
SEHEMU YA 37
ILIPOISHIA SEHEMU YA 36: “mh! ata kama nikiwa mke wako?” aliuliza Monalisa kwa sasuti ya mashaka, lakini kabla haja jibu, mala wakasikia kama kuna kijiti kime kanywagwa na kuvunjika maeneo ya karibu ya hapo walipo kuwepo, yani nje ya kichaka kile cha mti walio ingia chini yake, Edgar aka tega siko, kwa umakini, endelea ………
Monalisa nae akawa kimya, kama vile anasikiliza alicho kuwa anakisikiliza Edgar, ambae alistuka sana kwa ile sauti ya kuvunjika kwa kijiti kikavu, kihasi kwamba dudu yake iilinywea, ata Monalisa aligundua swala hilo, akapelekea mkono kwenye dudu ya Edgar, na kuigusa dudu, akaona ime sha nywea, “hahahahaha! kumbe adi hii inaogopa” alisema Monalisa huku akiachia kiciheko cha kivivu na uchovu wa usingizi, hapo Edgar aka tazama atuha tatu kutoka pale waliposimama, na macho yake yaka tuwa kwenye jabari kubwa la jiwe, aka mkamata vizuri Monalisa ambae mpaka sasa alihisi kuwa akukuwa na kitu chochote, zaidi ya uoga wao.
kufumba na kufumbua Edgar ali mshika kwa nguvu Monalisa kisha akamfyetua kidogo, wakati Monalisa anashangaa, tayari alisha bebwa juu juu na Edgar, ambae ali panda lile jabari na jijirusha nyuma yake, akiwa na SMG yake mgongoni.
Nikama ilikuwa inasubiriwa hiyo, maana hapo ulifwatia mlindimo wa risasi, zilizo gonga kwenye lile jiwe na kuchakaza eneo lote la chini ya mti hule ulio jimwaga na kutawanya matawi yake, yaliyo waficha kama vifanga vya kuku, kwenye mabawa ya mama yao, huku majani na bahadhi ya matawi yaliwashukia pale walipo jibanza, wakisaidiwa na jabari la jiwe lililo wakinga kwa mvua ya risasi, zilizodumu kwa dakika nzima, kisha milindimo ika koma, hapo Edgar aka jipapasa kwenye kiuno na kukamata mpini wa kisu kikari sana, ni kile alicho kichukuwa kwa wawindaji haramu, Edgar aka jiinua kidogo kutazama upande ambao alimini wale watu walikuwepo, japo giza lilikuwa jingi mle ndani, lakini aliweza kuona mianga afifu, kwakupitia bahadhi ya sehemu za matawi, yaliyo fyekwa na risasi, kwa hiyo nje ya kichaka kile kulikuwa na mwanga, hivyo ingekuwa lahisi kwa Edgar, kumwona mtu yoyote atakae ingia kwenye kile kichaka.***
Milindimo ya risasi iliwafikia watu wengi sana, katika msitu ule, kati yao, ni wakina Kibabu ambao walikuwa pale kwa wakulima, moja na vijana wanne wa Ngigo, pia milio ya rissi iliwa fikia wakina Kingarame ambao walikuwa karibu kabisa na pale kwa wakulima, pamoja na wakina Lusinde walio kuwa katika amagari tofauti, nao waka ongeza mwendo wakijuwa kuwa tayari adui yao amesha fumaniwa, hivyo wawai, waka ongeze nguvu, iliwaweze kuwashinda adui zao. ***
Kumbe baada ya kupitiliza pale njia panda, na kunyoosha upande wa Mkambako, Kisona na wenzake, safari yao ilienda kuishia ndani ya kambi la jeshi la ulinzi la makambako, ambako walikuta maitajio yao yote yamewekwa pale kwa mkuu wa ulinzi wa mlango mkuu, ikiwa na madumu ya mafuta mnne, jumla ya lita 40, kama kawaida biscuit na makopo ya biff, kisha wakaenda kuwaona wagonjwa, walio waleta jana, ambao waliwakuta wanaendelea vizuri, huku wakimkuta mke wa Mapombeka akiwa amejipumzisha, pembeni ya kitanda cha mume wake, “naimani ata kuwa vizuri hivi karibuni” alisema mke wa mapombeka, katika maongezi yake na wakina Kisona, ambae akutumia muda mrefu sana akaondoa jeshi lake, kuelekea polini, wakipshana na mkuu wa kambi hili la makambako, akiingia kambini, sambamba na wanajeshi wengine walio kuwa wanakuja kazini, leo siku ya jumatatu, huku aki ahidi kwa kanal Kisona kuwa, atafanya kama alivyo omba,***
Wakati huo huo, magari kumi na moja, ya jeshi la polisi, yalionekana yaki kata kona kuingia njia panda ya kuelekea porini kwenye eneo la oparetion Kifo mkononi, magari yalikuwa katika speed kali sana, yakizidi kuyoyoma, huku wakionekana askari wakining’inia, nyma ya magari, wakiwa ameshikilia mabomba, ya machuma yamagari hayo yaliotembea mwendo mkali, huku bundukizao zikining’inia mabegani mwao, kila mmoja akiwaza lakwake juu ya hao majambazi, wanao enda kuwasaka.
Msafara huu ukiwa umefika, Kilomita tisa mbele toka barabara kuu, ndipo walipo sikia milipuko ya risasi, ikitokea kule wanakoelekea, hapo hapo msafara uka simama, na makamanda wakashuka, huku milipuko ya risasi ikiwa imekoma, “jamani nazani mme sikia” aliuliza RPC Iringa alie kuwa gari la pili toka mebele, “tume sikia, na ni nazani ni vijana wangu hao, wana shambulia” alisema RPC Ruvuma, “sasa tufanye jambo moja, tutangulize askari wapiganaji, sisi tufwate nyuma, na magari ya utawala” alishauri RPC Iringa, na wote waka muunga mkono, hapo waka yapanga tena magari, na viongozi wakabakia nyuma, huku magari sita ya wapiganaji yaliyo ongozwa na maafisa wadogo, wenye nyota kuanzia mbili mpaka tatu, ya ma asistant super letendant, wakisaidia na masajenti na makoplo, pamoja ana askari wadogo, yani Polisi Consteble, huku viongozi wanadhimu wakubwa, wakifwatia nyuma, wakiachana kwa umbali wa kilomita mbili nzima, magari sita ya mbele, yalikuwa katika mwendo mkali sana, ***
Kisona na wezake pia walisikia milipuko ile kwa mbali sana, wakiwa kilomita moja mbele, baada ya kuiacha barabara kuu, huku wakiona kila dalili ya kuwepo kwa msafari mbele yao, maana yake magari yalikuwa yamesha pita, kuelekea kule polini, hivyo bila kuambiwa mzee Mbogo akaongeza mwendo, kuelekea kule porini. ***
Huku porini kabisa, pembezoni mwa mto, mbele ya mti mkubwa uliomwaga matawi vyema na kufunika eneo lote la mti huo, wakina Ngigo, Baada ya kumimina risasi kwa wingi ndani ya kile kichaka wakiwa na uakika kuwa wakina Edgar walikuwa ndani ya kichaka kile, ni baada ya kusikia sauti ya kicheko cha Monalisa, sasa walitulia kidogo wakitazama matokea ya mshambulizi yao.
Baada ya kutulia kwa sekunde kadhaa, akaona kimya, hapo Ngigo akiwa anaamini kuwa tayari wamesha waangamiza watu wao, aka waonyeshea vidole vijana wake wawili, akiwapa ishara kuwa waingie ndani, waka tazame kilicho tokea, kitendo bila kungoja, wale vijana wawili, waka badiri mikebe ya risasi nakuzama ndani ya kichaka bila tahadhari yoyote, mfano wake, nikama mtu alie banwa na mkojo wa asubuhi, anavyo ingia chooni, wakiwa na bunduki zao mikononi.
Ngogo na vijana wake nane walio bakia nje ya kichaka kile cha mti, walikodoa macho kutazama pale walipoingilia wenzao, huku wakibadilisha magazine za risasi, kwenye silaha, lakini ghafla wakasikia kishindo kikubwa ndani ya kichaka, ikifwatia na kilio cha yowe, ambalo alikumalizika, alafu kika pita kimya kifupi, “Toddy!!!” aliita bwana Madevu, lakini akukuwa na jibu, “Beno!!!!!” aliita tena Madevu, ikawa kimya kama mwanzo, lakini safari hii, aka mwona mmoja kati ya wale wawili, akitoka nje yakile kichaka, …… duh! ebu jaribu kutembelea hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU