenzi, kila mmoja akiwa mbali na mwenzie, na kuishia, kutabasamu na kucheka, huku wakivuta muda wakwenda kupeana dudu, chumba namba namba kumi nasita, jilani kabisa na chumba namba kumi nasaba, Khassim na Mike, wakiwa na askari mdogo, walitembea kwenye Pori kwa muda mrefu sana na sasa waliisha ipata barabara ya vumbi, “hivi awa wenzetu wamesha tusahau kabisa?” aliuliza Khassim huku wanaendelea kutembea wakiwa wamechoka kweli kweli, njaa kiu ya maji, ata sehemu za mapaja yao zikichubuka na kuwafanya watembe kwa shida, wakiwa na unduki moja tu, “au wanahisi tumesha kufa?” aliuliza askari mdogo, “ila inabidi tukatoe report ya wenzetu kuwa wame pigwa risasi” alisema Khassim muda wote Mike alikuwa kimya kabisa, haakuwa anajuwa kuwa rafiki yake Charles tayari alisha tangulia mbele za haki tena mbaya zaidi, bila kuungama zambi zake, “afande mimi nashauri bora tuka lale kwanza majumbani kwetu, alafu asubuhi ndio tuka toe riport” lilikuwa wazo la kijinga sana toka kwa yule askari mdogo, lakini ndio wazo lililo onekana kuwa bora zaidi kwao, “nikweli jamani na mimi mni tafutie sehemu ya ….” kabla Mike ajamalizia, mala wakaona mwanga wagari unakatiza, mita kama mia nne mbele yao, siyo kuja kwao ila ulitoka kushoto kwenda kulia, “barabarani palee” alisema Mike, huku mioyo yao iki chanua kwa tabasamu.
Wakatembea hatua chache mbele, mala wakaliona gari jingine likipunguza mwendo na kuingia kule waliko, na kuwamulika na mwanga wa taa za gari lile, huku likiendelea kuja,na mwisho lika simama karibu yao, nao wakalitambua kuwa ni toyota land cruzer, la polisi, wakatabasamu, “Mike vipi, mbona mpo huku mpaka saa hizi, tena wachache hivi” aliuliza Koplo Lusinde, ambae alikuja huku kwa lengo la kuwasubiri vijana wakazi, toka songea, “afande Lusinde, kumbe ni wewe?” aliuliza Mike kwa mshangao, nazani kundi hili alikuonana na RCO, na awakujuwa kuwa amekuja, “kumbe atujaonana, mbona tupo toka jana usiku, tume kuja na mkuu” alijibu Lusinde. hapo yaka endelea maongezi madogo, huku Lusinde anaumiza kichwa juu ya Khassim na mwenzie.
Lakini akapata jibu baada ya dakika kadhaa, aka mtazama Khassim, “PC, nyie ingieni kwenye gari nendeni mkapumzike” japo lilikuwa niwazo ambalo Lusinde aliliwazia sana kulitoa, akiofia kufikiliwa vibaya, lakini lilipokelewa vizzuri sana na Khassim, ambae alishukuru kwa afande koplo, na kuingia kwenye gari, kisha safari ikaanza, Khassim akimwelekeza dereva, awapeleke Makambako,
“kwanza pole sana Mike” alisema Lusinde, mala tu baada ya gari kutoweka, “nimesha poa afande, ila ndio hivyo, kuchoka na kuumia ni sehemu ya kazi yetu” alijibu Mike, ni kwamba akuelewa alicho maanisha Lusinde, “ni kweli ni moja ya jukumu letu, ila unataarifa kuwa tume poteza askari saba jioni hii?” alisema Lusinde kwa sauti ambayo ilionyesha tumajonzi flani, kisha akaanza kumsimulia kwa mapana, kama alivyo sikia akisimulia Kibabu,***
Saa tatu usiku ndio mida ambayo, Kisona na team yake, alipo simamisha gari, kwenye maegesho ya magari ya Serena Hotel, walishuka na kuingia Hotelini, wakipitia mlango wa nyuma wa Hotel, wakiofia kuleta anttation kwa wateja na wageni wa pale hotelini, “jamani dakika kumi tuoge tukapate chakula cha moto, maana leo tume shindia biff na bisscuit tu!, vazi nazidhifu la kiraia” alisema Kisona, huku akiongozana na baba Edgar kupandisha ngazi, kuelekea ghorofa ya tatu ambako Kingarame, alikuwa amepanda muda mfupi uliopita.
kila mmoja akaingia chumbani kwake, ambako kila mmoja alitumia dakika zisizo pungua kumi, kuoga na kubadiri nguo, na kutoka kuelekea kwenye ukumbi wa chakula na vinywaji, huku mzee Mbogo na Kisona, wakipitia mapokezi kupiga simu kwa familia zao, akianza bwana Kisona.
Wakati huo askari wanne wakiwa na Koplo Katembo, wakaelekea kwenye chakula moja kwa moja, wakatafuta meza ya kukaa, ambayo aikuwa na mtu, nao wakaa, huku jirani yao kukiwa na meza yenye watu wawili, yani wana wake, huku viti vingine vikiwa tupu, “sasa nyie mkaombe kukaa pale, alafu afande na mzee Mbogo waje kukaa hapa, “lilikuwa wazo zuri kwa wanajeshi hawa, kutoka kwa ande koplo, wakati huo huo akaja mhudumu, “samahani kaka, nimeambiwa niwahudumie” alisema yule dada mhudumu, na hapo kila mmoja akaagiza anacho itaji, ikiwa pamoja na pombe ya kuondoa baridi, na chakula.
Wakiwa pale mezani kwao wakina mama Monalisa, mala mama huyu akamwona mtu anaea mfananisha, akitokea ndani ya Hotel ile ile, waliyo panga wao, “jamani macho yangu au?” aliuliza mama Monalisa, kwa sauti ya kileevi, na wote waka geuka upande aliokuwa anatazama mama Monalisa, waka mwona yule kamanda wajeshi la ulinzi ambae jana mchana alikuja nyumbani kwao, tena kamanda huyo, sasa alikuwa amesimama karibu na lango la kutokea ndani, akitazama tazama, kama vile kuna watu au mtu anamtafuta, mala akatazama upande wao, nikama aliwaona, mama Monalisa aka nyuoosha mkono kumwita, lakini kitu walicho hisi kuwa ni mwanga afifu, Kisona akuonyesha kuona ile ishara, aka geuka na kuingia ndani ya Hotel, “inamaana haja tuona au?” aliuliza mama Monalisa, “sema hawa jamaa wana jifanya wapo busy sana” alisema mzee Anderson, kwa sauti ya lawama, ni kutokana kujumlisiiha tukio la Kingarame na hili la Kisona, “ndio matatizo ya kuwapa vijana wadogo vyeo vikubwa” alisema mzee Misago,
Lakini muda huo huo waka mwona Kisona akitoka tena nje ya Hotel, safari hii walimwona kinyoosha kuja upande waliopo wao, “utazani ametusikia tuanvyo lalamika” alisema mama Monalisa, huku wote wakimtazama Kisona akija upande wao, na kusimama pembenio ya meza yao, “nimeshangaa kuwaona hapa, mme ingia saangapi, na kufanya nini?” alisema Kisona, kwa sauti ya kirafiki na ya mshangao, huku anawatazama moja baada ya mwingine, “tumeingia leo afajili, tumeona tuje kumsubiria Monalisa hapa hapa” alisema mzee Anderson, na kumfanya kisona atabasamu kidogo, kisiha akamtazama mama Monalisa, ambae alimtambua tokea jana, kule nyumbani kwake, “inamaana nyie ndio mlio tusimamiisha hapo juu tuka waelekeza hotel?” aliuliza Kisona, “hoooo! kumbe ulikuwa wewe jamaa, tulikuwa sisi” alisema yule dereva kwa uchangamfu, akimwona Kisona kuwa ni kijana mdogo sana, tofauti na alivyo fikilia muda ule, kuwa litakkuwa zinga la baba,
Yakifwatia maongezi mawili matatu, yaliyo tumia kama dakika kumi natano, “nazani tupunguze wasi wasi, binti yenu kesho ata patikana” alisema Kisona akiwapa moyo, wazazi na majirani, huku Erasto macho akiwa ameya kodoa kutazama upande aliko kaa yule mwanamke wake, ambae sasa aliwaona vijana wanne, wakiwa wameenda kukaa, kwenye meza ile ile, ambayo yule dada alikuwa na rafiki yake, Erasto akawa anaonyesha ishara, kwa yule mhudumu, waondoke zao waingie chumbani, ni kweli mhudumu akainuka na kuelekea ndani.
“samahani afande kuna simu toka makambako” kisona alistuka kidogo, na kugeuka, kumtazama alie mwita, maana ilikuwa sauti ya kike, alikuwa ni mhudumu, hapo kisona aka waaga na kumbilia ndani, ***
Mambo katika mashamba ya viazi yalikuwa siyo mchezo, nje ya nyumba ya Mwagoda, ambae alikuwa ame elekea Njombe mjini kwa matibabu, walionekana Edgar na Monalisa, wakiwa wame uzunguka moto, wana anika nguo zao, walizo zi fua, wakiwa wame valia nguo aina ya kanga kuu kuu, ya zilizo cha kaa kidogo, walizo azimwa na wenyeji wao, tayari walisha oga na kufua nguo na viatu vyao, huku juu ya moto ikionekana sufulia ya viazi ikiicihemka, na pande la nyama kili pashwa moto, “Edgar unazani hii tape inaweza kuwa na nini?” aliuliza Monalisa alie kuwa amevalia kanga, kwa kijifunga kifuani, “mimi sijuwi, ila itakuwa na siri kubwa sana inayo wahusu polisi, au watu wakaribu na polisi” alijibu Edgar, ambae kiukweli alikuwa kati wakati mgumu sana, kutokana na mwonekano wa Monalisa, ndani ya ile kanga moja.
“Eddy ipia viazi vimesha iva mimi najisikia njaa” alsema Monalisa kwa sauti ya kudeka, huku akiwa amesimama na nguo yake mkononi, bila kusema kitu Edgr ali ipua sufulia la viazi, na kumwaga maji yalio bakia ndani yake, kisha aka ichukuwa vipande vya miti na kuviweka kwamtindo wa kuegemeana, karibu na moto, kisha aka weka nguo juu yake, ili ziendelee kukauka.
“Eddy una hakili nyingi sana” alisema Monalisa huku akienda kukaa juu ya ndoo, karibu kabisa na Eddy, alie kuwa amekaa juu ya ndoo pia, huku sufulia la viazi likiwa chini yao, macho ya Edgar yakatuwa kkwenye mapaja mwololo ya Monalisa, yaliyo achwa wazi, baa ya kikanga kile kubanda juu kidogo, mala Monalisa alipo kaa, “Eddy akuna kuchunguliana” alisema Monalisa, huku anabana mapaja yake na kujaribu kuivuta kanga yake, ni kama aliona kitendo cha Edgar kutazama mapaja yake, “nichungulie alafu iweje?” alijiu Edgar, huku akjijifanya yupo busy, huku akichukuwa pande la nyama na kuliweka juu ya sufuria, na kuanza kuikata katakata, hapo Monalisa alicheka kisiri siri, akimcheka Edgar.
Kisha kikapita kimya, Monalisa aimtazama Edgar, alie kuwa busy ana anendelea kuandaa chakula, “Eddy, nani amekuundisha kupiga binduki?” aliuliza Monalisa, huku akimtazama Edgar, alie kuwa bado anaendelea kuandaa chakala, “baba yangu” alijibu Edgar kwa makato, nikama na yeye kuna vitu alikuwa anawaza, “kwahiyo utajiunga na jeshi?” aliuliza tena Monalisa, na kama mwanzo Edgar akajibu kwa ufupi, “sijuwi” hapo Monalisa akahisi jambo, “Edgar mbona kama una mawazo sana?” aliuliza Monalisa, huku akiulaza mkono wake, begani kwa Edgar, hapo Edgar akainua uso wake uku akiwa ameshikilia kipande cha kiazi mkononi, huku macho yake malegevu yakiwa usoni kwa Monalisa, ambae nae alikuwa anamtazama, “nakuwazia wewe Mona” alisema Edgar, huku ana mpatia kiazi Monalisa, macho yake usoni kwa Monalisa alie kuwa kama ameshtuka kidogo, kwa maneno ya Edgar, “mh! unaniwazia nini, ebu lione kwanza” alisema Monalisa, huku anapokea kiazi, na macho tayari amesha yakwepesha, maana aliwaza kuwa Edgar amesha tamani kufanya kale ka utani kama kajana, “nawaza jinsi ya kufanya ili tuweze kufika nyumbani” alijibu Edgar, huku ana inama kuchukuwa sufuria, na kulisogeza karibu na Monalisa, “kula ulale, ili tupate nguvu ya kesho” alisema Edgar kisha na yeye akachukuwa kipande cha Kiazi, na kukimega kidogo.
Monalisa nae alie kuwa ame tulia akimtafakari Edgar, alimega kiazi, akiendelea kutafakari, kisha akatabasamu kidogo, “Edgar asante sana kwa kila kitu unacho nifanyia” alisema Monalisa kwa sauti tuivu sana, huku akiachia tabasamu, Edgar alitabasamu pia, “lakini ni wajibu wangu kukusaidia rafiki yangu” alisema Edgar, huku ana chukuwa kiazi kingine na kumpatia Monalisa, “lakini hii ni zaidi ya urafiki, sijuwi ni kushukuru vipi Eddy” alisema Monalisa huku akipokea kiazi toka kwa Edgar,***
Kanal Kisona alikuwa ametoka kusikiliza simu toka kwa CO, Makambako, ambae alimjulisha kuwa, polisi Iringa wanaongeza nguvu Njombe, kuja kusaka majambazi, “hivyo kama kuna msaada uakao uitaji toka kwetu ili umalize kazi yako mapema, tujulishe” alisisitiza CO Makambako, ambae ni mkuwa ki cheo kwa kanal Kisona, japo wote ni makanal, ila CO alivaa kabla yake.
Kisona alienda na kukaa, na wezake, yani mzee Mbogo, ambae muda mchache uliopita alishauliwa na Kisona azunguke mlango wa nyuma, ili asionane na wazazi wa Monalisa, ambao Kisona aliwaona kipindi kile, alipo rudi ndani haraka.
“jamani mambo yana zidi kupamba moto, polisi wanaongeza nguvu, RPC ruvuma na RPC iringa, wanakuja” alisema Kisona akiwa amekaa na Katembo na baba Edgar, “kwa hiyo kesho inabidi tuakikishe tunawapata wakina Edgar haraka sana, maana nacho kijuwa mimi, wakiwapata wao mwanzo, mpaka wana kuja kuujuwa ukweli, tayari Edgar atakuwa amesha poteza maisha, pengine ata huyo binti mwenyewe” alishauri Kisona, wakati huo vinywaji na vyakula vikiendelea kushushwa mezani
Wakati huo huo ndani ya chumba namba kumi nasita, Erasto na dada mhudumu, walikuwa uchi kama walivyo zaliwa, huku vinywaji vikionekana vingi mezani, sasa dada mhudumu alikuwa amepiga magoti mbele ya Erasto, ameikamata dudu ana inyonya kama vile ana kula cony, huku Erasto mwenyewe akiwa ana sikilizia utamu, akishushia na chupa kubwa ya pombe kali, akisahau kabisa kama amekuja huku kumtafuta mchumba wake, alie tekwa nyala, ila akujuwakama mke mchumbawake yupo huko polini ana fanya nini muda huu.***
Sajent Kibabu akiwa kilomita kama nane hivi, toka Njombe mjini, wakisimamisha gari lao pembeni mwa barabara, alionekana akiwa anaonekana anamawazo mengi sana, maana akuzania kama kazi hii inge kuwa ngumu kiasi hiki, akichukulia amesha wapoteza askari wengi sana, akika alisha fanya kazi nyingi za hatari, lakini hii ilikuwa kazi ndogo sana kwake, tena ingechukuwa muda mchache sana, lakini leo ni siku ya nne na hakuna mafanikio, na mbaya zaidi, ushaidi wote wa tukio la NMC, uliokuwepo kwenye tape ndogo ya video, walikuwanao wale vijana, ambao wanaonekana kuwa, ni wajanja sana, na wenye mbinu kali za kimapigano.
Wakati huo huo waka yaona magari mawili aina ya land rover, mia na kumi, yakija kwa speed, kutokea songea, wakaonyesha ishala ya kusimama, na yo yaka simama, “mabo vipi Kiba?” alisalimia jamaa mmoja, alie shuka toka kwenye gari la mbele, mwonekano wake alikuwa na ndevu nyingi na kichwani alivalia kofia pana ya duara, na koto reefu sana, na viatu aina ya buti, kama za jeshi, “afadhari mme kuja, maana boss amesha changanyikiwa” alisema Kibabu, akionyesha tabasamu, huku kichwani kwake akipanga kuwa kimbiza mala moja kwa koplo Lusinde, njia panda ya porini, na yeye mwenyewe kwenda kupumzika kule kwenye mashamba ya viazi, alikowakuta wakina mapombeka asubuhi, ya leo, nazani mdau unapakumbuka vizuri ***
Mzee Kingarame akiwa chumbani kwake, amesha maliza kuoga, alitulia kitandani huku mawazo yakiwa yame mtawara vibaya sana, akiwaza na mna ya kumaliza mpango wake kabla ya polisi wengine kuongezeka hapo kesho, “na huyu mshenzi anabahati sana, kuchomoka kwenye ile ambush, lakini kwa awa vijana wakazi awezi kuchomoka” aliwaza Kingarame basipo kujuwa kuwa Kisona yupo chumba cha jilani yake.**
Nje ya kibanda cha Mwagoda, kule porini, shamba la viazi, Monalisa na Edgar walikuwa wamesha maliza kula, na sasa walikuwa wametulia pembeni ya moto, wakifaidi radha ya moto, huku wakiwa wamekaribiana kabisa, kwa sasa walikuwa kimya, nikama kila mmoja alikuwa anawaza lakwake, Edgar alikuwa anafikilia atima yao, kule polini, huku Monalisa ambae alijiona kuwa salama sana akiwa na Edgar, alikuwa ana waza jambo moja la kiouuzi sana, “sijuwi leo ata nichezea tena maziwa, jana nilijisikia raha” akika Monalisa akujuwa hatari ya mchezo hule, maana aliwaza hayo huku ana mtazama Edgar usoni, macho yao yakagongana, wote waka tabasamu, “pengine una liangaikia alafu lina mchumba wake” aliwaza Edgar huku akitabasamu, na kumtazama Monalisa usoni, ambae alisha kwepesha macho yake, “unatabasamu nini?” aliuliza Monalisa wakati wote walikuwa wanatabasamu, “kwani wewe unatabasamu nini?” akauliza Edgar, ulikuwa ni mtendo wa kurushiana mpira, “mimi na waza hivi, kwamfano, kanga yangu iki dondoka uta fanyaje, uta fumba macho, au uta nichungulia?” lilikuwa swali la kijinga, ambalo lilileta burudani kwao, wakacheka kidogo, kisha Edgar akauliza pia, “kwani ikianguka yangu utafanyaje” hilo swali lilikuwa jepesi sana kwa Monalisa, “nita angalia video” alisema Monalisa na wote wakacheka kwa pamoja, “wewe je utafanyaje?” aliuliza Monalisa, hapo Edgar aka jibu haraka sana, “nitaichezea” jibu la Edgar ni kama Monalisa akulitarajia, maana alitoa macho kwa mshangao, ambao ulifwatia na kijifofi cha begani kwa Edgar, “kumbe wewe muuni” alisema Monalisa huku akiendelea kumpiga Edgar, vikofi vya utani, akitumia mkono wa kulia, huku mkono wa kushoto ukiwa ume shikilia kanga, katikati ya mapaja, yani mbele ya kitumbua chake, Edgar aka mdaka mkono, hapo Monalisa akaachia kanga, na kutumia ule mkono mwingine wa kushoto, na kuanza kumpiga Edgar kifuani, Edgar aka udaka mkono wa kushoto wa monalisa, sasa alikuwa amemshika mikono yake yote miwili, “niache ni kutandike, muuni mkubwa” alisema Monalisa huku akiwa amejilaza kifuani kwa Edgar alie mshikilia mikono yoye miwili, “we siumeniuliza, hapo sasa utakuwa unanionea” alisema Edgar huku macho yake yakiwa kwenye mapaja ya Monalisa, yaliyo kuwa wazi baada ya binti huyu, kuachia ile kanga, “sasa ndio usema hivyo, kwani wewe utakubari nikuchezee?” aliuliza Monalisa akiwa ameuficha uso wake kifuani kwa Edgar. …. mdau unazani jibu la Edgar litakuwaje, maana wanakoelekea ata mimi siwaelewi, itaendelea Hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata