BIKIRA YA BIBI HARUSI (39)

SEHEMU YA 39

ILIPOISHIA SEHEMU YA 38: “ok! nazani umesikia kuwa kuna jambazi huku porini anae sumbua sana, mwenzie alikimbia toka songea na na aliuwawa makambako, ila huyu mwenzie ambae tunahisi anasaidiana na wenzake, amemteka mshana alie kuwa anatokea chuo huko mbeya, na yupo huku porini anarushiana risasi na polisi” alisema RPC Iringa, kabla ya kumwomba Kisona waelekee kwenye eneo la tukio, kuona kilichotokea. endelea…….
Walitembea kwa mwendo wa haraka kushuka kule mtoni, huku mzee Mbogo akiwa karibu kabisa na Kisona, alie kuwa sambamba na makamanda wanadhimu wa jeshi lapolisi mkoa, dakika chache baadae walikuwa wamesha fika eneo la tukio, ambako waliwakuta wakina Kingarame, wakiwa wamezunguka sehemu moja, pembeni ya mti, alafu kama vile waliwastua hivi, kuwa kuna watu wanaongezeka, hapo SSP Kingarame, aka geuka na kupiga salut, “jambo afande” alie itikia alikuwa ni RPC wa Iringa, “jambo, vipi mme fanikiwa kuwanasa?” aliuliza mkuu huyo wa jeshi la polisi, mkoa wa Iringa, alie ongozana na makamanda wenzie, kabla Kingarame ajajibu, aka mwona Kisona, na askari wake, wakiwa na makamanda hao wa jeshi la pilisi, yani wakuu wake wakazi, hapo Kingarame akastuka kidogo, “afande mapigano yalikuwa makali sana, lakini tume fanikiwa kuwa uwa majambazi watatu, na wengine wamekimbia, wakiwa na mateka wao” alisema Kingarame, huku akijitaidi kuficha mstuko wake, “dah! wanabahati sana, vipi kuhusu askari wetu hakuna alie jeluhiwa?” safari hii, aliuliza RPC Ruvuma, huku wakisogea kwenye lile kundi la askari, walio jikusanya wakitengeneza mduara flani, ni kama walikuwa wana tazama kitu, nao waka wapisha makamanda hao, iliwajionee wenyewe, “hakuna majeruhi afande, kwa sasa tupo makini zaidi” alijibu Kingarame, huku kichwani mwake akiwaza juu ya uwepo wa Kisona mahari pale, kika pita kimya kidogo, huku makamanda wana watazama watu watatu walio lala mbele yao, wakiwa tayari wamesha poteza maisha, huku wakionekana kutapakaliwa na damu miilini mwao, na wawili wakiwa na majelaha makubwa shingoni mwao, “mh! huyu siyo Toddy?” aliuliza OC FFU wa Ruvuma, akimwonyesha mmoja kati ya wale majambazi, RPC Ruma aka mtazama vizuri, “ndio tena ata huyu mwenzie, nani vileeee?!” aliuliza RPC, ambae anae alimtambua na yule wapili, huyu anaitwa Beno, na huyu Paskal, hawa ni majambazi sugu waliokuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, maana walisha wai kushiriki matukio mbali mbali ya uarifu” alisema Kingarame, ambae alimtazama Kisona, alie kuwa amesimama karibu na mzee Mbogo, akawaona wanatazamana kwa mshangao, yeye akatabasamu kisogo, akijuwa kuwa amesha zishika hakiri za wakubwa wake, “kumbe awa washenzi wana mtanao mkubwa sana, mmefanya kazi nzuri sana bwana Kingarame” alisema RPC Iringa, huku ana tazama silaha za wale vijana pembeni yao, mbili azikuwa na mikebe ya risasi, “ok! hii miili ipelekwe kwenye gari na ipelekwe hospital ikahifadhiwe, msako uendelee, kikundi cha utawala kika tengeneze mahema ya kupumzikia, na shuguri zote ziendelee, tukijuwa tupo vitani, alisema yule RPC Iringa, huku akisisitiza kuwa miili ya wale majambazi ika pigwe picha na kupelekwa kwenye magazeti, maana ndiyo chombo pekee ambacho kingeweza kuonyesha picha, sababu television kwa kipindi hicho, azikuwa zime fika huko waliko kuwepo, yani Njombe na makambako, “ndiyo afande” alisema Kingarame huku akipiga salut, na RPC Iringa akaitikia na kuwageukia wenzie, “jamani kuna mwenye lolote la kusaidia hii operation?” zliuliza RPC Iringa, akionyesha kulizishwa na mwenendo wa kazi hii ambayo yeye ali iita Kifo mkononi, huku mkuu huyu wa polisi mkoa wa Iringa akimtazama RPC Ruvuma, “kwa upande wangu, vijana ongezeni juhudi, maana kama mlivyo ona, tulizania kuwa jambazi ni mmoja, kumbe wapo wengi, tena wametokea huko huko songea” alisema RPC Ruvuma, akionyesha msisitizo.
Baada ya hapo akukuwa na mkuu mwingine wapolisi, alie toa neno, RPC Iringa, alipo mkumbuka Kisona, “nazani kamanda lazima utakuwa na lolote la kutushyauri, maana nyie huku porini, nikama nyumbani kwenu” hapo kanal Kisona akajikooza kidogo, huku watu wote pale wakimtazama yeye, “kwanza kabisa, kuna wale bahadhi ya porisi waliokesha huku, nawaombea wapate muda wakupumzika kidogo, maana kazi ya sik….” kabla aja maliza kuongea, Kingarame aka dakia, “hapana awawezi kupumzika, tena wao ndio wana fahamu sana mbinu za awa majambazi na sehemu wanazopenda kujificha” watu wote walishangaa jinsi Kingarame alivyo dakia na kuongea kwa sauti ya juu, na ya mstuko mkubwa, “ok! siyo mbaya, lakini kikawaida ata vitani ukipigana mfululizo kwa masaa 24, inabidi urudi nyuma na wengine wa chukue nafasi” alisema Kisona, na kutulia kisogo, hapo makamnda wakuu na bahadhi ya askari wakaonekana, wakitikisa vichwa vyao, juu chini, wakionyesha kukubariana na Kisona, ambae aliendelea kuongea, “la pili nikwamba, askari ina bidi wajipange vizuri, maana nahisi sasa mna pambana na makundi zaidi ya moja kama mlivyo kuwa mnajuwa mwanzo, kuwa adui yenu, ni kijana mdogo alietokea chuo” hapo wakuu wote wakastuka, na kumtazama Kisona, “ebu subiri kwanza” ni kama kauri ya RPC awa wawili ziligongana waki msubirisha Kisona, kwa upande wa Kingarame alionyesha mtuko wa mwaka, huku Kibabu akishindwa kuzuwia ushuzi, kwa mstuko ulio mpata, “unasema?, yule jambazi ametokea chuo, kivipi? na wapi?” aliuliza RPC Iringa, kwa sauti ya mshangao mkubwa sana, “ametokea mbeya, alipo kuwa anasomea degree ya utunzaji wa fedha, pamoja na huyo binti alie mteka” alisema Kisona, pasipo ufafanuzi zaidi, akiwaacha midomo wazi, wale makamanda wapolisi, na bahadhi ya askari, “haaa! …nikweli afande … huyo mmoja wao ni mwanafunzi…… sababu heenn! alikutwa na kitambulisho cha chuo, katika mabegi yake, ila nikwamba….. alipofika Makambako akitokea Mbeya, aliungana na jambazi Lukas, ambae vitu vyake vilikutwa eneo la tukio, na kukimbia akimteka binti alie mshikilia mpaka sasa, vijana wetu wakifanikiwa kumwangamiza Lukas alie jaribu kurushiana risasi na porisi” alidakia SSP Kingarame, akiongea kama vile alikuwa ana tengeneza hadithi, ilibakia kidogo mzee Mbogo adakie, lakini Kisona alie kuwa karibu yake, aka wai kwa kumpiga kipepsi (kiwiko) cha tumboni, kilicho mkata pumzi mzee huyu mwenye ucgungu wa mwanae, “kumbe sasa mbona ukutuambia juu ya hilo, maana tuliambiwa kuwa yule binti pekee ndie mwanafunzi?” aliuliza RPC Ruvuma kwa mshangao, “afande nazani vijana walisahau kidogo, maana kama unakumbuka wote tulikuwa songea” alijitetea Kingarame huku akitabasamu, “ila bado kuna kitu naitiaji kujuwa kwa bwana kisona” alisema RPC Iringa, huku akimtazama Kisona, “kwamba nime juwaje?” aliuliza Kisona huku akitabasamu, RPC Iringa akacheka kidogo, “kisona una hakiri nyingi sana, nikweli hicho, ndicho ninacho itaji kukijuwa, maana inaonekana kuwa unahabari nyingi muhimu kuliko sisi, au huyu kijana Edgar ni askari wa jeshi la ulinzi” alisema RPC huyu wa Iringa, hapo mzee Mbogo aka mkazia macho kisona, nikama ana msisitiza afichue kila kitu, “hapana siyo askari wa jeshi la ulinzi, ila ni kijana ambae tuna mfahamu vyema kabisa, maana mala kadhaa amesha chezea timu yetu ya mpira wa kikapu, pindi akiwa likizo, na zaidi ya hapo ni kijana ambae ame kuwa mikononi mwetu, akiwa mtoto wa jirani na kambi la jeshi” aliweka sawa kisona, japo jibu hilo lilionekana kuto kumlizisha baba Edgar, “ok! vipi alisha wai kupitia mafunzo ya jeshi, labda kama mgambo au JKT?” aliulizatena RPC Iringa, “hapana akuwai kupitia mafunzo ya kijeshi, ila ni kijana mwenye hakiri nyingi sana na busara ya hari ya juu” alisema Kisona, na hapo makamanda wakatazamana kidogo, “lakini aimaanishi kuwa awezi kushirikiana na majambazi” alidakia Kingarame, na wote hapo wakatikisa vichwa kukubariana na Kingarame, Kisona aka kuna kichwa kidogo huku anatabasamu, wakati huo mzee Mbogo, alikuwa anaonekana kuwa na mchecheto wawazi kabisa kutaka kuongea neno, “eti mzee, japo sijajuwa cheo chako una lolote la kutueleza juu ya hili?” aliuliza RPC Inga akimtazama mzee Mbogo, “hapana huyu ajuwi lolote, ni dereva wangu tu! na kuhusu kuhusika au kito kuusika, nazani wengi wetu atulijuwi, nivyema tukimpata yeye, ambae anaweza kutueleza ameusikaje” alisema Kisona, na hapo wote waka kubari kwa kutikisa vichwa vyo, “ila siunaona mwenyewe, kijana ambae ajapitia mafunzo yoyte ya kijeshi anawezaje kuangamiza polisi wetu zaidi ya kumi?” alisema Kingarame, huku akiachia tabasamu la ushindi, “unajuwa kuwa paka anavyo itaji kujiokoa uwa ana weza kuuwa mtu, lakini nisimsemehe mtu ambae akiuwanae kwenye tukio, nazani kuna watu wana majibu, ni wale walio shambuliwa na RPG, na MMG, hao wanaweza kutoa majibu, maana nimajeruhi, na sijuwi hali zao zipoje” nizaidi ya mistuko ya mwanzo, Kibabu na afande wake Kingarame, walistuka kimoyo moyo, nakama wange kuwa na ugonjwa wamoyo, akika wange dondoka chini, “ok! alafu RPC, inabidi tuka watazame tujuwe hali zao zinaendaje” alisema RPC Iringa akimtazama RPC Ruvuma, huku mapigo ya moyo ya Kingarame yakienda mbio.
Akika mjadara ulikuwa mrefu kidogo, maana ulichukuwa masaa kama mawili hivi, mjadara ulioisha kwa watu kutawanyika na kuelekea kwenye msako, pasipo Kisona kumalizia kutoa ushauri, maana ilionekana kila alilo ongea lilizusha mada mpya, ila msisitizo ulikuwa ni kwamba, Edgar apatikane akiwa mzima.
wakuu wa polisi mikoa na wasaidizi wao, walielekea sehemu ambayo walitengeneza sehemu ambayo inge kuwa makao makuu ya masako hule, ambayo ilikuwa ni mita kama mia mbili toka kwa wakulima, Kingarame akutaka kukaa chini, aliomba kwa RPC wake, aende mjini kupiga mswaki, akidanganya kuwa alilala huku porini,
huku makundi manne ya polisi yakijigawa pande zote nne za dunia, na kila kikundi kilikuwepo na vijana wa Kingarame ambao alisha wapa maagizo ya jambao la kufanya iwapo wata wapata wale vijana wawili, wapigwe risasi, na ionekane kama bahati mbaya, na pia wachukue tape ya video, kabla wenzao awajaipata.***
Naam, Edgar na Monalisa, baada ya kuchomoka kwenye hurk of fire, ya polisi ongeza majambazi, sasa walikuwa kilomita kama sita hivi upande wa kusini, ni baada ya kutembea kwa muda wa masaa zaidi ya mawili, maana sasa ilikuwa saa tatu kasoro, kati kati ya msitu, awakujuwa ata njia waliyo tokea, wala jina la sehemu wanako elekea kunaitwaje.
hakukuwa na dalili ya kufuatwa na mtu yoyote, ndipo Edgar akasimama na kumtazama Monalisa ambae muda wote wa safari alikuwa amemshika mkono, “tupumzike kidogo, naona ume choka sana” alisema Edgar, huku akimwachia mkono Monalisa na kuanza kutengeneza sehemu ya kukaa kwa kuzilaza nyasi ndefu zilizo wafikia kiunoni, huku monalisa alie onyesha kuchoshwa na mwendo narefu, akimtazama kijana huyu, kwa macho ya shukrani, “kama siyo yeye, ninge kuwa nimesha kufa” aliwaza Monalisa kimoyo moyo, akianza kukumbuka jinsi alivyo mnyakuwa na kurukia nae nyuma ya jabari la jiwe, ambapo mvua ya risasi ililindima kama yote,
Monalisa akiendelea kuwaza, alikumbuka jinsi alivyo waona wale vijana wawili wakiingia mle kichakani na bunduki zao mikononi, yulle mmoja aka jitia kimbelele na kulisogelea jiwe walilojibanza wao, alafu Edgar kama chui aka ruka na kumpitia kama vile ana kata mgomba kisu kikapitia shingo ya yule kimbele mbele, na kabla mwenzie aja taharuki, na kuanza kukimbilia nje, aka fanya kama ana mpanguza jasho kwa kukipiisha kile kishu shungoni,
Hapo Monalisa alikumbuka jinsi alivyo mwona yule wapili akidondosha bunduki chini, huku huyu kimbele mbele akiangukia kwenye jiwe, yani karibu yake kabisa, akika alistuka sana, maana marehemu alitoa macho, kama vile amekabwa na nyama ya harusini, hapo Monalisa alimwona Edgar akichomoa mikebe ya risasi, kwenye silaha za wale jamaa, huku yule mwingine ambae Monalisa akujuwa kama ame kufa au bado mzima, akitoka nje huku anatembea kama mlevi.
haraka sana Edgar akarudi pale walipo jibanza, yani nyuma ya jiwe, huku wana sikia sauti za watu zikiulizana huko nje ya kichaka cha mti mkubwa, kama wao wamesha kufa au bado, Monalisa aka mwona Edgar akimtazama huku ana tabasamu, akika Monalisa nae alijikuta akitabasamu, lakini uoga aliokuwa nao, siyo wanchi hii, uoga ulio mfanya akumbuke kuwa akuwa amejisaida haja kubwa kwa siku tatu mfurulizo.
hapo akamwona Edga anainua unduki yake na kuielekeza kule waliko wale watu ambao wao walishangaa kuwaona wakiwa na sura za kijambazi kabisa, kisiha akaanza kumimina risasi, huku wakisikia mtafaruku huko nje ya kichaka, ata ile magazine ilipoishiwa risasi, akamwona Edha akiibadirisha, huku wana sikilizia kama wata jibu mapigo, lakini ikawa kimya, hapo Monalisa anakumbuka kuwa Edgar ali mshikisha pindo ya shati lake na kuanza kuondoka kwa rudi nyuma nyuma, wakitokea upande wa pili wakichaka, monalisa akiwa mgongoni kwa Edgar, binduki ya Edgar ikiwa tayari ime tazama upande wa maadui.
walipo fanikiwa kitoka kichani, na kikimbia umbali wa mita kama mia moja, ndipo Edgar aka mweleza Monalisa, “sikia inabidi turudi tulikotoka” “tutapitaje pale?” aliuliza Monalisa kwa sauti ya mshangao iliyo changanyika na uoga, tuvuke huu mto, maana wakitoka hapa lazima watatufwata huku” alisema Edgar huku akitazama sehemu ambayo wanaweza kuvuka kilahisi, na ata walipo vuka na kupanda juu kidogo, waka waona wale watu waio wahisi ni majambazi, wakiungana na polisi, kuzunguka ule mti walio kuwa wamejificha muda mfupi uliopita, wao wakatazama na kutanbasamu, angalau sasa Mona wasi wasi ulipungua, waka endelea na safari ya kurudi upande wa kusini, wakitembea upande wapili wa mto, na wakufika mbali wakasikia milindimo ya risasi, waka cheka na kugongeana mikono, wakisahau mambo waliyo taka kuanza kuytafanya jana usiku pale kwa mwagoda.
“Edgar nani alikufundisha ujanja kama huu wa huku porini?” aliuliza Monalisa ambae alikuwa ana mtazama Edgar, alie kuwa ana endelea kutengeneza sehemu ya kupumzika, ambayo ilikuwa na mti mdogo, “baba yangu, baba aliniambia kuwa siku zote macho uwa yana tumia zisaidizi kuona nyuma, hivyo ni vigumu sana mtu kuwaza yaliyo pita” alijibu Edgar ambae alikuwa anamalizia kulaza nyasi, akitumia kisu ambacho kilichafuka kwa damu, “ndi nini sasa?” aliuliza Monalisa ambae alionyesha kuto kuelewa alicho elezwa na Edgar, “maana yeka nikwamba, hii ni chenga, wakati wao wana elekea tuliko elekea, kumbe sisi tume sha geuza” alijibu Edgar huku akikaa chini, na Monalisa nae akaachini akinyoosha miguu yake, kama mwanamke mjamzito, mala aka mwona Edgar ana inuka na kuchuchumaa mbele yake, yani mbele ya miguu yake, akiilaza bunduki yake pembeni ya Monalisa,
kisha akaanza kumfungua kamba za viatu, Monalisa aka stuka kidogo, “unataka kunifanya nini?” aliuliza Monalisa huku ana ziba sehemu ya mbele ya kitumbua chake, kilicho tuna kwenye suruali ya jinsi, Edgar akacheka kidogo, “kwani unaogopa?” aliuliza Edgar kwa sauti iliyo jaa utani, “wala siogopi, ila naona aibu, weuoni kuna mwanga?” jibu la Monalisa, lililo changanyika na sauti flani, ya kulalamika, lilimchekesha Edgar, alie kuwa anamalizia kufungua kamba za viatu vya monalisa, ambayo vilivaliwa siku tatu bila sox, na kuanza kutoa kiarufu flani, “ngoja ni kukande miguu, maana umetembea sana, na auja wai kutembea kama hivi” alisema Edgar huku ana ukamata unyayo wa mguu mzuri wa Monalisa, wenye vidore vilefu vilivyo pakwa rangi nyekundu, ambayo ilianza kubanduka, na kuubinya taratibu, na kumfanya monalisa ajihisi utamu flani hivi, ambao ulimjulisha kuwa aliitaji huduma hii, “Edgar kwani wewe ulijuwaje kama ukinifanya hivi nitajisikia vizuri?” Monalisa akuwa ameuliza kwa sauti, hiyo ilikuwa ndani ya moyo wake, huku akimtazama Edgar, alie kuwa busy ana mkanda nyayo za miguu yake, “hivi huyu ajuwi kama nitaenda kuolewa na Erasto, sijuwi aata fanyaje akijuwa” hapo Monalisa alijikuta anatabasamu mwenyewe.
Monalisa aliendelea kusikilizia mikono ya Edgar, ikiendelea kumkanda, na sasa ilipanda mpaka kwenye magoti, na kuanza kubinya taratibu nyama za nyuma ya ngoko, mpaka nyuma ya magoti, Monalisa nikama alihizi uafadhari flani, na ukitaji zaidi huduma hiii, toka kwa rafiki yaje wa zamani, akajilaza kabisa, akilalia mgongo, yani alilala chali, akiiweka mikono yake nyuma ya kisogo, “nibinye mpaka kwenye mapaja huku kuna huma” alisema Monalisa, ambae alionekana kunogewa na kale ka huduma, Edgar hakuwa na hiyana, aka pandisha mikono yake kwenye mapaja, na kuanza kumkanda, Edgar aliendelea kutoa huduma huku macho yake yakishindwa kujizuwia kutazama mtuno wa kitumbua, mbele ya suruali ya Monalisa, na kujikuta dudu yake ikisimama, kwa matamanio, aka ona bola afanye ufukunyuku, kwaajili ya kumpima Monalisa, kama kweli yupo tayari kuwa nae au anaongeaga kufurahisha genge, Edga aka pandisha mikono yake juu yazaidi ya mapaja ya Monalisa, kiasi cha kuanza kukigusa kitumbua pindi aanapo tembeza mikono, aliya gusa mashavu ya nje ya kitumbua cha binti huyu, ambae ajavaa chupi, kwa siku ya pili leo, Edgar alimtazama usini Monalisa, huku akisubiria matokea ya mtego wake, akamwona akiwa amefumba macho huku mdomo hupo wazi, hapo akashusha macho kwenye ile sehemu anayo ikanda.
lakini nikama monalisa alinogewa na kale kamchezo, maana alianza kutanua miguu yake, ili Edgar aweze kutoa vizuri ile huduma, “vipi unajisikiaje?” aliuliza Edgar, kwa sauti tulivu na nzito, huku ana mtazama usoni, binti huyu alie kuwa ana uma midomo yake, nazani kwa kna kitu alikuwa ana kipta, kwa huduma ile, maana ata vidore vyake vya miguu avikutulia, vilifanya kama vina ita mtu, “najisikia vizuri” ilikuwa ni sauti nyororo, toka mwa Monalisa, ambae alijaribu kufumbua macho, lakini yalishindwa kufumbuka kutokana na kuanza kulegea, kama macho ya mrevi, akaishia kuiona dudu ya Edgar iliyo vimba mbele ya suliali yake, kwa kututumka, hapo Monalisa, akatabasamu kwa aibu na kuyafumba tena mcho yake malegevu.
Hapo Edgar ambae dudu yake ilisha simama vibaya sana, aka waza haraka kama mchwa, “kunakitu kingine unataka nikufanyie?” swali la kichokozi toka kwa Edgar, likiambatana na sauti nzito na tabasamu pana, Monalisa akajichekesha kidogo, huku macho ameyafumba, “sijuwi we mwenyewe, lakini usiniumize” hilo lilikuwa jibu la Monalisa, lililo ambatana na sauti nyololo na kakicheko flani, huku ana jiziba uso kwa kiganja cha mkono wa kulia, hapo Edgar akajaribu kuupeleka mkono wake kwenye kiuno cha Monalisa, na kufungua kishikizo cha suluali ya jinsi, aliyo ivaa binti huyu, akamwona ametulia, hapo Edgar akatabasamu kwa kuona jaribio lake lina elekea kufanikiwa, maana alikuwa na hali mbaya, sasa aka ikamata zip, ya ile suluali.
lakini ile ana taka kuishusha ile zipi, mala waka sikia michakato ya vurugu za nyasi na kitu kama kina kimbia kuja upande wao, Edgar aka acha kile alicho kuwa ana kifanya na kuinua bunduki yeke huku anasimama haraka, bunduki tayari hipo usawa wabega, kwa kushambulia chochote kitacho jitokeza,itaendelea……. Hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata