: BIKIRA YA BIBI HARUSI (66)

SEHEMU YA SITINI NA SITA (66)
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA TANO (65) nikwamba dudu ya mwanaume huyu, ilikuwa imetutumka, kamavile nyoka ameona chura, “mh! Na yeye ametamani” aliwaza Monalisa, wakati huo akamwona Edgar akimwinamia na kusogeza mdomo wake kwenye sikio, “unaweza kugeuka nikukande kwa mbale?” ENDELEA ………..
Ilikuwa sauti ya kunong’ona, iliyopenya sikioni kwa Monalisa, na kumsisimua, kutokana kile alicho kisikia, nandicho alichokuwa anatamani kukisikia “mh! mmmh” alikubari Monalisa huku nalikamata izuri blangeti kifuani kwake nakuinuknalo, kisha akageuka na kulala chali, lakini sasa alilala kitandani, na siyo kwenye mapaja ya Edgar kama ilivyo kuwa mwanzo, huku muda wote, usi wake ukitawaliwa na tabasamu, Edgar bila kuchelewa, Edgar akiwa anamtazama Monalisa usoni, aka piga magoti juu ya kitanda mbele ya miguu ya Monalisa alie kuwa amelala chali, akaipenyeza mikono yake, kwenye blangeti alilo jifunika Monalisa, na kuikazikamata nyayo za miguu ya Monalisa, na kuanza kuzikanda, nyayo laini za mwanadada huyu, kwa kuziminya minya, na kumfanya Monalisaajisikia hali flani ya kupendeza, iliyo mala kwa mala mtazame Edgar, na macho yao yalipo kutana, walikujikuta wakitabasamuliana, kabla Monalisa aja fumba macho yake, na kuendelea kusikilizia jinsi mkono wa Edgar ulivyo kuwa ukitembea kwenye miguu yake ndani ya blangeti, na kuzidi kupanda kwenda juu mpaka kwenye sehemu za nyuma za magoti yake, Na kujihisi kamtekenyo flani hivi, kalikozidi kumletea raha, kiasi cha kumfanya Monalisa aanze kuwaza, na kujisemea kimoyo moyo, “sijuwi amefundishwa na nani kufanya hivi, asije kuwa nakademu kake anakafanyiaga hivi” mawazo hayo ya Monalisa yaliambatana na wivu, huku akiendelea kuusikilizia mkono wa Edgar ulio endelea kumkanda sehemu za nyuma za magoti, akihisi kamtekenyoka hajabu, kaliko mletea raha binti huyu mtoto wa mama Mona, Monalisa aliendelea kusikilizia mikono ynye joto ya Edgar, ambayo sasa alianza kupanda, juu na kuyakanda mapaja, huku sehemu ya chini ya blangeti likifunuka, na kuacha sehemu ya miguu na juu kidogo ya magonti ikiwa wazi, Sasa Monalisa alianza kuhisi vitu flani kama shot ya umeme ikitambaa kwenye mapaja yake na kupanda mpaka kiunoni, ikiamsha hisia ya hajabu kwenye mwili wa Monalisa, lakini ghafla Edgar akaacha kuendelea na ilemassaji bubu, na kuchooa mikono yake toka ndani ya blangeti, hapo Monalisa akafumbua macho, yake mbayo yalishaanza kulegea na kuwa kama mlevi, akamwona Edgar ana jiinua na kutoka kitandani, “unaenda wapi sasa?” aliuliza Monalisa huku akimshika Edgar mkono, akionyesha kuwa ataki aondoke kitandani, lakini Edgar aka jifanya kaubishi, akajipapatua, lakini tratibu, hapo Mona akajiinua na kuizungusha mikono yake kwenye kiuno cha Edgar, kwanguvu, “njoo bwana unaenda wapi?” alisema Monalisa kwasauti ya kulalamika, akisahau kuwa blangeti alilojifunika lilisha shuka zaidi, na kuacha kifua wazi, nakusabisha manyonyo yake, yaguse kwenye sehemu ya ubavu wa Edgar, sijuwi ilikuwaje kitendetendo hicho kimsisimue Edgar na kuifanya dudu yake izidi kusimama, nakuonekana wazi wazi jinsi ilivyo tutumka, na kutengeneza mtuno mkubwa, kwenye bukta yake.
Sasa ulikuwa kama mchezo flani, maana Edgar aliona anataka kuzalilika, hivyo akitaji kujiondoa pale kitandani, aka vae suluali, hili aifiche aibu yake, huku Monalisa kimvuta kitandani, mpaka wakajikua wakiangukakia kitandani, Monalisa akiwa juu ya Edgar, na kuikandamiza dudu ya kijana huyu, aliyo hiisi iki mgusa maeneo ya tumbo lililokuwa wazi, maana blangeti lilikuwa limesha, ondoka sehemu kubwa ya mwili wa Monalisa, na likibakia sehemu ndogo ya kiuno na kuziba makalio na kitumbua, huku juu likiachia sehemu yote wazi, sijuwi Edgar aliamua nini, maana alimshika Monalisa kiunoni, na kitendo cha haraka sana akampindua Monalisa na kumlaza chali, huku yeye akiwa juu, lakini kwa pembeni, kisha aka usogeza usowake karibu na uso wa monalisa huku wanatazamana, macho ya Monalisa, yalionyesha wazi kujutia kitendo ha kumng’ang’ania Edgar kitandani, akisahahu kabisa kuwa kifuachake kilikuwa wazi kabisa na kuruhusu maziwa yakemazuri yaonekanae mbele ya Edgar, ambae nikama alisha zowea kukaa hivi mbele ya kijana huyu, “nimesha maliza kukukanda, au kunasehemu unataka niikande” aliuliza Edgar kwa sauti nzito, na tulivu, uku akiwa bado anamtazama Monalisa, ambae pia alikuwa anamtazama Edgar, lakini Monalisa akashindwa kujibu, sijuwi alichanga nyikiwa na nini, maana zaidi alitazama pembeni, na kutaka kujitoa kwa Edgar, ambae alicheka kidogo, yani kiccheko legevu, “mbona unijibu?” aliuliza Edgar, akimzuwia Monalisa asitoke palea alipomlaza, “naona aibu” alisema Monalisa ambae kiukweli nikama alishindwa kumtazama rafiki yake huyu, tena kwa sauti nyororo na ya chini kabisa, “si nilikufundisha namna ya kuondoa aibu” alisema Edgar kwasauti ile ile tulivu na yachini, “haya sasa” alisema Monalisa huku akifumba macho yake, na kuuelekeza uso wake usawa wa uso wa Edgar, akitegeme kitu flani kutendeka, kitu ambacho kita mtoa aibu.
Nikweli mla akahisi modomo ya Edgar ikiigusa midomo yake, na hapo akuchelewa aka udaka ulimi wa kijana huyu na kuaza kuunyinya taratibu, na kuzidi kunogewa na kamchezo kale kila sekunde ilipo pita kiasi cha kujikuta akizungusha mikono yake, kwenye shingo ya Edgar, na kuendelea kupena mate kwa raha zao.
Raha zilizidi baada ya Edgar kupeleka mkono wake kwenye ziwa la kushoto la Monalisa na kuikamata huchu, ambayo alinza kuchezeakwa mtindo flani wakutekenya, akika Monalisa alianza kuhisi pumzi zina toka kwamgao., mhh! huku nako kunaitaji moyo ebu twendeni sehemu nyingine, **
Moja kwa moja tuna elekea mtaani, ambako SSP Kingarame na kundi lake la polisi, lililo wakusanya wakina sajent Idd Kibabu, na Koplo Lusinde, na askari wenzao wengi waliokuwawame tulia kimya kutoka kwa mkuu wao SSP Kingarame, jhuku macho yaop na mitutu yao zaidi ya hishirini, ikitazama sehemu mbayo walisikia vishindo na sauti za vicheko, vya kike na kiume vikitokea, na kuja upande wao.
Sekunde chache baadae, mala ghala waliibuka watu wawili, toka kwenye ile chochoro ambayo wakina Kingarame walikuwa wame itolea macho, nikavile wale watu walistukasana baada ya kuwaona watu wengi sana mbele yao nikama walikuwa wanawavizia wao, kika wapenzi awa wawizi, wakajuwaleo ndio ile siku ambayo walikuwa wameizungumzia, muda mfupi uliopita, hivyo aikuwa na kusubiri wote wkageuka walikotoka, nakuanza kutimua mbio, dah!, bahati aikuwa upande wao, maana mitutu ishirini ya polisi, ili waelekea wao na hapo kila polisi aka vuta kidole chake, na kukamua trigger,***
Wakati huo pale Hotelini Serena wakina Kisona naawatu wengine kama wakina mzee Anderson na makamanda wa polisi, walikuwa bado wapo pale nje wanendelea na maongezi, kila watu wakiwa kwenye meza tao, ndipo waliposikia “pah! pah! pah!” nyingi sana, ilikuwani milio ya risasi ambayo, usinge znia kuwa inatoke katikati ya mji, milindimo yarisasi aikudimu kwa muda mrefu ilikoma mala moja, “tayari huko” alisikikasauti ya RPC Iringa, iliyo jawa na shangwe huku wote wakiinuka, kwapamoja na kukimbilia kwenye maegesho ya magari, sambamba na wakina mama Monalisa walio inuka na kuanza kutimu mbio kuelekea upande wa juu, “jamani mwanangu” sasa kilikuwa ni kilio tkakwa mama Monalisa.
Kwaupande wa wakina mzee Mbogo, na askariwengine, walikuwa nikama wame duwaha, maana walihisi risasi hizo zimeingia kwenye mwili wa Edgar na Monalisa, “vipijamani atuendi kuona, nazani wkina Edgar wame…” alisema baba Edgar, akiwa amesha simama, sambamba na askari wote watano, kasoro, kisona tu! alie kuwa bado amekaa, ndio kwnza alicheka kidogo, huku anawaonyesha ishara ya kukaa, “nyie tulieni mlizeni vinywaji kisha tuka tazame alie uwawa, lakini siyo wakina Edgar” japo Kisona uwa akosei, lakini kwa hili ata askri wake walimshangaa, “afande unazani unaongea nini, ebu tuwai tukaonne kilicho tokea” alisema koplo Katembo, kwa sauti ya mshangao, “nyie mme sahau kuwa Edgar namwenzie tume pishana nao wanaelekea upande huu, na risasi zime sikika upande wa mjini” hapo kidogo, wale askari pamoja na baba Edgar waliofunguka hakii kidogo, “ok! sasa tunawezakwenda kuona, atukutakiwa kuwi pamoja nao, sababu wanaweza kujuwa tupo hapa kwajili gani” alisema Kisona, huku anasimama, tayari kwa kuondoka, …
MWISHO SEASON THREE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata