
: BIKIRA YA BIBI HARUSI (61)

SEHEMU YA SITINI NA MOJA (6I)
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI (60) huku wenzake wakiwa wamenyooshea mitutu ya SMG kwenye ule mlango wa kibanda, hapo Kisona akaweka macho yake kwenye kilengeo cha silaha yake na kuioanisha na kichwa cha Kingarame, ambae nae alikuwa ameshika bastora akiielekeza kwenye mlango wa kibanda, kama wenzake walivyo fanya, endelea….
Naam kwa umakini mkubwa sana yule askari wa jeshi la polisi, akafungua mlango wa chumba kile kilicho jaa giza, japo wote walistuka lakini akuna kitu chochote kilicho tokea, wala awakuweza kuona chochote kutokana na giza nene, Kisona akatabasamu na kuwaonyesha wenzie shara ya kushusha silaha, huku wakimwona Kingarame akimwonyesha ishala Hokololo, ambae aliingia kwenye gari na kuchukuwa tochi, akamletea Kingarame, ambae aliiwasha na kumpatia yule askari alie fungua mlango wa kibanda, ambae wakina Kisona walimwona jinsi alivyo kuwa ana tetemeka, huku akianza kumulika ndani ya kile kibanda, “akuna mtu afande” ilisikika wazi wazi, sauti hii toka kwa yule askari, ikifwatia na kingarame alie kimbilia ndani ya kile kibanda, huku akiipola tochi toka kwa yule askari, akiongozana na askari wawili,
Kisona na wenzake wakawaona wakina Kingarame wakitona nje ya kile kibanda huku wame bebA SMG, inaonyesha kuwa waliikuta mle ndani, “ingie nikwenye gari haraka, tumepishana nao njiani” alisema Kingarame huku akiingia kwenye gari smbamba na askari wake, kisha aikuchukuwa sekunde tano gari kuondoka, tena liliondoka kwa speed kali sana, “mna juwa wana wai wapi wale, ebu ingieni kwenye gari haraka” alisema Kisona, mala tu baada ya gari la wakina Kingarame kutokomea mbali, nawao waka ingia kwenye gari lao na kuondoka kama waliyo kuja, yani bila kuwasha taa, japo kuwa safari hii waliachana mita kama mia nne hivi, wakina Kingarame wakiwa mbele, “lazima watakuwa wameondoka na lile gari tulilopisha nalo wakati tunakuja” alisema Kingarame, huku Hokololo ana kanyaga mafuta kwa speed kali sana.
“unazani wanawai wapi awa?” aliuliza baba Edgar, “watakuwa wamehisi sehemu walioenda wakina Edgar, siuna juwa awa nao ni polisi wapelelezi” alisema Kisona huku mzee Mbogo akiendelea kukanyaga mafuta, aikutakiwa awapoteze watu awa ata kidogo, **
Msafara wa magari mwili kutoka kiwanda cha majni ya chai, ulisimama mbele ya geti kubwa sana, la uzio mkubwa waukuta, wa tofari, land rover likiwa mbele gari kubwa likiwa nyuma, hapo Edgar alisruka haraka sana toka nyuma ya gari hili lililobeba marobota ya mjani ya chai, na kukinga mikono yake kama vile napokea mzigo flani, hapo Mona lisha aka jirusha na Edgar akamdaka na kumweka chini, kisha wote wawili wakiwa na vibegi vyao wakaondoka eneo lile na kuacha magari yale yakifunguliwa geti na kuingia ndani, ya uzio ule mkubwa wa ukuta.
“Edgar leo nataka nikumbie ukweli kitoka moyoni mwangu” alisema Monalisa baada ya kuwa wame tembea kama mita kadhaa toka pale, wakipita mtaa mmoja na kutokea mitaa ya karibu na barabara, ambapo walianza kuona watu wengi wengi, na maduka, “jambo gani Mona, mbona mimi nimesha kubari matokeo” alisema Edgar, huku akitazam tangazo moja kati ya mengi yaliyo bandikwa kwenye kuta na nguzo za umeme, Monlisa nae akaona alicho kuwa anakitazama Edgar, lilikuwa ni tangazo la kutafutwa kwa Edgar, “mh!inamaan mpaka huku natafutwa, inabidi nifanye jambo moja la haraka sana, ikiwezekana tupige simu songea tuombe msaada” alisema Edgar alie ona kuwa hii kazi bado ni ngumu kwake,
Ebu kwanza turudi lisaa limoja lililopita, wati ule mlinzi alipo kuwa anaenda kuwachukulia maji ili waweze kula wali na maharage, wakati mlinzi alipo toka na wao wakiwa ndani ya kile kibanda kilicho rudishiwa mlango wakasikia muungurumo wa gari ukija na kusimama nje ya kibanda, hapo Edgara akaufungua ule mlango na kuchungulia nje, aka liona lile gari, pia aka sikia mmoja wawatu waliomo ndani ya gari wakimwulizia meneja, ili waondoke zo kuwai mjini, akataka mweleze mlinzi awaombee lifti, lakini akamwona mlinzi anawai kuwenda kumwita meneja, hapo Edgara akatazama nyuma yagari akukuwa na mtu ata mmoja, “Mona njoo haraka” alisema Edgar, na Monalisa akainuka na kumfwata Edgar pale mlangoni, wote wakiwa na mabegi yao, SMG alikuwa ameiacha mle ndani, “sasa tuna enda mjini, inabidi tuwai kupanda lile gari” alisema Edgar huku ana urudisiha mlango kama alivyofanya yule mlinzi, kisha haraka sana, akamshika mkono Monalisa na kumvuta kuelekea kwenye gari kubwa, na baada ya kulifikia tu, Edgar aka mshika kiunoni Mona lisa na kumpa lift ya kupalamia kwenye bodi la gari ili kisha akafwatia yeye mwenyewe, na sekunde chache wakaanza safari kuelekea mjini,
“Edgar yule alie nipatia ule mkanda wa video, alisema nikampe mwanajeshi anaitwa Kisona, sasa tuta mpataje?” aliuliza Monalisa ambae hakuwa anamjuwa mtu huyo, “mimi na mfahamu na yeye ananifahamu” alijibu Edgar huku safari inaendelea, huku wakushuhudia wakilikosa kosa gari ambali baada ya kupishana nalo wakagundua kuwa ni gari la polisi, “yule mlinzi akutaka wenzake watuone sababu alisha ambiwa wataalifu polisi kama tukija huku” alisema Edgar huku safari ikiendelea, upande wa Monalisa, moyo wake ulitamani kumbia jambo Edgar lakini akujuwa aanzie wapi, sababu tayari alisha likoroga, kwa kumwambia Edgar atayari anamchumba, na ndio kitu kilicho endelea kumtesa ata wakati huu wana elekea kati kati ya mji, ili wakatafute sehemu ya kupiga simu, wawasiliane na wazazi wao huko songea, “inabidi tupate nguo, zitkazo ficha sura zetu ili tusifahamike” alishauri Edgar ambae ndio alie takiwa kujiziba sura asifahamike, “kwakuwa wewe awakujuwi inbidi uende kuni nunulia nguo” alisema Edgar huku anampatia fedha Monalisa, ambae alikataa, na kumwambia yeye pia alikuw na fedha za kutosha, zitazo weza kuwasaidia,
Monalisa akasogea kwenye banda moja la kuuzia nguo za mtumba, na kuanza kuchagua nhuo zitakazo mfaha, yeye na Edgar, ili waisiweze kutambuliwa na mtu yoyote, dakikachace badae Monalisa akarudi na nguo mkononi, ambazo walitumia dakika chache kuvaa, na kuelekea upande wa stand, ambako waliona matangazo mengi sana njiani ya kutafutwa kwa Edgar, baada ya kutembea tembea pale mtaani kwa dakika kazaa wakitafuta sehemu ya kupigia simu, wakafanikiwa, hivyo wakalipia dakika moja moja, na kukaa kwenye vizimba vya kupoiga simu kila mmoja akipiga kwao, na baada ya dakika moja wote wakatoka nje kabisa, ya pale, “vipi ume wapata wazazi wako?” aliuliza Edgar, huku akitazama huku na huku, “hawapo nyumbani nimeongea na dada wakazi, anasema wameenda kuni tafuta” alijibu Mona lisa akionyesha kuto kujali, vipi wewe ume ongesa na wazazi wako?” aliuliza Monalisa huku Edgar akiendelea kutazama huku na huku, “nimeongea na mama amefurahi mpaka an alia, amesema baba yupo Njombe, na Kisona wana tutauta sisi” taharifa hii nikama ili mpendezesha sana Monalisa, ambae alitabasamu na kuushika mkono wa Edgar, “ambae sasa alikuwa ana tazama upande wa mashariki wa mji huu wa Njombe, akitazama bango kubwa lililo onekana upande huo, likiwa juu ya ghorofa ya tatu, “sasa Eddy tutalala wapi?” aliuliza Mona huku akijichekesha, “serena hotel, napajuwa pale vyumba ib elefu tano, tuliwai kulala sikumoja wakati naenda songea” alisema Edgar kisha wkaaza kutembea taratibu kuelekea kule liliko onekana bango la SERENA HOTEL. “lakini bola tunge kula kwanza akafu ndio tuende kulala, alisema Monalisa, na Edgar akaunga mkono, wakatafuta kwenye vibanda vya mama ntilie, ili wapate chakula,***
Kumbe wakati huo huo, tayari makamanda wa polisi na wanadhimu wao walisiha fika kule porini , kwenye klambi yao yamuda, na kuwafolenisha askari wote, na kuwajuliisha kuwa kunasehemu wanatakiwa kuelekea usiku ule, ambayo ni kiwanda cha majani ya chai, lakini kilicho wakatisha tamaha ni ile kuambiw kuwa kiwanda cha chai, kipo sehemu nyingine na siyo huku waliko wao, hiyo ikaamliwa waingie kwenye magari, tayari kuondoka zao kuelekea kwenye kiwnda cha chai,
Dakika chache baadae, magari yalikuwa njiani nyanaelekea barabara kuu, ili wakapite ile njia ya kwenda kiwanda cha majani ya chai, dakika kumi natano baadae msafa wa makamanda na askari tayari ulikuwa umesha ikamata barabara ya lami, na ukiwa una karibia njia panda ya kiwandani, mita kama mia nne mbele yao wakliona gari lina tokea kwenye ile njia waliyo tarajia kuingia, na kukata kuona kushoto, kueleka Njombe, na aikuwawia vigumu kugundua kuwa ni gari la polisi wenzao na moja kwa moja atakuwa ni Kingarame, RPC akatoa amri kuwa msafara ulifwate gari la mbele yao, pasipo kujuwa kuwa kuna gari jingine la jeshi la ulinzi, lililo kuwa lime jibanza kuwasubiri wapite kwanza.
SAJENTI Kibabu na koplo Lusinde walikuwa walikuwa ndani ya magari mawili tofuti, nao wakijiuliza kulikuwa na jambo gani kubwa lililowafanya makanda kuwasomba usiku usiku, na sasa wame badiri na kuelekea mjini, ni baada ya kuliona gari la wenzao likiwa mbele yao, na wao waligundua mala moja kuwa gari liolikuwa lina fwatiliwa, ni la boss wao Kingarame.
Kingarame nae siyo mjinga, tayari alikuwa amesha yaona magari ya nayo mfwatilia, ebu punguza mwendo” alisema Kingarame na Hokololo aka fanya hivyo, mpaka magari ya wenzao yalipo wakuta, na kuwapa iishara ya kusimama, kiisha SSP Kingarame akaitwa na wakuu wenzake, wakijitenga pembeni na kuanza kikao kifupi pembeni ya barabara, “SSP Kingarame unaweza kutuambia kwenye kiwanda cha chai ulifwata nini” aliuliza RPC Ruvuma kwa sauti kavu na ya chini, awakutaka wale askari wadogo wasikie maongezi yao, itaendelea……. hapa hapa

