
BIKIRA YA BIBI HARUSI (35)

SEHEMU YA 35
ILIPOISHIA SEHEMU YA 34:sasa alikuwa amemshika mikono yake yote miwili, “niache ni kutandike, muuni mkubwa” alisema Monalisa huku akiwa amejilaza kifuani kwa Edgar alie mshikilia mikono yoye miwili, “we siumeniuliza, hapo sasa utakuwa unanionea” alisema Edgar huku macho yake yakiwa kwenye mapaja ya Monalisa, yaliyo kuwa wazi baada ya binti huyu, kuachia ile kanga, “sasa ndio usema hivyo, kwani wewe utakubari nikuchezee?” aliuliza Monalisa akiwa ameuficha uso wake kifuani kwa Edgar. endelea …….
Lilikuwa swali la kusuta, na Edgar akatoa jibu la utani, “tena ukitaka kuchezea, ata usiku kucha” alijibu Edgar, kwa sauti tulivu na nzito, Monalisa akainua uso ghafla na kumtazama Edgar usoni, nikama vil hakuamini kuwa alie jibu ni yeye, aka mwona mwenzie nae ame mtazama usoni, “mh! uoni aibu?” aliuliza Monalisa akijaribu kumtazama Edgar usoni, akika aliweza, sababu safari hii Edgar andie alie kwepesha macho, huku anatabasamu, “kwa ni wewe unanionea aibu?” aliuliza Edgar akiwa bado ana tazama mita kama hamsini mbele yao, ndipo kibanda kingine kilipo, “mhhhh! naona aibu lakini, siyo sana” alijibu Monalisa ambae sasa alibadiri mkao, na kujiegemeza kwa mikono mwili mapajani kwa Edgar.
Kikaita kimya kidogo, wawili awa, nikama walikuwa wanatafakari jambo flani, ni kweli kichwani mwake Edgar alikuwa anawaza jambo flani juu Monalisa, “sijuwi anawaza nini huyu kuni uliza maswali ya kijinga kama haya, alafu ata afanani na ujinga huu” wakati Edgar ana waza hayo, Monalisa nae alikuwa anawaza ya kwake, “mbona kama leo ananionea aibu, alafu anichokizi kama jana” alicho waza Monalisa ata mimi sikukielewa, wakati wana waza hayo, mala Edgar akaisi dudu yake iki banwa na mikono ya Monalisa, ambae akuwa amekusudia, na dudu ilianza kustuka na kututumka, Monalisa akaanza kuisikilizia, maana alihisi kitu kigumu kikigusa mikono yake.
Ila ni kama Monalisa alifanya makusudi, maana aka chezesha mikono yake pale juu ya mapaja ya Edgar, nikama alitaka kuakikisiha kama dudu ime simama, “alafu mwisho wake” Monalisa alistuliwa na swali la Edgar, nae akajitoa haraka kwa Edgar, “si imesimama yenyewe kwani mimi nimeisimamisha?” alisema Monalisa huku akicheka kicheko cha chini, “we jifanye ujijuwi jinsi ulivyo mzuri” maneno ya Edgar yali mstua kidogo Monalisa, ambae alimtazama Edgar kwa mshangao, “kwahiyo kama mimi mzuri ndio usimamime hivyo?” aliuliza kwa mshangao Monalisa, Edgar akaitikia kwa kichwa, “kwahiyo wewe ukiona mwanamke mzuri unasimamisha?” aliuliza Monalisa kwa sauti flani iliyo ashilia wivu, “tena nime shangaa, jana na leo, uwa aisimamagi kabisa” lilikuwa jibu la uongo, lakini lililo utekenya moyo wa Monalisa, ambae aliachia tabasamu pana sana, lililo onyesha ata meno, “we muongo Eddy” alisema Monalisa, kwa sauti iliyo changanyika na kiaibu flani, huku anajilaza mapajani kwa Edgar, ambako dudu ilikuwa imesha chachamaa, “sija wai kuku danganya Mona” alisema Edgar huku ana ulaza mkono kwenye mgongo wa Monalisa, ambao ambao nusu yake ulikuwa wazi, “kama bado unanipenda, mbona kule chuo ulikuwa unanichunia?” aliuliza Monalisa ambae bado, usowake alikuwa ameulaza pajani kwa Edgar, akitanguliza vinganja vya mikono yake, hapo Edgar alitabasamu kidogo, huku ana tembeza mkono wake mgongoni kwa Monalisa, “we! ulitaka nifanyaje?” lilikuwa swali la mtego toka kwa Edgar, swali ambalo, akutegemea kujibiwa vizuri, mdau ebu kwanza tuamie upande mwingine, maana kuna mambo yalikuwa yanaendelea usiku huu,***
Kisona na tem yake, wakiwa bado wana endelea kula na kunywa, huku wana panga vita ya kesho, mala waka sikia mvumo wa gari nje ya hotel, na ukakoma, kuashiria kuwa, gari lime simama hapo serena hotel, na sekunde chache baadae akaonekana askari mmoja mwenye cheo cha conteble, akikatiza kuelekea ndani ya hotel, kwa mwendo wa haraka sana, kisona aka watazama wenzake, yani mmoja baada ya mwingine, kama vile kuna kitu ana kitafuta, lakini akaoneka kuto kupata anacho kiitaji, “nakuja sasa hivi” alisema ma kuinuka, kisha aka tokomea upande wa nje, akiwaacha wakina mzee Mbogo, wana msindikiza kwa macho, mpaka alipo toweka, kwa kupitia mlango wa nyuma wa kutokea pale Hotelini,
Kisona ali enda moja kwa moja mpaka nje ya hotel na kusimama kwenye bara bara ya kuingilia pale Hotelini, aka tazzama sehemu ya maegesho, aka yaona magari mawili ya polisi, moja likiwa na askari kama watano nyuma yake, huku askari mmoja mwenye cheo cha sajent, akiwa amesimama nje ya gari hilo, aina ya land rover, one ten, aka mtazama vizuri, na kumtambua kuwa, ni yule sajent alie kutana nae nyumba ni kwa kijana Lukas, bombambili, ina wezekana Kingarame ame fikia hapa” aliwaza Kisona, mala baada ya kuliona gari la pili, toyota land cruzer.
Wakati ana waza hayo Kisona akapata wazo la kugeuka kutazama upande wa kulia, yani kule barabara kuu, ndipo alipo yaona magari mawili ya kiraia, yani land rover mia na kumi, yakiwa yame egeshwa, pembeni ya barabara, yana unguruma, mwanzo hakutaka kuunganisha matukio haya mawili, kuwa ni moja, lakini baada ya dakika chache, akamwona Kingarame ana ingia kwenye lile gari aina ya toyota, akiongozana na yule askari alie mfwata ndani, ambae sisi tuna mjuwa kama Hokololo, ambae ni dereva wake,
hawa kuchukuwa muda mrefu saafari ikaanza, Kisona alitamani akimbilie gari lao la kijeshi walilo lieegesha pembeni kabisa mwa maegesho, kiasi ca kushinwa kuonekana kilahisi na wakina kingarame kutpokana na maali pale kujawa na magari mengi, lakini akaona kuwa ata poteza movie, hivyo aka jibanza haraka sana, wakati yale magari yana pita, na yalipo pita aka jitokeza na kuya angalia, yakiendsa kusimama barabarani, yani pale yalipo simama yale magari mawili ya kiraia, alafu bila kuona mtu akishuka, akaona magari yote ambayo sasa yalikuwa ni manne, yakiondoka na kuelekea upande wa makambako, ndipo Kisona akarudi ndani ya Hotel, walipo wenzake.”jamani mme gundua nini?” aliuliza Kisona wakati ana kaa kwenye kiti chake,***
Huku nako msafara wa Kingarame ulichochora kuelekea upande wa Makambako, wakipita maeneo ya kituo kikuu cha polisi wilaya, “wapuuzi awa wanataka kutu haribia mpango wetu, lazima tujitaidi kukamilisha usiku huu” alisema Kingarame akiwa na Hokololo mbele ya gari, huku wakiwatzama polisi wengi walio jazana pale nje ya ofisi za kituo za polisi wilaya, “tena afande kama itashindikana usiku huu, ina bidi kesho tuwe makini sana katika oparetion hii, tukizubaha tu! mambo yame haribika” alishauri hokololo, huku ana badiri gia,kwaajili ya kupandia mlima wa kibena, huku magari mengine matatu yaki fwatia nyuma yao, “ila awa washenzi, wame wameweza kutuchezea”. alisema Kingarame huku akiikodolea macho picha ya Edgar iliyo bandikwa kwenye nguzo ya umeme, kwa mba ana tafutwa na jeshi la polisi.
Safari yao ilitumia dakika kama kumi na tano, wakafika njia panda ya kwenda porini, ambapo kwa sasa wali pakalili sana, kutokana na kutumia sana njia hiyo, ambapo waliwakuta wakina Lusinde wapo na PC Mike, ambae alikuwa katika majonzi makubwa ya kumpoteza rafiki yake Charles, Kingarame Sajent Kibabu, na Koplo Lusinde waka sogea pembeni wakiwa na yule jamaa mwenye madevu alie valia kofia ya duara, na koti refu, “haya Ngigo, kuanzia hapa kuelekea huku ndiyo eneo la kazi, kuna watu wawili, yani wakike na wakiume hao ndio walengwa” alisema Kingarame, huku akimtazama yule madevu, “tunacho itaji ni tape na roho zao, yani awatakiwi kuwa hai ata kwa bahati mbaya, labda utueleze unaitaji nini toka kwetu, ila kuhusu fedha, achana nazile tulizo kubaliana na boss wenu, nita wapatia nyingine nyie wenyewe kama mtafanikiwa” alimaliza Kingarame, hapo Madevu au Ngigo, aka achia tabasamu pana sana, “kazi ndogo sana hiyo King, chamsingi ni kwamba tuna risasi chache sana, ila silaha tunazo, tukipata hizo, asubuhi lazima usikie kitu” alijibu kwa kujitapa Ngigo, huku akichezea ndevu zake, “risasi tunazo nyingi sana, labda kama kunajingine” jingine labda mtueleze sehemu ya mwisho mlipo waona” hilo lilikuwa ombi la Ngigo, ambalo kwa Kingarame lilikuwa gumu kidogo, ila aka kumbuka jambo, akamtazama sajent Kibabu, ambae alielezea ile sehemu ambayo walishambuliwa mala yameisho, hapo akukuwa na hadithi tena, zaidi kazi ikaanza mala moja, yaka tolewa bahadhi ya mabox ya risasi toka kwenye gari la koplo Lusinde, na kupakizwa kwenye gari la Ngigo, pasipo kukumbuka kuwa risasi hizi zilinunuliwa kwa kodi za wanachi, na sasa zinaenda kufanya uarifu.
Baada ya kumaliza zoezi hili, Ngigo aka ingia kwenye gari na watu wake, kisha wakaondoka zao kuelekea porini walikoelekezwa, huku wakina Kingarame wakiwasindikiz kwa macho, huku wakishuudia mianga ya taa nyekundu za nyuma ya magari haya mawili yaki chanja mbuga, “mkichomoka na hapo nyie ni vijukuu vya mtume” alisema Kingarame, ambae sasa alionekana kupunguza presha, na mawazo ya mambo kuharibika, “lakini afande ina idi wawe makini sana hawa jamaa, unajuwa kuna askari wengine wame uwawa polini, upande waliokuwa wakina Mike?” alisema Lusinde, na wote wakashangaa, “usiniambie?” alisema kingarame kwa mshangao, “tena walikuwa tisa, sita wote wame uwawa, alibakia koplo mmoja, Mike na askari mmoja wa huku huku makambako, nime waachia waka pumzike, niliona watatuwekea kiwingu” alisema Lusinde na Kingarame aka msifu kwa uamuzi huo, “huyu mtoto, atalipia kwa haya yanayo tutokea” alisema Kingarame kwa sauti yenye chuki na jazba kari, huku ana elekea kwenye gari lake, “kiba bakia hapa na Lusinde akikisheni mnajuwa kinacho endelea” alisema kamanda huyu wakati hokololo anageuza gari na kuanza kuondoka, akiwaacha wakina Lusinde wana msindikiza kwa macho mpaka gari lao lilipo shika njia ya Njombe na kutoweka.
Hapo Kibabu aka mtazama Lusinde, kaka mimi nime choka sana, wacha niende huku mbele nika tafute sehemu ya kupumzika” alisema Kibabu, na Mike na akaomba kuondoka nae, sababu na yeye alikuwa amechoka sana kwa kutembea mwendo mrefu, kwa mguu, sijuwi wakina Edgar walikuwa katika hali gani, wakati wao askari wamechoka hivi, dakika mbili baaadae Kibabu na askari wake akiwa mike waliondoka kuelekea kule waliko elekea wale wakina madevu yani bwana Ngigo na viujana wak kumi na nne, kwenye magari mawili,**
“Kingarame yupo hapa” alisema mzee Mbogo, akieleza jinsi walivyo mwona anatoka mbio mbio akiongozana na askari mmoja, “tena nahisi anaelekea kule porini, na kuna watu anawapeleka, na hii ni kutaka kumaliza zoezi lake mala moja, ili wenzie wakija wakute amesha maliza kazi, ambayo ita masaidia kumletea sifa kubwa, na huku akificha ushaidi” alieleza Kisona, akionyesha kuwa na uakika na maneno yake, “kwa hiyo afande tuna fanyaje?” aliuliza koplo Katembo, akionyesha shauku ya kutaka kujuwa kinacho endelea, “hapa ni hakili nyingi, tujaribu kuuwa polisi ata mmoja, itakuwa lahisi kwao kutugeuzia kibao, ila inabidi tubadiri mchezo” alisema kisonahuku wezie wakimsikiliza kwa umakini sana, “hapo sija kuelewa afande, unajuwa wamesha tukosa kosa kwenye ambush?” aliuliza mzee Mbogo, huku akijiweka vizuri, kusikiliza ufafanuzi, “kazi yetu ni kuakikisha Edgar na yule binti wanapatikana wakiwa salama, na ushaidi wa tape, ukiwa mikononi mwao, kwa kifupi ni kuwa linda kwa hatari yoyote, huku tukijilinda wenyewe, ila tuta shambaulia pale itakapo itajika kutashambulia, mfano endapo tashambuliwa, au tuta waona wakina Edgar wakiwa katika hatari ya kifo” alieleza Kisona, hapo Katembo aka shusha swali, “sasa kuhusu awa jamaa wanao elekea polini usiku huu, awawezi kuwa hatari kwa wakina Edgar” hapo kisona alitulia kidogo, kisha aka jikohoza kidogo, alafu akasema, “kwa jinsi Edgar alivyo anaonekana anaiweza vita, na mpaka sasa atakuwa makini na kila kitu, kumbuka huu ni usiku, na awa jamaa wanamagari kama manne hivi, sasa kwa vyovyote, Edgar ata liona gari kwa ulahisi, kutokana na mwanga wa taa, kabla wao awaja waona hivyo ni rahisi yeye kuwakimbia au kuwashambulia pale itakapo bidi, **
Wakati mipango ina endelea kupangwa, huku porini Edgar na Monalisa, walikuwa wanaendelea na mjadala wao sijuwi tuuite wakitoto, au wakipuuzi, nazani unakumbuka tulipoishia, “kama bado unanipenda, mbona kule chuo ulikuwa unanichunia?” aliuliza Monalisa ambae bado, usowake alikuwa ameulaza pajani kwa Edgar, akitanguliza vinganja vya mikono yake, hapo Edgar alitabasamu kidogo, huku ana tembeza mkono wake mgongoni kwa Monalisa, “we! ulitaka nifanyaje?” lilikuwa swali la mtego toka kwa Edgar, swali ambalo, akutegemea kujibiwa vizuri, hapo Monalisa akacheka kidogo, huku bado usowake ameuficha kwenye viganja vyake vya mikono, juu ya mapaja ya Edgar, huku akiigusa gusa dudu ya Edgar iliyo vibda ndani ya kipande cha kanga, “si unge ni tongoza” alijibu Monalisa, akimalizia kwa kicheko flani cha aibu hivi, Edgar akatabasamu kimoyo moyo, huku mikono yake bado ina papasa mgongoni kwa Monalisa, “si nilisha kutongozaga wewe?” aliuliza Edgar, akijifanya kushangaa, sasa Edgar alikuwa amebadili kazi ya mikono yake, toka kwenye kupapasa na kuanza kum, binya binya Monalisa, kama vile ana mkanda, Monalisa akacheka kidogo, kwa kisauti flani hivi, “ule si ulikuwa utoto, pengine ulisha ghaili?” alisema Monalisa huku akijilegeza, ili Edgar aweza kumkanda vizuri, maana alijisikia raha flani hivi, ukizingatia mwili wake ulisha choka sana, “sijawai kughaili kukupenda, sasa kwahiyo ninge kutongoza unge nikubari au unge nikataa” swali hili la Edgar lilikuwa ni swali la kishenzi sana, nazani ata wewe mdau umegundua jambo, hapo Monalisa akacheka cheka bila kutowa jibu, “mbona unijibu?” aliuliza Edgar huku akiendelea kumkanda Monalisa mgongoni, “kwani we unaonaje, na kupenda au sikupendi?” swali la Monalisa nalo lilikuwa mtego kwa mteguzi, Edgar alijitabasamia, huku akiendelea kumkanda Monalisa, ambae sijuwi makusidi au bahai mbaya kanga yake ili funguka kifuani, na kufanya ilegee, hiyo kumpa nafasi Edgar, kuiona sehemu kubwa ya mgongo wa Monalisa, mpaka karibu kabisa na makalio yanapo anzia, nae akashusha mkono akiutembeza kwenye uti wa mgongo, na kumfanya Monalisa aihisi mtekenyo flani uliomletea msisimko flani, kiasi cha kujikuta anaondoa mikono yake usoni, na kujilegeza zaidi, huku akikilaza kifua chake, kwenye paja ya Edgar, na kuikandamiza dudu iliyo tutumka, “mbona unijibu, wewe unavyoona nakupenda au sikupendi?” alirudia swali Monalisa, lakini safari hii sauti yake ilikuwa nyololozaidi.
Edgar akalifikilia jibu la kumpa mwana mke huyu, lakini hakutumia muda mwingi aka lichomoa, “najuwa una nipenda toka tukiwa wadogo” alijibu Edgar ambae mkono wake ulikuwa una kikanda kiuno cha Monalisa, “sasa kwanini unionyeshi?” alisema Monalisa, kwa sauti ya aibu, iliyo ambatana na kale kakicheko, huku ana iweka ile kanga vizuri, ili Edgar aweze kumkanda vizuri, lakini nikama alikuwa ameiweka vibaya, maana sasa adi sehemu ya juu ya makalio, na mwanzoni mwa mfereji wa makalio, ulionekana, na kuzidi kumweka matatani kijana Edgar, maana dudu ilizidi kututumka, na kumgusa Monalisa kifuani, maana sasa kifua kilikuwa wazi kabisa, kutokana na kanga kujifuangua kabisa, “nikuoneshe nini?” aliuliza Edgar akijifanya hajuwi alichotaka kuona Monalisa, hapo Monalisa alijiinua kidogo, na kupenyeza mkono wake chini ya kifua chake, “si hii hapa, alafu ume simama kwanguvu” alisema Monalisa akiwa ame igusa dudu ya mwenzie, na kuibinya kidogo, huku anajichekesha, “alafu ukiiona?” aliuliza Edgar kwa sauti ya upole na tulivu, yenyeuzito wachumbani, huku Monalisa akiwa bado ame uweka mkono wake, kwenye dudu ya mwenzie, “sinione tu! ikiwa kubwa alafu ukiniumiza je?” aliuliza Monalisa, akiwa bado ame ishika dudu ya Edgar, alie uwa ana mkanda kiunoni na kumpa msisimko wenye raha, “kwani ulivyo ishika umeonaje?” aliuliza Edgar kwa sauti nzito, ambayo ilianza kuzidi wa na miehemko, “mi nataka niione kabisa” alisema Monalisa, huku anaikama ile kanga aliyo jifunga Edgar ili aifunue, lakini Edgar aka mdaka mkono, “hapa nje, uwezi kujuwa kama wanatutazama” alisema Edgar, huku anatazama tazama pembezoni mwa nyumba ile, lakini hakuona kitu zaidi ya giza nene, na moto uliokuwa unawaka kwenye ile yumba ya wenyeji wao na vijumba vingine vilivyopo mbali, “basi na funua kidogo” alisema Monalisa huku akijaribu kujipapatua mkono wake, toka kwenye mkono wa Edgar, lakini bado Edgar alikuwa ame uzuwia, “mbona wewe uja nionyesha?” aliuliza Edgar, akiwa bado ame ushika mkono wa Monalisa, “mi naona aibu” alijibu Monalisa kwa sauti ya kudeka, “basi we ni chungulie mimi naigusa kwa mkono” alishauri Edgar, hapo ombi lake lika kubariwa mala moja, “haya lakini shika juu juu, usiingize kidole, utaniumiza” Monalisa alitoa shaliti, “sawa siingizi” Edgar alikubaliana na maagizo ya Monalisa, huku ana upenyeza mkono wake, uvunguni kwa monalisa, na kukigusa kitumbua cha monalisa, alie kuwa amebana mapaja yake, huku yeye mwenyewe akiingiza mkono, kwenye kanga ya Edgar, na kuikamata dudu, “inamoto” alisema Monalisa huku mkono wapili ukianza kufunua kanga ile, wakati huo ana usikilizia mkono wa Edgar, ulio kuwa una mtekenya kwenye kinena chake, kama vile kuna kitu alikuwa anakitafuta,
lakini wakati Edgar ana tafuta kikunde kutokana na Monalisa kubana mapaja, Mala ghafla Edgar akastuka na toa mkono wake uvunguni kwa Monalisa, “vipi unaogopa?” aliuliza Monalisa, huku akiwa anshindwa kumtazama Edgar usoni, kutokana na aibu ya kushikwa kitumbua chake, kitu ambacho akikuwai kufanywa na mtu yoyote, awe wakike au wakiume, katika miaka hii ya ukubwa wake, “hapana Mona, tayari kazi imeanza ebu tazama kule” alisema Edgar, huku ana mwinua Monalisa, toka kwenye miguu yake, na kumwonyesha upande wa magharibi, yani kule waliko tokea wao.
Wote kwa pamoja, wakiwa wanatazama upande huo, wa maghalibi, umbali wa mita kama elfu moja hivi, waliona mianga ya taa za magari mawili, yakija kwa kasi upande wao, ……..dah! AWAJAMAA SI WANGESUBIRI KIDOGO? ebi tusibiri kesho tuone ilikuwaje, ni hapa hapa

