BIKIRA YA BIBI HARUSI (41)

SEHEMU YA 41

ILIPOISHIA SEHEMU YA 40:unifanye cha haraka haraka, ili uchangamshe mwili, unywe supu vizuri” ilikuwa sauti ya kike iliyo jilegeza kidogo, kiambatana na kicheko kidogo, “hapo ume ongea jambo la maana” ilisikika sauti ya Erasto, ambae nikama alikuwa ana ipandisha sket ya ya yule mhudumu, maana ikasikia sauti ya mhudumu akishauri, “ukiipandisha itachanika, ngoja niivue kabisa” hapo mzee Anderson alishusha pumzi kwanguvu, nikama alikuwa ame choka kwa mbio ndefu, endelea…….
Maana hakuamini kitu ambacho, alikuwa ana kisikia chumbani kwa Erasto, yani mtu anae tarajia kumchumbia binti yake, “hai ingiza taratibu, kumekauka sana” bado mzee Anderson aliendelea kusikia suti za hajabu toka chumbani kwa mkwe wake, “paka matekama saazile” ilijibu sauti ya kiume, ni sauti ya Erasto kabisa, “kwa hiyo awa washenzi wame lala pamoja” aliwaza mzee Anderson, ambae alionekana kustushwa sana na kitendo kile, ambapo sasa alianza kusikia vilio vya mahaba, na miguno ya ngono, ikitokea chumba cha Erasto.
Hakuona haja ya kugonga mlango ule akatoka na kunza kuelekea nje, mala akasikia mla ngo wa chumba anamba kumi natano unafunguliwa, nikile chumba cha dereva wake, alie toka nje huku anasonya sonya, mzee Anderson, akasimama na kumtazama dereva wake, ambae inaonyesha akuwa amemwona, “yani wakianza mambo yao inakuwa shida kweli kweli” alijisemea mwenye dereva wa mzee Anderson, huku ana sonya kwa hasira, lakini alipo maliza kuufunga mlango wa chumba chake, ndipo alipomwona Boss wake, akiwa amesimama kama vile ana msubiri yeye, “hoo! mzee kumbe, ulikuwepo hapa?” ni kama lilikuwa swali lakini lililojijibu kabisa, “nilikuwa nakupitia ilitukapate supu, maana sidhani kama chai umeiweza?” alisema mzee Anderson kama vile alikuwa anazuga, kuwa akuna kitu cha hajabu alicho kigundua, mida ile, “nikweli mzee chai imenishinda, nilikuwa naenda kutafuta supu” alijibu Dereva, huku akimfwata baba Monalisa, na wakaungana kuelekea nje, huku kila mmoja akitafakari jambao lile moyoni mwake, ***
Polisi walio kuwa wanaongozwa na ASP Ogwambo, aliesaidiwa na Sajent Kibabu, walitembea kwa muda mrefu sana, na sasa walikuwa wanafwata sehemu walizo pita wakina Edgar ni baada ya kuona nyasi zime lala, ikionyesha kuwa walipita humo, ndipo walipo fika sehemu ambayo, walimwona simba jike ame kufa, huku ikionyesha kuwa risasi mmoja ili mchana mdomo ni na kuzama kichwani ikitawanya ubongo, ndani kwa ndani, maana damu zilizokuwa zina vuja mdomoni kwa simba huyu, ziliambatana na ubongo, “kumbe walimpiga simba” alisema Ogwambo, huku wakimshangaa yule simba, “kwa hiyo askari inamaanisha kuwa, tunatakiwa kuwa makini sana, maana tupo katika hatari ya awa majambazi na wanyama” alisisitiza Ogwambo, kisha akatoa amri ya kuondoka, kuendelea kuzifwata harama za sehemu walizo pita wakina Edgar, huku makundi matatu, ya askari yakiwa nyukma yao, kila moja kivyake, yakija kuwasaidia, ***
Wakiwa katika mwendo huo wa speed sabini mpaka themanini, katika barabara afifu, ndani ya pori hili la hifadhi ya wanyama pori, mala ghafla mble yao, waka yaona magari mawili aina ya land rover ya Kiraia, yaliyo kuwa yanakuja kwa mwendo wa taratibu, na wao wakapishana huku bundu kizao zikiwa tayari kwa lolote, maana Kisona aliyatambua magari haya, na kuhisi kuwa ni yale aliyo yaona usiku pale Njombe, mzee Mbogo akapungza mwendo, ili kuweza kupiishana na magari haya katika barabara hii finyu, “shusheni silaha chini” alisema kisona huku akiishusha ya kwake, ni baada ya kuona yale magari yakiwa na madereva peke yake, na wakati wana pisha Kisona akamweleza mzee Mbogo asimame ili wasalimiane na wale jamaa, bila kusita sita baba Edgar akasimamisha gari, huku akitoa kichchwa dirishani, “habari yako kijana” alisalimia baba Edgar, lakini mwanzo yule kijana ambae akuonyesha dalili ya kusimama, aka baba ika kidogo, na bila kujibu aka sogea ana kusimama kwa mbele kidogo, akiwa amesha wapita wakina baba Edgar, huku usowake ukionyesha mashaka matupu, hapo Kisona aka shuka malamoja bila SMG mkononi, lakini mkono wake ulikuwa tayari karibu na mpini wa bastora, kiunoni mwake, aka zunguka gari na kulifwata lile la mbele, huku land rover la nyuma likisimama, samba samba na gari lao, “shikamoo mzee” alisalimia dereva wa gari la pili, huku akionyesha kuwa na wasi wasi flani hivi, “marahaba kijana, habari za huko mtokako?” alijibu baba Edgar, huku wale askari wengine wakishuka toka kwenye gari na kuzunguka eneo lile, “tunakotoka?, huko safi tu!” alijibu dereva, lakini nikama alikuwa anajiuliza mwenyewe,
Huku nako Kisona alibaada ya kumsalimia yule dereva, alie onyesha kuzidiwa na wasi wasi, aka mwuliza “vipi huko mnako toka ni, salama kweli?” nikama alikuwa ame mstukia jinsi alivyo kuwa na wasi wasi, “wapi huko, ni salama, tulipotea njia, kuna mtu tulie nda kumtafuta” alijibu dereva, lakini nikama alikuwa anatafutiza majibu, “ok! safi san vipi njia inapitika lakini?” swali ili la Kisona, lilikuwa lina mweka safa kijana huyu dereva, ina pitika, han han!, lakini sisi tume ishia hapo tu,! sijuwi huko mbele” alijibu dereva akionyesha kujikanyaga kanyaga, “ok! kumbeee” alisema Kisona ambae alitulia kidogo, kisha akajifanya kukumbuka jambo, “hivi, wale wenzenu mme waacha wapi?” lilikuwa swali la ghafla kwa dereva, ambae alisha zani kuwa maswali yamekwisha, “wapo huko…… han han, wapo huku mbele tunako wafwata” alisema yule kijana dereva, ambae alisha anza kuonyesha kule walikotokea, “ok! basi nyie nendeni tusiwacheleweshe” alisema Kisona kisha, yule dereva aka shukuru kwa Kisona, “poa sante kamanda” huku anaondoa gari, akifwatiwa na mwenzie, na kisona na nae aka rusdi kwenye gari, huku akifwatiwa na askari wake, “awa jamaa wapo huku mbele, na ndio wale ambao waliingia jana usiku” alisema Kisona huku, akiyatazama yale magari kwenye sode mirror, yakiondoka kwa mwendo mkali sana, na kutimua vumbi, “kwa hiyo, mbona tume waacha?” aliuliza Katembo, kwa mshangao, “tukianza na awa wata tupotezea muda, ngoja tuwasake hao wa mbele, ila kumbukeni umakini unaitajika” alisema Kisona na mzee Mbogo aka ondoa gari, kwa mwendo ule ule waliokuja nao, tena kumbukeni wakina Edgar watakuwa katika hatari ya watu hawa, sababu huku mbele kuna kikwazo cha mto” alisema Kisona, huku safari ikiendelea.
lakini awakufika mbali wakasikia honi za magari zikisikika nyuma yao, “pumbavu wanapeanz ishara” alisema Kisona, akimalizia kwa tusi languoni, mzee Mbogo akaongeza mwendo, akiwa na maana wawai kule mbele, kama wataakuwa njiani, wawakute, na kuwafanyia wanacho itaji. **
Naam, tukirudi upande wa Monalisa na Edgar, ambao baada ya kufanikiwa kuuwa simba, waliondoka maali pale kwa mwendo wa haraka, huku wakiwa tahadhari kubwa sana, “baba alisema simba uwa aki peke yake” alisema Edgar, huku akiwa ame mshika Monalisa mkono, wana tembea kuelekea Kusini, ambako binafsi yao hawa kujuwa kupoje, na wala kunaitwaje,
baada ya lisaa limoja mbele walikuwa wamefika sehemu moja yenye mto mkubwa na mpana, sehemu ambayo ilionyesha kuwa hakukuwa na shuguli za kibona damu zilizofanyika sehemu hiyo, yenye miti mikubwa iliyo shamili pembezoni ya mto huu, mkubwa ulio tililisha maji yaliyo tokea pande mbili, inamaana mito miwili ilikuwa unakutania mahali hapo.
Ilikuwa ni mida ya saa saba mchana, “maji yangekuwa ya baridi tunge oga kabisa” alisema Monalisa, ambae nikama alivutiwa na mazingira yale, lakini tofauti na Edgar, “hapa hapafai ata kupumzika, na mbaya zaidi ina bidi tutafute sehemu ya kuvukia, na mbaya kuliko, nikwamba ina bidi turudi tunako tokea” alisema Edgar, kwa sauti ambayo aikuwa na utani, “vipi mbaya zimeisha?” aliuliza Monalisa huku akimwegemea Edgar mgoingoni, “hipo hiyo ni mbaya kuliko mbaya zaidi” alisema Edgar, huku ana mshika mkono Monalisa na kuanza kuondoka nae kurudi waliko tokea, “unamaneno wewe, yani sikuizi umebadirika Edgar” alisema Monalisa huku akijischekesha, Edgar akujibu kitu, zaidi ali onekana kuwa makini sana, kwa kila atua aliyo ipiga, akika Edgar alijuwa kuwa kwa mlio ule wa risasi lazima polisi au majambazi watakuwa wana mfwata, na kama ni kweli lazima wata kutana nao, mana mpaka sasa akuwa ameona sehemu nzuri ya kuvukia upande wapili.**
Hapa kuna mchanganyiko wa matukio, tukianza na kundi la mbele kabisa la polisi, lililo ongozwa na ASP Ogwambo, na sajenti Kibabu, likiwa limebakiza kilomita moja, kabla alija kutana na wakina Edgar waliokuwa wana kuja usawa wao.
Pia wakina Ngigo, walizisikia honi toka kwa madereva wao wawili, walioachana nao, muda mchache ulio pita, ili wao waingie msituni kuendelea kuwasaka wakina Edgar, ambao walihisi kuwa wata elekea upande huu, ni baada ya kusikia mlio wa risasi, “hoya kuna inshu huko, ebu zameni porini tuchek noma” alishauri Ngigo, na hapo wale vijana wa Ngigo wakazama porini, upande wa kulia mwa ile njia afifu, yani upande wa magharibi, ndio upande ambao wakina Edgar walikuwepo na kujipanga vizuri, Lakini kwa mbali wakaliona gari la jeshi lina kuja upande wao, hapo Ngigo akawaonyeshea ishala vijana wake, kuwa wasijaribu kushambulia ata kiidogo, na lile gari lilipo pita, waka toka mafichoni na kuonyeshana ishara ya kuzama porini zaidi, “jamani huku kumesha chafuka, tukizubaha atuchomoki, tuondoke faster” alisistiza Ngigo, huku wakizidi kuzama porini,
Baada ya kutembea kwa muda wa nusu saa, Edgar akaona amani inazidi kupungua moyoni mwake, akaona hapana, “Mona, hapa inabidi tufanye jambo moja la haraka, ebu twende upande wa huku juu” alisema Edgar, ambae akutaka kabisa liwa tokee jambo baya, kati yake yeye na Monalisa, ambae baada ya miaka zaiidi ya kumi ya kupoteza urafiki wao, sasa ndio ulikuwa umrudi kwa ghafla, pia toka miaka miaka hiyo, alitokea sana kumpotenza binti, huyu, ambae urafiki wao ulivurugwa na rafiki yao mnafiki Erasto, “kwa nini?” aliuliza Monalisa, ambae sasa alisha fahamu kuwa wapo hatarini ni mwendo wakila mja kusaka roho ya mwenzie, “tunatakiwa kuona mbele tunako kwenda” alisema Edgar, alie simama chini ya mti mmoja mkubwa wenye matawi mengi sana, “shika hii Monalisa, unisubiri chini ya mti huu” alisema Edgar huku akimpatia Monalisa bastora, ambayo aliikoki kwanza, (nazani unaikumbuka hii bastora, aliichukuwa kwa wakina charles, kule hotelini Makambako, “hii ndiyo sehemu ya kufyetulia, akikisha auweki kidole hapa, mpaka utakapo kiona kitu kinacho taka kukudhuru” alisema Edgar huku akimtazama Monalisa alie kuwa ana itazama ile bastora, alipomwona ametulia, akajuwa kuwa amesha elewa, Edgar akaanza kuupanda ule mti na SMG yake mgongoni, lakini ghafla Monalisa aka mshika mguu Edgar alie anza kupanda juu ya mti, “hapana Eddy, nipandishe kwanza na mimi, usiniache peke yangu” alisema Monalisa kwa sauti ya uoga kweli kweli, Edgar aka shuka chini, na kumtazama Monalisa, kwa macho ya upole, kisha akamshika bega, “sikia Mona, mimi nipo hapa hapa, wala siwezi nika kuacha una patwa na kitu kibaya, wacha nipande, nitazame kama kuna sehemu ambayo tunaweza kuvuka, na pia kama hakuna mtu anae tufwata, we kaahapo chini ya mti, sawa?” alisema Edgar kwa sauti tulivu, ya kubembeleza, Monalisa akaitikia kwa kichwa, na kuchuchumaa pembeni ya mti, kama vile alijificha asionekane na mtu anae tokea mbele yao, Edgar aka panda juu ya mti.***
Baada ya kuwapita wakina Ngigo, bila kuwaona, wakina Kisona walitembea kwa mwendo wa kama mita mia nne hivi, “ebu simama kwanza, mnajuwa tumesha wapita awa washenzi?” alisema Kisona, huku mzee Mbogo akisimamisha gari, hapo Kisona aka shuka toka kwenye gari sambamba na askari wake, kisha aka panda juu ya gari na darbin mkononi, alafu akaanza kuangalia walikotoka, alicho kiona, niutata mtupu, maana alimwona Edgar akiwa ana panda mti mmoja mkubwa sana uliopo umbali wa mita kama mia tano toka alipo kuwa yeye, lakini ni usawa mto, “dah! afadhari Edgar yuleee” alisema Kisona, “kweli umemwona?” aliuza baba Edgar, kwasauti iliyo jaa shauku, “ndio yupo kama mita mia mia tano au zaidi toka hapa” alijibu Kisona, huku anaikuza (zoom) ile darubini, na kutazama mbele zaidi, hapo ndipo Kisona alipo duwaa, ***
Naam, kumbe ile kupanda juu ya mti, ilikuwa na maana kubwa sana kwa Edgar, maana akiwa kule juu, alifanikiwa kuwaona polisi kama kumi na saba wakiwa umbali wa mita mia tano mbele yao, na bahati mbaya zaidi, ni kwamba mita kama mia moja nyuma ya wale polisi kulikuwa na sehemu ambayo wao wange jaribu kuvuka, upande wa pili wa mto, yani upande wa magharibi, yani kule waliko tokea, kabla ya kuvukia upande huu waliopo.
Edgar aka tazama upande wa mashariki, ambako ni upende wa juu wa mwinuko, hapo ndio hatari zaidi, maana mita kama mia nne hivi, aliwaona vijana kama kumi hivi, waliovalia mavazi ya kiraia, yani siyo polisi, ambao walikuwa wanatembea kwa tahadhari kubwa sana nao walikuwa wana elekea upande wa kaskazini kama wao, lakini walikuwa wanapita upande wajuu, hapo Edgar aka yatazama makundi yote mawili, kwa kurudia rudia nika a alikuwa ana ya pigia mahesabu, kisha aka shuka haraka sana, “sikia Mona, hii ndio ile mbaya kuliko mbaya zaidi, niliyo kuambia” alisema Edgar huku akianza kuchuma majani, na kumpamba Monalisa, akiya chomeka kwenye sehemu mbali mbali za nguo alizovaa Monalisa, “sija kuelewa” alisema Monalisa huku akimshangaa Edgar, alie kuwa anazidi kumrudikia majani, “utanielewa tu, “ebu lala chini kisha tulia, mpaka nityakapo rudi, hakuna atakae kuona” alisema Edgar, na Monalisa ambae sasa liingiwa na uoga, aka lala chini mala moja, hapo Edgar, aka mtazama kidogo, na kuweka vizuri bahadhi ya nyasi, mpaka alipo lidhika kuwa ame mficha vizuri, kisha yeye aka anza kukimbia kuelekea upnde wa juu, yani wanako tokea wakina Ngigo.**
“Huyu dogo ana taka kufanya nini?” alijiuliza Kisona, huku akiendelea kutazama kwenye binocral (darubini) yake, na kumwona Edgar, akikimbilia upande ambao yeye aliwaona wale vijana walio valia mavazi ya kiraia, ambao nao walikuwa wana elekea upande alipo Edgar, na kisona alikuwa ana uakika kuwa Edgar alifanya vile, sababu alisha waona polisi wanao kuja usawa mto na wale, vijana waliokuwa wana tokea upande wa huku juu, ila alikuwa kuwa ana juwa kuwa makundi haya mawili, yame mzingira Edgar bila wao wemyewe kujuwa, kuwa wame mzingira kijana huyu, “hapana inatakiwa tuwai” alisema Kisona huku anaruka toka juu ya gari,
“ebu! tuanzani songa mbele, usawa huu” alisema kisona huku akionyesha usawa wa kati kati, kuelekea kule anako elekea Edgar, bila kushangaa, wote saba, akiwepo mzee Mbogo, wakiwa na silaha zao mkononi, wakaanza kulivamia pori na kusonga mbele, “kaeni mstari msambao, tuachiane mita kumi kumi” alizidi kupanga jeshi hili dogo, ambalo lilisonga mbele kwa speed,
Lakini awakufika mbali wakasikia ph! pah! pah! pah!, milio ya risasi kama nne hivi, mfurulizo, “hart” alisema kisona akionyesha ishara ya wenzie kusimama, “huyu dogo mshenzi sana, tukisogea tuta pewa kesi” alisema Kisona akimwambia mzee Mbogo alie kuwa karibu yake, “umesha anza Kisona, unataka kunizuga wakati mwanangu yupo matatizoni?” alinga’ka mzee Mbogo, huku akitaka kuinuka ili kusonga mbele, Kisona akamuwai kwa maneno, “wenzako wana fanya hivyo hivyo, ebu subiri usikie mchezo, “alisema Kisona huku ana jinyanyua na kuchungulia kwenye darubini yake, alicho kiona kilimfanya atabasamu, kidogo, kisha aka mpatiua mzee Mbogo, “ebu ona Edgar alicho kifanya” alisema Kisona, huku akimtazama mzee Mbogo, akamwona akiwa ame duwaha, itaendelea……….

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata