
SEHEMU YA SITINI (60)
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TISA (59) kisha kwa tahadhari kubwa, aka chomeka komeo kwenye tundu lake na kuvesha kufuri taratibu, alafu akalibanakisha akaondoka kwa nyata, na kwenda kukaa mita kama hamsini hivi toka kwenye kibanda, “ngoja nisubiri mshiko wangu, nyie mtajijuwa wenyewe” aliwaza mlinzi, ambae alisha kifunga kile chumba alicho waacha wakina Edgar.ENDELEA……..
“Sijuwi ata nipatia shilingi ngapi?” aliwaza mlinzi wa kiwanda cha majani ya chai, huku anatazama mwanga wataa wamagari mawili uliokuwa unazidi kuyoyoma kwambali, ilikuwa saa tatu kasoro, za usiku, **
RPC Iringa alikuwa ametuli kimya kama kuna kitu anawaza, huku askari yule alie mweleza juu ya kuwa Eliisha aliondoka na Kingarame leo asubuhi na mapema, akiwa bado yupo pembeni yake, “ok! ebu pita kwenye vyumba namba… (RPC, ALITAJA NAMBA ZA VYUMBA) waambie tukutane hapa haraka” alimaanisha vyumba vya makamanda wenzake, waje pale chumbani kwake, na kabla yule askari ajandoka, aka mwita mgeukia tena, “kuna mtu yoyote ume msimulia kabla ya kuja kunieleza?” aliuliza RPC Iringa, “hapana afande, hakunamwingine nilie ongea nae” alijibu yule askari, “sawa usimwabie mtu yoyote, mpaka tutakapo kamilisha uchunguzi, pia kwa usalama wako, yasije kuku kta yaliyo wakuna wenzako” alisistiza RPC.
Ilitumia kama sakika kumi, kwa makamanda sita kujikusanya ndani ya chumba cha RPC Iringa, huku wana jiuliza kulikoni, mpaka RPC huyu wa Iringa, kuwaita ghafla mida mida hii, tna sasa likuwa simama akiwatazama mmoja baada ya mwingine, “jamani kuna mmoja wetu hayupo hapa, atakuwa wapi?” aliuliza RPC Iringa, na hapo makamanda wenzake wakatazamana, na kugundua kuwa, RCO Ruvuma hakuwpo kati yao, “jamani Kingarame afuatwe chumbani kwake hark asana, kuna maswali yakujibu, maana inasemekana yeye ndie alie kuwa na PC Elisha” hapo hapo akachomoka OC CID, wa Ruvuma, kwenda kumtafuta Kingarame, akiwaacha makamanda wenzake wakiwa na butwaha, “lazima tumsikie Kingarame atasemaje, juu ya hili, sifikilii kama anajuwa chanzo cha kifo cha huyu askari,” alisema RPC Iringa, huku wote wakisubiri, ujio wa OC CID, ambae alitumia kama dakika tano hivi, akarudi chumbani, pasipo kuwa na Kingarame, “afande inasemekena SSP Kingarame ameondoka na askari wake, nime jaribu kufwatilia, nikwamba kabla ajaondoka alipata simu toka kwa mlinzi wa kiwanda cha majani ya chai, hayo ni maelezo ya mfanya kkazi wa pale mapokezi” hapo wote wakatazamana, umeuliza kiwanda cha majani kipo wapi?” aliuliza RPC Ruvuma, kwa sautri iliyo jaa tahadhari, “ndiyo afande, inasemekana kipo kule polrini, ambako tumeweka kambi” hapo nikama walitiwa kichaa, “jamani kuna mambo uwa yana endelea usiku, ebu twendeni porini haraka” alisema RPC Iringa na wote waka kimbilia vymbani mwao na kwenda kujipanga kwa safari.
Dakika chache baadae RPC Iringa alikuwa anakatiza kwenye sehemu ya bar na chakula ya hotel hii, akafwatiwa na makamanda wenzake, nsipo alipo mwona mzee mmoja mwenye hasiri ya kiharabu akimkimbilia na kuomba kuongea nae, “samahani bwana RPC, kuna jambo naitaji kuongea na wewe” alisema mzee Mohamed, ambae yeye na familia yake, walikuwa na nia thabiti ya kumsaidia kijana Edgar, “nazani huu siyo muda mwafaka, labda kwa wakati mwingine” alisema RPC Iringa huku akiendelea kutembea, kuelekea nje, huku mzee Mohamed, ambae katika mambo yaliyo muumiza roho, ni kwamba pasipo yeye kujitolea kumpatia lifti kijana huyu, pengine yasinge mkuta yaliyo mkuta.
Dakika mbili baadae magari yakaanza kuondoka kuelekea porini, lakini basi makamanda awa ambo awakufikiri juu ya kusoma ramani, mawazo yao yalielekezwa kule kwa wakulima, **
Haya sasa Hokololo aliendesha gari kwa speed kari na ya ajabu, akifwata maelezo ya Kingarame alie kuwa pembeni yake, kiasi cha kunusulika kupata hajari, ya kugongana uso kwa uso na land rover mia na kumi lililo kuwa mbele ya gari kubwa la mizigo, mkilomita moja toka barabara kuu, kwenye nji ya kuelekea kwenye kiwanda majani ya chai, “pumbavu awa wanatoka wapi usiku huu?” alisema Kingarame mala tu baada ya Hokololo kuliweka gari sawa, kufwatia kunyumba yumba, baada ya kukoswa koswa na gari la meneja wa kiwanda cha chai, “umesahahu yule mlinzi alisema kuwa meneja na wafanyajazi wachache uwa wanaenda mjini” alisema Hokololo huku anazidi kukanyaga mafuta, “ok! nimekumbuka, kumbe ndio mida yao hii?” alisema Kingarame ambae alikuwa na hamu ya kukutana na kijana alie wasumbua kwa siku kadhaa, na kuchukuwa tape yake, kisha kumfyekelea mbali kijana huyu, na binti Monalisa, “hivi afande unazani yule mlinzi akija kusikia kuwa tume wauwa awa vijana awezi kufichua siri?” aliuliza Hokololo, na kumfwanya Kingarame acheke kidogo, “sijawi kuacha ushaidi nyuma yangu” alisema Kingarame kisha kikapita kimya kidogo, wakisikilizia mvumo wa enginer ya Toyota land cruzer, ilivyo kuwa inalalamika huku tairi za gari hili ziki zidi kusugua ardhi, na kuchochora vibaya sana, Wakati huo huo, kilomita nne nyuma yao land rover mia na kumi la jeshi la wanachini lilikuwa lina pishana na magari mawili yaliyo ongozana, ndani ya barabara ya lami, ykielekea Njmbe, na wao walikuwa wana ifwata njia panda ya kwanza, ya kuelekea kiwanda cha chai, “in bidi tuw makini sana wasi juwe kama tuna wafwata” alisema kisona wakiwa wana ikaribia njia pnda, “mwaka sabini na saba, niliudhuria mafunzo ya DIBG (Driving In Battle Ground) na somo mbalo nilifaulu sana, ni NVD, (Night Vission Drive) “ alisema baba Edgar, huku ana punguza mwendo na kukata kona kulia, kisha kakanyaga mafuta, huku ana punguza mwanga wa taa, huku macho yake yakiwa mbele mita nyingi sana, japo akuona kitu zaidi ya giza nene,
Akika mwendo wa gari hili la jeshi la ulinzi ulizidi kuongezeka kila sekunde, na kuikia speed ile ile ya mchana, yani tisini kwa mia, na kuanza kutengeneza hofu kwa wenzie, waliokuwa ndani ya gari lile,
Naam baada ya kutembea kwa muda kama wa dakika kumi na tano hivi, ghafla mzee Mbogo aka zima taa za gari, na kupunguza mwendokidogo, akitumia mwendo wa speed hamsini mpaka stini, na bahati nzuri kwao mbala mwezi, ilikuwa angavu, na kusababisha mzee huyu kuna wakati atembee speed mpaka semanini, huku wakinzao kuziona taa za nyuma ya gari mbele yao, umbali wa kilomita kama moja tu, mbele yao, “tume wanasa washenzi awa, tukikaribia kufika kiwandani, tafuta sehemu ya kuficha gari” alisema Kisona huku anajipapasa kiunoni na kugusa kisuchake na kukiwechomoa, nikama alikuwa anakiakikisha kama kipo vizuri, **
Magari sita ya polisi yenye askari kadhaa nyuma yake, wenye silaha aina ya SMG, yakiwa katika mwendo mkali sana, yalipita njia panda ya kwanza na kuelekea njia panda ya pili, ya kuelekea kwa wakulima, ambako walizania kuwa kiwanda cha majani ya chai kipo karibu na eneo hilo, safari ikaendelea kwa speed ya hajabu, walifwata kambi dogo la polisi, ambalo lipo kilomita kama kumi tu tokka barabara kuu, tofauti na kiwanda cha chai, ambacho kipo kilomita ishirini na moja toka barabara kuu, wakati huo kila kamanda kwenye gari lake alikuwa anawaza lakwake, juu ya ukweli huu wa Kingarame kuwa gari moja na marehemu Elisha, ***
saa tatatu na robo ndio muda ambao Hokololo alisimamisha gari kwenye eneo la kiwanda, na hapo mala moja askari waka shuka kwenye gari, sambasamba na boss wao Kingarame, “afadhari mme wai mana wanabunduki, wangeweza ata kupiga risasi komeo” alisema kijana mlinzi, alie kuwa anatokea sehemu aliyo jibanza, “ok! wapo wapi?” aliuliza Kingarame, huku akitazama huku na huku, kama kuna mtu mwingine eneo lile, akukuwa na mtu mwingine, “nime wafungia kwenye chumba kile pale” alisema mlinzi kwa majigambo, huku akionyesha kile kijumba licho waingiza kwakina Edgar na kuwa fungia kwa nje, hapo Kingarame aka mtazama Hokololo alie kuwa ndani yagari, “ebu mpemzigo wake huyu” alisema Kingarame huku ana nyoosha mkono kwa yule mlinzi, ambae liguindua kuwa anatakiwa kutoa funguo, akaingiza mkono mfukoni na kuuibua na funguo, kisha akamkbidhi Kingarame, “hoya njoo basi” alisema Hokololo huku anashuka toka kwenye gari, na kuzunguka nyuma ya kibanda kile kile ambacho waliamini kuwa, wakina Edgar walikuwepo ndani yake, huku kijana Hokololo anajipapasa kiunoni, na kugusa bastora yake yenye kiwamba sauti,
Akutumia muda mrefu, Hokololo akarudi toka nyuma ya kile kibanda, na kumtazama Kingarame, kimwonyesha ishara kuwa tayari amesha mpatia mlinzi mzigo wake, hapo Kingarame aka sogea kwenye mlango wa kile kibanda, “ni bora ukawa mpole kijana, pengine tuka kubariana na nikakuaca salama” alisema Kingarame na kutega sikio kwenye ule mlango, uliokuwa ina ning’izwa kufuri., kwenye komeo lake, lakini ikawa kimya, “nazani unanisikia uwezi kuwa umelala, ukijariu kufanya upuuzi wowote utapoteza maisha mala moja” alisema Kingarame kwa sauti flani ya kitisho, kisha aka mwita askari mmoja na kumpatia funguo,
Wakati huo huo, mita kama hamsini hivi, toka pale kwenye kibanda upande ule waliotokea ao, wakina Kingarame, kanal Kisona n wezake, wakiwa wamesha ziweka tayri silaha zao kuwaelekezea wakina Kingarame, walikuwa wanashuhudia matukio yote, waliyo kuwa wanayafanya wakina Kingarame, Kisona na wenzake waliona jinsi mlinzi livyo uwawa, na jinsi Kingarame alivyo ongea pasipo kujibiwa,
Sasa Kisona aliweza kumwona askari akiusogelea mlango kwa tahadhari kubwa, huku wenzake wakiwa wamenyooshea mitutu ya SMG kwenye ule mlango wa kibanda, hapo Kisona akaweka macho yake kwenye kilengeo cha silaha yake na kuioanisha na kichwa cha Kingarame, ambae nae alikuwa ameshika bastora akiielekeza kwenye mlango wa kibanda, kama wenzake walivyo fanya, najuwa mdau unatamani kujuwa mMona na Eddy wapo wapo, na walitokaje pale kiwandani, basi endelea kuchungulia
HAPA HAPA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU